HII SIRI imekaa vibaya Prince katega wa pili AFICHUA MAZITO kweli huyu ni baba lao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • HII SIRI imekaa vibaya Prince katega wa pili AFICHUA MAZITO kweli huyu ni baba lao
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #princekatega
    #mwafrika
    #simulizi

ความคิดเห็น • 212

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +6

    Prince Katega wa pili Afichua SIRI HATARI ZAIDI DUNIANI zilizofichwa na wazungu HAWATAKI TUZIJUE
    th-cam.com/video/Qk7zGwGMKPM/w-d-xo.html

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu baba tumeletewa na mungu wetu waafrika, huyu ni baba wa afrika. 👏👏👍👍🙋🙋🙌🙌❤❤

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Asante endeiea kunifuatilia kwenye TH-cam yangu
      PRINCE KATEGA II 2O19

  • @georgeshigela3643
    @georgeshigela3643 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana kuskiliza mafundisho yako, napata vitu vingi sana vizuri

  • @johngrivin3537
    @johngrivin3537 3 ปีที่แล้ว +1

    Ninafurahia sana kwa mafundisho yako mazuri ya kuwaamsha wa afrika hususani watanzania ili kurudi katika maisha sahihi ya mtu mweusi wazungu lengo lao ni kumaliza kizazi cha mtu mweusi ,
    Waafrika tushirikiane kwa pamoja
    Ahsante sana Prince Katega wa 11 mungu akubariki .

  • @mpzooculture4959
    @mpzooculture4959 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana mzee wangu prince katega

  • @sonti2821
    @sonti2821 4 ปีที่แล้ว +22

    Nmemuelewa kwa kwali ameongea vzur. Binafsi ntaanza kumfatilia kama uko pamoja nami show lov

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      asante sana

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      karibu

  • @sundayoyanda7386
    @sundayoyanda7386 4 ปีที่แล้ว +2

    This guy is God sent. Super clever. Thanks a lot.

  • @safaribuhendwa1387
    @safaribuhendwa1387 4 ปีที่แล้ว +13

    una zungumuza ukweli mzee wetu,alakini watu awakwelewe,

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Wameanza kuelewa

  • @makuchikabugo7227
    @makuchikabugo7227 4 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha

  • @bezarelchilewa4062
    @bezarelchilewa4062 ปีที่แล้ว

    Bethuel Mbugua from Kenya.

  • @sammykamula7610
    @sammykamula7610 4 ปีที่แล้ว +1

    Very insightful!

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 4 ปีที่แล้ว +3

    true.....

  • @anakoku4022
    @anakoku4022 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali prince na unatufanya tujiamini zaidi waafrica. Hawa mapadre na wachungaji wanalazimishwa chuoni kukataa jadi lkn mbona wanaojiamini wanaongea? Mch mmoja mzee anasema niliwahi kuambiwa na mtu wa busara genius akasema mch mmeruhusu watu wamekata miti minene (ebigabiro) mnaelekea pabaya. Haya maji mvua inaponyesha yanatuama humo, then ukame ukija yale maji yanakuwa msaada, leo hii mmekata miti minene mvua ikinyesha maji yote yanaondoka (yanaenda ziwa victoria) ,mtakapolia baa la njaa huyu mzungu atasema nawasaidia chakula lkn mpaka mkubali ushoga. Wewe kiongozi km bado unawapenda watu wako wasife njaa utausain huo mkataba.

    • @anakoku4022
      @anakoku4022 ปีที่แล้ว

      Kuna wimbo wa wa ruthen ktk kitabu mwimbieni bwana unasema Abanzaaa akwasa enshoni abaina amaani gangi. Huu tumeuimba sana kipindi cha corona, wametutengenezea sisi lkn wamekufa wao km utitiri, na hapo ndio ndio waliumbuka tukajijua sisi ni original toka kwa Mungu lkn wao ni copy na ndio maana miili yao haikuweza kuhimili corona

  • @adammwamba9177
    @adammwamba9177 4 ปีที่แล้ว +7

    Akili za kuambiwa changanya na zako...

