ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

CHAVDA ALIYEFUKUZWA TANZANIA YUPO MASAKI 'ANAKULA MAISHA.' AIFUNGA SERIKALI MAGOLI 6-1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2023
  • Ni mfanyabiashara Vidyadhar Girdharlal Chavda aliyetimuliwa nchini mwaka 1996, kwamba hatakiwi kukanyaga ardhi ya Tanzania. Alirejea kijanja, yupo anakula maisha, na ana kibali cha ukazi daraja A, huku zuio lake halijaondolewa. Sikiliza.

ความคิดเห็น • 136

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 11 หลายเดือนก่อน +9

    Ndiyo utegemee maendeleo yaletwe na Serikali inayopelekeshwa na wageni!!! Mungu atusaidie kuiponya Tanzania yetu.

  • @Rugeyogwanko2023
    @Rugeyogwanko2023 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli inatisha, hongera sana.

  • @nestor384
    @nestor384 11 หลายเดือนก่อน +14

    Halafu mtu naye anawaza serikali hii ilete maendeleo.
    Hatari sana

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 11 หลายเดือนก่อน +1

      Rabda ile meli iko wapi mandeleo jamani huyu wengekuwa wao wahindi sasa ivi yuko jela ila sisi tunamfurahiya jitu SiO latanzania

  • @itmasterofficial
    @itmasterofficial 11 หลายเดือนก่อน +3

    You a'r so bright, nafuatilia presentation zako Mara kwa Mara, may God bless you.

  • @songombingo108
    @songombingo108 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nakumbuka Mwaka 1995 ilibaki kiduchu Mrema akamate nchi. Lakini Mwl. Nyerere Akaingilia Kati.

  • @user-oj3fq4pi2u
    @user-oj3fq4pi2u 11 หลายเดือนก่อน +13

    Ulosema mkuu, kama ni sahihi.Mkuu unatisha, ..nakuvulia kofia, kumbe tuna watu wanao uwezo mkubwa sana wa kuchunguza na kufuatilia mambo muhimu...Tunakuhitaji.

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 11 หลายเดือนก่อน +4

    SAFI KWA UZALENDO WAKO 🇹🇿 TANZANIA .

  • @Worldunite
    @Worldunite 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mafisadi siku zote wanaacha mashimo makubwa ambayo yanakuja kujazwa na wananchi masikini na wenye uchumi wa kati.
    Matokeo yake yanajengeka matabaka ktk jamii kati ya walio na wasio nacho, huku wapigaji hao wanakula bata na kuwaona watu km hawana akili

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atuokoe na hawa watawala wanaoingia mikataba mibovu inayotugharimu kila Leo hatuvuki. Hayo ni magoli 6 ya miaka 60 tunakufa masikini kwasababu ya wachache! Hii katiba ndio upenyo wa watawala wetu wabinafsi.

    • @samuelmuthui4699
      @samuelmuthui4699 10 หลายเดือนก่อน +1

      Aliingia Tanzania wakati wa utawala wa Mkapa...

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 11 หลายเดือนก่อน +4

    Serikali ya CCM hawana uwezo wa kufikiri mambo hapo ndipo uwezo wao wa kufikiri ulipofikia

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna watu wana nguvu sana kwenye nchi hii🙌🏿🙌🏿🙌🏿

    • @jdanny497
      @jdanny497 10 หลายเดือนก่อน

      Hadi inatisha aisee

  • @johnnykrantz1658
    @johnnykrantz1658 11 หลายเดือนก่อน +3

    If possible compile your documentaries or findings in a book.this is part of our history.

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ana nguvu sn ya kucheza na serekali zote izo zilopita aise hii nchi inataka maombi sn

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 11 หลายเดือนก่อน +7

    Tunasubiri ujumbe huu kwa bashasha, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.

