Yani kuna watu wana mioyo migumu kama mawe kweli manabii walipata kazi kubwa sana mimi nilifikiri kwa somo hili watu wangetoa ushahidi wakuonyesha yesu kazaliwa tr 25 lakini ni wapi haya mzee wa upako kawaongezea lingine yesu hakuwa mkristo na haja wahi kuingia kanisani bado tu ha mtaki kujifunza ndugu zetu 🙏
Wakiristo sikilizeni ukweli yapo kuwa unakumizeni lakini mtajuwa haki na kuweza kuifuwata tazameni makundi kwa makundi wanasilimu hao wazungu walokuwekeni hayo ndo wanasilimu kwa kujuwa ukweli msilets porojo za midomo someni
kweli waislamu tabu mnayo... ujue hakuna kazi ngumu duniani kama kufuatilia maisha ya mtu mwingine hiyo kazi mliyojipa waislamu ya kuuongelea ukiristo misikitini, lazima tuwape pole ni kazi ngumu sana
Wanaimba Yesu alibeba dhambi zao zoooote ,,hapo hapo anasema kila mtu atabeba fulushi lake mwenyewe ,,,,,,Kama alibeba dhambi zenu zoote pale msalabani kuna haja gani ya nyinyi kwenda kutubia kila jpili ?
Wewe bro ishi tu hapa duniani maisha ni mipango kama hata hizo PhD zenu zinavyopatikana. Huna uwezo wa kujadili juu ya tarehe ya kuzaliwa Yesu ukatumia Gregorian Calendar. Unashangaza sana brother
Iyo ni tarehe ya mutoto wa nimulodi na semilamizi njo kazaliwa tarehe 25 sasa wanajuwa makafiri yesu atajulikana wakabandika ili wasanganye ulimwengu😁😁😁 makafiri wananguvu zao bana Allah ndie kiboko yao atakuwa anawaabisha ivo ivo amezaliwa tamuzi wanabandika yesu kwasababu wanajuwa yesu ni stare wa Alllah atajulikana sana duniyani nimutihani
Tafuta mbinu nyingine ya kuhamasisha Watu waifuate Imani yako siyo kwa kukashifu Imani za Watu wengine kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Hivi unachoshangaa ni kipi hapo,yaani Mariam kuzaa na Miezi 6 ilihali hushangai kuzaa bila kuingiliwa kimwili.Ulipaswa kujua kuwa kwa Uwezo wa MUNGU anaweza kuzaa hata Mimba ikiwa na siku mbili.
We celebrate the birth our dear Prophet Issa A.S but we joined the date with the Christians but our intention is different and also, we don't celebrate as they do i.e. with sins. كتاب التفسير باب {قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ إِلَيْنَا} عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ كَانَ أَهْلُ الْكِتَابِ يَقْرَءُونَ التَّوْرَاةَ بِالْعِبْرَانِيَّةِ، وَيُفَسِّرُونَهَا بِالْعَرَبِيَّةِ لأَهْلِ الإِسْلاَمِ، فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " لاَ تُصَدِّقُوا أَهْلَ الْكِتَابِ وَلاَ تُكَذِّبُوهُمْ، وَقُولُوا {آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ} الآيَةَ". Narrated Abu Huraira: The people of the Scripture (Jews) used to recite the Torah in Hebrew and they used to explain it in Arabic to the Muslims. On that Allah's Messenger (ﷺ) said, "Do not believe the people of the Scripture or disbelieve them, but say:-- "We believe in Allah and what is revealed to us." (2.136) Reference: Sahih al-Bukhari 4485 In-book reference: Book 65, Hadith 12 USC-MSA web (English) reference: Vol. 6, Book 60, Hadith 12 لَّا يَنْهَاكُمُ اللَّهُ عَنِ الَّذِينَ لَمْ يُقَاتِلُوكُمْ فِي الدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَارِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوا إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ (8) كتاب أَهْلِ الْكِتَابِ بَابُ: كَيْفَ الرَّدُّ عَلَى أَهْلِ الذِّمَّةِ؟ عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ قَالَ: رُدُّوا السَّلاَمَ عَلَى مَنْ كَانَ يَهُودِيًّا، أَوْ نَصْرَانِيًّا، أَوْ مَجُوسِيًّا، ذَلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ يَقُولُ: {وَإِذَا حُيِّيتُمْ بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّوا بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا} . Ibn 'Abbas said, "Return the greeting to whomever it is, Jew, Christian, or Magian. That is because Allah says, 'When you are greeted with a greeting, greet with one better than it or return it.' (4:86)" Reference: Al-Adab Al-Mufrad 1107 In-book reference : Book 44, Hadith 7 English translation: Book 44, Hadith 1107 كتاب أَهْلِ الْكِتَابِ بَابُ: كَيْفَ يَدْعُو لِلذِّمِّيِّ؟ عَنْ عُقْبَةَ بْنِ عَامِرٍ الْجُهَنِيِّ، أَنَّهُ مَرَّ بِرَجُلٍ هَيْئَتُهُ هَيْئَةُ مُسْلِمٍ، فَسَلَّمَ، فَرَدَّ عَلَيْهِ: وَعَلَيْكَ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُهُ، فَقَالَ لَهُ الْغُلاَمُ: إِنَّهُ نَصْرَانِيٌّ، فَقَامَ عُقْبَةُ فَتَبِعَهُ حَتَّى أَدْرَكَهُ فَقَالَ: إِنَّ رَحْمَةَ اللهِ وَبَرَكَاتَهُ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ، لَكِنْ أَطَالَ اللَّهُ حَيَاتَكَ، وَأَكْثَرَ مَالَكَ وَوَلَدَكَ. 'Uqba ibn 'Amir al-Juhani passed by a man who looked like a Muslim who greeted him. 'Uqba answered him, saying, "And on you and the mercy of Allah and his blessings." His slave said to him, "He is a Christian." 'Uqba got up and followed him until he caught up to him. He said, "The mercy of Allah and His blessings are for the believers, but may Allah make your life long and give you much wealth and many children." Reference: Al-Adab Al-Mufrad 1112 In-book reference : Book 44, Hadith 12 English translation: Book 44, Hadith 1112 كتاب الأدب باب رَدِّ السَّلاَمِ عَلَى أَهْلِ الذِّمَّةِ عَنْ أَبِي عَبْدِ الرَّحْمَنِ الْجُهَنِيِّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ " إِنِّي رَاكِبٌ غَدًا إِلَى الْيَهُودِ فَلاَ تَبْدَءُوهُمْ بِالسَّلاَمِ فَإِذَا سَلَّمُوا عَلَيْكُمْ فَقُولُوا وَعَلَيْكُمْ ". It was narrated from Abu 'Abdur-Rahman Al Juhani that the Messenger of Allah(ﷺ) said: "I am riding to the Jews tomorrow. Do not initiate the greeting with them, and if they greet you, then say: Wa 'alaikum (and also upon you)". Reference: Sunan Ibn Majah 3699 In-book reference : Book 33, Hadith 43 English translation: Vol. 5, Book 33, Hadith 3699 كتاب التفسير باب {وَجَاوَزْنَا بِبَنِي إِسْرَائِيلَ الْبَحْرَ فَأَتْبَعَهُمْ فِرْعَوْنُ وَجُنُودُهُ بَغْيًا وَعَدْوًا حَتَّى إِذَا أَدْرَكَهُ الْغَرَقُ قَالَ آمَنْتُ أَنَّهُ لاَ إِلَهَ إِلاَّ الَّذِي آمَنَتْ بِهِ بَنُو إِسْرَائِيلَ وَأَنَا مِنَ الْمُسْلِمِينَ} عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ قَدِمَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم الْمَدِينَةَ وَالْيَهُودُ تَصُومُ عَاشُورَاءَ فَقَالُوا هَذَا يَوْمٌ ظَهَرَ فِيهِ مُوسَى عَلَى فِرْعَوْنَ. فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم لأَصْحَابِهِ " أَنْتُمْ أَحَقُّ بِمُوسَى مِنْهُمْ، فَصُومُوا ". Narrated Ibn `Abbas: When the Prophet (ﷺ) arrived at Medina, the Jews were observing the fast on 'Ashura' (10th of Muharram) and they said, "This is the day when Moses became victorious over Pharaoh," On that, the Prophet (ﷺ) said to his companions, "You (Muslims) have more right to celebrate Moses' victory than they have, so observe the fast on this day." Reference: Sahih al-Bukhari 4680 In-book reference: Book 65, Hadith 202 USC-MSA web (English) reference: Vol. 6, Book 60, Hadith 202 كتاب الصوم باب مَا رُوِيَ أَنَّ عَاشُورَاءَ الْيَوْمُ التَّاسِعُ يَقُولُ سَمِعْتُ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ عَبَّاسٍ، يَقُولُ حِينَ صَامَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَوْمَ عَاشُورَاءَ وَأَمَرَنَا بِصِيَامِهِ قَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ إِنَّهُ يَوْمٌ تُعَظِّمُهُ الْيَهُودُ وَالنَّصَارَى . فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " فَإِذَا كَانَ الْعَامُ الْمُقْبِلُ صُمْنَا يَوْمَ التَّاسِعِ " . فَلَمْ يَأْتِ الْعَامُ الْمُقْبِلُ حَتَّى تُوُفِّيَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم . Ibn 'Abbas said: When the Prophet (ﷺ) on the day of 'Ashurah and commanded us to fast on it, they (i.e. Companions) said: Messenger of Allah, this is a day which is considered great by Jews and Christians ? The Messenger of Allah (ﷺ) said: When the next year comes, we shall fast on the 9th of Muharram. But the next year the Messenger of Allah (ﷺ) breathed his last. Reference: Sunan Abi Dawud 2445 In-book reference: Book 14, Hadith 133 English translation: Book 13, Hadith 2439
Haimaanishi hiyo siku alopewa taarifa ya mimba na malaika ndo siku kapata mimba labda kashika mimba kabla na malaika katumwa kumtaarifu ili itakapo fika siku ya kujifungua asidhtuke akamdhuru mtoto
Wewe unafuata maandiko ya wapi jama sio kwenye kitabu?muda mwingine tuache uzuzu bali tutumie akili tu hizi za kawaida!unapewa somo tena unafafanuliwa toa kwenye hicho hicho kitabu ambacho unakiamini na kukifuatlia wewe lkn bado akili zako zinafundishwa nje ya kitabu!hivi uko sawa sawa wewe?
