Prince Katega Ajibu Maswali mazito Kuhusu dini za kiafrika kalenda ya waroma Mungu wa wapagani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2020
  • Prince Katega Ajibu Maswali mazito Kuhusu imani ya wa afrika kalenda ya waroma Mungu wa wapagani
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #PriceKatega
    #historia
    #mwafrika

ความคิดเห็น • 115

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Sharif Majini: Wajue MAJINI WABAYA ZAIDI wenye UWEZO WA wanaosambaza MAGONJWA kichawi
    th-cam.com/video/0VBEcbvB0rg/w-d-xo.html

  • @dumasbajun0012
    @dumasbajun0012 ปีที่แล้ว

    Asante sana Prince Katega kwa uwepo wako najihisi kama nimezaliwa upya kwa ukweli ninao upata kwako na Mulungu Akubariki akujaalie umri wrefu wenye hikma na afya na baraka

  • @josephmoyo5617
    @josephmoyo5617 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mr. Katega

  • @peasanteconomy9961
    @peasanteconomy9961 4 ปีที่แล้ว +3

    The lessons i learn here are amazing am a Kenyan and everything in Africa is relative

  • @cizaanod6096
    @cizaanod6096 3 ปีที่แล้ว +1

    You are the best Son of the African's King

  • @omosh2023
    @omosh2023 4 ปีที่แล้ว +6

    Napenda sana mafundisho yako Prince Katega. Niko huku +254

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 4 ปีที่แล้ว +1

      Naam,jack Richard nawe taja jina lako la asili Mimi pia Niko njiani kubatizwa kwa jina langu la asili tofauti na jina nililonalo kwa Sasa.

    • @omosh2023
      @omosh2023 4 ปีที่แล้ว

      @@kakawamashariki8978 Jina langu linalotambuliwa na mizimu yetu ni Omondi

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว +4

    Amani ya MUNGU (ALLAH) IWE NANYI!!! Mm naitwa MUSTAFA(KIONGOZI MFATWA) YAHYA RUNIGANGWA KANIGE CHOTO MUZIMA. Ni mwaafrika kiimani ni mwislamu na najivunia!!! Hakika nabarikiwa sana na masomo yako umeifanya nijitabue hakika!!! Mungu(ALLAH) katuambia ametuumba mataifa na makabila tofauti mbora kati yetu ni mchamungu!! .Na kwenye mafundisho yetu tunafahamu utukufu wa mwaafrika!!! Waafrika wengi wametajwa mazuri na matukufu yao kwenye quran na suna(Hafidhi za mtume)hivyo nina mengi ya kueleza ila leo niishie hapa!! Hakika niko na wewe katika jitambue Afrika!!!

  • @ntabashwaamos2816
    @ntabashwaamos2816 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Ewe mwana mfalme naishi nchini Rwanda laki nakufuata sana katika maongezi yako yamenijenga sana ila uwezo kukufikiabmdio sina..lakini Niko begani.mwako

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atakusaidia km una nia hiyo

  • @sephaniehb9933
    @sephaniehb9933 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana mungu akubariki

  • @edmundykusena9728
    @edmundykusena9728 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera prince Katega2 kwa masomo mazuri

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais wetu MH. Maghufuli hili somo najua analipenda sana na atakuwa na uwezo wakudai haki zetu waafrika.

  • @banzisteven5358
    @banzisteven5358 4 ปีที่แล้ว +1

    Katega umri wa kuishi ni mfupi sana. Harakati zako nazikubali na natamani siku moja ndoto zako zitimie. Lkn je umeandaa vip kuwapanga vijana watakaorithi kazi yako.

  • @minyekobondo9307
    @minyekobondo9307 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii imekaa vizuri sna,karibia tunajikomboa sasa

  • @emmanuelofficialtz7333
    @emmanuelofficialtz7333 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah asante mh.prince katega wa 2 sisi nabii tunamwita umlote, turudi kwenye misingi ya kiafrika tumrudie Mungu wetu

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana,huyo umlote ni wa kabila gani

  • @gyankisanga6790
    @gyankisanga6790 4 ปีที่แล้ว +2

    Katega2 Big up ..Father

  • @thamanimusictarakea2747
    @thamanimusictarakea2747 4 ปีที่แล้ว

    safi sana baba tunakuelewa nakuchanganya na baba mmoja anaitwa baba wa uzao wa mungu baba yupo daresalam kanisa halisi la mungu baba anafundisha clear kuhusu kujitambua kama wewe nafikiri mmetumwa na mungu mmoja

