JE YESU NI MUNGU? | MAZINGE VS NDACHA +254705602959

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2022
  • MAZINGE VS NDACHA | JE YESU NI MUNGU? +254705602959

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @edwinezawadi2736
    @edwinezawadi2736 5 หลายเดือนก่อน +7

    Barikiwa saana mtumishi wa Mungu Ndacha hao wamefichwa ya Roho ni naomba Mungu awafunulie ya rohoni

  • @user-cp8gq7rx2c
    @user-cp8gq7rx2c 7 หลายเดือนก่อน +13

    Alhamdoulillah im Muslim
    Ya barriq barik shekh mazinge

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 ปีที่แล้ว +17

    Dacha ubarikiwe ubarikiwe,unalifahamu neno la mungu,wafundishe

  • @mohabro9521
    @mohabro9521 ปีที่แล้ว +26

    Ustaadh mazinge MUNGU akubariki ndugu yangu akujalie kila la kheri

    • @naksphraits4237
      @naksphraits4237 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu mgani unazungumzia?

    • @antonyndinga8890
      @antonyndinga8890 2 หลายเดือนก่อน +3

      Hapa nimeelewa,
      Kuna mambo ktk roho na Kuna mambo ktk mwili.
      Inavyoonekana wakristo wanajua katika mwili na roho lakini waislamu wanajua ktk mwili

    • @fimboyamusadavy180
      @fimboyamusadavy180 หลายเดือนก่อน

      Asanti sana mwalimu Ndacha

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 4 หลายเดือนก่อน +5

    Shukran Shekh wetu na wote walofanikishakikao hicho ,JAZAKUMULLAH KHAIR JAZAA.

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu ampe afya njema maznge❤❤❤❤❤

  • @chuugamestz4487
    @chuugamestz4487 ปีที่แล้ว +22

    Akupe maisha marefu shekh wetu mazinge

  • @sammagesa8184
    @sammagesa8184 ปีที่แล้ว +35

    Ndacha kiboko ya mazinge.....
    ....alaf mazinge huna hoja ila unapiga kelele tu....
    Pastor ndacha Mungu akubariki sana....

    • @amaniibrahim4415
      @amaniibrahim4415 ปีที่แล้ว

      Amriyakwanza iliofanya wanawa izraeli wasifike kanan kwawakti nihipi au amri azifahi

    • @carolinekenya1669
      @carolinekenya1669 ปีที่แล้ว +2

      Anashinda akibweka na hana kitu ya kusema,,kupoteza mda tungekua tunasikiza Ndacha

    • @adamsaid-ze1jw
      @adamsaid-ze1jw 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ujitambui mungu ana baba unajitambua nyie mungu akufananishwa na ki2 chochote jitambueni nyinyi yaan daah inalilah waina lilahi lajion

    • @user-vg7pp6xp2g
      @user-vg7pp6xp2g 6 หลายเดือนก่อน +1

      hahahaaa amumuezi Mazinge kiboko yao😅😅

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 5 หลายเดือนก่อน

      Na unakaa unaamini mungu mfu. Mungu kafa msalabani na unakaa unapoteza mda kuabudu mungu ambae tayari alishakufa

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 9 หลายเดือนก่อน +15

    Alhamdullillah kwa neemah ya u Islam ......Allah awahifadhi wahadhiri wetu

  • @EvMichaelMwaura
    @EvMichaelMwaura ปีที่แล้ว +38

    God bless you Mwalimu Ndacha. I have come to know you lately and I love what you are doing in the body of Christ. You're a great inspiration in and to the body of Christ.

    • @ZenaNekesa-sx7qf
      @ZenaNekesa-sx7qf 10 หลายเดือนก่อน

      You are the false prophet that God said you will come during the end tyms

    • @user-st7gg3ig5g
      @user-st7gg3ig5g 3 หลายเดือนก่อน

      B4 supporting something read and understand it,cz you call your self born again Christians believing in Jesus,Most of you you're followers of Paulo and not Jesus,read warumi 11,mstari 13,Then tell me 10 countries that yesu alihubiri injili apert from israel

    • @JustinaMalugu-pd6kf
      @JustinaMalugu-pd6kf หลายเดือนก่อน

      Mwalimu Ndacha Ubarikiwe na Songa mbele

  • @user-hj3wj6or8b
    @user-hj3wj6or8b 5 หลายเดือนก่อน +8

    Alhamdulillah, ustadh Mazinge and your colleagues spread the holy Quran and all books of God which mentioned only one God, I'm proud to be Muslim

    • @Andaybuidingworks
      @Andaybuidingworks 3 หลายเดือนก่อน

      potea kabisa. 😂 uisilamu ya Muhammad

  • @samhansie3964
    @samhansie3964 ปีที่แล้ว +28

    Barikiwa sanaaaa mwalim ndacha Mungu akuweke sanaa kwa ajili yetuu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @b.f.cburundifilmscompany3098
    @b.f.cburundifilmscompany3098 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akubariki sana katika jina la yesu kristo

  • @joelrotich1306
    @joelrotich1306 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wonderful conversations this making me to be achristian indeed, thanks to pastor Ndacha, God leading to inspire and spiritual grew more strong,
    Amen..

