HILI MAYAHUDI HAWATAKI KUWA WAKWELI | WANAGOMBEA ENEO LISILO KUWA LAKWAO :-DR.SULLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2023
  • #Dr.Sulle #ZvpOnlineTv #Tabora

ความคิดเห็น • 218

  • @talents7934
    @talents7934 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa Shekhe Ukimaliza Naomba uhadithie Pia Makuu yalivyofanywa Na Mababu zetu Hapa Africa kama vile kinje kitile Ngwale,Mkwawa Na wale Walipigania Vita Dhidi ya Utumwa Hadi ukazaliwa Wewe,Maana Unaijua sana Historia Ya Watu Waliotutawala zaidi Ya Historia Ya Mababu zako Waliopigania Ardhi Yetu Hadi leo unaikanyaga Kwa Uhuru🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ommyj9653
    @ommyj9653 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mola muhifhi mwalimu wetu ustadh dr sule🙏

  • @aminamrisho8878
    @aminamrisho8878 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuongoze ktkt kuitangaza dini ya kiislam....❤

  • @Laila-nuraa
    @Laila-nuraa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akbar Allahu Akbar Alxamdulilah ❤

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Dr sulle issa bin Mariam siye YESU Kristo usiwachanganye

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 8 หลายเดือนก่อน

      Hio kweli mwanzo kazaliwa chini ya mtende yesu hori vitu viwili tofauti

  • @user-nj9ne3no3x
    @user-nj9ne3no3x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Utagundua mayahud na washilikina ndio maadui wa waisilam alihmdu lnllah.

  • @SaidaMzee-yd5rp
    @SaidaMzee-yd5rp 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika dini mbele ya mw/ mungu ni ya uislaam.

    • @dani72130
      @dani72130 8 หลายเดือนก่อน

      ndo inaleta fujo dunia nzima, kusingekuwa na hii dini duniani tusingesikia vita na mabomu ya kujilipua ambayo huwauwa watu wasio na hatia.

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 8 หลายเดือนก่อน

    Dr sule👏👏 umelezea vizur sana kama kitabu cha Allah kilivyoeleza pongezi zako tunataka free palistn palestin

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 9 หลายเดือนก่อน +4

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  9 หลายเดือนก่อน +1

      Mashaallah

  • @mariadoschools515
    @mariadoschools515 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah

  • @mariamhakim1463
    @mariamhakim1463 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Ihalik shekh❤

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekupenda sana Mtumishi wa Mungu mimi ni mkristo

    • @phchouse
      @phchouse 8 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi wa shetani. Mungu Hana watu waongo na walio jaa chuki

  • @herikipengele8321
    @herikipengele8321 9 หลายเดือนก่อน +3

    Someni vitabu msihangaishe watu kwa kupotosha vitu vipo wazi sana

    • @MbofaniHusseni-sy6qo
      @MbofaniHusseni-sy6qo 9 หลายเดือนก่อน +1

      Vitabu vip wewe wakati ukweli una jieleza

  • @user-ef8pn2ut1y
    @user-ef8pn2ut1y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hasahihishwi.

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran Shekh sule kwa ufafanuzi mayahudi hawajui chochote tuwaombee Allah awaongoze Mayahudi heti Kwasababu wamepewa Dunia basi wamejisahau kwamba kuna Akhera

    • @maase2023
      @maase2023 8 หลายเดือนก่อน

      Waisrael pale ni eneo lao hata mungu anatambua hilo ila waislam ni tabu tu ukweli hawautaki kwa kuwa waisrael mungu ametunuku sana

    • @yassirabdallah3230
      @yassirabdallah3230 8 หลายเดือนก่อน

      Dada Maryam ww n muislamu kasome suratul Maidah aya y 121 hdi 127 utpta jibu

  • @NancyPatrick-il8zj
    @NancyPatrick-il8zj 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hii ni vita ni kati ya mayaudi na maislamu

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 9 หลายเดือนก่อน +5

    ALLAH atawapa nguvu kubwa sana Wapalestna Inshallah

    • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
      @NATACIARAPHAEL-iz8kr 8 หลายเดือนก่อน

      Sote ni ndugu tuombe tatizo liishe kuwe na Amani hakuna damu iliyohalishwa kumwagwa tusipindishe maneno Yohana 8:36
      Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.

    • @georgechiwango7381
      @georgechiwango7381 8 หลายเดือนก่อน

      Lini?