    • @minaelkiangi-nq5kf
      @minaelkiangi-nq5kf 11 หลายเดือนก่อน +6

      Inchi haiko poa kabisa, maana wazawa ndio wanao nyanyaswa katika inchi yao tofauti na wageni . Inawezekana hao wageni ndio wenye hii ichi

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nasikia uchugu wao India ukifanya kitu kidogo tu wanakunyonga muafrica sisi mabarga fresh walah duu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Tundu lissu hata hana habari au anakula naye.Ahsante sana

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tangu enzi za Amiri Jamal wahindi waliteka uchumi wa nchi hii kwa biashara za ujanjaujanja,wengi wametajirikia kwetu wakahamia Canada, Uingereza,na India na leo bado wameshikilia ukurugenzi katika biashara na makampuni makubwa kwa mitaji ya wakubwa waliojifichia humo.

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nchi yangu..Mungu tusaidie kuwa na kumbukumbu ..

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +4

    Unaona ajabu ya Chavda au hongo yake .Ushangai wanachota mahela Serekalini na hakuna anaechukuliwa hatua ,Raisi mwenyewe anajua anatamka uwizi mkubwa Serekali lakini hachukui hatua yeyote yeye ni kulalamika tu kama sisi 😢utadhani hana mamlaka

    • @knight6757
      @knight6757 11 หลายเดือนก่อน

      👀

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania serekali ipo kwà ajili ya kunyanyasa watu maskini, sio kwà ajili ya kusimamia haki,

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 10 หลายเดือนก่อน +1

    Alikula hizo hela na vigogo, he very safe!

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz 10 หลายเดือนก่อน

    Endereeni kuishi mengi tuya juwe mungu zidi kutu weka waja wako tuji funze ongera mzee wangu 🙏🙏🙏🙏

  • @EdwinMeta-nh1vv
    @EdwinMeta-nh1vv 3 หลายเดือนก่อน

    "nji gani hii inakumbatia matajiri Tena wahindi? sasa nasema Mohamed enterprises akamatwe na afukuzwe njini, Chavda akamatwe anyang'anywe leseni ya biashara na afukuzwe njini! Pumzika Kwa amani Augustine Lyatonga Mrema, waziri wa mambo ya ndani enzi zile za sakata la mo na chavda

  • @ThomasIkerra
    @ThomasIkerra 10 หลายเดือนก่อน

    Haishangazi sana,ni nchi ya kufikirika hii.

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Nikweli chavda yupo na hata mali alizokuwanazo zikataifishwa alizirudisha lkn kwa njia nyengine sio chavda chavda anambiwa alikuwa wakala lakini sio muhusika amewapokonya mali zote

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 11 หลายเดือนก่อน

    Super intelligent or super rich. Kama hela anazo atafia na kuzikwa Tanzania. If you can't beat them join them. Mwacheni tu mzee huyo akiishiwa na hela atafukuzwa. Akiwa nazo atabaki.

  • @user-oj3fq4pi2u
    @user-oj3fq4pi2u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dah....alaaa bongo, wajanja wanapenya tuu

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 11 หลายเดือนก่อน +1

    Muchambuzi wakweli afilika safi

  • @georgeobute724
    @georgeobute724 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi kitu kikubwa viongozi wote mafisadi ili tanzania ijengwe inatakiwa tuwe na uamzi mgumu kunyonga viongozi wote walioingiza taifa ktk kashifa bila kufanya hivyo tutabaki masikini 5ufanye kama stal8n alivyo fanya urusi

    • @smarty1064
      @smarty1064 11 หลายเดือนก่อน +1

      Umeongea kizalendo sana

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 หลายเดือนก่อน

      Hatari! Danger 😮

    • @stanlymwizarubi8871
      @stanlymwizarubi8871 10 หลายเดือนก่อน

      Nimakosa kuomba mungu mafisadi wasiendelee kutawala, tutoe ujinga tuandamane. Bila ivyo tutakumbuka tumeshauzwa!! Gharama za Ali Ni damu kumwagika, (bila damu ya yesu kumwagika tusinge kombolewa) ukijitoa kwako Ni Eli tu