  • @jackneymangwashisamson1780
    @jackneymangwashisamson1780 4 ปีที่แล้ว +2

    Very Interesting 🤔

  • @linturenatus3549
    @linturenatus3549 ปีที่แล้ว +1

    Ila mzee nakuelewa

  • @bevanny9389
    @bevanny9389 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba uniunganishe na group lake bro ntashukuru sana

  • @hamdanimohammed5220
    @hamdanimohammed5220 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana kaka

  • @manakamuhammad6936
    @manakamuhammad6936 4 ปีที่แล้ว +1

    This is correct.

  • @erickntale1174
    @erickntale1174 4 ปีที่แล้ว +2

    Trico media Asante Kwa kutujuza mambo meng mazur ila me nna swali nataka kujua je kuku jogoo akija Mbele yako afu ana simama Kwa mguu mmoja kunachochote hapo au ?

    • @owtisowtis4049
      @owtisowtis4049 3 ปีที่แล้ว +1

      Broh... Maanake huenda uliwahi kuwa tetea kabla ya kuwa binaadamu...
      Ushauri wangu kimbia... Lasivyo atakutagisha yai broh!

  • @Landosofficial10
    @Landosofficial10 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee nakukubaliii

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee baba Upo vizur Siyabonga

  • @isackcsimba1436
    @isackcsimba1436 4 ปีที่แล้ว +5

    Uyu Jamaa Ni Mpagani Kwaiyo ukimsikiliza Uwe na Iman iliyosimamma bila ya hivyo anakutoa Kwenye Reli . Mana Dini yake anaabudu Shetani na Lengo lake ni Kuwapoteza Watu .mbona Aongelei kuhusu Shetani kwamba Ni Master wake

    • @vascobenedict488
      @vascobenedict488 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndio shetani

    • @wangash6144
      @wangash6144 4 ปีที่แล้ว

      Shida ya waafrica mpendi ukweli

    • @isakabaragomwa296
      @isakabaragomwa296 4 ปีที่แล้ว

      Ruhusu kichwa kifanye kazi na sio kulichosha shingo tu basi.

    • @donkaloza6985
      @donkaloza6985 2 ปีที่แล้ว

      @@isakabaragomwa296 kabisa

    • @r14kgroup68
      @r14kgroup68 วันที่ผ่านมา

      Sasa wewe unajua maana ya mpagani

  • @salyungumabula5539
    @salyungumabula5539 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kabisa Prince Katega

  • @victorchuma2114
    @victorchuma2114 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli baba

  • @dukeamos9483
    @dukeamos9483 4 ปีที่แล้ว +2

    Here we go.

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 3 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍 ubarikiwe

  • @allysuleiman6022
    @allysuleiman6022 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmi nakkubali sana mzee kweli haiwezekani ety wao ndio wanatengeneza makaratasi/pesa ikisha wao wao wakapanga thamani yavitu vyetu sasa mmi hujiuliza mbna tunategemeana ila mipango yamatumizi ya kimataifa nitofauty

  • @raulianraphael6853
    @raulianraphael6853 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana Ta.Mlangila Katega II
    Na kwa ujinga wetu tunauana na kubaguana,Hamna atakae enda mbingun pasipo Yesu kristo, Mala Asie Muislam n Kafir
    Hii inamaanisha Babu wa Babu yako ndie kafir wa kwanza, na pia hataenda mbinguni maana hamjui Yesu
    Tutumie akili tuache kuuana kwa mapokeo. Ya wazungu na Waarabu.

  • @davincleon9202
    @davincleon9202 3 ปีที่แล้ว +1

    We never die

  • @suleymanosman1788
    @suleymanosman1788 4 ปีที่แล้ว +5

    Anachoongea ni kweli coz huwa nafuatilia sana hzo mambo

  • @emmanuelmwikwabe40
    @emmanuelmwikwabe40 4 ปีที่แล้ว +2

    Professor Mbugua namkumbuka

  • @greysonmbembelakarateka5842
    @greysonmbembelakarateka5842 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @ananiasabel545
    @ananiasabel545 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah. Tume maarifa Prince Katega 2

  • @kavoomshana5928
    @kavoomshana5928 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli akili zikizidi sana zinaweza kukuaminisha ujinga kama anavyosema profesor katega.

