MBANGA: MAISHA YANACHOSHA/ ULAYA LAZIMA/ NIMEAMUA HIVYO/ UJAMBAZI, MAPENZI/ NILIPAGAWA/ NINAPAMBANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #safari #baharia #dupamdupange

ความคิดเห็น • 74

  • @dar24media
    @dar24media  ปีที่แล้ว +5

    kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na jumatano, saa nne kamili asubuhi kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kwa namba..#0653127761

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 ปีที่แล้ว

      Can send me his number please,am from 🇰🇪 kenya,,,dude is fuckin OG homeboy

  • @benjaminorondo8494
    @benjaminorondo8494 ปีที่แล้ว +5

    Bro nimekuwa nikifatilia sana kuanzia episode ya kwanza mpaka hii ya leo its really inspiration experience. Watching from Bahrain.

  • @user-jq6tu4cf9t
    @user-jq6tu4cf9t ปีที่แล้ว +3

    Aka Bachuchu Mombasa 001
    🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥

  • @damaslusinde9786
    @damaslusinde9786 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nina umri WA miaka 63 Ila Kijana nimempenda anajieleza vizuri sana na ni mkweli ana kipaji cha kujieleza nahisi ana kitu Ila hajajijua bado, sijawahi comment hata siku moja kwenye mtandao

  • @vasmotz
    @vasmotz ปีที่แล้ว +1

    Niko France namfatilia sana toka kipindi cha kwanza. Nikija bongo nataka nionane nae nitakuwa na zawadi zake. Huyu mwamba nam kubali sana mzee wa jogoo🙌🏾🙌🏾

  • @wapesahdavydoh2415
    @wapesahdavydoh2415 ปีที่แล้ว +1

    Amekubalika sana balozi big up from +254🇰🇪

  • @gabrielTz5
    @gabrielTz5 ปีที่แล้ว +2

    Daah Balozi, Amani Temba, Frank Kachema Jimmy doddy zamani sanaaaa Kila la heri nikija lazima nikuone balozi

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว +3

    Kwahiyo amepata demu mwenzenu nilikua namumendea hatari ila ndio ivyo sio bahati yangu 😔😔😔

  • @allykackoyi9195
    @allykackoyi9195 ปีที่แล้ว +1

    Mbanga balozi nimempenda leo mara ya kwanza kumsikia nipo USA Virginia ❤

  • @mahamedcadey7695
    @mahamedcadey7695 ปีที่แล้ว +4

    Msomali wa kwanza kufuatilia kipindi yenye mafunzo heshima kwenu wazee

  • @magulupaul-us8uv
    @magulupaul-us8uv ปีที่แล้ว +3

    Aaaah! Baharia banaa😂😂, mwalimu wa physics, Chemia na english😅😅😅

  • @keitatv9219
    @keitatv9219 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 kama nilivyo kuwa ulaya kufumba macho kufumbua Niko kipawa mzee Yuko real sanaaa

  • @alhajitawakal6063
    @alhajitawakal6063 ปีที่แล้ว

    Appreciate maniga kabinyau inspiration reality you talk straight 💯 since day one will meet you deserve salute

  • @mtafutajiog1939
    @mtafutajiog1939 ปีที่แล้ว +1

    KAMANDA ANAONGEA FAKTI SANA NAMKUBALI MNO BIG UP KWAKE

  • @rahimajuma4633
    @rahimajuma4633 ปีที่แล้ว +1

    Mzee baba Mzee wakudonyoa respect kwako direct from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 ปีที่แล้ว

    Balozi Malima 💪💪💪 anaonekana ni mtu wa watu sana kwasababu kila mtu anaepita anamsalimia, yuko poa sana.

  • @yahyamwadini8546
    @yahyamwadini8546 ปีที่แล้ว +1

    mwambie balozi nakuja mwenzi 8 kutoka uk brighton naomba namba zake

  • @mussamayawa817
    @mussamayawa817 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali bahalia mikoroshin moja home boy chaupepo mast

  • @abdulazizbrek4980
    @abdulazizbrek4980 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kabanyau...inspiration

  • @mwaka43
    @mwaka43 ปีที่แล้ว

    Safi sana!!

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth ปีที่แล้ว

    Respect bro

  • @user-ex6ij5qf3f
    @user-ex6ij5qf3f ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa vizuri

  • @TryphonT.vinanda
    @TryphonT.vinanda ปีที่แล้ว

    Respect Sana kakaaaa balozi weninouma nakubali Sana duva

  • @user-vj2tu3dm4b
    @user-vj2tu3dm4b ปีที่แล้ว

    Big up baharia

  • @ETIGALILIGWILE
    @ETIGALILIGWILE ปีที่แล้ว

    Balozi upo vizuri nafatiria sana kipindi mm nipo cape town ,south africa ,Etgali

  • @mwaka43
    @mwaka43 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @user-qc8rc5co6q
    @user-qc8rc5co6q ปีที่แล้ว +2

    Huyo jamaa anafaa sana kuekt movie hiv ajafikilia hilo

  • @user-vr6hz5jd5x
    @user-vr6hz5jd5x 9 หลายเดือนก่อน

    Dah!big namkubali sanaaaa..
    .