    • @georgeobute724
      @georgeobute724 10 หลายเดือนก่อน

      @@stanlymwizarubi8871 some afew days I was in German where I saw how people are really committed to develop there nation without corruption all people aeons equal income atthesame time no people who claim to be leaders loiting all national funds by being given allowance which are finishing the country plus an necessary trips of our constitutional president who think this country is a monarch imagine how so called mps what is the work if not clumping hands to support the consumption of national wealth

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wapumbavu ndio waliwao. Ufisadi uliokomaa.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 10 หลายเดือนก่อน +1

    "Persona non grata" kwa lugha ya kigeni.

  • @Hussein_Mustafa_Parmar
    @Hussein_Mustafa_Parmar 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chavda ni jina la Kihindu hivyo alikuwa Muhindi Mhindu. Na Azim Jamal, Waziri wa uchumi, zama za Nyerere, alikuwa Muhindi wa kundi la Agakhani Ismaili, na zama hizo za Rais Nyerere, wahindi wa Agakhani Ismaili ndio waliokuwa wameshika sehemu kubwa ya uchumi wa Tanzania. Miaka hizi Mashia wahindi Khoja Ithnasheri wameshika uchumi mkubwa wa Tanzania, watu kama Mo Dewji, Yusuf Manji, Fida Rashid, n.k, na wanafanya mengi na makubwa, na wanafanya watakalo, na katika wao kina Azim Dewji na Mo Dewji wanaingia ikulu na kufanya wanavyotaka, na ni watu hatari na wanaweza kumfunga mtu au kumuua maana katika wenye nguvu na usalama wa kawaida wanawatii na wanafadhili kila mahali kwa njia tofauti wakiwa tofauti katika hali tofauti

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 10 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi tanu sana aliezaliwa na kukulia au hata kuishi tu Tanzania hawezi ondoka kwenye nchi nyingine akawa na furaha na Raha kama akiwa tanzania

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Apewa uraia maalum kwa ufisaidi bora na kuwa mwaini bora wa karne 21 na tunu bora kutoka CCM CCM CCM

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wazaliwa wana nyimwa uraia, wageni wanapewa uraia na ndugu zao.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +2

    Shamba la Bibi

  • @LishaPasha
    @LishaPasha 11 หลายเดือนก่อน +6

    This is massive.
    Great piece of investigative journalism. Saafi sana.
    We are patiently waiting follow-up episode ya "majibu"...inshallah!
    Please do an extensive piece about Loliondo pia....thanks in advance.

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 10 หลายเดือนก่อน

    Ah! Kumbe tokea 1976 acha aendelee kuishi tu huwenda alisamehewa

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 11 หลายเดือนก่อน

    LAKINI mzee, Mrema alipanda ndege ya CHAVDA kukagua mashamba yake. Watu wakahisi amepewa kitu. Katika kesi HII MREMA hakuwa shujaa kama usemavyo!

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa na fedha utakwama wapi Kwa serikali hii ya mafisadi?

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu anezulumu kipawa oil com dare salamu eneo lote kachukuwa na anasema wskazi wa pale hawatambui

  • @user-cv2ke1ic6t
    @user-cv2ke1ic6t 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa taarifa hii tunayopewa kumhusu bwana Chavda ambae hatakiwi kuwepo hapa nchini kisheria kwani aliondolewa na serikali yttetu ama sivyo kama mahakama ilimwondolea agizo hilo au Rais alimpa msamaha vinginevyo uwepo wake ni kinyume cha sheria na mamlaka husika zimtafute akamatwe. Na kupelekwa mahakamani apewe adhabu na baadae aondolewe apelekwe kwao India.