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 8 หลายเดือนก่อน

      Allah kaumba nini Hana lolote nikuumba meli na makanzu mnabudu msicho kijua nyie

  • @user-te9gp8kc1n
    @user-te9gp8kc1n 8 หลายเดือนก่อน

    May God do his will,nobody is meant to be suffering

  • @BudaBoss-dc7tv
    @BudaBoss-dc7tv 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Dr sule.

  • @user-nv9dh5fq5h
    @user-nv9dh5fq5h 8 หลายเดือนก่อน

    Unajuwa Baba.

  • @felixseven042
    @felixseven042 8 หลายเดือนก่อน

    Before the Jews scattered, where was their original land? Thank God you're in Tanzania you got Peace

  • @thomasngui826
    @thomasngui826 9 หลายเดือนก่อน

    Sule yaani ogopa sana mapokeo unachokisema kama unakijua

  • @user-ox6rb3wj5w
    @user-ox6rb3wj5w 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa kupangilia maneno awajambo Duhuu,

  • @scollarnjerii1275
    @scollarnjerii1275 8 หลายเดือนก่อน

    Sawa. Kama wasayuni ni kati ya mia tatu na mia Tano na wanatawala Dunia na niwaongo! Mbona wakweli wasitawale Dunia na ni mamilioni ya uma?

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 8 หลายเดือนก่อน

    Nenda kagombane mzee ,unahamasisha ugonvi bola uende ukasaidie

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama walikimbia kwe ye ardhi yao hamtaki warudi ,nyumbani ni nyumbani nikisafiri sio kwamba nimetupa ardhi yangu

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 9 หลายเดือนก่อน +2

      Walikuwa wakiishi ndan ya nchi ya Palestine (kanaan), waisrael walikuwa hawana nchi, ila walikuwa wanaish ndan ya nchi ya kanaan Palestine, wao wakiwa kama watu wa Israel (yakobo)

  • @sheikhamansoor3522
    @sheikhamansoor3522 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie mnaokashifu uislam hamjui kitu chochote kuhusu shari za mayahudi someni uislam mtajua habari za ban Israel
    Waslam tunajua habari za yesu toka kabla hajazaliwa na ni nabii wa mungu hatumkatai kama nyie mnavyomkataa Muhammad SAW

  • @sheikhamansoor3522
    @sheikhamansoor3522 9 หลายเดือนก่อน

    Mayahudi walitaka kumuua yesu je sisi

    • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
      @NATACIARAPHAEL-iz8kr 8 หลายเดือนก่อน

      Ilitabiliwa ikatimia vita vilishatabiliwa hakuna jipya yote yapo kwe kitabu cha Vitabu vya mungu

  • @dr.elimikatv1919
    @dr.elimikatv1919 8 หลายเดือนก่อน +5

    Japokua uslamu ni dini ya kutengeneza lakin bado mmeshindwa kuitengeneza vizuri.
    1.ukisema ibrahim alitoka uru wa walkadayo kwenda palestina inamaanisha uzao wa ibrahim ambao ni yakobo na esau wote ni wapalestine, apo tayar umeshajileza😂
    2.ukwel ni kwamba asili ya ibada ambayo ilikua kwa waisrael hadi ujio wa yesu ni kivuli tosha cha wakristo wa sasa na haina uhusiano na uislam kwenye ibada zao au jinsi yesu alivyotenda ni tofauti na manabii wa kale ni tofauti na mohamed hii inaonyesha huyu aliyekuja baada ya Yesu ni kitu kingine.
    3.Baada ya kifo mtaona wenyew yale mliyoyakataa

    • @saidambarouk2804
      @saidambarouk2804 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu (Nabii Issa) alisema lini kama yeye ni Mkristo??
      Mzee Ukristo ni Dini ya Biashara tu! Bro karibu katika Dini ya Kweli na Haki ya Uislamu muda ni sasa Ucje Ukafa ikawa huna Dini. Tafadhali kasome Juu ya Dini ya Uislamu!!!