  • @khamishamadi8461
    @khamishamadi8461 ปีที่แล้ว

    Balozi big up ❤

  • @hateemmerj6020
    @hateemmerj6020 ปีที่แล้ว +1

    Straight from qatar malima.babu yangu huyo

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk ปีที่แล้ว

    Salute mzee baba Balozi

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว +1

    Mkenya amezikubali cutting za muhuni

  • @magulupaul-us8uv
    @magulupaul-us8uv ปีที่แล้ว +1

    Dupamdupanga ishi na wana wa soba watupe mbanga zao piaa

  • @edrickdominick7774
    @edrickdominick7774 ปีที่แล้ว

    Nai enjoy sana nikimsikiliza barozi

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 ปีที่แล้ว +1

    Oyaaa Baria tunakukubali mwenetu mzee wa kokoriko

  • @mrishoidd8920
    @mrishoidd8920 ปีที่แล้ว

    Nakupata dupa mdupange kutoka ugahibuni 😂😂😂 na enjoy sana nasikilia hadi usinginzi unaisha

  • @khamishamadi8461
    @khamishamadi8461 ปีที่แล้ว

    🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

  • @user-oo6zi5rl8v
    @user-oo6zi5rl8v ปีที่แล้ว +1

    Madam aisha 😅😅😅😅😅😅

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Saf sana ikopoa

  • @mazruyonlinetv2423
    @mazruyonlinetv2423 ปีที่แล้ว

    Safi sn balozi.

  • @royalmbwana
    @royalmbwana ปีที่แล้ว

    Nimemuona balozi nikafurahi hana baya 💯

  • @orym4447
    @orym4447 ปีที่แล้ว +2

    Balozi kama vipi naomba namba yako au e _mail yako. Please take this serious

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 ปีที่แล้ว +1

    ubwabwa mixer mbuni😃😃😃😃😃

  • @bakariabdallah8702
    @bakariabdallah8702 ปีที่แล้ว

    baaria balozi kapenya

  • @user-nd9eo2he9f
    @user-nd9eo2he9f ปีที่แล้ว

    Mzee wa koko liko😁

  • @zenanassor7118
    @zenanassor7118 ปีที่แล้ว

    Huyu atunge kitabu huku kweti huyu Dili saaana

  • @ngwegwenurdin4318
    @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

    Sure Dupa kamaDingo babu SA. Na Balozi ni Old Skull n' Hip Hop. +way of life. Yeah. Shutout to ma hommiez

    • @mwanaishasaleh8327
      @mwanaishasaleh8327 ปีที่แล้ว

      Big up madam Aysha for showing love 255 and 254 all d way from Kenya ..

  • @Mdau23
    @Mdau23 ปีที่แล้ว

    Kabinyau😂😂😂

  • @kiungokuntu7452
    @kiungokuntu7452 ปีที่แล้ว +2

    Ubwabwa mixer mbuni😀😀😀😀

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว

    Baharia si msela yuko reql

  • @abdulazizbrek4980
    @abdulazizbrek4980 ปีที่แล้ว

    Mbona leo haikuruka dupa

  • @oscarmatapila6937
    @oscarmatapila6937 ปีที่แล้ว

    punguza introduction

  • @azizamohd5728
    @azizamohd5728 ปีที่แล้ว

    Punguza introduction😅

  • @josemwana
    @josemwana ปีที่แล้ว

    Simpingi broo akwepeshi Mzee wa ruraaa

  • @amsolkembo4160
    @amsolkembo4160 ปีที่แล้ว +1

    Kabunyauuu

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 ปีที่แล้ว

    😁😁😁Mwalimu Aisha Wifi Yetu

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 ปีที่แล้ว

    Mchele jogoo

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 3 หลายเดือนก่อน

    Mwambieee arudiii kaburuuu ukoooo bongooo anajichoreshaaa tuuu atakua komedii tuuu bongooo uchawii jauuu rakeee rimekwishaaa bariaa woteee wakooo mbereee mapambanoo yanaendeeaaa bongooo uchawiii atagewaa kssss bureee ataporea

  • @RamlaJuma-rz3rl
    @RamlaJuma-rz3rl ปีที่แล้ว

    Hahahaha

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    BASI KIPINDI CHOTE CHA MBANGA,,,AWE ANAHOJIWA YEYE

  • @abdallahsaid5446
    @abdallahsaid5446 ปีที่แล้ว

    Mwamba balozi

  • @japanisyakuza8198
    @japanisyakuza8198 ปีที่แล้ว

    Mzee wa Kokorikoo 😂😂😂🐔🍗

  • @user-ex6ij5qf3f
    @user-ex6ij5qf3f ปีที่แล้ว

    mzee wa kokoriko unsatisfactory baba

  • @AllyRashid-um5in
    @AllyRashid-um5in ปีที่แล้ว

    Ebana mwna hana instagram account????

  • @AllyRashid-um5in
    @AllyRashid-um5in ปีที่แล้ว

    Ebana mshkaj ana instagram account????

  • @mazruyonlinetv2423
    @mazruyonlinetv2423 ปีที่แล้ว +1

    Nipo UK naangalia sn story zako.