A salamaleykum dct sule nauliza suku za bwana yesu za kuzaliwa zingekuwa n'a ukweli wa kuzaliwa ungemuamini kuwa ni mungu ? Île niyakwanza ulizo la pili ikiwa huamini kuwa yesu ni mungu nani alisulubiwa n'a akazikwa n'a akafufuka n'a anashuhudiwa kuwa alipanda mbinguni ? Sio uyo bwanayesutu ? Nakufata kutoka uarabuni ndaamini kuamini nikugumu ila kuwa naoga ya kuwa yesu alikuwa wakati wewe uko tumboni mwa mama yako nauamini kuwa yesu anajuwa uzima wako n'a uamini kuwa yesu ana ku vumilia ili umuamini iliusije ukapotea katika moto wa millele
Inawezekana vp mung amekufa ila alichokiumba bado kipo hai hv inaingia akilin?kabla hujaleta hoja tafakar kwanza usiwatoe akili waliosoma na wenye kujua mpuuz ww
Hasa ndg zangu naona mnaropokwa tu yeye katoa ushahid wa kuwa yesu hajazaliwa tarehe hyo hasa kma ni uongo na nyie toeni ushahid wenu wa kuthibitsha kwamba yesu alizaliwa tarehe 25
Kwa hiyo ustaadh.. Maandiko na Sayansi ndo nini.. Kwa nini usitumie tu neno.. ALLAH anakataa uongo huoo?? Mana Sayansi yenyewe hata kwa YESU kuzaliwa bila Baba.. Nayo bado inakataa.. Isipokuwa ALLAH ndo anathibitisha kuwa YESU hana Baba... Ila Ana mama tu!!!
He studied and came to a conclusion. Will you also look at this objectively? Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. It still has many, many good lessons. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
Nyinyi waislam mnaojiita waswahili sawa nyie waswahili hatukatai..mbna mlisema msemo kua mtu pili pili asioila inamuashia nn... sai unajadili kitu usichokila kwann ama nibiashara unaganya wataka viewers
Ongelea uislam ..hata mtume Muhammad alikuwa hajuwi kusoma..akiwa na miaka 14 alikuja mfanyakazi WA Hadija jimama....ukiwa kwenye dini tarehe zote zilibadilishwa..hata uislam siku yakuswari ni jumamosi..iweje mnasari ijumaa...na koran ni biblia ya 1 yawakristo..inamana uislam NI ukristo 1... angalia biblia utaona inasomeka kulia kwenda kushoto..na dini ya ukristo niyawzungu na uislam waarbu...tunaiga mpaka aibu..acheni dini zilizolazimishwa kiutumwa...Kwa ujinga mpaka tunachukiana kwajli ya dini ambazo hazituhusu kabsaa .dini za bara nyingine..tutafute zetu zatanzania kama China na India..utumwa cyo
Shida yako hufahamu historia ya kalenda ya dunia na unapohoji kwamba tar hzo za sikukuu lazima ziwepo ndani ya biblia nyie waislam MNA sikukuu nyingi nioneshe hata moja ndani ya qurani
jamaangu sikupingi lakin nasema namuomba Mungu alie mkuu wa vyote ambae bila yeye hakuna kilichoumbwa wala kilichokuwapo namuomba akusamehe kwasababu hujamjua tuu brother! huwezi ukasema Yesu alikua anajikojolea kama watu wengine ingali sisi kama wafuasi wake na watoto wake tunamtambua kua yeye ni Mungu mwenye nguvu, ni Baba wamilele na niMfalme wa amani! so..aisee brother nakwambia hakuna Mungu aliye kama yeye sipo kimapenzi ya dini yangu hapana namzungumzia Bwana wa majeshi nnae mjua ninauhakika nae kwahiyo usipotoshe watu walio wachanga kiimani wakakuamini kua Yesu sio Mungu brother utalijibia hili skufichi lakini wengine wooote nawaelezeni yakua Yesu Kristo ndiye Alfa na Omega yaani MWANZO NA MWISHO ukimkubali kua awe Bwana na mwokozi wa maisha yako unaokolewa na ghadhabu itakayokuja. LAKINI UKIWA NA SHINGO NGUMU MPAKA HAPO AISEE SAWA! NIHASARA YAKO HIYO KUTUPWA KWENYE MOTO WA MILELE
Sasa ndugu yangu kama yesu ni Mungu kwahyo dunia ilikuwa ina Mungu wawili na je kama yesu ndo Mungu wako alipokufa dunia ilikuwa ikiendeshwa na nani...