    • @Queenrinna98
      @Queenrinna98 8 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

    • @DanielWillison-fd6ql
      @DanielWillison-fd6ql 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@saidambarouk2804 kwani wewe unaaminije yesu si kristo na tunaomwamini sisi ni wafuasi wake unaposema ukristo siyo dini unapotosha

    • @manenoagrey1519
      @manenoagrey1519 8 หลายเดือนก่อน

      @@saidambarouk2804 Yeye mwenyewe ndo kristo endelea kupoteza muda pia alibatizwa katika mto Yorodani na upo mpaka leo

    • @saidambarouk2804
      @saidambarouk2804 8 หลายเดือนก่อน

      @@manenoagrey1519 Duh! Kwakweli Mapasta wenu wanawapotosha sana🤔 cjui kitu gan kinawafanya Muamini. Mimi Swali langu Lini na wapi Nabii Issa (as) alisema kama yeye ni Mkristo? Ukinijibu nakupa hela ya kijio cha wiki nzimaa👂💖

  • @leko3040
    @leko3040 9 หลายเดือนก่อน +1

    Soma kitabu cha zephenia 4:2 na uendelee ndo ujue mambo

    • @MbofaniHusseni-sy6qo
      @MbofaniHusseni-sy6qo 9 หลายเดือนก่อน +1

      Maya udi hawana kipya yani hata kwa hoya hawaji wezi labda vita ndo wana weza

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 8 หลายเดือนก่อน

    Wayahudi walipewa ardhi hii na Mungu
    Huo msikiti ni lazima ubomolewe.
    Haiwezekani mjitwalie ardhi ya waisrael muifanye iwe milki yenu

  • @ChescoMwakipesile
    @ChescoMwakipesile 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka unadanganya

  • @MbofaniHusseni-sy6qo
    @MbofaniHusseni-sy6qo 9 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi wenye vitabu vyenu c mtu elimishe na nyinyi mekaa 2 soma vitabu soma vitabu vip

  • @user-gq6vz6we3m
    @user-gq6vz6we3m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dr. Sule huna elimu unachoongea ni uongo toa historia si kosa lako ni shule huna.

  • @user-gi3io1ew8e
    @user-gi3io1ew8e 8 หลายเดือนก่อน

    Iziraheli ni Muji mutakatifu kwa wakirsto na waisilamu na wayaudi kwa ivyo lazima tuwogeh kwa sababu iyo diyo mboma la bibilia na &rani kwa manabii

  • @ChescoMwakipesile
    @ChescoMwakipesile 8 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo nynyi uwisilama mumeunda nynyi wakati nanynyi mumeletew na walabu

  • @robi7printing291
    @robi7printing291 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi sote ni wamoja tukipigana ni sawa na kujipiga na kujidhoofisha. ivi kweli elimu zetu ndo zimeishia hapo!

    • @yohanaibrahim4128
      @yohanaibrahim4128 8 หลายเดือนก่อน

      Kumbe walinunua kumbe yakwao

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@yohanaibrahim4128sasa kama walinunua Ibrahim hao mayahudi wanahusikaje wakati ibrahim alikuwa na watoto wawili Ismail na Ishaq na pia aliowa mke mwengine ketura akazaa naye madyani kwahiyo wana wa israel ni sehemu tu ya wana wa ibrahim wapalestina pia ni watoto wa ibrahim kwa mjukuu wake Essau kaka wa yakobo ambaye uzao wake unavuruga mashariki ya kati..!

  • @manenoagrey1519
    @manenoagrey1519 8 หลายเดือนก่อน

    Suleiman alijenga Hekalu

  • @dr.elimikatv1919
    @dr.elimikatv1919 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona maelezo yanaejieleza vizuri kwamba ibrahim alitoka uru kwenda canaani et anaiita palestine

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 9 หลายเดือนก่อน

    Soma bible zanosi 1-6-7 Wafilisit watapigwa na Wa Israel mpaka wa malizike

  • @manenoagrey1519
    @manenoagrey1519 8 หลายเดือนก่อน

    Jamaa muuongo huyu kabla ya Yesu hakukua na Msikiti hata mmoja bali lilikua Hekalu nasiyo msikiti

    • @hamisiramadhani3538
      @hamisiramadhani3538 8 หลายเดือนก่อน

      Maneno msikiti ulikuwepo soma vizuri biblia sinagogi ni nini angalia nyuma ya biblia yako

    • @manenoagrey1519
      @manenoagrey1519 8 หลายเดือนก่อน

      @@hamisiramadhani3538 Jengo la kukutania la wayahudi ndugu pia biblia unayosema nisome Nyuma ile ilitafsriwa na Shehe wenu hapo Mombosa kwani wazungu walipo fika Africa Kiongozi huyo kidogo alikuwa anajua Kingreza akasaidia kutafsiri Biblia lakini hiyo siyo maana halisi ya Sinagogi na yapo mengi tu mbona Hamswali mule kama ni Misikiti usipotoshwe na hilo