  • @changanataliforlife3760
    @changanataliforlife3760 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mzee wangu

  • @emmanuelylazaro1857
    @emmanuelylazaro1857 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana mwanaharakati tupo pamojaaaa...mungu alishafeli toka mwanzoo

  • @godfreypeter8383
    @godfreypeter8383 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee anaakili nying sana

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 4 ปีที่แล้ว +2

    Tafta mic 🎙 babu. Itakua bora

  • @godfreycharles2792
    @godfreycharles2792 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii sijaielewa kabisa....

    • @mtamaduni
      @mtamaduni 4 ปีที่แล้ว +3

      Hujaelwa kwa sababu tayari ushatawaliwa kifikra,hizo ni fikra zake yeye kwahiyo na wewe tumia fikra zako kufata kile unachoona sahihi kwako.

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Sikiliza tena

  • @nkonyololuchana2211
    @nkonyololuchana2211 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwakwel katega namwelewa san na ninakukubal san, ila kwa wale ambao wametekwa na vitabu vinavyoitwa vya mung, hawawez kuelewa, mm nimefanya utafiti san mpaka kwenye dini zote nimepita, haya anayoongea katega ni ya kweli kabisa, waafrika tumwunge mkono

    • @vascobenedict488
      @vascobenedict488 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko pamoja na Mimi broo huyu mzee namwelewa sana

    • @nkonyololuchana2211
      @nkonyololuchana2211 4 ปีที่แล้ว

      Vasco Benedict pamoja san ndug yang

  • @yusuphyusuph2994
    @yusuphyusuph2994 4 ปีที่แล้ว +1

    Soma vitabu tofaut kabla yakutuelimisha una weza ukawamwalim mzur zaid

  • @sonti2821
    @sonti2821 4 ปีที่แล้ว +2

    Still watching..

  • @imbatokamoyoni2209
    @imbatokamoyoni2209 4 ปีที่แล้ว +5

    Reincarnation,
    Anhaaa ,nqkumbuka nilikuwa mwindaji ulaya miaka ya 1886, huko

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha

    • @bevanny9389
      @bevanny9389 4 ปีที่แล้ว

      Anhaaaaaaa we acha Kiki zako bwana

    • @nurukiingu9012
      @nurukiingu9012 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @RajabKAMIS
    @RajabKAMIS 4 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli brother.

  • @polycarpngandu3910
    @polycarpngandu3910 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili ni Lugha ya utambulisho wa Africa

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 3 ปีที่แล้ว +1

    Wale wanao mbisha mzee huyu hebu tafuta ukweli huo kwenye google, bonyeza andika "anunnaki people" hawa ni watu wa zamani. Adamu hakuumbwa wa kwanza vitabu vipo vya watu waliohishi kabla ya Adamu

  • @mosesmbonea569
    @mosesmbonea569 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nikwel kabisa maana hatamm kunakitu nlikua na kikumbuka nikiwa mdogo naskuwai kukiona wala asaivi sjakiona

  • @bilalissack7573
    @bilalissack7573 4 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣 unachekesha ukikufa utafufuka tena siku ya kiama

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndo mana mnaambiwa msome vitabu vya kale...Yesu ataludi na kufufua watu wake na wataishi miaka 1000 apa duniani bila magonjwa wala shida. Wale wenye zambi watabaki kaburini mpaka miaka 1000 ipite ndipo watapewa hukumu

    • @bilalissack7573
      @bilalissack7573 4 ปีที่แล้ว +2

      Mimi Mimi unaamini yesu atarudi basi wewe n muisilamu wewe n mkatholiki ama pop francis ambaye munamuamini asema hakuna jahanamu wala pepo Bali huyu jamaa anawapotosha tu!