Kabla ya kufundisha fanya utafiti wa kutosha kuhusu karenda mbalimbali zilizotumika kwa nyakati mbalimbali neno mwezi wa sita sio mwezi June kaka yangu Dr. Sule ila ni distance between kuja kwa malaika kwa Zakaria kuhusu mimba ya Elizabeth na Mariam (June ni karenda ya pope Gregory 1582 juzi miaka 1582 baada ya Yesu kuzaliwa 1.The Gregorian calendar is the calendar used in most of the worl introduced in October 1582 by Pope Gregory XIII as a modification of the 2.Julian calendar, reducing the average year from 365.25 days to 365.2425 days, and adjusting for the drift in the 3. 'tropical' or 'solar' year that the inaccuracy had caused during the intervening centuries. 4.Lunner calendar
Allah akuhifadhi.tunakupata Sasa hivi midnight hapa 🇸🇦 jazakallah!!
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Nenden ktk video mzee wa upako kuhusu yesu hajawah kwenda kanisan Wala hakuwa mkristo Ila ni watu kwaajili yaoii
Masha"Allah helimu kubwa Dr sule
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
MASHAALLAH.TABARAKALLAH.NAKUPATA.100/100
Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Allahu Akbar
Walillahil-hamdu
Shemeji unatisha mashalah allaha akupe maisha marefu
Swadakta Dr tupo pamoja 🙏
Allah akubariki
Huyu Mzee kapngawa..na lunga ya kiirabu wanao iita wao ni lunga ya mungu...haw waislam hawan utofaut na wakina Hawa nk..n xhd
Hovyoo
Yani kuna watu wana mioyo migumu kama mawe kweli manabii walipata kazi kubwa sana mimi nilifikiri kwa somo hili watu wangetoa ushahidi wakuonyesha yesu kazaliwa tr 25 lakini ni wapi haya mzee wa upako kawaongezea lingine yesu hakuwa mkristo na haja wahi kuingia kanisani bado tu ha mtaki kujifunza ndugu zetu 🙏
Yesu hakuzaliwa tarehe 25/12 niuongo usiopingika kwani Yesu hakuzaliwa njiti shkhe anasema kweli
Mashaallah
Wakiristo sikilizeni ukweli yapo kuwa unakumizeni lakini mtajuwa haki na kuweza kuifuwata tazameni makundi kwa makundi wanasilimu hao wazungu walokuwekeni hayo ndo wanasilimu kwa kujuwa ukweli msilets porojo za midomo someni
Kabisa
Kol lol waambie hao!! Wao ubishi tuu badala wachukuwe fursa kusikiliza wao wanawaza tu kutosikiliza lakini kubisha tuu!
Polesana
Tetea hoja
Hata mimi najua huu ndoukweli ila kunawatu hapa bado watapinga cjui waafrika tumeshikiwa na nani akiri zetu ona tu hata kwenye chanjo huku.
Mtihani Wallah
kweli waislamu tabu mnayo... ujue hakuna kazi ngumu duniani kama kufuatilia maisha ya mtu mwingine hiyo kazi mliyojipa waislamu ya kuuongelea ukiristo misikitini, lazima tuwape pole ni kazi ngumu sana
Wanaimba Yesu alibeba dhambi zao zoooote ,,hapo hapo anasema kila mtu atabeba fulushi lake mwenyewe ,,,,,,Kama alibeba dhambi zenu zoote pale msalabani kuna haja gani ya nyinyi kwenda kutubia kila jpili ?
Mtihani Wallah
Wewe bro ishi tu hapa duniani maisha ni mipango kama hata hizo PhD zenu zinavyopatikana. Huna uwezo wa kujadili juu ya tarehe ya kuzaliwa Yesu ukatumia Gregorian Calendar. Unashangaza sana brother
Yesu kazaliwa mwezi 3
Duh
MashaAllah, Sasa huyu Xmas NI Nani?
Mashaallah huyo ni Meza Ya watu
@@zvpOnlineTv ya watu kumi tena!!
Iyo ni tarehe ya mutoto wa nimulodi na semilamizi njo kazaliwa tarehe 25 sasa wanajuwa makafiri yesu atajulikana wakabandika ili wasanganye ulimwengu😁😁😁 makafiri wananguvu zao bana Allah ndie kiboko yao atakuwa anawaabisha ivo ivo amezaliwa tamuzi wanabandika yesu kwasababu wanajuwa yesu ni stare wa Alllah atajulikana sana duniyani nimutihani
Tafuta mbinu nyingine ya kuhamasisha Watu waifuate Imani yako siyo kwa kukashifu Imani za Watu wengine kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Hivi unachoshangaa ni kipi hapo,yaani Mariam kuzaa na Miezi 6 ilihali hushangai kuzaa bila kuingiliwa kimwili.Ulipaswa kujua kuwa kwa Uwezo wa MUNGU anaweza kuzaa hata Mimba ikiwa na siku mbili.
Wewe ulikuwepo miaka hiyo?au ni simulizi tu ulizohadithiwa
Hlf naomba usimfananishe Kristo Yesu Masihi na huyo mtume wako Muhammad, ni vitu viwili tofauti, kama mbingu na ardhi, hawafanani hata kwa nukta 1
Acha kuleta malalamiko tetea hoja Kwa maandiko
🤣🤣🤣ndio hap akili yake ilipo ishia
Jamaa kama alikuwepo hyo tarehe 25😂😂😂😂
Kwa nini mijadala ya imani zaidi ni dhidi ya Yesu?Je walio wa Yesu mbona hawawasumbukii wengine?