    • @josephevaristi8923
      @josephevaristi8923 8 หลายเดือนก่อน

      Uislam umejengwa kwenye uongo,bila uongo hakuna uislam,😆😆😆

  • @nehemiaayo9527
    @nehemiaayo9527 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka kuna mayaudi pia apo kushi

  • @stevekiilu8764
    @stevekiilu8764 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mkristo, ila nimekusikiza kwa makini na nimepata mengi ambayo sijayasikia toka kwa waislamu wengine. wewe unahubiri amani ambayo ndio mapenzi ya Baba Mungu kwa watu wote. Sifurahii kuona wamama na watoto wanakufa pale palestine sababu ya vita. vilevile sikufurahi vile wamama na watoto wadogo walipouliwa pale Israel na hamas.
    Kwa kukusikiza, Bible na Quran zinaendana sana kwa mambo mengi, sana sana kwenye agano la kale la Biblia. Hivo nimesoma mengi kupitia kukusikiza, licha ya tofauti zetu kuhusu Yesu na Mohammed. ubarikiwe kwa kuwajulisha kizazi cha leo mengi.

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 8 หลายเดือนก่อน

      Yesu na Muhammad ni wamoja

    • @stevekiilu8764
      @stevekiilu8764 8 หลายเดือนก่อน

      Jesus lived from 7 BC to 30 AD. Mohammad was born in 571 AD and died in 632 AD. So 541 years from Jesus’ physical death to Mohammad’s birth.

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 9 หลายเดือนก่อน

    pale nikwa mze ibrahim baba yao we hutaki warud kwenye koloni lao

  • @paschalcharles6097
    @paschalcharles6097 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi kweli unazaliwa duniani kuja kutetea msikiti???au msikiti una umuhimu gani????

  • @moseskivunge1719
    @moseskivunge1719 8 หลายเดือนก่อน

    Tupe nukuu ya vitabu ulivyotoa historia hio tafadhali shekhe.....

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน

    Macho kodooo is rail angalia kwako

  • @benedictinestory1454
    @benedictinestory1454 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulizaliwahuko?

  • @DanielWillison-fd6ql
    @DanielWillison-fd6ql 9 หลายเดือนก่อน

    Wakati wanauawa na hitira walikua katika inchi gani na unchi hiyo ilikuwa inaitwaje namba likuwa maeneo yapi.

  • @felixseven042
    @felixseven042 8 หลายเดือนก่อน

    NO DAY MUSLIMS WILL LEAD THE WORLD NO AND NO BIG NO HUGE NO.

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 8 หลายเดือนก่อน

    Nenda ukawasaidie pia muslam nikopyi auna dili

  • @georgechiwango7381
    @georgechiwango7381 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo mzee umedanganya, msikiti miaka 600 kabla ya kristo ulitokea wapi? Mfalme Suleimani hakujenga msikiti bali alijenga hekalu.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbumbumbu ni Punguani pekee anayeweza kumwamini. Nonsense

  • @chizcom4229
    @chizcom4229 9 หลายเดือนก่อน

    Utashangaa mtu kama huyu anafunikwa na sheik kipozeo

  • @MorganMwaipyana-tz9vc
    @MorganMwaipyana-tz9vc 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona Nabii Issa anatajwa sana lakini wanamkashifu Yesu?

  • @pascal2415
    @pascal2415 8 หลายเดือนก่อน

    Na kwanini Waisrael isiwe haki yao huo msikiti?

  • @phchouse
    @phchouse 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa hata kwa kumtazama hajui kusoma kitabu chake anacho kutumia kuabudu. Kajaa ujinga upumbavu na chuki

  • @wgnckasarani
    @wgnckasarani 9 หลายเดือนก่อน

    Zaburi 83

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 8 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ndio dini ya haki na itabakia kua hivyo wala sio dini ya warabu tu kila kabila wapo weusi na weupe

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 8 หลายเดือนก่อน

      Hio mpya andika kitabu chako

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani hapo ulipo hakuna msikiti mpaka ukodolee macho msikiti ambao upo israel

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 9 หลายเดือนก่อน

    Kaa kimya wewe huwezi kushindana na wayahudi.