    • @user-cv2ke1ic6t
      @user-cv2ke1ic6t 10 หลายเดือนก่อน

      Sheria ya nchi ipo wazi in black $ white, kama aliondolewa na baadae akarudi hilo ni kosa la jinai na kama mamlaka husika wanajua yupo na hamchukulii hatua ya kumkamata na kumpeleka mahakamani basi nao wamevunja sheria ya nchi na wahusika sheria ichukuliwe dhidi yaao, hakuna mtu aliye juu ya sheriawisho, nasisitiza kukua bwana Chavda akamatwe haraka sana na afikishwe mahakamani ili aadhibiwe kwa kkukiuka kukiuka sheria na baada ya adhabu yake arudishwe kwao(deportation) India point blank fullstop.

  • @shabanikavula1304
    @shabanikavula1304 10 หลายเดือนก่อน

    CHAVDA ALITOROKA AU aliamrishwa kutoka nchini?

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Chavda nimtu wa rushwa na amewadhibiti viongozi wengi wa ccm na serikali

  • @johnkwambaza8019
    @johnkwambaza8019 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mrema hakufukuzishwa kazi na Chavda, hoja ya kufukuzwa ilikuwa dhahiri ni baada ya yeye kuamua kukaa upande wa wabunge na kuanza kuishutumu serikali. Alikosa kucomply na uwajibikaji wa pamoja kwa kuwa hoja ilianzia kwenye cabinet na huko alikuwa na nafasi ya kutetea msimamo wako na hakuweza kuwashawishi mawaziri wenzake. Tukumbuke kwamba Mrema alikuwa anajiandaa kugombea urais na kwa nature ya CCM watu aina ya Mrema Huwa hawapewi nafasi na yeye alishasoma alama za nyakati. Chavda anaipenda Tanzania ndo maana anaminyana kuishi hapa. Ufisadi unaozungumzwa ni ule wa kukopeshwa fedha na serikali ili kufufua mashamba ya mkonge. Hii ndio ilikuwa hoja ya Mrema kwenye kampeni yake ya urais

    • @ulomirabiel6980
      @ulomirabiel6980 11 หลายเดือนก่อน +8

      Issue hapa mtu alishafukuzwa kwa amri ya serikali miaka mingi iliyopita bado yupo baada ya kurdish kinyemela. Jee vyombo vya serikali vinafanya nini. Kama serikali zetu zinashindwa jambo dogo kama hili zitaweza makubwa kama mkataba wa bandari? Aibu tupu.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe na mimi tunazungumza kitu kimoja kwa maneno tofauti.

    • @johnkwambaza8019
      @johnkwambaza8019 11 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@AnsbertNgurumosawa kabisa

    • @johnkwambaza8019
      @johnkwambaza8019 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@ulomirabiel6980sidhani Kama Chavda ni target ya state apparatus Kama tunavyoaminishwa

    • @Ngongongalimedia
      @Ngongongalimedia 11 หลายเดือนก่อน +1

      Pindua hoja kwa hoja na ushahindi Kama sk anavyofanya watu watakuelewa saaana

  • @jumamohamedy731
    @jumamohamedy731 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo tindu lisu nae ni matako tu

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi anamadini makubwa sana na mada zake ni zaukweli tupu

  • @alibalushi4691
    @alibalushi4691 11 หลายเดือนก่อน

    Haya mr. Ngurumo umeyakoroga bora uanza kunywa ww kwanza

  • @user-lx9oi1zh1d
    @user-lx9oi1zh1d 10 หลายเดือนก่อน +1

    UFISADI

  • @raymondmchuma1717
    @raymondmchuma1717 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwamba anaweza kuwekea Password ambayo inaweza isitoleqw hata na watalaam wa Israel,
    By the way nimekuvulia kofia wewe ni ni mwamba ina interagency ya Cuba

  • @mwanahamisimombeki6872
    @mwanahamisimombeki6872 11 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh mungu wangu.mlowezi analindwa hatari.hiii

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Hongo.Rushwa.😢

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Atakoka kwa duwa tuu ya Watanzania tuu 😂😂😂 chadema kazi hiyo

  • @cpn456
    @cpn456 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yatajibiwa lini Ngurumo?

