chanzo cha kifo cha TB JOSHUA ni utata mtupu Kuna mengi mazito ya kutisha sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มิ.ย. 2021
  • chanzo cha kifo cha TB JOSHUA ni utata mtupu Kuna mengi mazito ya kutisha sana
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / joseskills_
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricodmedia
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodmedia
    #TbJoshua
    #Rip
    #TbjoshuaDearth

ความคิดเห็น • 175

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

    KIFO CHA TB JOSHUA Manabii Wakubwa WASHEREKEA KIFO CHAKE Wagoma kumzika FREEMASON WAHUSIKA
    th-cam.com/video/_0TKmQYqfMQ/w-d-xo.html

    • @joyokumu6791
      @joyokumu6791 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunasubiria tu ya prophet Owuor wa Kenya. Good work.👏👏👏

    • @rebeccachikuru7605
      @rebeccachikuru7605 3 ปีที่แล้ว

      kwanini kushuudiya wongo?

    • @Patience.67
      @Patience.67 ปีที่แล้ว

      Tulete story ya kifo cha mtoto wa davido

    • @Patience.67
      @Patience.67 ปีที่แล้ว

      @@joyokumu6791 yeah kabisa na manabii wa kenya

  • @dorcasseruhere6875
    @dorcasseruhere6875 3 ปีที่แล้ว +2

    RIP TB Joshua
    Nothing to say. May God bless u. May God bless your family. Amen

  • @queenieessie7721
    @queenieessie7721 3 ปีที่แล้ว +10

    Aya yesu walimkataa tu so yy c maajabu watu kumpga vita.. Rip tb joshua

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 3 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu . Hakika Mwenyezi Mungu yuko na wewe huko ulipo mbinguni!!! Mwenyezi Mungu yuko Ana kupigania haki zako ….😭😭😭

  • @margaridaagostinhoacaciona3656
    @margaridaagostinhoacaciona3656 5 หลายเดือนก่อน

    Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kuwa mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokuaa na Shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni dini ya haki alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaa lilaahi wainaaa ilaaaahi raaajuuuhn poleni sana wakristo huyo ni fremanso mshirikinaa sana na huyo ni sawa sawa na mnyama

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว +4

    TB Joshua, is my pastor,hata Yesu mwenyewe alipingwa.

    • @preciouslissahparis1352
      @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว

      Si kweli,kwamba Nana amempa nguvu,Tb Joshua, kwani huyu ni muujiza tangu kuzaliwa,.

    • @kimgong7112
      @kimgong7112 3 ปีที่แล้ว

      TB Joshua na nguvu zake ambazo zilimdhuru,mahali pema peponi,uwezi kujipema mahali pawili na ukavishinda vyote

    • @miriammworia1297
      @miriammworia1297 3 ปีที่แล้ว +1

      Aende zake.alikuwa anatumia nguvu za giza huyo.kanisa lake,kanisani lake kanisani analijua?Ni kusanyiko lake.kanisa Ni la aliyeumba mbingu na nchi.

    • @preciouslissahparis1352
      @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว

      @@miriammworia1297 kama una uhakika na unachoongea,ulithibitisha kwa macho yako sio kusikia.Mungu aliyemuumba akulinde.ILa km ulisikia watu,mitandao au chanzo chochote,bila kuona kwa macho,au bila kukufanyia chochote umeamua tu,kuamini kupitia kusikia MUNGU akuchungulie kutoka mbinguni.

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 3 ปีที่แล้ว +4

    Tuletee muendelezo bhana. Kuhusu iyo vita ya ulimwengu wa roho. Pamoja na uyo mtaalam bonsam tujue nn hasa kimetokea. 🙏

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Nakuja nayo kiundani maana nimeona nimsifie kidogo kabla ya kuelezea mabaya hahahaha

  • @dannderi8150
    @dannderi8150 3 ปีที่แล้ว +7

    Wakenya nipeeni like😢😢pastor nganga ako aje?