We celebrate the birth our dear Prophet Issa A.S but we joined the date with the Christians but our intention is different and also, we don't celebrate as they do i.e. with sins.
كتاب التفسير
باب {قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ إِلَيْنَا}
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ قَالَ كَانَ أَهْلُ الْكِتَابِ يَقْرَءُونَ التَّوْرَاةَ بِالْعِبْرَانِيَّةِ، وَيُفَسِّرُونَهَا بِالْعَرَبِيَّةِ لأَهْلِ الإِسْلاَمِ، فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " لاَ تُصَدِّقُوا أَهْلَ الْكِتَابِ وَلاَ تُكَذِّبُوهُمْ، وَقُولُوا {آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ} الآيَةَ".
Narrated Abu Huraira:
The people of the Scripture (Jews) used to recite the Torah in Hebrew and they used to explain it in Arabic to the Muslims. On that Allah's Messenger (ﷺ) said, "Do not believe the people of the Scripture or disbelieve them, but say:-- "We believe in Allah and what is revealed to us." (2.136)
Reference: Sahih al-Bukhari 4485
In-book reference: Book 65, Hadith 12
USC-MSA web (English) reference: Vol. 6, Book 60, Hadith 12
لَّا يَنْهَاكُمُ اللَّهُ عَنِ الَّذِينَ لَمْ يُقَاتِلُوكُمْ فِي الدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَارِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوا إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ (8)
كتاب أَهْلِ الْكِتَابِ
بَابُ: كَيْفَ الرَّدُّ عَلَى أَهْلِ الذِّمَّةِ؟
عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ قَالَ: رُدُّوا السَّلاَمَ عَلَى مَنْ كَانَ يَهُودِيًّا، أَوْ نَصْرَانِيًّا، أَوْ مَجُوسِيًّا، ذَلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ يَقُولُ: {وَإِذَا حُيِّيتُمْ بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّوا بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا}
.
Ibn 'Abbas said, "Return the greeting to whomever it is, Jew, Christian, or Magian. That is because Allah says, 'When you are greeted with a greeting, greet with one better than it or return it.' (4:86)"
Reference: Al-Adab Al-Mufrad 1107
In-book reference : Book 44, Hadith 7
English translation: Book 44, Hadith 1107
كتاب أَهْلِ الْكِتَابِ
بَابُ: كَيْفَ يَدْعُو لِلذِّمِّيِّ؟
عَنْ عُقْبَةَ بْنِ عَامِرٍ الْجُهَنِيِّ، أَنَّهُ مَرَّ بِرَجُلٍ هَيْئَتُهُ هَيْئَةُ مُسْلِمٍ، فَسَلَّمَ، فَرَدَّ عَلَيْهِ: وَعَلَيْكَ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُهُ، فَقَالَ لَهُ الْغُلاَمُ: إِنَّهُ نَصْرَانِيٌّ، فَقَامَ عُقْبَةُ فَتَبِعَهُ حَتَّى أَدْرَكَهُ فَقَالَ: إِنَّ رَحْمَةَ اللهِ وَبَرَكَاتَهُ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ، لَكِنْ أَطَالَ اللَّهُ حَيَاتَكَ، وَأَكْثَرَ مَالَكَ وَوَلَدَكَ.
'Uqba ibn 'Amir al-Juhani passed by a man who looked like a Muslim who greeted him. 'Uqba answered him, saying, "And on you and the mercy of Allah and his blessings." His slave said to him, "He is a Christian." 'Uqba got up and followed him until he caught up to him. He said, "The mercy of Allah and His blessings are for the believers, but may Allah make your life long and give you much wealth and many children."
Reference: Al-Adab Al-Mufrad 1112
In-book reference : Book 44, Hadith 12
English translation: Book 44, Hadith 1112
كتاب الأدب
باب رَدِّ السَّلاَمِ عَلَى أَهْلِ الذِّمَّةِ
عَنْ أَبِي عَبْدِ الرَّحْمَنِ الْجُهَنِيِّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ " إِنِّي رَاكِبٌ غَدًا إِلَى الْيَهُودِ فَلاَ تَبْدَءُوهُمْ بِالسَّلاَمِ فَإِذَا سَلَّمُوا عَلَيْكُمْ فَقُولُوا وَعَلَيْكُمْ ".
It was narrated from Abu 'Abdur-Rahman Al Juhani that the Messenger of Allah(ﷺ) said:
"I am riding to the Jews tomorrow. Do not initiate the greeting with them, and if they greet you, then say: Wa 'alaikum (and also upon you)".
