MABANDA YA MASAJI YAPIGWA 'STOP' ZANZIBAR, KAMISHENI YASHTUKIZA NA KUBAINI MAMBO HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana humo ndipo Ushoga mwingi unafanyika na umaraya na wizi

  • @Joycejerad
    @Joycejerad ปีที่แล้ว +3

    Hii imeenda

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 หลายเดือนก่อน

    Mmefungia massage clinics au wale Tu wasio na leseni?

  • @LeeySeedorf
    @LeeySeedorf 4 หลายเดือนก่อน

    Kodi zenu haziendani na kipato cha hao wanaofanya hizo kazi,kodi huzidi kiwango cha hela unayoipata kwenye kazi zako.kuwaboresha mnashindwa kazi yenu ni kuwaangamiza hao wasaka tonde kwa jasho jingi tu hamna lolote munatengeza njia za rushwa kwa watendaji wenu.

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว +2

    Pigeni STOP mabaa na vilabu vya pombe, sio mabanda ya massaging peke yake

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว +1

    Huwo ndio utalii kuziniana kwenda mbele

  • @FaziliJuma-od3kr
    @FaziliJuma-od3kr 6 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni machaka ya ukahaba tuu

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว +1

    Lengo kuu sio kulinda maadili bali ni kudhibiti upotevu wa mapato

    • @saidkhamis9507
      @saidkhamis9507 11 หลายเดือนก่อน

      Mtihani kwakweli

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 5 หลายเดือนก่อน

    Hmna. Lolote. Zanzibar. Inazama. Kwa. Laaana. Mnazozifumbia. Macho. Viogozi

  • @LapaniMwarabu
    @LapaniMwarabu ปีที่แล้ว +1

    Elimu itolewe watu wafuate utaratibu za biashara

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 ปีที่แล้ว +4

    Fukuza kabisa hiyo biashara hao wanaeneza ushoga

  • @MansorJr-z3i
    @MansorJr-z3i 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa wabongo hatuwataki aaaaa mimi naomba niwe raisi nauvunja muungano kumamazenu hadi wazanzibar mnawaharibu asa watu wawe wezi auuuu kumaa nyinyi kumaaaaaaaaa milaardayo nakuombeni hii comment muisome kumaaaa nyeeeeee

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +3

    Miongon mwa biashara haram izo

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

      Mnapenda hela za watalii, wacheni wa wafanye mashoga mpaka vizazi vyenu vyote. Zanzibar maadili yameporomoka sana hata huko kwenye fukwe

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Tunataka utalii

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 ปีที่แล้ว +1

    😂😂

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 ปีที่แล้ว +3

    Dola elfu kumi tanzania money kiasi ganiii jamaniii