  • @alibalushi4691
    @alibalushi4691 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie tumalize kwanza hawa waarabu na bandari halafu tuwatafute wahindi baadaye tuwaingilie wa chaga na mwisho tumalizane ss wenyewe.marehemu baba wa taifa alituonya tuepukane na hii balaa ambayo wengi hawaioni.

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 11 หลายเดือนก่อน

      Marehemu Baba wa taifa hakuzungumzia ubaguzi kwa watu wanaoliangamiza taifa. Elewa wewe.

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno yako dhahabu na serikal ifanye uchunguzi na chavya na watu anao dili nao mawakala wake wote wa mali zake

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 10 หลายเดือนก่อน

    Ccm na mahakama shida tupu
    Raia wazawa wanao ishi nje ya nchi hawakubaliwi kwenye nchi yao lakini fisadi hili ilnahaki zaidi ya wazawa
    Aibu ya serikari ya ccm

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyu anavitu vingi vya dhulma

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu Ngurumo, umesema mlienda uhamiaji kuulizia hayo unayohoji. Uhamiaji waliwapa majibu gani?

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 หลายเดือนก่อน

      Neno la mwisho katika sentensi ya mwisho la husika. Vita subira.

  • @johnnykrantz1658
    @johnnykrantz1658 11 หลายเดือนก่อน +1

    😢 Kazi yako iendelee,elimu inahitajika

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wale waliosema wameweka serikali mfukoni kwa vyovyote wapo watu waliomsaidia Chavda wasaliti Nyerere tu ndiyo aliyewaweza kwa kuwapga viboko

  • @myself4128
    @myself4128 11 หลายเดือนก่อน

    NASIKIA PIA GAVANA WA BOT 2008 Balali walidai alifia Marekani baada ya matuhuma Kuzidi lakini mwili wake haujawahi Kurudi Tanzania Nawasi wasi kama Alikufa au Ni Changa La Macho Tu!!! Nchi imeoza

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 หลายเดือนก่อน +1

    NIMEUPENDA WIMBO HUO 2. SWALA LA SHAVDA LINAHITAJI WATAALAM

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 10 หลายเดือนก่อน

    Huu ni kweli mtupu.huyu jamaa ana akili sana kanikumbusha mbali. Niombe vyombo vya usalama viingie kazini vimng'oe hili jambazi

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 11 หลายเดือนก่อน

    🙈😢😢😢😳🙈

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 11 หลายเดือนก่อน +3

    Alaa, kumbe. Mambo hayo yapo hapa hapa Tanzania?

    • @abdallahnkrumah6237
      @abdallahnkrumah6237 11 หลายเดือนก่อน

      Nani afungwe kengele😢

    • @alibalushi4691
      @alibalushi4691 11 หลายเดือนก่อน

      Muulizeni huyi ndugu aliyeanzisha hii mada

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 11 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii ina ujambazi mwingi msingi wa uovu huu ni ufisadi uliokithiri

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimrod ni mh. Tujiulize huyu mbunge alimteteaje mtu aliyeamriwa kuondoka...money talks..

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 หลายเดือนก่อน +1

      Nimrod Mkono ni marehemu sasa. Amefariki dunia mwaka huu.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Chavda aondoke😢

  • @zonko0488
    @zonko0488 9 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ya kuilalamikia serikali ifike wakati tuiache. Nani asiejua nchi haina serikali bali genge la wezi wasio hata na akili ya kuzaliwa. Swali linakuja sisi tunaolalamika tunafanya nini? Maneno mengi sana

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  9 หลายเดือนก่อน

      Tunapiga kelele. Ndio wajibu wetu mmojawapo.