  • @evanskhaoya566
    @evanskhaoya566 ปีที่แล้ว +23

    i love this, may ALLAH BLESS YOU ALL

  • @khermisybonaya3741
    @khermisybonaya3741 ปีที่แล้ว +34

    Allah ampe Umri Mrefu wenye kheri hyo Mzee wetu *Mazinge* na ajaalie wawe wengi mfano wake🤲 khusuusan katka sisi vijana, ama kwa ndugu zetu ktka ubinadamu Allah awape hidaya ya kumtambua na kumuabudu yy🤲

  • @xaliimacabdullahi-lb8iz
    @xaliimacabdullahi-lb8iz 7 หลายเดือนก่อน +6

    MashaAllah ustadh Mazinge,,, wafunze Hawa waliopotea,,,

  • @africanking9004
    @africanking9004 ปีที่แล้ว +11

    may God bless you ndacha for unvailing the gospel to them

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah sheikh Mazinge

  • @shabanindadaye480
    @shabanindadaye480 6 หลายเดือนก่อน +4

    Alihmundulilahi ya Allah mubark shekhe mazing mupanuliyekifuwacak azid kuwailimisha wadjawako

  • @FaithDoha
    @FaithDoha ปีที่แล้ว +8

    Tangu nianze kufwatilia maandiko haya na mafundisho haya akika nimejua ukiwa katika roho mtakatifu ndio utaelewa walakini kaa hauna roho mtakatifu uwezi elewa thanks mr Ndacha

  • @annendegwa2375
    @annendegwa2375 ปีที่แล้ว +32

    I'm happy to see you standing firm ndacha for christ.they want it to look like campaign, but you make them understand in a polite way.God bless you.

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 ปีที่แล้ว +1

      Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki! Ndacha hana jipya mungu yupi ywa tahiriwa wewe vipi. Majidiliano kusudi yake ni kuelimishwa chukueni maandiko

    • @mabascorcarpitow1819
      @mabascorcarpitow1819 ปีที่แล้ว

      Do your research from what ndacha said,on both religions....you'll find that on Muslim side is actually not true and he doesn't finish the verses

    • @yesuanikumbukejanuary8363
      @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว

      Yupo vizuri saana .

    • @ArcadiusAndove-sp5dy
      @ArcadiusAndove-sp5dy 5 หลายเดือนก่อน

      My God bless you mtumishi ndacha watoe kwenye upovu huo wajue akuna lisilo wesekana kwa mungu

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +11

    Hongera Saana,,, Excellent,,, Fantastic,,, glorious Pastor Ndacha hakika Unasoma Mnoo Biblia kisha unajua sn kuelezea kwa kina kbs kuhusu Yesu Kristo Pamoja na Dini yote ya Kikristo.... najivunia Saana kuwa Mkristo naipenda sn Dini yangu Milele Daima 🙏🙏🙏🙏

    • @rubbenjohn9451
      @rubbenjohn9451 11 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona eeh, yani ana roho mtakatifu

    • @bullermgana213
      @bullermgana213 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/LZo12XUHk-w/w-d-xo.html

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน

      Hakuna ktu apo

    • @ShabaniSechambo-lk3jb
      @ShabaniSechambo-lk3jb 9 หลายเดือนก่อน +1

      Pole kama ww nimkristo,imeandikwa amepotea yoyote amtegemeae mtu kama mungu wake.

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 8 หลายเดือนก่อน

      Bro read bible carefully. You are at wrong

  • @dankonkwibe2032
    @dankonkwibe2032 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha iam a congolese but you are contribute in the body Of Christ. IAM learned more in your teaching may dear Pastor and your Paulo Who read the books, i love you so much

  • @elienew3788
    @elienew3788 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kila.goti litapigwa mbele zake Yesu kristo nakila.ulimi utakiri yakua Yesu ni Bwana ameen👏👏

    • @khadijaali1656
      @khadijaali1656 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu ni mtume naye ni Nabii Issa sasa kma unamkana Allah ww kana tu ila huo ndo ukwel na utabaki kuwa ukweli acheni uzushi huo

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 ปีที่แล้ว +39

    I proud to be a Muslim. God bless every Muslim 🙏

    • @SundayChilango-wg1tp
      @SundayChilango-wg1tp ปีที่แล้ว +2

      Mungu akusadie uweze kupata ufunuo ndio utajuwa ukweli

    • @ahmedalfan8075
      @ahmedalfan8075 ปีที่แล้ว +3

      @@SundayChilango-wg1tp wew ndio upate ufunuo sio mim

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +2

      Kwanini unajivunia kuwa Muislamu?.... toa Sababu 20 nzito kutetea hoja yako

    • @FathiaAhmed-px2lm
      @FathiaAhmed-px2lm 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mazinge amepata kipaji kotka kwa Allah ndiooooooo ndiooooooo ndiooooooo mazinge hooyyyyyye 🙏🙏🙏🕋🕋🕋✋♥️🌹🇰🇪👌👌👌👌👌💪 Islam 🙏🙏🙏 mazinge kiboko yenu mutake musitake Love you mazinge hooyyyyyye