  • @christopherkiboma7227
    @christopherkiboma7227 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli unachosema maana mimi najiona nilikuwepo ,nilikuwa nimemwoa mke wangu nzungu ,alafu nilikuwa msomi sana

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaahaaa

    • @sheilamussa2716
      @sheilamussa2716 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @kavoomshana5928
      @kavoomshana5928 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa mmh huyu kweli akili zikizidi ndio ubovu wake huo

    • @asafustewat9013
      @asafustewat9013 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaa mwangu we chizi hahahha umenichekesha sana

    • @carolinemwongera6494
      @carolinemwongera6494 3 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewaaa

  • @shd12m55
    @shd12m55 4 ปีที่แล้ว +5

    Tuko pamoja sssssana

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja sanaaaa kaka

  • @juliusmagaga1588
    @juliusmagaga1588 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia Sanaa unasema ukwel

  • @nyashndosh4792
    @nyashndosh4792 4 ปีที่แล้ว +2

    Wenye walileta hizo dini hawakupea waafrika wakati huo Maisha mazuri, chakula mzuri, nguo mzuri. Kwanini basi tunaamini kwamba walitupea dini mzuri?

  • @edmundykusena9728
    @edmundykusena9728 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamani nitapataje masomo zaidi ya Prince Katega

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Ingia kwenye channel yake prince Katega II 2019

  • @wmmtztv6963
    @wmmtztv6963 4 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangu kwako mzee ,ungeongelea mambo ya historia na sio Theology ,unayo yaongea mengi umefikiria wewe pia unaimarisha watu kurudi katika kuabudu ushirikina au mizimu,

    • @spiritualman_7
      @spiritualman_7 4 ปีที่แล้ว

      Nini maana ya mizimu?

    • @spiritualman_7
      @spiritualman_7 4 ปีที่แล้ว +1

      Wwe, unavohis kwmba, mzungu , hakuk letea chakula kizuri, nguo nzur , maisha mazur n.k, unadhani dini ndo angek letea nzuri,,, tafakari usipende k hukum haraka, fikiri kwanza

  • @issackjockitan
    @issackjockitan 6 หลายเดือนก่อน

    Afrika tulitolewa na kwenye reli na wazungu

  • @StoneMsaku-zb9ym
    @StoneMsaku-zb9ym 4 ปีที่แล้ว +4

    nimekuelewa mkuu

    • @mabelendongo8868
      @mabelendongo8868 4 ปีที่แล้ว

      Mabele ndongo tuko pamoja Sana Mzee wangu wafunulie kulasa wanatusumbua na magita kila Kona Hadi kelooooo

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 วันที่ผ่านมา

    Yaani ulivyoongea baba nami nishafikiria vitu kama hivyo

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว

    Imqwezekana ndio spirit kuzaliwa kwenginne ila inaweza kazi sehemu tofauti ila chimbuko ni palepale

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukisoma Sana hakili inapotea

  • @tumsifuzablon776
    @tumsifuzablon776 3 ปีที่แล้ว

    tuko pamoja

  • @awinojuju8522
    @awinojuju8522 4 ปีที่แล้ว

    Acha tungoje siku za mwisho Manake watuchanganyaa kabsaaa.....

  • @festokilonzoelituwaha2919
    @festokilonzoelituwaha2919 2 ปีที่แล้ว

    Kalikuwa kanaitwa BETHUEL MBUGUA

  • @melissa_garden
    @melissa_garden 11 หลายเดือนก่อน

    Mwombeki my son

  • @pelesimajani8850
    @pelesimajani8850 3 ปีที่แล้ว

    I wish angekuwepo Mchungaji Mtikila afanye kolabo na Prince Katega (before alikuwa kanisani kwa Mtikila) naamini tungeenda mchaka mchaka mtamu mno

  • @cyrabrown8609
    @cyrabrown8609 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona yesu kama amerudi😆

  • @sudihammad7387
    @sudihammad7387 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mawazo ya kufikiri ya huyu mzee hayana mashiko na anamkosea mungu kusema anakosea yeye ukweli hakuna sehem mungu amekosea hii raana anaisema yeye kama bob mare alisema national mistake. Swali ni kumtusi mungu kwa kujifanya anamawazo ambayo kimsingi kufufuka ni jambo la litakuja baada ya dunia kuwa imefika kikomo na kufufuliwa kwa ethabu huku ni kujitoa ufaham asome watu wa mapangoni

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 ปีที่แล้ว

      Pumbavu wew mungu yupi wa wanzingu???