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    CHADEMA wanamweza na wazee wa MBEZA wana mapinduzi kazi nyingine iyo Ngorongoro Bandari na CHAVDA uyo wa CCM chadema wanamapinduzi mtusaidiye jamanii

  • @myself4128
    @myself4128 11 หลายเดือนก่อน

    CCM IMEJAA VILAZA WANACHAGUANA KICHAWI CHAWI NI GENGE LA WANGA NA WAHUNI NA MAJUHA,BUNGE LIMEJAA MISUKULE NA TUNAONGOZWA NA VIONGOZI WASIO NA DIRA WALA UZALENDO NA HAWANA UWEZO HATA WA KUFIKIRI ZAIDI WANAKUZA MATUMBO TU,NCHI YETU INATIA AIBU!!

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +1

    Fedha fedheha😅

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 10 หลายเดือนก่อน

    Basi umeshamaliza? Alikutapeli? Nilizani utaleta picha yake na anachofanya Tz, hawezi kukaa tu nyumbani. Ungemkodi private detective.

  • @myself4128
    @myself4128 11 หลายเดือนก่อน

    YAANI wahindi Wanatafuna Nchi Vibaya mno!wanaishi Upanga na Kariakoo Nyumba Za Serikali wamenunua Kwa bei ya Bure kabisa hii nchi Tunaongozwa Na viongozi Wabovu sana na hawajielewi!!Ni shamba la Bibi

  • @valerianmtowe7822
    @valerianmtowe7822 11 หลายเดือนก่อน

    Inchi yetu kwa rushwa cjui lini itaisha

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc 10 หลายเดือนก่อน

    Posta yote imeuziwa wahindi hakuna mbongo posta

  • @myself4128
    @myself4128 11 หลายเดือนก่อน

    WAHINDI NA WACHINA NA WAARABU NA SASA WAKURDISH NA WATURUKI WANAIAHI NCHI HII BILA VIBALI NI KAMA WANAINGIA CHOONI NA KUTOKA!!UHAMIAJI NA POLISI HAWANA HABARI ZAIDI WANATAFUTA RAIA WEMA WA KUWAONEA TU ILI KULINDA MASLAHI YA WALANCHI

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 11 หลายเดือนก่อน +2

    Gurumo umenikumbusha mbili sana wakati huo nilikuwa na miaka 22 bado Niko shule ilitikisa sana Kwa mate do yake mabovu ya utapeli wa fedha za mikonge kama nakumbuka millioni miatisa akapewa PI ya kiondoka nchini da nchi zetu ni hatari sana uzalendo wanaoubiri ni ipi

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 หลายเดือนก่อน

    Tanzania madhalimu afadhali hawakumuuwa

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 10 หลายเดือนก่อน

    Mahakama zetu ni corrupt sana. Bahati mbaya Majaji wakubwa na wanaoheshimika sana nao wamehusika kwenye njama za kifeshuli kama hizi

  • @user-hf3hq4nf9o
    @user-hf3hq4nf9o 10 หลายเดือนก่อน

    INAONEKANA MAGOLI YOTE 6 UNAYOONGLEA NI MAGOLI HALALI..SABABU ANAFUATA TARAIBU ZA KISHERIA... KWAHYO WEWW ENDELEA KUTAFUTA MAGOLI YA KUSAWAZISHA.. ILI MRADI YAWE HALALI ..KAMA YAKE

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 11 หลายเดือนก่อน

    Kama kwa magu ilishindikana basi magu alikua mnafiki alilenga asiye wapenda tu kisiasa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo unajua leo?😂

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 11 หลายเดือนก่อน

      @@Joe-tr2vk tangu azuie mikutano ya vyama

  • @alibalushi4691
    @alibalushi4691 11 หลายเดือนก่อน

    Mr.Ansbert,kama mmetumwa kwa malipo tafadhalini hali ya hewa hivi sasa nchini kwetu sio nzuri.kama uzalendo pls stay the course.kipachi ulicho nacho ni kikubwa sana kumbuka umepewa na mungu.dalili zinaonyesha brother upo upande mmoja.haupendezi brother.hakuna tatizo kuwa Chadema au CCM au kutokuwa chama chochote,tatizo ni kutafuta mada ambazo zinaweza zikaleta sintofahamu na furugu nchini.