  • @charlescharles5057
    @charlescharles5057 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana prince wetu tupo naww katka kuuinua ukuu wa mwafrika

  • @enockcheruiyot5919
    @enockcheruiyot5919 2 ปีที่แล้ว

    Wow ! Mafunzo mazuri hayo,nimejifunza mengi

  • @giantechnology1160
    @giantechnology1160 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mzee wangu umeelewa sana

  • @juliusmagaga1588
    @juliusmagaga1588 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali Sanaa mzee Nipo makin kukusikiliza

  • @Etienne.1010
    @Etienne.1010 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana fundisho lako natena nakubaliana nawewe kbsa nakufatilia nikiwa BURUNDI

  • @vascobenedict488
    @vascobenedict488 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupa vilivyo mzee wangu Katega yaani nimekua mjanja kwa kujitambua na kujua ukuu wa mwaafrica

  • @wangash6144
    @wangash6144 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndio Maana tunaomba Mungu wa Ugenini Wanabarikiwa wao

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @biblenakoranmatuhuhu9904
    @biblenakoranmatuhuhu9904 3 ปีที่แล้ว +1

    Michael _ Defence Ministries
    Raphael_ Health Ministries
    Gabriel_ Information and Transport
    Josphiel _ Justice
    Panuel na wengine wengi na pia wanawasaidizi

  • @deogratiassugira3136
    @deogratiassugira3136 4 ปีที่แล้ว +3

    Nami pia nipo Rwanda nafuata hayo mazungumzo yenu ni mazuri,huyo muhaya anasema kweli nasi piya tulikuwa nasema mandwa,mungu tulikuwa namuita rurema,mana ya ryangombe.

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 3 ปีที่แล้ว

    Uncle mpaka Huku Norwey tunakufatilia❤️ Asante sana

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 3 ปีที่แล้ว +1

    Prince katega Mimi nina kubalianawe asilimia 💯 kweli unachozungumza wa Africa lazima tu fungue akili zetu na Mambo ya nyota unayosema nikweli kabisa

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba

  • @nshimirimanaemmanuel7883
    @nshimirimanaemmanuel7883 4 ปีที่แล้ว

    Nakpenda sana .unatufunga hakiri zeto.kwasababu tunasambalatishwa na uongo tulipea na wazungu .nilipata kuskiza baruwa ya Mfalume Leopord II ilikuwa (1883 kabra ya waulaa kugawana Afrika bila kutuuliza) akiwambia wa misionari kwamba hawakuji Afrika ktuhubili nikutudanganya.kwa Ivyo Wafrika tunafa kurudia mila zetu.

  • @tresorlusolo8916
    @tresorlusolo8916 4 ปีที่แล้ว

    Uko Sawa kabisa 😁😁😁😁👍👍👍historia ya Africa inapaswa kuandikwa na wa Africa wenyewe

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 ปีที่แล้ว

    we mzigua Mungu kwa kizigua ni mlungu,BWANA YESU=zumbe yesu

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 4 ปีที่แล้ว +8

    Waafrika tuamke jamani

  • @messedavis905
    @messedavis905 2 ปีที่แล้ว

    Prince Katega uko vizuri sana

  • @mohammedmshiraz75
    @mohammedmshiraz75 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Afrika one day tutalud kwenye uhalisia wetu

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 ปีที่แล้ว

    God ni ***GOLD ***OIL***AND DIAMOND***ndiyo resources tulizo nazo ikageuzwa tukadanganywa ni MUNGU

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏

  • @shijamayala8127
    @shijamayala8127 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa

  • @milicahbahler5664
    @milicahbahler5664 3 ปีที่แล้ว

    Prince katega2.asande sana Nduku.majibu ya Toto zangu

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 ปีที่แล้ว

    ***Hao walikuja na mfumo wa Divide and Rule****

  • @mohammedmshiraz75
    @mohammedmshiraz75 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 ปีที่แล้ว +2

    Ssa tunakuwaje wakristo tena
    Wakat tunazo namna zetu!!