Reference: Sunan Ibn Majah 3699
In-book reference : Book 33, Hadith 43
English translation: Vol. 5, Book 33, Hadith 3699
كتاب التفسير
باب {وَجَاوَزْنَا بِبَنِي إِسْرَائِيلَ الْبَحْرَ فَأَتْبَعَهُمْ فِرْعَوْنُ وَجُنُودُهُ بَغْيًا وَعَدْوًا حَتَّى إِذَا أَدْرَكَهُ الْغَرَقُ قَالَ آمَنْتُ أَنَّهُ لاَ إِلَهَ إِلاَّ الَّذِي آمَنَتْ بِهِ بَنُو إِسْرَائِيلَ وَأَنَا مِنَ الْمُسْلِمِينَ}
عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ قَدِمَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم الْمَدِينَةَ وَالْيَهُودُ تَصُومُ عَاشُورَاءَ فَقَالُوا هَذَا يَوْمٌ ظَهَرَ فِيهِ مُوسَى عَلَى فِرْعَوْنَ. فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم لأَصْحَابِهِ " أَنْتُمْ أَحَقُّ بِمُوسَى مِنْهُمْ، فَصُومُوا ".
Narrated Ibn `Abbas:
When the Prophet (ﷺ) arrived at Medina, the Jews were observing the fast on 'Ashura' (10th of Muharram) and they said, "This is the day when Moses became victorious over Pharaoh," On that, the Prophet (ﷺ) said to his companions, "You (Muslims) have more right to celebrate Moses' victory than they have, so observe the fast on this day."
Reference: Sahih al-Bukhari 4680
In-book reference: Book 65, Hadith 202
USC-MSA web (English) reference: Vol. 6, Book 60, Hadith 202
كتاب الصوم
باب مَا رُوِيَ أَنَّ عَاشُورَاءَ الْيَوْمُ التَّاسِعُ
يَقُولُ سَمِعْتُ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ عَبَّاسٍ، يَقُولُ حِينَ صَامَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَوْمَ عَاشُورَاءَ وَأَمَرَنَا بِصِيَامِهِ قَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ إِنَّهُ يَوْمٌ تُعَظِّمُهُ الْيَهُودُ وَالنَّصَارَى . فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " فَإِذَا كَانَ الْعَامُ الْمُقْبِلُ صُمْنَا يَوْمَ التَّاسِعِ " . فَلَمْ يَأْتِ الْعَامُ الْمُقْبِلُ حَتَّى تُوُفِّيَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم .
Ibn 'Abbas said:
When the Prophet (ﷺ) on the day of 'Ashurah and commanded us to fast on it, they (i.e. Companions) said: Messenger of Allah, this is a day which is considered great by Jews and Christians ? The Messenger of Allah (ﷺ) said: When the next year comes, we shall fast on the 9th of Muharram. But the next year the Messenger of Allah (ﷺ) breathed his last.
Reference: Sunan Abi Dawud 2445
In-book reference: Book 14, Hadith 133
English translation: Book 13, Hadith 2439
Pilipili ya shamba yakuwashia nini brother acha kupiga mayowe
wape dozi
Sannah
Naamm huo ndio hukweli usio fichika
Sannah
Towatarehewewe
Acha jazba
Haimaanishi hiyo siku alopewa taarifa ya mimba na malaika ndo siku kapata mimba labda kashika mimba kabla na malaika katumwa kumtaarifu ili itakapo fika siku ya kujifungua asidhtuke akamdhuru mtoto
Mkiristo hawezi elewa kitu hapo.. Mkate wa kanisa unaochanganywa na mashonde mavi makavu watamuachia nani
Kabisa
Uwislam hatuwez kuuweka pemben Shekh Sule
Hahaaa mavi makavu tena yeuwiii Mungu tustiri sie wallah
Hao wanaofungua fungua milango wanatuzingua maana sauti za milango zinatuchanganya
Huyu ndo doctor Sulle sasa kwa wasiomfahamu! Mtaalam wa historia hapa Tanzania, Africa na Dunia! Hutaki unaacha!
Mm mwenyewe ni mkrisho lakn uyu mwamba atanipeleka kwenye din ya haki
Huo ndio ukweli.
Sannah
😂😂😂😂
Majibuhatuyaon
Tetea hoja acha jazba
mpaka waseme tu nawatasema
MNAEMUONA ANAJUA SANA NAE AMEKARIRI KUTOKA KWENYE KITABU CHA WAARABU..
Wewe unafuata maandiko ya wapi jama sio kwenye kitabu?muda mwingine tuache uzuzu bali tutumie akili tu hizi za kawaida!unapewa somo tena unafafanuliwa toa kwenye hicho hicho kitabu ambacho unakiamini na kukifuatlia wewe lkn bado akili zako zinafundishwa nje ya kitabu!hivi uko sawa sawa wewe?
Mnasherehekea maulid ipo wap katka Quran
UMEʟɪᴇʟᴇᴡᴀ sᴏᴍᴏ ɪʟᴏ ᴋᴡᴀɴᴢᴀ sɪᴏ ᴜɴᴀᴋᴜᴊᴀ ᴋᴛᴋ ᴍᴀᴜʟɪᴅ ᴋᴡɴᴢ ᴜᴍᴇᴇʟᴇᴡᴀ ɪʟᴏ
Somo La Kwanza Umeelewa Ili Tuhame Mada
ndugu zetu rudini kwenye uislamu.hapa kwenye mada hii hatoki mtu.