  • @denisdizo9776
    @denisdizo9776 3 ปีที่แล้ว +11

    Kwenye Dunia ya kiroho kuna nguvu 2 tu, mwanga vs giza namaanisha MUNGU na mashetani

  • @zacharynyambu7340
    @zacharynyambu7340 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you for your analysis.

  • @ashuraissa7160
    @ashuraissa7160 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka, watu wanaongea vibaya jamani eeeh duniaaaaa mungu tusaidie kwakweli

  • @agandiGimasi-gh7ee
    @agandiGimasi-gh7ee 5 หลายเดือนก่อน

    My God have mercy upon us

  • @khanakwasarahlydia2190
    @khanakwasarahlydia2190 2 ปีที่แล้ว

    ASante sana for this infomation

  • @allansk1035
    @allansk1035 2 ปีที่แล้ว

    asante sana jose kwa kutupa hizi informatiom

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 3 ปีที่แล้ว +5

    Mchawi wa Ghana hakusema alimpa nguvu T B Joshua. Kumbuka Mtume Paulo naye hakujitibu. Ingawa alimlalamikia Mungu autoe hui mwiba. T B Joshua aliitwa na Mungu arudi nyimbani.
    Watch and Pray ni Neno lililoko ndani ya Biblia alituwachia Yesu . Kukesha na kuombs. Kristo..

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว +3

    TB JOSHUA kamaluza kazi iliyomleta duniani hayo mengine ni mbwembwe tu!!!

  • @francisrichard5033
    @francisrichard5033 3 ปีที่แล้ว +7

    Watch and pray maana yake ni kesheni mkiomba na sio (aangalia alafu uombe)

  • @rebeccachikuru7605
    @rebeccachikuru7605 3 ปีที่แล้ว +1

    ni kawaida mtu kugonjwa TB josua ni mtu atakama mungu alimutumikisha sana. naamini Mungu alimuita ili asi chafuk na uchawi na kazi za dunia njomana Mungu alimupeleka mbiyo

  • @omees32.
    @omees32. 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sanaaa. Duh. Ctor hii inatisha. Kwa hivyo yaonekana kifo chake sio cha kawaida

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndiye aliyejua kuzaliwa ndio pia alijua sk ya kuaga dunia jina la Bwana libarikiwe.

  • @LeocadiaMatinde
    @LeocadiaMatinde หลายเดือนก่อน

    Power

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 3 ปีที่แล้ว +3

    RIP TB Joshua😭💛💖😭

  • @azizbashir
    @azizbashir 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi toka LINI najisii ikafanya miujiza huyu MTU Ni manipulated NDIYO Maharashtra YESU AKASEMA ukiona kunguru wengi ujue kuna mzoga duniani WATU wengi wanahangamia KWA kukosa maharifaa

  • @daphnedaphne1512
    @daphnedaphne1512 3 ปีที่แล้ว +7

    I'm in shock, very sad, l will surely miss TB joshua.

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli alikua mtu mzuri sanaa

  • @oswaldacleofas2803
    @oswaldacleofas2803 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana brother jose,,umeichambua vizur watu ambao watakuwa seriously weka utaratibu wa drop number group liendelee

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani sanaaaa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Tayari group nimesha fungua nicheki Watsap +255713728986 karibu sanaaa

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal... 🤝👍👍👍

  • @murwanezacharlotte749
    @murwanezacharlotte749 3 ปีที่แล้ว +2

    😘😘😘😘

  • @eliapendamsangi792
    @eliapendamsangi792 3 ปีที่แล้ว +5

    Rest in peace TB Joshua.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali kaka

  • @donaldsassa7532
    @donaldsassa7532 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa taarifa! Ila tumia vema neno 'weza' kwa usahihi. Kuweza kufa ni kosa. Sahihi ni alikufa. Siyo aliweza kuona bali Aliona. Ona na salí siyo ona na kuweza kusali .