  • @bonheurNimbeshaho-qy7sy
    @bonheurNimbeshaho-qy7sy 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mayahudi ni wauwaji hao

  • @user-fg1gg3ec2o
    @user-fg1gg3ec2o 8 หลายเดือนก่อน

    Sas storia yako inamsaada kwa wat wagaza kelele mingi uongo mwingi msaada hamna

  • @georgechiwango7381
    @georgechiwango7381 8 หลายเดือนก่อน

    Yote yaliyoandikwa ktk Biblia kuhusiana na Israel lazima yatimie. Yatatimizwa huku mkitazama.

  • @pascaljoshua8879
    @pascaljoshua8879 9 หลายเดือนก่อน +1

    Okoka tu mhubiri,ila ukishupaza shingo yako itavunjika.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 8 หลายเดือนก่อน

      17:3 yohana tafuta UZIMA WA MILELE USIJE KUFA KABLA HUJAUPATA UZIMA UTAKWENDA KUCHOMWA BURE

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 8 หลายเดือนก่อน

    This black people problem, jifunze historia ya kabila lako. 🤣🤣

  • @user-dy2qn2xc3x
    @user-dy2qn2xc3x 9 หลายเดือนก่อน +2

    Acha uongo

  • @user-te9gp8kc1n
    @user-te9gp8kc1n 8 หลายเดือนก่อน

    So wewe unapiga kampeni ya amani ama ni kuongeza vita,huna tofauti na hao wakora

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 9 หลายเดือนก่อน +1

    Quran inasema Nabii Muhammad ndio kaja na Uislam na imeandika Muislam wa kwanza bi Khadija na Quran kashushiwa Muhammad sasa huo Msikiti walikua wana swali kwa muongozo gani? maana Quran haikuwepo, Fafanua hapo Sule hii imekaaje.

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 หลายเดือนก่อน

      Yesu,Mussa,Ibrahimu,Issihac na manabii wote ibada zao zilikuwa swala na kusujudu swala zao zilikuwa rakaa 2 tu na walikuwa wanaswali umo ktk misikiti hiyo ya kale Mohamed Mungu amempa swala 5 lakn ibada ni ile ile ya manabii wote waliotangulia Khadija alikuwa muislam wa kwanza kuslimu yaan watu wa mwanzo mwanzo kuukubali uislam kutoka kwa makuleishi wa maka neno uislam upo tangu Adam (a.s)na ndo mana Ibada zao zilikuwa kuswali na kusujudu lakaa 2 tu kwa siku tofauti na sasa ivi tumeamrishwa swala tano

  • @Paul.957
    @Paul.957 8 หลายเดือนก่อน

    Hata wewe hujui kile unasoma waisiraeli wanamilki chombo gani Cha habari....

  • @mobigo2unlocker-iv7kn
    @mobigo2unlocker-iv7kn 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanini wamiliki hivyo vitu
    Rudi kwenye maandiko mkuu.bado ujasema
    Tatizo aliye rusha ngumi amerudishiwa ngumi imemuzidi

    • @mozarashid-wr6ec
      @mozarashid-wr6ec 9 หลายเดือนก่อน

      Mh jmn kumbe mpo wingii mnaochukia uislamu, kwaio wao wanavowapiga kila siku je? Wew utakubli kuonewa kila siku or?

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 9 หลายเดือนก่อน

    Ukisto na uislam ulio anza ni ukisto
    Uislam ulikuja miaka 600 baada ya ukristo
    Kwa hiyo waisrael ndio wenye haki ya pale

  • @talentsmediacrew3373
    @talentsmediacrew3373 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla hawajapigwa na Adolf hitrer walikuwa wanaishi wapi?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 หลายเดือนก่อน

      Ulaya

    • @talentsmediacrew3373
      @talentsmediacrew3373 9 หลายเดือนก่อน

      @@Hussein-gx4qu sasa kwao waliporudi ni wapi

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani Adofl hitler aliwatoa wapi

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo sio watu weusi cc waislam mila yetu n moja Dunia nzima mzungu muhindi mwafrica ili mladi n Muislamu basi mila moja sio km nyie msiokuwa n dini

    • @MorganMwaipyana-tz9vc
      @MorganMwaipyana-tz9vc 8 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote,kuwa mila moja ndio dini? Una mila sawa na wahindi wewe?