    • @mwanahija968
      @mwanahija968 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@FathiaAhmed-px2lm hoyeeeeeeeeeeeeeeee muslim hoyeeeeeeeeee hoyeeeeee

  • @DrNelsonJohnMuhirwe
    @DrNelsonJohnMuhirwe 26 วันที่ผ่านมา

    Nimeamini Pastor Ndacha Amebarikiwa na MUNGU Amepewa Hakili na Elimu ya kutosha Mungu Akubariki Pastor japokuwa wa islama nivichwangumu hawa sikie

  • @robertmnyanyika525
    @robertmnyanyika525 ปีที่แล้ว +14

    Ndacha ubarikiwe sana uwanja ni wako na Roho mtakatifu fanyeni yenu hapo Naona hawana jipya hao nikweli lazima tuwafahamishe kwa lazima huyu Yesu

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 ปีที่แล้ว +12

    Hivyo Kwa akili ya Mazinge kipofu akisema kuku ni gari kipofu anauwezo kuliko mwenye macho.
    Yaani kipofu akisema Yesu ni nabii na mwenye macho aseme ni Mwana wa Mungu Mazinge ataegemea upande wa kipofu....balaa sana.

    • @benardpaul5971
      @benardpaul5971 ปีที่แล้ว +1

      you've made my day, nikama mtu akuambie I heard a voice na mwingine aseme i had a dream, utaamini nani...

    • @benedictfabian4209
      @benedictfabian4209 ปีที่แล้ว

      Aah! Tusimlaumu sana. Ni vile upeo wake umeishia.

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 ปีที่แล้ว

      Shida mungu wenu katahiriwa ,hatuwezi abudu mtu aliyetahiriwa kama sisi

    • @daudilangat6123
      @daudilangat6123 6 หลายเดือนก่อน

      Ndacha mwalimu wa ulimwengu kuelekeza watu wote kwa yesu kristo😅😅😅😅😅

  • @mwazanialiishehe1784
    @mwazanialiishehe1784 ปีที่แล้ว +3

    Yohane 1
    1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
    2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mweshimiwa MZEE ndacha ubarikiwe na Mungu wahubiri hao wa mujuwe Yesu kwamba Neno la Mungu tena alikuwa Mungu nayote imefanyika kwa Neno' ila wa eslamu Wana maneno ila hawana Neno ' njo mana hupuruka puruka tu.

  • @georgelugaliki1307
    @georgelugaliki1307 ปีที่แล้ว +17

    Blessed be the Name of Jehovah. I have learned alot. Bible explaining its self

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 7 หลายเดือนก่อน +2

      You’ve not learnt anything. No verse in the whole bible that Jesus was Christian or entered a church or asked you to be Christians. Uongo mtupu kwendeni zenu

    • @omwangegriffins7000
      @omwangegriffins7000 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@bigmanfish6346makasiriko ya nini? Pingana ukitumia hoja 😅

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 6 หลายเดือนก่อน

      @@ARUWAAHMADA-jz9ms Aruwa uko wapi

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 6 หลายเดือนก่อน

      @@ARUWAAHMADA-jz9ms aruwa uko wapi? Nipe number yako

    • @fredouma359
      @fredouma359 5 หลายเดือนก่อน

      Even Quran speaks of Deity of Jesus...But some have refused to listen.Boundless idiocy.

  • @sharonkerubo9030
    @sharonkerubo9030 ปีที่แล้ว +7

    Ubarikiwe Sana mtumishi Wa Mungu Ndacha

    • @milikaekal8623
      @milikaekal8623 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe sanaa mtumishi wa mungu helewa hawa watu niwapinga kristo

  • @emmahosoro8764
    @emmahosoro8764 ปีที่แล้ว +7

    Nashukuru sana pst ndacha mungu akusidizie neema.allready waisilamu wamekubali kuwa yesu ni mwana wangu kutoka kwa kitabu cha yohana 3:16

    • @michaelbaton7711
      @michaelbaton7711 ปีที่แล้ว +3

      kwa kifupi tu huyu mzee anaonesha jinsi alivyo amua mwenyewe kuhungana na shetani kumpinga yesu

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 ปีที่แล้ว +1

      @@michaelbaton7711 Yani Hawa JAMAA Wana roho ya mpinga kristo ndani yao hata na wao bila kujua Kama Wana roho ya mpinga kristo ,na Ile roho huwapofusha fikra wajione Wana elim ya dini na kadharika Ila Ni wapinga kristo,Ila hatuna la kuwalaum maana walitabiriwa na lazima walitimize hilo ili andko litimie,na sisi ni wajib wetu kuwahubilia ili wasije wapoteza wengine

    • @countercheck887
      @countercheck887 ปีที่แล้ว

      God bless you abundantly Pst Ndacha. Hawa makafiri wanamkana Yesu hadharani buy try to misinterpret the Bible verses. Reciting Koran or Reciting the Bible is totally different from reading the Bible and having the Revelation of the Bible.