    • @mwanabucheyeki226
      @mwanabucheyeki226 3 ปีที่แล้ว

      Kweli wewe mtaalam wa Lugha ya Kiswahili. mf. Aliweza kutoa ushuhuda (alitoa ushuhuda)

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Nashkuru sana nimekuelewa ntaifanyia kazi

  • @israelwisdompower9856
    @israelwisdompower9856 3 ปีที่แล้ว +2

    Huwezi kuupiga ufalme wa giza ukiwa kwenye ufalme huo huo kama mnahitaji ufafanuzi nitafuteni Bwana Yesu alisema huwezi kuingia kwenye nyumba ya mtu mwenye nguvu usipomfunga kwanza

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @festuschunya7067
      @festuschunya7067 3 ปีที่แล้ว

      Weka andiko hilo bayana

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa wanaomsifia TB Joshua wakati alikua mfuasi wa Shetani alikua under Marine kingdom

  • @mucci_AI
    @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว +2

    Lets goo

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hatimae mwana mpotevu umeonekana hahaha

  • @reginanelly4492
    @reginanelly4492 3 ปีที่แล้ว +3

    Endelea kituelimisha, Mungu akulinde Sana.🙏

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Aminaaaa nashkuru sana

  • @johnoyoko2281
    @johnoyoko2281 3 ปีที่แล้ว +3

    Only God can judge, these Tanzanian claiming to know everything yet they are village champions so sad

  • @ashuraissa7160
    @ashuraissa7160 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka nilingoja hii sana kaka, all the way from Uk

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe wa MUNGU ni mfupi na umenyooka vizuri ktk maisha yetu wanadamu nao unasema
    "KILA NAFSI YENYE MWILI ITAYAONJA MAUTI"
    Na pia ZABURI Ya 82 Imekaa na kusimama vizuri Kutusaidia wanadamu

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 3 ปีที่แล้ว +1

    Just watch & play.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +4

    Nilikusubiriya kwahamu kubwa na Jana mutoto wa tb Joshua kajifunguwa sikuya birthday ya babayake kumekuchaaaa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisaaa inabidi nije nayo hiyo mapema

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia nakunatariki iliyototolewa ya kifochake kama kombe brayani

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivi huyu Mrumishi asipigwe vita kwa nini? Kama mtangulizi wake Yesu Christo alivokataliwa nae ni lazima. Unyo!, wwe c Mungu na bado unaishi hujui Mungu aneza kuinua kma TB alafu yale unayasma kW TB sasa ukaxmwa wwe

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 ปีที่แล้ว

    I'm Continuing To Know Much About Tb Joshua

  • @marianyalusi259
    @marianyalusi259 9 หลายเดือนก่อน

    Mchawi hawezi kumshinda mtumishi wa mungu tuamini kuwa kwa mungu wote tutarudi

  • @zaidanmwalingo5485
    @zaidanmwalingo5485 2 ปีที่แล้ว +1

    Watch and pray maana yake kesheni mkiomba,

  • @minicooper9642
    @minicooper9642 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaka

  • @mand6029
    @mand6029 3 ปีที่แล้ว +3

    jose skill nilikuwa na subiri sana kwa shauku kujuwa ukweli , maana you tuber wengi siwaamini , nakuamini ww daima kwa ukisemacho , maana unaongea kwa reference sana

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaaaaaaaaaa

  • @jasonmunyua2393
    @jasonmunyua2393 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanti

  • @kshdbzjnxksksw6567
    @kshdbzjnxksksw6567 3 ปีที่แล้ว +3

    Astaghfirullah

  • @abuumakamba887
    @abuumakamba887 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip tb joshua

  • @lamaachipanga7810
    @lamaachipanga7810 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace tb joshua

  • @zaidanmwalingo5485
    @zaidanmwalingo5485 2 ปีที่แล้ว

    Tb Joshua hajaugua, tupe chanzo Cha habari kwamba aliugua, Tujitathmini sisi tuliohai yeye ameumaliza mwendo salama,

  • @thomaslonusamuel5766
    @thomaslonusamuel5766 3 ปีที่แล้ว +7

    Nilikuwa nasubiria kwahamu saaaaana 🇨🇩🇿🇦

  • @khadijalewish4514
    @khadijalewish4514 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni nabii wa ukweli

  • @yohanasamwel1539
    @yohanasamwel1539 3 ปีที่แล้ว

    Xaw

  • @fidfid8938
    @fidfid8938 3 ปีที่แล้ว +1

    Imekaa poa

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P.

