MTOTO WA MIAKA 13 ALIVYONUSURIKA KUZAMA NA MELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2020
  • simulizi yenye kuhuzunisha,ni siku ambayo siwezi kuisahau,nilikaa kwenye bahari usiku kucha.

ความคิดเห็น • 141

  • @omarkali7712
    @omarkali7712 2 ปีที่แล้ว +31

    Naitwa Omar Kombo Ali ni miongoni mwa wahanga wa ajali ya mv. Spice islanders 1, na mm ndio mtu wa mwisho kuokolewa, niliokolewa na meli ya mv, Serengeti majira ya saa 8 za mchana ya tarehe 10, nikiwa naogelea tu bila kujuwa naelekea wp, alhamdulillah Allah ni wa pekee kabisa tunapaswa kumshukuru kwa kila jambo, Allah awalaze mahali pema peponi wale wote waliotangiulia mbele ya haki, na cc tulipona Allah atupe maisha marefu yenye kheri na cc

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah awalaze NDUGU zetu peponi ishalla awajaliye makabur yao yawe bustan ktk mabustan za pepon 😭💖

  • @khairatally7733
    @khairatally7733 3 ปีที่แล้ว +10

    So sad wallahy😪.. Allah awahifadh kwa Hilo na jengine in Shaa Allah 🤲 na awasameh na awalaze mahala pema peponi kwa wote waliotangulia Aaamiin

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 ปีที่แล้ว +4

    Inaumiza sana naumia mno kila nikisikia haya yaliyotokea tuombe mungu kila tutokapo atushikilie na kuzilinda nafsi zetu na kila tunaporudi tukumbuke kumshukuru muumba wetu Amina na anatushindia kila magumu tunayoyapitia.

  • @ghanimaali4507
    @ghanimaali4507 2 ปีที่แล้ว +5

    stori inaskitisha sana ila mtangazaji hafai hujui hta kuuliza shida tupu

  • @ahluljazira2259
    @ahluljazira2259 2 ปีที่แล้ว +4

    Hilo ni janga kubwa sana subhanallah inashinda ile ya titanic Allah awasameh yaliyowapita awajaalie jannat firdaws iwe makazi Yao Amin ya Rabb

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 2 ปีที่แล้ว +10

    So sad 😭😭😭😭 but Allah Qariiim 🙏😭 mungu awarehmu maiti wetu walio tangulia

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaah...kwa kweli inauma sana nilimpoteza rafki yangu kipenz na jirani yangu Innalillahi wainnaailahi raajiuun raajiuun...Allah awasameh wote waliopoteza maisha ktk hii siku...

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 ปีที่แล้ว +9

    Hii siku inaniliza sana haikuwa Muna familia yangu ila familia za wenzangu ni zangu pia kwasababu cjui kesho yngu na historiya ya Ashrak inazidi kunikumbusha mbali ila Mungu mkubwa sana na anauwezo 😭😭😭

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah..pole sana Endelea kumshukur mungu ..waliotangulia Mungu awarehemu

  • @aminaabdulla8829
    @aminaabdulla8829 2 ปีที่แล้ว +5

    Kazi ya mungu haina makosa sote safari yetu moja mungu awape subra amiin

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +4

    So Sad Allah awarehemu wote walio poteza maisha AMIN AMIN AMIN

  • @abdulfattaah4510
    @abdulfattaah4510 ปีที่แล้ว +2

    الغريق شهيد والحريق شهيد أسال الله أن يرحم أمواتنا جميعا يارب انت أرحم بعباده انت أرحم بنا ليس لنا رب سواك فندعوه وليس لنا رب سواك فنرجوه

  • @moudboss2030
    @moudboss2030 2 ปีที่แล้ว +7

    Cd ya Matukio yote nimetoka kuitazama leo 😭😭😭 Roho inaniuma.

  • @gharybabdulla8495
    @gharybabdulla8495 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah awarehem na awasameh wote tulowapoteza,pole sana brother

  • @maqboulal-barwani2506
    @maqboulal-barwani2506 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillahi

  • @pandemictv7345
    @pandemictv7345 2 ปีที่แล้ว +2

    alhamdulillah nlisafiri mwanzo kabla ya tukio ila nahuzunika nlipoteza rafiki zangu wawili

  • @mbarackawadh3756
    @mbarackawadh3756 3 ปีที่แล้ว +2

    wow tupoe woteee😭😭sema nn big up classmates big up sillah big up shia big up smediaz .... 2gether sanaa

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 ปีที่แล้ว +4

    Subhana Allah! Inaskitisha sana mji ulijiinamia ni huzuni tu kwa kweli alhamdulillah kwa wote waliokoka.

  • @zahororashid239
    @zahororashid239 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah poleni Sanaa Allah awafanyie wepec