    • @jonasmushi5145
      @jonasmushi5145 11 หลายเดือนก่อน

      Usiuvae ujinga kwa kiwango hicho

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@jonasmushi5145 Jamaa ni kenge kweli. Linaendekeza ukondoo huku nchi inatafunwa,acha watoto wake wakute nchi imebaki kama Somalia ndiyo atajipongeza kwa ukondoo wake😂

    • @erickwerema7843
      @erickwerema7843 10 หลายเดือนก่อน

      Endelea kuwaogopa hao wezi acha ndugu awanange ushetani wao

  • @philipomwasha5325
    @philipomwasha5325 11 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana hata vyama tulivyonavyo avina uwezo mbona hata chadema hawaongelei maswali hayo

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  11 หลายเดือนก่อน

      One thing at a time. Hakuna mtu anaweza kujua na kusema kila kitu tena kwa wakati mmoja

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 11 หลายเดือนก่อน

    Mrema kuondoka chama cha mapinduzi alisigina katiba kwa mguu wake mwenyewe BUNGENI KULE DODOMA na akaondoka .na kuanzisha chama chake cha NCCR MAGEUZI...

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mrema alianzisha NCCR? Wewe ulizaliwa mwaka gani?

    • @dismaslalubare4196
      @dismaslalubare4196 11 หลายเดือนก่อน

      Hapa ujue unaongea mkongwe 1961 na hata alip0anzisha chama kuna mchimba madini wa mererani ana hoteli inaitwa palsons hotel iliopo hapa mjini arusha lakini kwa sasa ni marehemu na alikuwa na timu inayoitwa palsons sport club na ilishacheza ligi.kuu ya tanzania alinunua land rover 110 shot cheses akampa mrema kwa ajili ya kugombea urais kwenye chama chake na mimi niikuwa kwenye kampeni alitingisha chama cha mapinduzi mpaka nyerere akaja kusaidia kampeni pale moshi.. hakufika arusha sababu mwanae nyerere alikuwa anaitwa makongoro nyerere alikuwa anagombea ubunge kupitia chama charema na akashinda akawa mbunge lakini ccm walienda mahakamani na wakamuengua makongoro na alishatumikia ubunge miaka mitatu..... stori ni ndefu tuishie hapo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@dismaslalubare4196 Unaleta stori mingi kwa swali rahisi tu. Mrema ndiye muasisi wa NCCR? Marando asemaje?

    • @dismaslalubare4196
      @dismaslalubare4196 11 หลายเดือนก่อน

      @@Joe-tr2vk yaishe mkuu

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama anaipenda Tanzania wewe inakuudhi Nini. Kama Kuna uhalifu anafanya tufahamishe zaidi ya historian za zamani. Usituchoshe bwana

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  10 หลายเดือนก่อน

      😆 😂 😆 tunazidiana upeo, ndugu yangu. Nawe maoni yako yameheshimiwa tu, usijali.

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa ulivyo mjinga unaona hili halina maana

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 11 หลายเดือนก่อน

    Siyo Bandari peke yake fisadi jingine kesi miaka kumi na zaidi tena ya uwizi wa mapato ujumu uchumi

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kama mpaka John Magufuli kashindwa basi ,huyo hawezekani tena,mwacheni tuu yeye ni bingwa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @user-bz2nd3bm1w
    @user-bz2nd3bm1w 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe magu bae alikuwa mnafiki akiwachukia wanaompinga CCM ni ileile