  • @savavibes
    @savavibes 3 ปีที่แล้ว +2

    Ielezee issue ya Bushiri na huyo mganga mwenye nguvu wa Ghana

  • @joycekathambi3072
    @joycekathambi3072 3 ปีที่แล้ว +3

    There's a reason behind everything

  • @marianaggidori2250
    @marianaggidori2250 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayo yote ni ya uongo mi siamini ila namwachia Mungu

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka 🙏🙏 nilikua naisubili kwa hamu kwer hii stori

  • @aminakm2009
    @aminakm2009 3 ปีที่แล้ว +6

    Na mm kwenye groupe la WhatsApp 👍🏾

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Sawa ntafanya hivyo wiki hii ntalifungua ntakujulisha pia

  • @filbertshoo8304
    @filbertshoo8304 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja let me know kama kutakua na grop I’m so curious about this things..plz

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Tayari group nimesha fungua nicheki Watsap +255713728986

  • @jonijoni8218
    @jonijoni8218 ปีที่แล้ว

    U

  • @queenwere1
    @queenwere1 3 ปีที่แล้ว +3

    It's true that everyone uses Afrikan spirituality to succeed as they tell us to continue praying

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha kweli kabisaaaaa

  • @shebybruce4718
    @shebybruce4718 3 ปีที่แล้ว +2

    Malizia stor ya bruce lee

  • @trinahansi5265
    @trinahansi5265 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama angekua anamtumikia mungu wa kweli wasingeweza kuumua ila alikua anawatumia nguvu za giza

    • @jacksonnzai1593
      @jacksonnzai1593 3 ปีที่แล้ว +1

      Wwe c Mungu avoid sana ku judge

    • @jaquefrancis2388
      @jaquefrancis2388 3 ปีที่แล้ว

      @@jacksonnzai1593 everyone is entitled to his or her own opinion... he didn't judge said what is after listening this video.

    • @jacksonnzai1593
      @jacksonnzai1593 3 ปีที่แล้ว

      Yupi mwenye alitumia nguvu za giza?

    • @sircharisma1595
      @sircharisma1595 3 ปีที่แล้ว +1

      Aliuliwa na nani?? These are all speculations

    • @simonikalinga8883
      @simonikalinga8883 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo mitume akina Stefano akina petro hawakuwa watumishi

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanampinga wao wamefanya nini? Wanamuonea wivu

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha kweli kabisaas

    • @labanmotaroki5889
      @labanmotaroki5889 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni ukweli kwani wao wamefanya nini ....? Tb joshua alianza na Mungu kutoka tumboni mwa mama yake , kalelewa na shida mungu kamchalia mema maishani sina la kusema mimi pali angalia neno lake la mwisho kwa waumini ama kwa waombezi ( watch and pray ) ili lina maana sana kwetu. Kuliko kuskia Mambo maovu ya masengenyo Omba na mungu wetu atatufunulia ukweli. Kristo yupo all will be done.

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 3 ปีที่แล้ว +4

    Wee hawuajua yote, kweri kama unatafuta miujiza utaenda kwake, arakini kama unatafuta Mungu wa ukweri hautasema kama ari kua na Mungu wa ukweri, arikua na miyungu sio Mungu wa ukweri, ninaamini yare naasema, Mungu wa ukweri akusaidie akufungue maco uwone ukweri kote, namie nirikua mwaminifu wawo arakini Mungu akaniokoa, namushukuru Yesu kristo mwenye nguvu ya kuriko ya uwo Tb, Mungu ni mwema.