    • @JamaliZidadu-jd1nl
      @JamaliZidadu-jd1nl 7 หลายเดือนก่อน

      Ishu ni kwamba yesu ni mtot wa mungu ila sio mungu na kutumia jina la mungu haimaanishi kua ni mungu saw

  • @yusuphlule5254
    @yusuphlule5254 ปีที่แล้ว +7

    Daah! Kwakweli uislamu Ni msiba! Hivi haya Ni majibu ya swali aliloulizwa kweli? Asante yeah kwa kutufunulia haya.

    • @legend9805
      @legend9805 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio una msiba pole sanaa. Yesu anaomba msaada kwa mungu alafu awe mungu loo

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo ปีที่แล้ว +1

      @@legend9805
      Aliomba msaada wapi..!?

    • @legend9805
      @legend9805 ปีที่แล้ว

      @@RIO-jf9mo nenda kasome bibilia vizuri yesu aliomba mungu amnyanyuwe juu

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo ปีที่แล้ว +1

      @@legend9805 hasa si alikuwa binadamu ...hasa ngoja nikuulize MUNGU ana uwezo wa kufanya lolote na anajua mbele kutafanyika nini ...hasa mbona asizuie hicho kitu kufanyika ingali ana uwezo ....jiulize ...wewe ...sababu ni kuwa yesu alifanyika mwili na ilimpasa afanye yote kufundisha watu kama nyinyi ....alikua na uwezo wa kufanya lolote ila alifwata utaratibu tu Kama binadamu ili mumuelwe ...

    • @legend9805
      @legend9805 ปีที่แล้ว

      @@RIO-jf9mo yesu alizaliwa sasa mungu gani yuwazaliwa na binadamu

  • @khalidabu5259
    @khalidabu5259 ปีที่แล้ว +16

    Mwalimu ndacha akuna need ya mafundisho na watu kama awa awajui yesu alikuja nduniani kimwili

    • @salimumbonyumukiza7032
      @salimumbonyumukiza7032 ปีที่แล้ว

      Ndacha wewe wacha uwongo tafazari mimi sizani uwongo wako kama wewe nimu somwi kwel dacha wewe muzehe mazinge muna fikiri wewe una jarimbu kweli hawuna elimu

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 ปีที่แล้ว +1

      @@salimumbonyumukiza7032 mambo ya roho ayaitaji Elimu, soma hadi ulaya but you will never find spiritual teaching, it need prayerful and much committed man to God, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine mtapewa.

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 ปีที่แล้ว

      Soma quran au biblia, not in vein to do this

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 ปีที่แล้ว

      @@filexbenefits5612 hatuwezi abudu mungu aliyetahiriwa

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@salimumbonyumukiza7032we ndio ujui kusoma (musomwii) ndio nini!!!?

  • @antonynjenga9351
    @antonynjenga9351 ปีที่แล้ว +32

    Jesus the Lord and king all praises and worship onto him

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 7 หลายเดือนก่อน

      Jesus told you to worship God. But you worship him instead. Jesus prayed in the mosques but you pray in churches. Jesus took oblution before prayers but you don’t and instead pray with shoes on

  • @prosperniyongere7480
    @prosperniyongere7480 ปีที่แล้ว +7

    Bwana muchristo achana na huyu muislamu yeye anamujuwa Yesu kimwili tu. Na ukisema Roho Mtakatifu kwao unakuwa umegonga mwambwa.

    • @adamsaid-ze1jw
      @adamsaid-ze1jw 9 หลายเดือนก่อน

      Ww ujitambui Amin mungu anakufa na Amin yesu mungu mbwa ww

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 9 หลายเดือนก่อน +4

    Allha akulinde shehe wetu wewe ndacha kubali yesu sio Mungu

  • @user-ns1jw3rl3g
    @user-ns1jw3rl3g 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu Ndasha Mungu yu Pamoja nawe Atakupa nguvu.waislam hao, siku zote wako ki mwili.

