Thank you Jesus. Help us to understand and respect you our Lord. The seminar is so powerful for our spiritual and physical lives, make us understand you our Lord Jesus Christ. Be blessed for delivering this holy message to us.
NIMEJIULIZA SANA KUHUAU MSISHA YANGU,NIMEKOSEA WAPI.BALI NASHUKURU MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE KUANZIA SEMINA YA ARUSHA, MOSHI , NA HII YA DAR ZINANITIA MOYO KWAMBA NAENDA KUFUNGUKA,MIMI NA UZAO WANGU.ASANTE MUNGU.USIYESHINDWA.
Ni kweli Mwl hatuko peke yetu,hata nikisoma habari za Yesu kwenye Yoh 18,wale watu walivyotokea wakarudi nyuma na kuanguka,Yesu alepojitambulisha,swali langu ni nguvu gani iliwaangusha chini?
Hapana, hamna soft copy. Mimi niko mbali, ilibidi mtu ajenavyo anapo enda Tanzania. Na niko inje ya Tanzania. Kwa hiyo tafuta mtu ambaye yuko Tanzania, Dar au Arusha.
Nguvu ya kiristo iumbike ndani ya Moyo na nafsi yangu na Kila kitu changu iumbike ndani yangu Amen
Mungu naomba neema Yako Mungu inisaidie na iniondolee Kila udhaifu wa kumuweka mtu moyoni na niachilie kabisa na sitaki kabisaaa
Kila jiwe lililopo mbele yangu Kwa ufufuo Kwa nguvu ya msalaba yatole we Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen
Naomba neema ya Mungu inisimamie Kwa ajili ya kuondoa Kila zuio la mbele yangu Amen
Mungu naomba nguvu zako na neema yako ya kupambana vita vya KIROHO
Mungu naomba neema ya uhodari na ushujaa ili niniweze kupambana na vita vya kiroho Amen
Mungu nipe nguvu ya ufufuo ndani Moyo Wangu na nafsi Yangu Amen
Mungu anisaidie kwenye maombi ya jumamosi nami niweze kuolewa mwaka huu
Mungu akubariki sana mutumishi
Naomba nguvu ya ufufuo ya kupata mume sahihi
Asante Mungu kwa neno lako ambalo limekuja kwangu kwa wakati🙏Asante kwa uponyaji wa mwanangu
Kila roho za nyoka zinazonifatilia me na mwanangu naomba zife na ziteketee Leo na zife sasaivi Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen
Napokea uweza, napokea nguvu, ukuu wa neema kwenye maisha yangu.
MUNGU naomba niponye moyo wangu
Bwana ameniita ninasonga mbele navuka mto napenda yordani me
Mungu anaendelea kufufua nguvu ndani yetu
Amen Glory to God
Dada ubarikiwe na Sauti yako
Mungu nibariki
Tuache kulalamika tupeleke hoja mbele zaMungu🙏🙏🙏
Halleluyah, blessed from Kenya, NAIROBI
Naomba kufahamu seminar inayofuata ni tarehe ngapi naomba kufahamu
Chochote kisicho cha ki Mungu ktk maisha yangu na iwe mwsho Leo .
Thank you Jesus. Help us to understand and respect you our Lord. The seminar is so powerful for our spiritual and physical lives, make us understand you our Lord Jesus Christ. Be blessed for delivering this holy message to us.
Amina amina na amina 🤲🏽
Amen...
Nabarikiw sana na wewe mtumishi
We ask for forgiveness from you our Lord over all the spiritual weaknesses we have as humankind. Forgive us.
Iyooo iyooo karivari
Karibu sana kawe uwanja wa Tanganyika packers kesho ndo inaisha karibu sana kuanzia saa tisa alasiri
Kwa hiyo na leo ipo?
Amen.God bless You abundantly Mwalimu na Mama Mwakasege we wea blessed by the seminar 🙌🇹🇿
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Eee yesu tuhurumiie
Mungu naomba unitue hii mzigo nliyofungwa fungua nyota angu iwe kung,aa kila niendapo
God is great
Neno la kufaa Kwa majira haya ❤
❤❤
Amen amen
Yesu ni mwema sifa zake njema
AMINA
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
NIMEJIULIZA SANA KUHUAU MSISHA YANGU,NIMEKOSEA WAPI.BALI NASHUKURU MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE KUANZIA SEMINA YA ARUSHA, MOSHI , NA HII YA DAR ZINANITIA MOYO KWAMBA NAENDA KUFUNGUKA,MIMI NA UZAO WANGU.ASANTE MUNGU.USIYESHINDWA.
Waefeso 1 :17-19
👏👏👏👏
Bwana asifiwe Mimi naomba niombewe nimeota nimengolewa meno Leo na sijui ndoto Ina maana Gani naomba msaada wa maombi
Ni kweli Mwl hatuko peke yetu,hata nikisoma habari za Yesu kwenye Yoh 18,wale watu walivyotokea wakarudi nyuma na kuanguka,Yesu alepojitambulisha,swali langu ni nguvu gani iliwaangusha chini?
MUNGU NI MWAMINIFU,ANAFUNGUA YALE MASWALI YETU KUPITIA MTUMISHI WAKE,MUNGU AMTUNZE NA AENDELEE KUMTUMIA.
Ameen 🙏
Mm nipo mbeya uyole nataka kuoa k k k t usharika wa uyole
Ukweli nilikuwa napita kwenye blonde la uvuli la mauti, ila hiki kipindi kilinivusha sana sana, na Sasa namtukuza MUNGU.
Shalom! Je kitabu cha kuombea akili kinapatikana katika soft copy ili wa mbali tukipate pia?
Hapana, hamna soft copy. Mimi niko mbali, ilibidi mtu ajenavyo anapo enda Tanzania. Na niko inje ya Tanzania. Kwa hiyo tafuta mtu ambaye yuko Tanzania, Dar au Arusha.
Jamani hyo semina ipo maeneo gani hapa dar? Nijuzeni
Iko kawe Tanganyika pekars
@@marygibu4572hapo ndo huwa anatolea huduma kila mala Yani ndo kanisalake lipo?
@@marygibu4572 me ni mgeni dar natmani kuwa mshiriki wa hapo
Viwanja vya kawe
Tuache kulalamika tupeleke hoja mbele zaMungu🙏🙏🙏
Amen
Ameeen
👏👏👏👏
Amen
Ameen
Ameeeeeeeen