Mawimbi ya Nungwi hatari: Hapa nilipoteza watoto 11 / Meli ndogo hazipiti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2019
  • Wakati unatoka Unguja kwenda Pemba lazima upite sehemu iitwayo Nungwi. Eneo hili ilinaogopwa na kila abiria kutokana na kuwa na mawimbi makubwa ambayo yanaweza kuiyumbisha meli. Pia eneo hili zimewahi kutokea ajali kama MV Spice ambayo ilisababisha vifo vya watu 200 na majeruhi 600.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 22

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 10 หลายเดือนก่อน

    Sio zanzibar kuelekea pemba, usahihi munatokea Unguja kuelekea pemba, zanzibar ni visiwa viwili vya Unguja na pemba

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

    hii sehemu ni ngumu na lazima meli ziwe kubwa ibaki rehema za Mungu

  • @jonsongabriel937
    @jonsongabriel937 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti mbaya

  • @mashallahoman6355
    @mashallahoman6355 5 ปีที่แล้ว +2

    subuanallah allah awanusuru na mutihani ya dhuruba rahmabaharih

    • @brettorion5659
      @brettorion5659 3 ปีที่แล้ว

      I know I'm quite randomly asking but does anyone know a good place to watch new series online?

    • @rohankylan8375
      @rohankylan8375 3 ปีที่แล้ว

      @Brett Orion lately I have been using Flixzone. You can find it by googling :)

    • @rabiajuma8292
      @rabiajuma8292 3 ปีที่แล้ว

      Nimekumiss kwetu love u pemba

  • @mwajabuabdallah3544
    @mwajabuabdallah3544 ปีที่แล้ว

    Mmh mungu atusaidie jmn

  • @abdulswamad-dp8gu
    @abdulswamad-dp8gu 3 หลายเดือนก่อน

    Sio boti hiyo ni meli uliza kwa wahisika ukitoa habari zako ziwe za usahihi 😅

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatari duu sasa mi siwezi hata kuyashika maji mi nimoga wa ndege meli

  • @faridikaji5201
    @faridikaji5201 5 ปีที่แล้ว +1

    hatari sana

  • @hijatumbo8709
    @hijatumbo8709 2 ปีที่แล้ว

    Jifunze jinsi ya kuhoji maswali

  • @mohamedhamedseifelsawafi8309
    @mohamedhamedseifelsawafi8309 2 ปีที่แล้ว

    Haelewi maji makali huyo mtangazaji

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 ปีที่แล้ว +1

    sio masaa nane nikama masaa kama ma 5 mpaka 6 tu ushafika

    • @bihterziyagil3821
      @bihterziyagil3821 3 ปีที่แล้ว

      Hashuolo masaa 5? Ww ushawahi kuipanda ilo dude

    • @omarymohamed4021
      @omarymohamed4021 3 ปีที่แล้ว

      Masaa 8 yanafika au zaid

    • @omarymohamed4021
      @omarymohamed4021 3 ปีที่แล้ว

      Na kipind kigumu cha safar kipind cha mvua na upepo ni balaa

    • @hairathussein1118
      @hairathussein1118 2 ปีที่แล้ว

      Mimi nilipoenda pemba nimekaa kwenye maji masaa 9 sasa we anosema masaa 5 sijui chombo gani tena mkoani masaa 9 ila wete tisa na nusu juu

    • @saidabdullah8623
      @saidabdullah8623 2 ปีที่แล้ว

      Inategemea na meli na hali ya hewa kuna siku nishapanda sealink masaa manne na nusu tu tumefika pemba