  • @MkomboziKibwita-ss3kk
    @MkomboziKibwita-ss3kk 8 หลายเดือนก่อน

    Ata ww ni mjinga usiye jitambua Huna dini .? Kila jambo na wakat wake .. lipe.nafas liwe linakuhusu au alikuhusu cha msingi na mbaya zaidi usilidhihaki au lulidharau au Acha kabisa kuyafatili je ww ni nani ?

  • @Laila-nuraa
    @Laila-nuraa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asalamu caleikum naomba namba ya Dr,zulle

  • @shau78
    @shau78 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi nikitoa hela nikanunua ardhi nikawa na hatimiliki kumbe haiwi ya kwangu? kumbe inaelndelea kuwa mali ya yule ambae ilikuwa yake kihistoria?

    • @MorganMwaipyana-tz9vc
      @MorganMwaipyana-tz9vc 8 หลายเดือนก่อน

      Shughuli pevu,umenunua ardhi na ndugu zako wamekuja wamenunua hapo Tabora lakini hamruhusiwi kusema Tabora ni kwenu.

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 8 หลายเดือนก่อน

      Alienunua Nani ?

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 8 หลายเดือนก่อน

    Imamu kweli ni kiongozi wa maamuma..
    Gaza wenyeji wake ni WAAVI sio Wapalestina/wafilisti.Mwanzo 10:14. Wapalestine/Wafilisti kwao ni Visiwa vya KAFTORI Yeremia 47:4.
    Waavi ni kabila gani leo sheikh ?

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 8 หลายเดือนก่อน

    Israel big up sabato iendelee

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 หลายเดือนก่อน

    Raykyando wayahud na wapalestina n wa Ibrahim walipo teswa misri waliletwa na MUSSA TENA ISRAEL,kwa hio wote n wa IBRAHIM,

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli usemayo ila ikiwa hakuna mzungu aliye ishi utumwani kwa mujibu wa historia zoote ulimwenguni ni wazi wale ni wayahudi wa kiimani tu ila sio waizrael kizazi cha yakobo. Waweza kuwa muisrael ila usiwe muyahudi na waweza kuwa muyahudi na usiwe muisrael.

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 8 หลายเดือนก่อน

    Hajui lolote huyu hii ni vita ya Dini jihad, tell me Palestine ilikuwa wapi b4 60s then we argue

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 8 หลายเดือนก่อน

    Kikundi cha majambazi

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 9 หลายเดือนก่อน

    Uongo mtupu

  • @msafirithomas7751
    @msafirithomas7751 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwulizeni sheh aliyepelekwa utumwani misri ni mpalestina au mwisraeli kwa hiyo sheh usiwadanganye acha uongo we mdengeleko wenye kuumaliza ni mungu tu

    • @user-fy4op1sw2f
      @user-fy4op1sw2f 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kama wewe unajua historia njoo usimulie basi kama kweli acha chuki

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama hiyo nchi walipewa na Mungu basi wapalestina hawana haki itabidi waondolewe

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dr sulle mbona umeenda shule kwa nn unadanganya unawazaja watu ujinga,

    • @mozarashid-wr6ec
      @mozarashid-wr6ec 9 หลายเดือนก่อน

      Haongei ujinga anawaelimisha wajinga

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanini kujenga msikiti juu ya hekalu la Suleiman na kaburi la Yesu? Kuchukuliwa utumwani mara nyingi walirudi Israeli ikiwemo Palestine.

  • @maase2023
    @maase2023 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani hao waisrael kwao ni wapi? Au waislam mnapenda chokochoko tu? Tokea dunia imeanza waisrael pale ni kwao

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 9 หลายเดือนก่อน

    Ww hujui kitu unapotosha watu wapotoshe wajinga wasiojua

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 9 หลายเดือนก่อน +2

    Waislamu mtakuwa waongo Hadi lini!? Uislam umekuja duniani 610 AD tayari hekalu la mayahudi upo. Yaani mnaosema uongo Hadi mnachukiza

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 9 หลายเดือนก่อน

      Kwahio mwenye haki pale ni nani? Embu tume elim

    • @mozarashid-wr6ec
      @mozarashid-wr6ec 9 หลายเดือนก่อน

      Uislamu ndio dini ya mwanzo tangia waumbwe binadamu ulianza tangu alipoumbwa Adam na bib Hawaaa isipokua haipendwi coz inazungmza ukweli na inakataza maasi na watu wanapenda maaovu, kwaio sie sio waongo waongo ni nyie makafiri

  • @tedymshisha-dn5ez
    @tedymshisha-dn5ez 8 หลายเดือนก่อน

    Ujuwi lolote

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe historia ya palestina huijui vizuri.
    Rudi ukasome historia vizuri. Na wale usiwakilishe waislamu Kwa ufahamu wako. Sio vizuri.