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 4 ปีที่แล้ว +4

    KWANINI USITOE MAANDIKO YA MBANDA UNATOA YA YESU,TUMIA KITABU CHA MBANDA MZEE

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 4 ปีที่แล้ว

    Elimu hii ni ya muhimu sana, wapewe kipau mbele.

  • @makavellimakavelli830
    @makavellimakavelli830 4 ปีที่แล้ว

    Asante baba prince katega wa II

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 ปีที่แล้ว +2

    Wafipa tunaita Leza

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 4 ปีที่แล้ว +1

    Iko pw

  • @hamadtv609
    @hamadtv609 4 ปีที่แล้ว

    Unashabikia sana wazungu ndo maan unapenda sana kuongea kizungu

  • @wangash6144
    @wangash6144 4 ปีที่แล้ว

    Mababu walikuw sawa maana wangeenda kumuomb Mungu Mvua hawangerudi nyumbani Bila Ngai Mwene Nyaga

  • @cghmarcb6563
    @cghmarcb6563 3 ปีที่แล้ว

    WaAfrika bado wengi tupo kwa usingizi mzito wa kiakili

  • @tatanyarusareruya9700
    @tatanyarusareruya9700 4 ปีที่แล้ว +3

    Acheni wazungu wapumue, ni ujinga wa mababu zetu, ndo umetufikisha hapa

    • @johnlazarowanzage2356
      @johnlazarowanzage2356 4 ปีที่แล้ว

      Sawa mkuu basi nawe chukua hatua nawe wajukuu zako wasije kulaumu

    • @leahj4418
      @leahj4418 4 ปีที่แล้ว

      Anasema anataka tuishi kama sisi waafrika ila asilimia 60 anatumia kiingereza je huu ni ukweli

    • @pythagorasgibson3305
      @pythagorasgibson3305 2 ปีที่แล้ว

      Kujifunza lugha si kigezo ,kigezo ni kujikomboa kifikra mbona tunawachina wanazungumza kiswahil

  • @gaspermganga8900
    @gaspermganga8900 3 ปีที่แล้ว +1

    How can I get your contact?😊

  • @freetravelsagents3768
    @freetravelsagents3768 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo hivyo walikuwa wanabudu malaika kama Mungu hivyo ni kweli walikuwa wanabaudu miungu.

  • @cizaanod6096
    @cizaanod6096 3 ปีที่แล้ว

    Ukuloni in mbaya sana ni wa akili,endelea na kazi nzuri

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli libarikiwe tumbo lililokuzaa kuja kutukomboa kifikra

    • @ukoa2020
      @ukoa2020 3 ปีที่แล้ว

      asante sana

  • @kisakamangachi4768
    @kisakamangachi4768 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji vitabu vya ukombozi wa fikra.

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 4 ปีที่แล้ว +3

    Manabii wasukuma tunawaita bhahangi

  • @ncamanzaanicet9439
    @ncamanzaanicet9439 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshiwa Prince katega II
    Niko pamoja na wewe katika safari ya kujitambua.Nilitamani kuongea na wewe face to face

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Unaweza kukutana nae ingia kwenye hii link atakupa utaratibu prince katega show group
      chat.whatsapp.com/ENrtr3OOtCJKrQBQniYT3m

  • @mansamusatv623
    @mansamusatv623 3 ปีที่แล้ว

    Amani ya Mungu ( IMANA)iwe nanyi Mimi naitwa Innocent Ntunzwenimana nimependa nizungumuzie swala yakiimani za mababu zetu , je imani yao nitufauti nayaleo? Inatofautiyana kivii?

  • @roycashchiborhinokenya
    @roycashchiborhinokenya ปีที่แล้ว

    Nakufata katenga

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 ปีที่แล้ว

    Anagalia wakatiliaki wasije kukuuwa hawapendi ukweli uliodhahir

  • @cnm2976
    @cnm2976 ปีที่แล้ว

    Azania Front hakuna msalaba* hata baada ya kukarabatiwa miaka ya hivi karibuni?