Rudi Kwenye Mada Yamsingi. Kisha Njoo Nahiyo Madayako Ya Maulid Uelimishwe. Wacha Kudandia Gari Kwambele Utaanguka
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
Usichojua ni kujadili tarehe nan miezi iliyowekwa na haohao wakakristo. Mbona hilo hulisemi kuwa huu mwaka 2021 ni dogma
Tetea hoja
@@zvpOnlineTvnaomba ufafanue vizur apo kwenye siku arobaini 3 Zenye miezi minne zenye wiki 28? Mbona Kama hesabu zako haziko sawa
A salamaleykum dct sule nauliza suku za bwana yesu za kuzaliwa zingekuwa n'a ukweli wa kuzaliwa ungemuamini kuwa ni mungu ? Île niyakwanza ulizo la pili ikiwa huamini kuwa yesu ni mungu nani alisulubiwa n'a akazikwa n'a akafufuka n'a anashuhudiwa kuwa alipanda mbinguni ? Sio uyo bwanayesutu ? Nakufata kutoka uarabuni ndaamini kuamini nikugumu ila kuwa naoga ya kuwa yesu alikuwa wakati wewe uko tumboni mwa mama yako nauamini kuwa yesu anajuwa uzima wako n'a uamini kuwa yesu ana ku vumilia ili umuamini iliusije ukapotea katika moto wa millele
Inawezekana vp mung amekufa ila alichokiumba bado kipo hai hv inaingia akilin?kabla hujaleta hoja tafakar kwanza usiwatoe akili waliosoma na wenye kujua mpuuz ww
Hasa ndg zangu naona mnaropokwa tu yeye katoa ushahid wa kuwa yesu hajazaliwa tarehe hyo hasa kma ni uongo na nyie toeni ushahid wenu wa kuthibitsha kwamba yesu alizaliwa tarehe 25
mwenyezimungu atusamehe wajawake
Kwa hiyo ustaadh.. Maandiko na Sayansi ndo nini.. Kwa nini usitumie tu neno.. ALLAH anakataa uongo huoo?? Mana Sayansi yenyewe hata kwa YESU kuzaliwa bila Baba.. Nayo bado inakataa.. Isipokuwa ALLAH ndo anathibitisha kuwa YESU hana Baba... Ila Ana mama tu!!!
Kwani mwezi wa sita mpaka 25/12/2021 kuna miezi ngapi hapo?Hilo nalo laitaji elimu ya chuo kikuu?
Dr Tapeli unaacha uganga?
Acha jazba tetea hoja
He studied and came to a conclusion. Will you also look at this objectively? Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. It still has many, many good lessons. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
Tell me the last names of all the other prophets bar Muhammad
Umepatakichaaakabisa
Tetea hoja
Ushaskia utazaa kwa jina Mungu wewe umeongelea biology ya duniani ni vitu tofaut kabisa mungu wanauwezo zaid ya hyo biology ya duniani 😂😂😂
Acha ujinga haikuhusu
Tetea hoja acha jazba
Nyinyi waislam mnaojiita waswahili sawa nyie waswahili hatukatai..mbna mlisema msemo kua mtu pili pili asioila inamuashia nn... sai unajadili kitu usichokila kwann ama nibiashara unaganya wataka viewers
Tetea hoja acha jazba
Tataz mna mchafua shee wetu yesu mnamfanya mkristo
Kichwa chako kimejaa maji rafiki yangu usikosoe watu wanao fundish wengine wew kam unaakili san kaa kwa kutulia
Ngoma haiwahusu mnaicheza Yann? Cc tumeisha mwamini yesu mzimamzima tunajua yesu ni Mungu na ni bwana na mwokozi wettu hapa hatoki mtu
Tunawanusuru
Sio Mungu ni binaadam tu kama mimi nawewe . Kwani huoni kwamba kazaliwa na binaadamu nayeye lazima tatakuwa binaadamu hawezi kuwa Mungu
Ww Emma iv yesu ni mungu au yesu ni mwana wa mungu..!!??
Yesu syo Mungu kama yesu ni Mungu inakuaje alizaliwa na Mariam kabla ya kuzaliwa wanadamu waliokuwa kabla ya yesu waliishije bila mungu
Ujumbe umeshakupata we endelea kumuabudu mwanaume mwenzenu tu 😁
Huo niuchochezi kumbuka kunauhuru wa kuabudu tz Nyerere alikataa kuulizana dini gani wa tz wewe ukiamini hata mti ww abdu tuuu
Hajaongeleya serikali hapa kaongeleya dini
Zinduka acha ujinga
Hahahaaaaa Nyerere
Kwani aliye kukataz kuabud mti ni nan?