  • @ambeleikenda5054
    @ambeleikenda5054 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mr Mazinge, may God open your eyes

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 ปีที่แล้ว +14

    Ndacha May God bless you,you are making many Muslims to understand about Jesus christ

  • @MensonSichinga-rs3mg
    @MensonSichinga-rs3mg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Habari uko nampenda sana unavyofundisha wa isilamu mungu akuongezee roho ili wa mujue yesu

  • @SophiaMsigwa-lc3km
    @SophiaMsigwa-lc3km 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuzidishe ndacha Kwa kazi nzuri ya Mungu🎉❤

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 ปีที่แล้ว +7

    leo nishatambua ww Mazinge,hauna lolote na hujapitia hoja za Ndacha

  • @eduosamo849
    @eduosamo849 ปีที่แล้ว +8

    mazingee Noma Sanaa Allahamdulliha Allah akupe umri ameen

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 ปีที่แล้ว +1

      Nguvu ya ndugu zenu majini hazitoboi injili ya yesu

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 ปีที่แล้ว +1

      Jini ni mwislamu mbona unamkataa na kasilimu🤣🤣🤣

    • @scofiotdangote7576
      @scofiotdangote7576 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +1

      @@tatujuma8781 waislamu na mashetwani ni baba mmoja na mama mmoja wanasali wote misikitini🤣🤣🤣

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmahongole9293 acha kushadadia vitu usivyo na elimu navyo

  • @user-xm8dn5js9h
    @user-xm8dn5js9h 10 หลายเดือนก่อน +2

    We ndacha,Safi Sana,kwanza unaroho wa mungu pili unamjua yesu vizr Sana,alafu unajiamini Kama yesu,shetani hakubabaishi hata kidogo wape injili hao Hadi waseme ndioo.wanakubali sema wakaidi tuu.

  • @appleman563
    @appleman563 4 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah sijazaliwa kwenye huo ujinga wa kuabudu watu

  • @kharifa-kf7nn
    @kharifa-kf7nn ปีที่แล้ว +3

    Toa Iman yako pendeni sikiliza kwa umakini maandiko ...mada nyingine aiitaj maandiko ni uelewa wako tyu utapata majibu ..jiulize sifa za mungu then fikiria matendo ya uyo issa ibn Mariam utapat jibu kamili

    • @user-bh8ny6lu1y
      @user-bh8ny6lu1y หลายเดือนก่อน

      Tatizo yarohoni Salio rohoni ndo wawezao kuyatambua,

    • @user-bh8ny6lu1y
      @user-bh8ny6lu1y หลายเดือนก่อน

      Walio rohoni

  • @liliankagea3318
    @liliankagea3318 ปีที่แล้ว +9

    May God bless you ndacha with more wisdom for transforming Muslim to Christianity, and May God help them to understand the Bible

  • @user-ic5yl7mz4d
    @user-ic5yl7mz4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha
    Mungu akuzidishie maarifa na hekima

  • @olengonelson7453
    @olengonelson7453 ปีที่แล้ว +2

    Yani Mazinge na uzee huu wote na ufahamu wote bado haikubli kweli mradi awadanganye wafwasi vipofu wa uislamu. Hoja potovu hazina msingi. MWONGO SANA HUYU MZEE.

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 ปีที่แล้ว +24

    Mtumish NDASHA Mungu akupe nguvu ya kuendelea kuutetea UKRISTO.

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 ปีที่แล้ว

      Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki

    • @nzizajovinpaul4955
      @nzizajovinpaul4955 ปีที่แล้ว +1

      Utukufu na heshima bwana Yesu kristo nizako Milele na Milele Amen.

    • @mohamedyeslam5194
      @mohamedyeslam5194 ปีที่แล้ว

      Hana lolote huyo ndacha,Mazinge ndio kiboko Yao,Allah Ampe sheikh mazinge Umbri mrefu

  • @betteyandrew291
    @betteyandrew291 ปีที่แล้ว +33

    Yesu ni yeye yule Jana na milele

  • @AlainKakudji
    @AlainKakudji 2 หลายเดือนก่อน

    Merci cher Pasteur de Jésus-Christ nous sommes ensemble depuis D.R.Congo.

  • @morriswambugu8292
    @morriswambugu8292 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki Ndacha,Hoja zako nzito sana.
    Halafu siri ya kuweka mafungu mingi hivo kwa kichwa ni gani?

    • @sawetito22
      @sawetito22 ปีที่แล้ว

      Kafiri ndacha

    • @walugoivan
      @walugoivan ปีที่แล้ว +1

      Mwalimu ndacha mungu akupe Barack

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 ปีที่แล้ว

      Kafiri utasema tu lakini ukweli ndio mchugu, utameza tu

  • @IreneNduta-qp6yg
    @IreneNduta-qp6yg ปีที่แล้ว +12

    True man of God Ndacha.

  • @vascoaloycekihwele9724
    @vascoaloycekihwele9724 ปีที่แล้ว +18

    Ndacha unapoteza mda na mazinge... (1 Corinthians 2:11) Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mung.
    (1 Corinthians 2:12) Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na MUNGU.
    So mazinge ni wale wayahudi unategemea aelewe vip ingawaje Iko clear?

  • @francojuma5762
    @francojuma5762 ปีที่แล้ว +2

    Good teaching thumbs up

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 15 วันที่ผ่านมา

    Yesu ni Mungu, Yesu ni Mwana wa Mungu Yoh 1:18, Isay 9:6.Amen

  • @yusuphlule5254
    @yusuphlule5254 ปีที่แล้ว +35

    Poleni Sana ndugu zetu waislamu kwa Hilo giza lililowafunika kwakweli MUNGU AWASAIDIE KWAKWELI MAANA BAADA YA YOTE KUNA HUKUMU MBAYA SANA ,NA KWAKEJELI MLIZONAZO!