  • @husbandofyourcreator9201
    @husbandofyourcreator9201 4 ปีที่แล้ว +3

    Swali language ni moja kama tulikuwa na mungu kwann tulitawaliwa bibi zetu wakabakwa mababu wakafungwa minyololo pia kwann tukafanya kaz kwa fimbo hatunahuhuru hata wakuoa yaan mzungu alikuwa anambaka mkeo nawwe unaangalia tna unalazimishwa kufurahi pia watoto wa babu zetu ndo walikuwa mtego wa mamba minaona kuna mawili aiza hii storia iliandikwa na mzungu tumuogope au tulikuwa machizi tu tunaabudu wafu nasio mungu mmoja hii ndo ilikuwa sababu ya wazungu kututawala kwani ukiamini wafu unakuwa unasubili maajabu ila ukiamini mungu wa mzungu na mungu wako nisawa unakuwa we we ndo maajabu 😇

    • @banzisteven5358
      @banzisteven5358 4 ปีที่แล้ว +2

      Walifanikiwa kufanya hayo yote kwa sababu. Tayari mababu zetu walishaanza kutoka kwenye asili yetu.

    • @denisjolwa844
      @denisjolwa844 3 ปีที่แล้ว

      Banzi Steven hapana kuna kosa kubwa sana tulifanya

    • @princebuganzilut2047
      @princebuganzilut2047 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni moja. Tunasahau sadaka na zaka yunazotoa ni batili. Ukienda kwa Mganga unatoa kama ulivyo ambiwa kanisani nako sikuhizi tumefeli. Kama wazee wetu walivyo feli wakati wa ujio wa ukoloni

  • @frankhulile9650
    @frankhulile9650 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu me nakushauli Tengeneza group la WhatsApp zen utakuwa unaeleweza vzr kama hilivyo,itakuwa umetusaidia sana

  • @cizaanod6096
    @cizaanod6096 3 ปีที่แล้ว

    Anzisheni dini yetu sasa

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 4 ปีที่แล้ว

    Hapo tulipigwa changà la macho

  • @NGOMELEY
    @NGOMELEY ปีที่แล้ว

    Nimependa sana nipo na wewe nitajitahidi nikutafute

  • @davidcorne6769
    @davidcorne6769 4 ปีที่แล้ว +2

    prince katega ii, likiwa jina la mtume muhamad sio la kisilam kabla ya mtume muhamad lilikuepo?

  • @cizaanod6096
    @cizaanod6096 3 ปีที่แล้ว

    Kama ujerumani,wingereza...sana dini zao kwa nini tusianzishe dini yetu?

  • @peasanteconomy9961
    @peasanteconomy9961 4 ปีที่แล้ว

    Hii korona ikiisha naeza tamani kukutana naye Katega...

  • @leahj4418
    @leahj4418 4 ปีที่แล้ว

    This was made by... Ni lugha ya afrika toka mwanzo mengine uko sawa ila kuna mengine sijaelewa kwanini unayatumia

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 4 ปีที่แล้ว

    Mjomba pale uliposema wewe mwafrika mukiristo umenichangangaya, kwanza umekana ukristo, halafu tena unasema tena wewe ni mkristo!!Mimi ni mmasai, sisi tunayo mfumo mzima wa kimaisha tangia siku ya kuzaliwa mpaka kufa. Hizi dini zenu hatuna habari.

  • @eusebionaungu7718
    @eusebionaungu7718 4 ปีที่แล้ว

    Sio unsumbiji ni moçambique

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanyika sisi watu wasio wanyika tunaita makandi

  • @nasahazetu2575
    @nasahazetu2575 4 ปีที่แล้ว

    Tuamke afrika

  • @mohdhaji4258
    @mohdhaji4258 4 ปีที่แล้ว

    Uhakika Mungu yupo, na tunakubali kua kila watu walipelekewa mtume wao, lakini pia jambo lisilopingika kwa mtazamo huu kua mungu huyu alowatumia kila watu mitume yao ili wamjue mungu ipasavyo pia anauezo wa kumtuma mtume ili watu wote ulimwenguni wawe na mfumo mmoja wa kumuabudu yeye, bila ya kujali taifa, kabila, rangi hata lugha. Tukizingatia sisi tunaishi kipindi cha utandawazi, na hata tukirudi nyuma kwa mfano kipindi cha mtume (s.a.w) ilikua tayari mtandao wa kibiashara wa kuzunguuka dunia nzima ushaanza, na uislamu uliingia mwanzo Ethiopia( Africa) kabla hufika madina ambayo ilikua karibu sana na Makka ( mji uarabuni) alipozaliwa mtume huyu..
    Kwaio mungu uezo wake haupimwi na kufanana na chochote na anafanya atakalo na kakuna atakae eka kikomo cha uezo wake ..