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 ปีที่แล้ว

      Watu wa Rohoni hutambulikana kwa mambo ya Rohoni na mtu wa mwilini hutambulikana kwa mambo ya mwilini. Pia neno linasema tutawatambua kwa matendo yao.
      Turudi kuangalia maisha na utumishi wa nabii TB Joshua wapi alipofanya kinyume na maagizo ya Mungu. Amewapenda na kuwasaidia wahitaji, ameponya na kuwafungua wagonjwa na waliofunzwa na nguvu za giza, amefundisha neno la Mungu kwa mataifa kwa media na kwa kwenda physically, amefanya ishara, ajabu na miujiza isiyo na mashaka, amewafariji wenye huzuni na mashaka.
      Kawaida ya kazi ya Mungu kila hatua mpya ya ufunuo huwa kuna upinzani kwa kuwa ni jambo jipya limetokea lkn pia ufalme wa giza hushindana kwa njia za kubeba uongo na uzushi juu na mtumishi anaepewa mafunuo na Mungu.
      Inafaa kutambua kuwa Mungu kupitia Yesu alitarifu kuwa atakuja Msaidizi ambae ni Roho mtakatifu.
      Huyu Roho Mtakatifu ni nguvu na uwezo na anafanya kazi kupitia mtu yeyote anaeona anafaa, anaweza, anastahili, anastahimili, ana bidii, mtii, mnyenyekevu, mvumilivu, msomaji na mnenaji wa Neno.
      Yesu alipokuja duniani kulikuwa na dini ya mafarisayo, masadukayo nk. Walimwamini Mungu lkn matendo yao yalikuwa ya mwilini. Ujio wa Yesu na kazi zake waliupinga na kwa uhalisia ndio waliohusika na kifo chake kwa lengo la kukomesha mafundisho yake yaliyopokelewa kwa dhati na kasi kwa kuwa injili iliambatana na miujiza, ajabu na ishara tofauti ya mafarisayo waliokuwa wanahubiri lkn matendo yao hayakuthibitika.
      Pia tukumbuke Yesu alipokuwa anawaaga wanafunzi alisema kuwa wanaweza kufanya Mambo makubwa kuliko yeye mwenyewe km imani itakuwa thabiti.Biblia ktk
      Yohana 21:25 inaeleza kuwa alichofanya Yesu ni Mambo machache sana yaliyoandikwa. Kwa maana hiyo wanayoyafanya kina TB Joshua pia manabii na mitume wengine ndio hayo mradi anaefanya hayo matendo yake yanamshuhudia na mafundisho yake hayafiki mahali pa kuelekeza kumwamini Mungu mwingine nje ya jina la Yesu.
      Shetani ni muongo mdanganyaji, muuaji, mtesaji, mwizi,nk.
      Anapoona Roho Mtakatifu anajifunua kwa nguvu nyingine huanza kuharibu mpango kupitia kwa watumishi wasio na mafunuo na wapinga Kristo na wala wake ibilisi.
      Matokeo ya mafundisho na matendo ya mtumishi ndio kipimo cha mtumishi wa Mungu na sio miujiza mikubwa au midogo.
      Katika 1Korintho sura 12 utajifunza kitu.
      Tatizo la kanisa( mwili wa Kristo) linapingana kupitia huduma na karama. Sijui linakataa hicho.....nk.
      Huduma tano katika kanisa zikifundishwa vyema kanisa litajitambua na hakutakuwa na hii hali ya kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe, mchungaji na nabii, mchungaji na mtume, mwalimu na mwinjilisti nk. Kila moja ya huduma ina kazi yake katika mwili wa Kristo ambao ni kanisa.
      Binafsi naamini TB Joshua alikuwa mtumishi wa Mungu wa viwango vya juu sana katika kipindi hiki cha kanisa ulimwenguni.
      Tusomeni neno na kulifundisha bila kulichakachua kwa misingi ya maslahi.
      Iko hukumu mbele yetu Wala tusifanye tu ushabiki wa kushabikia kiongozi au kanisa lako.
      Mbarikiwe na tupige vita ili kumaliza mwendo salama, TB kamaliza kazi.