    • @cabylake2320
      @cabylake2320 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo mungu awaongoze wa kristo wote

    • @rahel6725
      @rahel6725 ปีที่แล้ว

      Niwashindani aki Kama mishipa imgn umesomewa ukweli lkn we bado wakosa kuamini

    • @yasinrock1635
      @yasinrock1635 ปีที่แล้ว +1

      Naww pole sana kwakuwa aujui

    • @naataliagrande2787
      @naataliagrande2787 ปีที่แล้ว

      Ww hujielewii, mungu ni mmoja tu hata mseme vipi

    • @naataliagrande2787
      @naataliagrande2787 ปีที่แล้ว

      Bibilia imeandikwa tu, zengine ni za uongoo oooo 😂

  • @reginakarambu8902
    @reginakarambu8902 ปีที่แล้ว +12

    Barikiwa mwalimu dacha Ata Mimi ninatamani sana kujua mengi kuhusu bibilia

    • @ahmedysalah2957
      @ahmedysalah2957 9 หลายเดือนก่อน

      Anawapoteza ndacha hamsikii hamuoni yesu sio mungu,yesu anasema na uzima wamilele ndio huu wakujue mungu wa pekee wa kweli,acheni kupotezwa kuweni waislamu mpate salama

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 4 หลายเดือนก่อน

      YESU KRISTO ni MUNGU

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 5 หลายเดือนก่อน

    Pasteur Francis ndacha soit béni abondamment par notre seigneur et Dieu Jésus Christ

  • @egglinenaliaka9372
    @egglinenaliaka9372 ปีที่แล้ว +1

    Amina jina la bwana litukuzwe. Ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu

    • @adamsaid-ze1jw
      @adamsaid-ze1jw 9 หลายเดือนก่อน

      Inalilah wainalilah laijion

  • @DanielApologeticsSwahili
    @DanielApologeticsSwahili 7 หลายเดือนก่อน +5

    Yesu ndiye Mfalme mkuu.
    Mbarikiwe wote!!!

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +8

    Pogezi sana mwalimu dacha yaani majibu na mwawali yanatokana na bibilia ,nitabaki kuwa muamini wamwenyezi mungu ambaye ndiye mungu,musabato

  • @-q127
    @-q127 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha Mungu akusaidie sana maana hawo watu kuelewa nishida ,naukweli unaonekana lkn ushidani ndo kwingi kwao,

  • @cabrandybebz2468
    @cabrandybebz2468 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah akubarik shekh mazinge

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 ปีที่แล้ว +16

    Hamuna hoja yoyote mazigi Hana finishing 🤔🤔

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha umenyooka sana hukupindapinda nenda na ukweli huohuo ,mijadala hiyo ni njia nzuri sana ya kuihubiri lnjili

  • @amanicarlumehabel7575
    @amanicarlumehabel7575 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependezwa na hiyo kwamba "Tutawanywesha huyu yesu mpaka mmjue" hapa kweli waislamu waislamu ni wazi kuwa Biblia inawachanganya

  • @user-hl3gp6tc6m
    @user-hl3gp6tc6m 4 หลายเดือนก่อน

    Very true Mr. Ndacha. Now I know why JESUS the desiples that better you who understand these revelations, others will just look without understanding. JESUS IS LORD

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 3 หลายเดือนก่อน

      Jesus sio Lord Wacha kupotezwa na ndacha sasa nani alikua Mungu wa Mariam kabla amzae Yesu,munakufuru lakin mtajibiwa inshallah.

  • @johnabamungu5984
    @johnabamungu5984 ปีที่แล้ว +8

    Samahani sana kwa hili neno ila naomba tu niseme. Kwa sababu nime shangaa huyu anaye itwa mazinge .hajuwi lolote kabisa kwa sababu hoja za ndacha zina heshimu kichwa cha mada. Yeye kaenda inje na kukurupuka bure.tuna fataka walimu wakislamu lakini huyu ni oyvo kabisa. Mada ina ongeleya uungu wa yesu. Ina maana haitakiwi ku zungumziwa kimwili.

    • @benedictfabian4209
      @benedictfabian4209 ปีที่แล้ว +2

      Amezidiwa mada ndio mana anahangaika. Ni wa kumuonea huruma tu kwa kukosa ufahamu. Vile anapotosha umati wa kiislamu.