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 4 ปีที่แล้ว

    Nina swali abu tupatie picha alisi ya YESU

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว

    Kuna watu walikua wanaishi ktk hali ya unyama kuna watu walikua wanakulana nyama inamaana hawa walikua hawamjui MUNGU, hii inaonesha sio watu wote walikua wanamjua MUNGU...
    Na swala la kalenda ni ajenda ya shetani kubadirisha nyakati kama Daniel alivyotabiri katika biblia

  • @hilarymbowe7336
    @hilarymbowe7336 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka tricod ntawwzaje kupata nafasi ya kushiriki hii darasa kaka

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Kiongozi nashkuru sana unaweza kuingia kwenye hili group kupitia hii link huko ndio kuna utaratibu wote kaka prince katega show group
      chat.whatsapp.com/ENrtr3OOtCJKrQBQniYT3m

    • @fortdasfidell8862
      @fortdasfidell8862 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana mzee

    • @benedictalexander7942
      @benedictalexander7942 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia
      Ben

  • @wanjiruharriet9787
    @wanjiruharriet9787 4 ปีที่แล้ว

    Cucu yangu alikuwa , kama hanjakuyua chai , maji , anamwagia kindogo ware wa hapo mbere , ni mbaya siku hizi ?

  • @jastinichopa9167
    @jastinichopa9167 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kikaguru mtu ambaye sio kabila letu tunamuita dimembe

  • @abdallahsaid7177
    @abdallahsaid7177 2 ปีที่แล้ว

    Swali langu, nani kawaiteni waafrika?

  • @samnira59
    @samnira59 4 ปีที่แล้ว

    Muinto bem nukuri iki kiganiro kiranshika kunyota

  • @gaudencemwakibibi8225
    @gaudencemwakibibi8225 4 ปีที่แล้ว +1

    Ana maelezo mazuri na hivyo ni kwasababu ni mtu msomi na mfuatiliaji wa mambo lakini anatakiwa akubali kuwa Mababu zetu na hadi sasa mwafrika anatawaliwa na nguvu za miungu. Yaani hao anaosema malaika na mawaziri imejifanyiza kuwa ni miungu na tunajua ukweli kuhusu hili. Ili mwafrika akombolewe kifikra inahitajika kujitoa na miunganiko hiyo ya miungu/mizimu!

    • @deogratiassugira3136
      @deogratiassugira3136 4 ปีที่แล้ว

      Sasa nami Nina jiuliza kwanini walitufundisha kumjua Mungu alafu Kwa siku hizi wamemgeukia shetani, si ndio wa free manson illuminati 666 hesabu ya Pope Francis.

  • @jastinichopa9167
    @jastinichopa9167 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kikaguru manabii tunawaita wagonesi

  • @leahj4418
    @leahj4418 4 ปีที่แล้ว

    Prince nafuta ibaki katega

  • @cizaanod6096
    @cizaanod6096 3 ปีที่แล้ว

    Komera wewe uri umuganwa w'ukuri

  • @Etienne.1010
    @Etienne.1010 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana fundisho lako natena nakubaliana nawewe kbsa nakufatilia nikiwa BURUNDI

  • @willymaulidi3991
    @willymaulidi3991 4 ปีที่แล้ว

    Katega, wafunze hao waafrika,,kama ni miungu na wao walikuwa nayo

  • @davidcorne6769
    @davidcorne6769 4 ปีที่แล้ว +2

    prince katega ii, likiwa jina la mtume muhamad sio la kisilam kabla ya mtume muhamad lilikuepo?

    • @geraldnyamaiswe570
      @geraldnyamaiswe570 4 ปีที่แล้ว

      Jina hilo lilikuwapo,kwani kabla ya Mohamed kuzaliwa Waarabu walikuwepo na walikuwa na majina yao

    • @davidcorne6769
      @davidcorne6769 4 ปีที่แล้ว

      @@geraldnyamaiswe570 na jeee jila la yohana batizaji??

    • @suleimanali8317
      @suleimanali8317 4 ปีที่แล้ว

      @@davidcorne6769 jina la Yohana mbatizaji halikuwepo,baba aliagizwa na Mungu amwite jina hilo