    • @wangash6144
      @wangash6144 4 ปีที่แล้ว

      Kama kuna Continent iliwacha Mungu wao ni Africa, tunaabudu Mungu wa Wazungu, Wakiarabu na Kathalika, Africa Mumrudie Mungu wenyu

  • @jimymbise5992
    @jimymbise5992 4 ปีที่แล้ว +1

    Prence ll naomba tuwasiliane

  • @yesunialamayakiama.9013
    @yesunialamayakiama.9013 4 ปีที่แล้ว

    Mzee unazinguaaa, kwahiyo kama haufuati miiko ya kiislam basi na uislam usiufate basi.

  • @yusuphyusuph2994
    @yusuphyusuph2994 4 ปีที่แล้ว +1

    Elim ya roho anaijuamuumba ishuyamtoto kujuamambo nimiujiza inaitwa nakilakiumbe kina mwilinaroho nandiomana ata malaka waumaut atakufa

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga kama upifindishwakwenye Qur'an pia unaeza kujifunza katika vitabu vingine acha uvivu wa kufikiria

  • @suleyman_007
    @suleyman_007 4 ปีที่แล้ว

    😂😂 Dah

  • @boscow9380
    @boscow9380 4 ปีที่แล้ว

    Nimekupata katega kutokea Canada iyo stori ya huyo mtoto nimefatiliya vizuri.

  • @dominaerode5468
    @dominaerode5468 3 ปีที่แล้ว

    Tunakushuru he tutakupata wapi?

  • @fabiananthony3222
    @fabiananthony3222 4 ปีที่แล้ว +1

    Shakuelewa sn na stachoka kukufatilia mpaka niwe na ww sikumoja

  • @sebastianhaward2617
    @sebastianhaward2617 4 ปีที่แล้ว +3

    haya maarifa ukiyapenda shika usipoyapenda yaache but don't say ur lying

  • @shedrackelkana6108
    @shedrackelkana6108 4 ปีที่แล้ว +1

    Ko unataka kuniambia huwa unakula matunda yote ya msimu😁😁

  • @mkambeez527
    @mkambeez527 ปีที่แล้ว

    Kwa mambo ya mizimu hivi mbona maandiko ya bibilia inasema hakuna uhusiano kati ya walio kufa na walio hai

  • @over_dance_tz8517
    @over_dance_tz8517 3 ปีที่แล้ว +1

    Ebu fanya mpak mataifa wajue hili

  • @wilsonlugutu5747
    @wilsonlugutu5747 2 ปีที่แล้ว

    Hizi ni siku za mwisho jamani mkiona ha yanatukia mjuwe you karibu kiristo kurejea.

  • @wmmtztv6963
    @wmmtztv6963 4 ปีที่แล้ว +1

    Wachina walianza hivyo mpaka leo wanaabudu nyoka Dragoni,

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Wachinna wanamuabudu Mungu

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 4 ปีที่แล้ว +7

    Unaweza kua umsomi mzuri ila akili hamna

  • @bevanny9389
    @bevanny9389 4 ปีที่แล้ว +1

    Sio siri Baba mzazi nimekwerewa sanaaaaa tena sana ,,,unaongea ukweri kabisa kwanza tunakushukuru sana kwa kutufungua macho nikama vile tulikua tumefunikwa lakini wewe kupitia kipawa ulichopewa na mungu umetufungua ,,,,, Mimi sina mengi ila NAOMBA UNITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU NIKUTEMBELEE SIKU MOJA KUNA USHAURI NATAKA UNISAIDIE

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 3 ปีที่แล้ว

    Nitawezaje kuongea na falme hizo mwalimu?

  • @goldenbluez
    @goldenbluez 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi si mola mnajifanya mnajua maisha vile inaenda wiwi nimuongo

  • @paulomzinza2942
    @paulomzinza2942 4 ปีที่แล้ว +1

    Natamani sana kusikiliza mafundisho yako. Ila bado sijakuerewa unamaanisha nini. Hasa tufanye nini sisi weusi, wewe unaamini nini juu ya dini za kuja. Niza kweli? Au ni uongo wa kizungu, kwanini bado unanadi biblia?