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 2 ปีที่แล้ว

      @@epafrangweshemi4014 Alianza na Mungu lakin akumaliza naye....skiza testmony zaidi Tb Joshua yuko kuzimu na makanisa mengine yaliyo pata nguvu kwa Joshua yako hatarin...Pili watumishi wasisitize wanawak wasijipambe wala kuvaa suruali....

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 5 หลายเดือนก่อน

      Mwache Mtumishi wa Mungu apumzike kwa Amani

  • @queenieessie7721
    @queenieessie7721 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah bushiri kumbe🤔

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Cheki video ya mganga kwaku bonsam ndio utaipata vizuri story ya bushiri ni nomaaaaa

  • @lameckdjuma6864
    @lameckdjuma6864 3 ปีที่แล้ว

    Nauliza kwa hakuna ma Shaih wenye walisha Fanya maarifa ama wenye wanatumika na guvu za kiruho mutweleze sana sana nasikiya ma pasta wa padri sasa ma Shaih ni vipi

  • @prophetemanuelpaul6151
    @prophetemanuelpaul6151 3 ปีที่แล้ว

    Sitaki kuamini chochote kinyume na nilivyo mfahamu!
    Kama alikua mgonjwa ni sawa tu
    Lakini naamini kazi ameimaliza

  • @nimrodnoeelmeena2395
    @nimrodnoeelmeena2395 3 ปีที่แล้ว

    O8

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 3 ปีที่แล้ว +1

    Boss naweza kupata namba yako kuna vitu nahitaji tuzungumze

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hamna noma kaka nicheki Watsap kwa namba hii +255713728986

  • @khadijalewish4514
    @khadijalewish4514 3 ปีที่แล้ว

    mtapingana na yy but lastly mtamkua upande wa shetani wstu wakuenda kuzimu ni wengi lakini mbinguni ni wachache,,wachungaji walimpinga juu ya imani yake ya kweli na hao wachungaji wengine ni washetani

  • @stanlychishimba2729
    @stanlychishimba2729 3 ปีที่แล้ว

    Hao wore walimtusi tb joshwa,ni wafrimason sababu watu wagiza hawapatani na nuru,Bible inasema musihukumu wao wamukumu tb,mungu awasamehe

  • @Randm-
    @Randm- 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndio kila kitu.. kila mtu ana guess tu. 🙄

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 3 ปีที่แล้ว +2

      Inategemea n mung gan unamuabud.... kun mung mt n mung wa kwel asieonakn n kutofann n kit chchte kile 🤜🤛🙌🙌

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaa

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 3 ปีที่แล้ว +1

    ana branch usa na uk what are you talking about

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 3 ปีที่แล้ว

    Lkn hajatabiri kifo chake mwenyewe,si uongo huo.

  • @bryterbizzy5372
    @bryterbizzy5372 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeisubili kwa ham

  • @justinkoko2890
    @justinkoko2890 2 ปีที่แล้ว

    Tupe makalayote brother plz

  • @joyokumu6791
    @joyokumu6791 3 ปีที่แล้ว

    Mbona katabiri uongo??? Ilihali ajiita nabii wa Mungu

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว

    Kwani kuna vifo vya Siri?. Wewe huwezi kutueleza chochote maana sisi tujua yote kabla yako.

  • @aleezgene4572
    @aleezgene4572 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunamtaka BONSAM

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Nimeshamleta tayari story yake kali sana kaicheki nadhani sijakuangusha hahaha

  • @bensonmwangi1815
    @bensonmwangi1815 3 ปีที่แล้ว +2

    Nataka kunjiunga na chama nani anaweza niunganisha

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha nenda kwa Nana kwaku bonsam Facebook utaona mawasiliano yake ushindwe wewe

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @timonmsuya3389
    @timonmsuya3389 3 ปีที่แล้ว +2

    Watsap niungee chap

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Tayari group nimesha fungua nicheki Watsap +255713728986