    • @IbrahimMwinyi
      @IbrahimMwinyi ปีที่แล้ว

      Mkishindwa wakiristo mnakimbilia kiroho kwan ss pia tun roh kwaiy si ni Waung pia tun roh pia

    • @IbrahimMwinyi
      @IbrahimMwinyi ปีที่แล้ว

      Mkishindwa wakiristo mnakimbilia kiroho kwan ss pia tun roh kwaiy si ni Waung pia tun roh

    • @IbrahimMwinyi
      @IbrahimMwinyi ปีที่แล้ว

      Mkishindwa wakiristo mnakimbilia kiroho kwan ss pia tun roh kwaiy si ni Waung pia tun roh

    • @-q127
      @-q127 ปีที่แล้ว

      Nakwambia huyu mazinge hajui kabisa anacho kisema yuko aut na mada 😮😮

  • @yassirkhamis-kx1xk
    @yassirkhamis-kx1xk 8 หลายเดือนก่อน +4

    Laailaaha illallah muhammadurrasuulullah

  • @user-vg7pp6xp2g
    @user-vg7pp6xp2g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa Allah Ustadh mazinge Allah akubariki nakuaminia uko vizuri sana wape aya hao.😂

  • @user-zv8hb1zc3j
    @user-zv8hb1zc3j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutie nguvu mwalimu mazinge

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 ปีที่แล้ว +4

    mazinge anaelewa alichofundicha Ndacha, shida n uma unaomwamini ndacha utamwonaje atakpkbali uhalali wa Yesu Mungu? kweli awa watu hawana Roho wanaongozwa 'na elmu 'na utashi tu. Ubabe fanyeni ila Yesu Bwana.

    • @bullermgana213
      @bullermgana213 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/LZo12XUHk-w/w-d-xo.html nani kaelewa zaid hapa

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 ปีที่แล้ว +19

    Heee this a teacher bibilia sikukuwa naijuwa lkn nimeanza kuishika Kwa sababu ya ndacha

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 ปีที่แล้ว +2

    I love this..🥰🥰🥰 mungu milele

  • @CharlesPaul-g6o
    @CharlesPaul-g6o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubarki mchungaji

  • @barakacharo5967
    @barakacharo5967 ปีที่แล้ว +15

    Ndacha amemchapa mazinge vizuri sana ,ingili inaendelea mbele amen 👏🙏🙏

    • @mwanahija968
      @mwanahija968 11 หลายเดือนก่อน

      Amemchapa na nini nyinyi mtoni direct yesu io sku ataingia peponi bila kuwangalia

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน

      Hawez kumshnda maznge kwa hoja

    • @AnuarMakame-iy2gy
      @AnuarMakame-iy2gy 7 หลายเดือนก่อน

      Siku ambayo nabii issa ataingia peponi naziona vile sura za wale walowakimwita mungu watakavyofedheheka mbele ya Allah 🤣😂😂😂😂

    • @jofreykabobe
      @jofreykabobe 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@AnuarMakame-iy2gy Nyie waabudu mashetani na majini na wapinga kristo pepo mtaisikia tu kama ndugu zenu wayahudi waliomkataa Yesu

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 ปีที่แล้ว +8

    Mwalimu Ndacha barikiweni na team yako kwa kazi mzuri mnafanya kufundisha na kuelimisha watu.

    • @akbarbigirimana6280
      @akbarbigirimana6280 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndo hamunaga ubongo kweli yani mungu wenu kazaliwa

    • @akbarbigirimana6280
      @akbarbigirimana6280 ปีที่แล้ว

      Yani mungu wenu anawajombo mashangazi wababu ujinga kweli kisha wewe ninani yake

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 ปีที่แล้ว +1

    Kwahivo waislamu mungu wenu ,Hana meno,hawezi kutembea kwenda msalani Hadi abebwe, yuko na mvi kichwa chote mwili umenyauka kwasababu tangu aumbe ulimwengu Hadi sas ni kitambo amezeeka sana anasubiri sku zake za kufa ,kwa jinsi mnavyo muangalia mungu kimwili alienda kwa harusi,alitahiriwa ,alikula chakula akaenda choo Yan mnashsngaza sana!!!

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

      We unachekesha sana huyo mungu aende msalani kwani kaumbwa kajiumba. Sasa ajipe shida ya nini kwani yeye ni kiumbe. Wallahi kumbe nyinyi hamjielewi

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

      Eti ajiwekee meno kwani anakula hahahaaa

  • @user-vo3ni9so7e
    @user-vo3ni9so7e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Christianity is quite deep and some of our brothers can't comprehend .. especially the people of the other side . God take human body in order to reach human being.. but he is God taking human body to reach to human ... That's why he sleeps and eat . But he is God in human nature to reach human .

  • @buyoyafrank8831
    @buyoyafrank8831 ปีที่แล้ว +5

    Neno ni yesu 🎊

  • @kilondajohn
    @kilondajohn ปีที่แล้ว +27

    Ndasha nalikua muslum kuanzia APA n'a amini Christ kuwa mungu

  • @user-hb8mu6tz5k
    @user-hb8mu6tz5k 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mazinge fundisha hao waliopotea😢😢😢

  • @fanuelemanuel3623
    @fanuelemanuel3623 ปีที่แล้ว +8

    Watu wanapenda vip ambavyo havoko hai yesu Ni mungu ukweli upo kwenye biblia

    • @AnuarMakame-iy2gy
      @AnuarMakame-iy2gy 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni mtume ukweli upo katika qurani

    • @jofreykabobe
      @jofreykabobe 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@AnuarMakame-iy2gywakristo hatutumii Quran tunatumia Biblia ndomana sisi hatumjui Issa tunamjua Yesu

  • @celestinekerubo4839
    @celestinekerubo4839 10 หลายเดือนก่อน +5

    Thank u pastor ndacha conntue teaching them in Truth and spirit because their eyes are still closed.