  • @isakabaragomwa296
    @isakabaragomwa296 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakubaliana na wewe ila nagusia mbinu walio tumia kuua elimu yetu na maarifa yetu.
    Sii nyingine ni dini.
    Kama zipo nyingine zitafuata.

  • @edmundykusena9728
    @edmundykusena9728 4 ปีที่แล้ว +3

    Natamani kujifunza mengi kupitia wewe prince hata sijui. Nifanyaje

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Ingia kwenye channel yake prince katega II huko kuna mawasiliano yake

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninavyohic sio kwamba baada ya yule mzee kufa alizaliwa tena, bali ile roho chafu au wengine wanaita mzimu wa yule mzee ulimvaa mtoto

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo mfano baba ako amefariki anageuka kuwa mzimu mchafu??

  • @mtoto_wa_Mfalme12
    @mtoto_wa_Mfalme12 4 ปีที่แล้ว +1

    Prince anasemaje kuhusu uwepo wa shetani?

    • @Nderemi786
      @Nderemi786 4 ปีที่แล้ว

      Shetani ni matendo yako kuna watu wana bad spirit lakini sio wa kwenye bible

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Hahuna Shetani hivyo ni visa asili

  • @emanuelelisante4324
    @emanuelelisante4324 4 ปีที่แล้ว

    Nyani ni walewale misitu ndio imebadilika.

  • @suleimanially3904
    @suleimanially3904 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kwa hisia na sio uhalisia

  • @wangash6144
    @wangash6144 4 ปีที่แล้ว

    Hata kuzini ilikuw kabla ya Amri cz Joseph alikata kuzini na mke wa Farao

  • @clementmgiga6438
    @clementmgiga6438 4 ปีที่แล้ว

    Ni nadharia zako unazoziamini,ni mtazamo wako,kumbe wewe unakubaliana na watu wanaoabudu miungu inayojitambulisha kupitia Sanamu,milima,mapori,wanyama,mizimu,n.k
    Kwangu Mimi nakataa na kuupinga mtazamo wako potofu

  • @chanoboyhomic8412
    @chanoboyhomic8412 4 ปีที่แล้ว +3

    Hatumuelewi

    • @onesmojeremia9713
      @onesmojeremia9713 4 ปีที่แล้ว

      Ukija na akikili xa kichwan huwezi kumuelewa

    • @mtamaduni
      @mtamaduni 4 ปีที่แล้ว

      Huwezi kumuelewa kwa sababu ushatawaliwa kifikra.

    • @datiuspeter5942
      @datiuspeter5942 4 ปีที่แล้ว

      Utamwerewa VP wakati ww nimweus

  • @victorchuma2114
    @victorchuma2114 3 ปีที่แล้ว

    Mzee naomba tuwasiliane 0764989843 nina project ya africa nzima

  • @lizamedia
    @lizamedia 4 ปีที่แล้ว +4

    WAKWANZA KUTANZAMA KATEGA WA PILI

    • @sonti2821
      @sonti2821 4 ปีที่แล้ว

      Fresh Bongo 😂😂😂

  • @daudelias450
    @daudelias450 4 ปีที่แล้ว +1

    Mi pia nilikua msanii mkubwa sana mi cjui luky dube maana napenda sna rasta

    • @sikitu8957
      @sikitu8957 3 ปีที่แล้ว

      Haaaaaaaaaaa

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 4 ปีที่แล้ว

    Hivi mizimu inatokana na shetani au Mungu? Kwa sababu waganga wengi wanatumia mizimu na tumefundishwa waganga wa kienyeji wanamtumikia shetani

    • @spiritualman_7
      @spiritualman_7 4 ปีที่แล้ว

      Huyo alok fundisha n nan

    • @wangash6144
      @wangash6144 4 ปีที่แล้ว

      Kumbukeni Hata mzimu Wa Samweli uliitwa na ukaja, so hizo nguvu ni za Mungu

  • @Sautiyamwenyeji25721
    @Sautiyamwenyeji25721 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuona, nimeona akili yako