Ongelea uislam ..hata mtume Muhammad alikuwa hajuwi kusoma..akiwa na miaka 14 alikuja mfanyakazi WA Hadija jimama....ukiwa kwenye dini tarehe zote zilibadilishwa..hata uislam siku yakuswari ni jumamosi..iweje mnasari ijumaa...na koran ni biblia ya 1 yawakristo..inamana uislam NI ukristo 1... angalia biblia utaona inasomeka kulia kwenda kushoto..na dini ya ukristo niyawzungu na uislam waarbu...tunaiga mpaka aibu..acheni dini zilizolazimishwa kiutumwa...Kwa ujinga mpaka tunachukiana kwajli ya dini ambazo hazituhusu kabsaa .dini za bara nyingine..tutafute zetu zatanzania kama China na India..utumwa cyo
Acha jazba tetea hoja
Kasome kwanza ww acha ujinga kwani lazima uncomments
Hata wewe nawe nimjumbe wajehanam
kwahiyo wewe pilipili usiyokula yakuwashia nini???? yawakristo yanakuhusu nini??? acha uchochezi.
rudini kwenye uislamu,kwenye mada hii hatoki mtu
Kabisa
Shida yako hufahamu historia ya kalenda ya dunia na unapohoji kwamba tar hzo za sikukuu lazima ziwepo ndani ya biblia nyie waislam MNA sikukuu nyingi nioneshe hata moja ndani ya qurani
Tetea hoja acha malalamiko
Mungu akusamehe, halafu hayawahusu Mambo ya wakristo yanawawasha Nini? Si mtuache mtahangaika Sana ila hamtupati ng'o
Sisi tunafikisha ujumbe ili ije kuwa hoja juu yenu siku yakiama
Hujui chochote kuhusu Ukristo wala Biblia wala Kalenda hizo ulizozitumia Ndg.Sulle,
Ww unachokijua ni lugha ya kiarabu tu. Hakuna kingine
Acha jazba na acha kuleta malalamiko tetea hoja Kwa maandiko
Kiukweli wakiristo wamepotea
Sannah
Unahakika😂😂
Doctor Sule kiboko
@@anwarambar6141 hana rorotee
@@zvpOnlineTv Dr Sulle endelea kufanya uganga achana na Ukristo
jamaangu sikupingi lakin nasema namuomba Mungu alie mkuu wa vyote ambae bila yeye hakuna kilichoumbwa wala kilichokuwapo namuomba akusamehe kwasababu hujamjua tuu brother! huwezi ukasema Yesu alikua anajikojolea kama watu wengine ingali sisi kama wafuasi wake na watoto wake tunamtambua kua yeye ni Mungu mwenye nguvu, ni Baba wamilele na niMfalme wa amani! so..aisee brother nakwambia hakuna Mungu aliye kama yeye sipo kimapenzi ya dini yangu hapana namzungumzia Bwana wa majeshi nnae mjua ninauhakika nae kwahiyo usipotoshe watu walio wachanga kiimani wakakuamini kua Yesu sio Mungu brother utalijibia hili skufichi lakini wengine wooote nawaelezeni yakua Yesu Kristo ndiye Alfa na Omega yaani MWANZO NA MWISHO ukimkubali kua awe Bwana na mwokozi wa maisha yako unaokolewa na ghadhabu itakayokuja. LAKINI UKIWA NA SHINGO NGUMU MPAKA HAPO AISEE SAWA! NIHASARA YAKO HIYO KUTUPWA KWENYE MOTO WA MILELE
Na ww acha kupotosha watu kwa kusema yesu ni mungu yesu cyo mungu yesu ni mtume kama mitume mingine ww uliona wapi mungu anazaliwa..!!????
Yesu hakuwahi kuwa mkristo wala hakuwahi kuingia kanisani hata siku moja
Sasa ndugu yangu kama yesu ni Mungu kwahyo dunia ilikuwa ina Mungu wawili na je kama yesu ndo Mungu wako alipokufa dunia ilikuwa ikiendeshwa na nani...
Sasa wewe na unasema yesu ni baba yako wewe apo ni mzungu na wewe
Hakusema yeye biblia ndo imesema
Ww mjinga unasoma ..Buni vyako na cyo kusoma vya watu MPUMBAVU
Tetea hoja acha jazba
Ukafili umekutawala
Tatizo lako elimu yako ni ndongo elimika na maelezo muwache kudanganywa
Mimi kwa mtazamo wangu mngewaacha tu wafate walichokiamini
Sasa daktari tapeli wewe husherekei lakini inakuuma si umalize ya maulid kwanza???
Toa maandiko acha kashfa
@@zvpOnlineTv nkupe link ya mwaipopo akimuumbua😂😂
@@zvpOnlineTv nionyeshee maulidi kwenye quran shehe
acha kujipambaniza, sikia vitu hivyo, ingawa imekugusa
@@anwarambar6141 sule twamjuaa
Kabla ya kufundisha fanya utafiti wa kutosha kuhusu karenda mbalimbali zilizotumika kwa nyakati mbalimbali neno mwezi wa sita sio mwezi June kaka yangu Dr. Sule ila ni distance between kuja kwa malaika kwa Zakaria kuhusu mimba ya Elizabeth na Mariam (June ni karenda ya pope Gregory 1582 juzi miaka 1582 baada ya Yesu kuzaliwa
1.The Gregorian calendar is the calendar used in most of the worl introduced in October 1582 by Pope Gregory XIII as a modification of the
2.Julian calendar, reducing the average year from 365.25 days to 365.2425 days, and adjusting for the drift in the
3. 'tropical' or 'solar' year that the inaccuracy had caused during the intervening centuries.
4.Lunner calendar
waambie ukweli wanapotea wenzet dini nimoja tu