    • @BahatiMakoga
      @BahatiMakoga 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hubirini kweli watu watubuzambi zao wamgeukie mungu acheni siasa nyie watu mbona hatuwaelewi uchochezi tu mnaufanya simuende huko

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani km vile mjinga !, Ardhi Siyo tatizo , qurani na mtume alisema ktk Aya nyingi kuwa ardhi ni ya waisrael. Je mtume hakuwaona wapelestina?

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mtume hana aya katika Quran, wala hana neno lolote lile ndani ya Qurani nenda kasome ufaham.

    • @nassorphamadi6065
      @nassorphamadi6065 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ww una dini yako na sisi tuna din yetu

    • @nassorphamadi6065
      @nassorphamadi6065 9 หลายเดือนก่อน +1

      Uwisilam ndiy dini ya hak

    • @ramadhanikuhanga3324
      @ramadhanikuhanga3324 9 หลายเดือนก่อน

      Mjomba hv umesoma au limekuropoka tu?

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 หลายเดือนก่อน

      We mpuuz umevimbilwa kitimoto na makande yaliochacha unasikiliza maandiko au unaongea tu kwa vile mdomo unao??

  • @user-xo4cs9eu4o
    @user-xo4cs9eu4o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kitabu cha tano ni kumbukumbu la torati

    • @Keyjop
      @Keyjop 9 หลายเดือนก่อน

      Kuumbe😅😅 ngoja nkasome chap

    • @AmaniMakita-ld3bb
      @AmaniMakita-ld3bb 9 หลายเดือนก่อน

      Alafu huyu shekhe muongo atar

  • @GodyMussa-sc9fj
    @GodyMussa-sc9fj 9 หลายเดือนก่อน

    Ila hawa maplofesa na ma dr wa kiislamu huwa nashindwa kabisa

  • @user-fg1gg3ec2o
    @user-fg1gg3ec2o 8 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo wewe palstina haipgani na izrael Gaza ndo inapigana na izrael alafu storia yako uwongo mwing

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 9 หลายเดือนก่อน +1

    We unamiliki matako,acha kudanganya watu kenge wewe,

    • @mandelaismael5036
      @mandelaismael5036 9 หลายเดือนก่อน

      Kumbe na mayahudi mnashikia hotuba zetu na kuzielewa duuh 😮

    • @eliasmajambomwinyihaji1335
      @eliasmajambomwinyihaji1335 9 หลายเดือนก่อน +1

      Bas ongea wewe unaejua

    • @ndikumanainnnocent7796
      @ndikumanainnnocent7796 9 หลายเดือนก่อน

      Mayawudi wahuni wameraniwa na mungu

    • @Ryyyyugkvdyi
      @Ryyyyugkvdyi 9 หลายเดือนก่อน

      Kipindi waisraeli walipo pelekwa utumwani misri walitokea nchi gana?

  • @Daudshatta-zu4kq
    @Daudshatta-zu4kq 8 หลายเดือนก่อน

    Wadanganye wajinga wasio soma wasomeshe wapate kujuaujinga

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waizrael wengine wapo hapa kwenye comment hawajapenda ukweli anaoelezea sule huo ndio ukweli mukitaka musitake

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini na ninyi mlijenga msikiti sehemu palipokuwa na kanisa la suleiman?

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 9 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂Nabii suleiman alikuwa muislam na kanisa wapi na wapi

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 9 หลายเดือนก่อน +2

      Aliyekuambiya suleiman ni mkristo ninani

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 9 หลายเดือนก่อน +2

      Suleiman sio mkristo

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wakristo kwanza ni kina Nani? Hamtambuliwi hata na Hao mayahudi, walimuua mungu wenu wakamtundika msalabani. Sasa nyinyi mkiongelea hii mambo mnaongea kwa foundation gani?

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 9 หลายเดือนก่อน +1

      Et mkristo waongea tuu tupe dalili umejazwa maneno ya akina mwamposa wajinga wenzenu et nabii mnyakyusa😂😂,subutu, Allah awaongoze muwe waislam