  • @SundayChilango-wg1tp
    @SundayChilango-wg1tp ปีที่แล้ว +1

    Poleni waislam kwa kukosa ufunuo wa mungu awaoba mungu awasaidie

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

      Polemic nyinyi wakristo kwenye finishing ndo amekumalizeni kabisa

  • @shanxander4721
    @shanxander4721 หลายเดือนก่อน

    je suis ravi de joie de pouvoir retrouve cette chaine

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +32

    Tumsifu Yesu Kristo kila Wakati Wapendwa 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 ปีที่แล้ว +1

      Goa has no clan

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +2

      ​@@Hussayn21 ndio Mwenyezi Mungu hana ukoo...lkn je unamfahamu Yesu Kristo ktk Roho na Mwili,,, au unamjua ktk Mwili tu?

    • @jesselingzzy6537
      @jesselingzzy6537 11 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa Yesu na Mungu nan wakupewa sifa?

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@jesselingzzy6537 Yesu na Mungu ni huyo huyo...kwa Sababu kabla Duniani haijaumbwa Yesu alikuwepo toka Zamani Mnoo alikuwa Roho,,, ila baadae kbs Yesu Kristo alivyokuja Duniani alizaliwa na bikira Maria (Mariam) hapo alikuwa Mwili ndio Maana alikuwa amekuja km umbo la binadamu

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@jesselingzzy6537 kwa Kifupi ni Kwamba kuna Mungu Mmoja tu ila amegawanyika Ktk nafsi 3... 1.Mungu Baba,,, 2.Mungu Mwana,, 3.Mungu Roho Mtakatifu ...hapo Sijui umeelewa Vzr au

  • @zuhuramabd2255
    @zuhuramabd2255 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mzee anafanya makusud anajifanya haelewi ......hayuko sirious n mzaha2 ....haina haja kufanya mkutano na huyu mzee ..ameambiwa kila k2 lkn haelewi

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 ปีที่แล้ว +2

      Roho ya mpinga kristo ndiyo inawasumbua hawana namna ya kujiyoa humo bila neema take Bwana

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 ปีที่แล้ว

      Nyie mkizidiwa mnajidai roho au mwili. Wakristo bwana very funny!

  • @user-gy6xz5xh3f
    @user-gy6xz5xh3f ปีที่แล้ว +1

    IN SHA ALLAH Ndacha Stasilimu Ktk Mikono Ya Shekhe Mazinge Hivi Karibuni

    • @davidkombo2377
      @davidkombo2377 ปีที่แล้ว +1

      Kidogo nilikuwa na slimy lakini kuanzia Leo nimeona mwanga kwa wakristu

    • @nininahazwedonavine3349
      @nininahazwedonavine3349 ปีที่แล้ว

      ​@@davidkombo2377 Amen

    • @AnuarMakame-iy2gy
      @AnuarMakame-iy2gy 7 หลายเดือนก่อน

      @@davidkombo2377 we ndo wale wale bana tuachie dini yetu ya uislam hatutaki wanafiki uku

  • @khadijaally-fv7bh
    @khadijaally-fv7bh 7 หลายเดือนก่อน

    ALLAH Akubariki sana ALLAH Akuhifadhi ustadhi mazinge

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 ปีที่แล้ว +9

    mtumishi ndacha barikiwa Sana

  • @theChristshow1
    @theChristshow1 ปีที่แล้ว +29

    Jesus is king of king and lord of Lords

    • @janewangui6998
      @janewangui6998 ปีที่แล้ว

      Lord of lords**

    • @abdikafarabdullahi603
      @abdikafarabdullahi603 ปีที่แล้ว +2

      If Jesus is lord who is lord of his mother

    • @orotancnelly3047
      @orotancnelly3047 ปีที่แล้ว

      AMEN 🙏

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 5 หลายเดือนก่อน

      If Jesus is lord of lords who was he praying to? Who was the lord of his mother?. Why did the lord died?. Is jesus God or son of God? . Actually lots of confusion in this religion

  • @user-sn2ym6pf5o
    @user-sn2ym6pf5o 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana ndacha wa islam amujuwi bibiriya kutairiwa siyo munavojuwa apana

  • @RODGERSNGOO
    @RODGERSNGOO 11 วันที่ผ่านมา

    Allah ampe maisha marefu sheikh mazinge

  • @leahbaatjes4215
    @leahbaatjes4215 ปีที่แล้ว +5

    Just imagine anasema. .. mjapani katengeneza gari. .kwa mfano wake inaingia akilini kweli? ? Hawa waislam huwa wanatumia akili kweli? ?