  • @incredibledanceteam8425
    @incredibledanceteam8425 3 ปีที่แล้ว +3

    Twambie kama tb Joshua alikuwa kwenye system

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha unataka nifungwe haya mambo tutaongea zaidi kwenye group

  • @trinahansi5265
    @trinahansi5265 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila bongo ndio alichemsha alisema atashinda lowasa

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว

      Wate walio tabiliwa na wakashinda niwale ambao wako kwenye sistim ila walio tabikiwa na na kufeli nikwamba hawakuwa kwenye hiyo sistim yao na kwa upande wa jemedari wetu jpm alimtegemea zaid MUNGU na ndoma alimvusha hata pale watu hawakuzan kama itawezekana

    • @nurunuru8072
      @nurunuru8072 3 ปีที่แล้ว

      Lowasa aliibwa kura

    • @alafsakisinda4886
      @alafsakisinda4886 3 ปีที่แล้ว +2

      Uchaguzi tz sio wa huru na haki, kama ingekuwa niwa huru na haki sidhani kama ccm ingekuwa madarakani Leo hii.

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 3 ปีที่แล้ว

      Kkkkkkkkkkkk

    • @marianaggidori2250
      @marianaggidori2250 3 ปีที่แล้ว +1

      Lowasa alishinda sana Tena kwa Kura nyingi uko hapo msimtuhumu mtumishi wa Mungu mwendo ameshamaliza Yuko kwa Baba mnahangaika Nini jamani Rest in peace TB JOSHUA

  • @incredibledanceteam8425
    @incredibledanceteam8425 3 ปีที่แล้ว +1

    Jose twende

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Pamoja sanaaaaaaaaaa

  • @queenieessie7721
    @queenieessie7721 3 ปีที่แล้ว +2

    Hao pasta wote wana deal na mtu mmoja ghai😂😂😂😂

    • @preciouslissahparis1352
      @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว

      Wachawi hawa,

    • @queenieessie7721
      @queenieessie7721 3 ปีที่แล้ว

      @@preciouslissahparis1352 kwakweli mbna wanachukia mtu mmoja ata yesu alifanyika the same so wapambane na hali yao 😂😂😂🚲🚲🚲

    • @pennystang6065
      @pennystang6065 3 ปีที่แล้ว

      huwezi kuwa na stroke na ukiwa hivi uogo

  • @mand6029
    @mand6029 3 ปีที่แล้ว +1

    twashukuru kuiachia hii clip ya chanzo cha kifo cha mjamaa,

  • @haikha-vn8sb
    @haikha-vn8sb 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupe stor ya huyo bossom

    • @agathamsaki5942
      @agathamsaki5942 3 ปีที่แล้ว

      Niweke wasp

    • @munguakulipekilalakherisch8240
      @munguakulipekilalakherisch8240 3 ปีที่แล้ว

      Mbona hakutabili kifo chake?

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Story ya bonsam tayari nimeshaiweka nadhani ntakua sijakuangusha hahaha

    • @haikha-vn8sb
      @haikha-vn8sb 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia Daah huyu Jamaa yaonekana ndio upeana miujiza kwa wachungaji wote..asante kwa kaz yako

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 3 ปีที่แล้ว +1

    Eli nile robo ya nyama ilio nona kuliko kula kilo kumi zanyama ambayo ningofa

  • @alineuwizeye674
    @alineuwizeye674 3 ปีที่แล้ว +1

    Vita kati ya TB Joshua Na bonsam

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Basi hii ndio itakua ya kwanza kuielezea vizuriiiiii

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Nimeshaiweka inatisha sana hiyo video

  • @zacharynyambu7340
    @zacharynyambu7340 3 ปีที่แล้ว

    Thank you for your analysis.

  • @shd12m55
    @shd12m55 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante brother japo tunakukumbusha siris yetu ya bruce lee bado tunakudai

  • @savavibes
    @savavibes 3 ปีที่แล้ว +2

    Ielezee issue ya Bushiri na huyo mganga mwenye nguvu wa Ghana

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Nimeshaiweka tayari kaicheki nadhani ntakua sijakuangushaaaa