WAISRAEL NI MAYAHUDI | UKWELI ULIO JIFICHA JUU YA MASJID AQSWA | MANENO YA YESU KWA WAISRAEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #DrSulle #Zvponlinetv #Tabora

ความคิดเห็น • 406

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera Yesu akutunze kweli Mungu anatujua walio wake bila kujari dini

  • @JoanitaPorotase
    @JoanitaPorotase 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ubarikiwe Sana Mungu akutunze na kurinde

  • @ElizabethMakwaia
    @ElizabethMakwaia 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mule mule kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni bwana.❤

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 11 หลายเดือนก่อน +31

    Yesu ndio mfarme na kila ulimi utakiri 💪

    • @rajogemzanaki3030
      @rajogemzanaki3030 11 หลายเดือนก่อน

      Uwakika kaka awa ni wagomvi ni washali sana jama tuombe vita ihishe wao wanatangaza ulipaji kisasi

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@rajogemzanaki3030 Nani mgovi Wew

    • @rajogemzanaki3030
      @rajogemzanaki3030 11 หลายเดือนก่อน

      Nimemaanisha awa waislamu wanao sema kuwa kulipa kisasi ni haki

    • @saidirakozi1809
      @saidirakozi1809 11 หลายเดือนก่อน

      Pumbafu

    • @rajogemzanaki3030
      @rajogemzanaki3030 11 หลายเดือนก่อน

      @@saidirakozi1809 acha kutusi watu kama kweli we unamjua mungu

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon 11 หลายเดือนก่อน +3

    Njoo kwenye point,wew inashaurije

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 11 หลายเดือนก่อน +7

    Sio lazima we mnaswara ufahamu lakini mwalimu wetu Dr. Sulley ataendelea kufikisha ujumbe. Kwani hata Bwana Yesu salama na Amani iwe juu yake kuna watu walimkana. Na huku wengine wakijifanya hawajamuelewa.

    • @KelvinWaleo
      @KelvinWaleo 11 หลายเดือนก่อน

      Hayo maneno yako usiyaendeleze tena maana wewe Ni kondoo Alie potea

  • @peterchimile255
    @peterchimile255 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana shekhe kwa kumtambua Bwana Yesu, ujio wake, kazi yake na kupaa kwake Mbinguni, na kuitambua Biblia kuwa ni kitabu kitakatifu, Bwana azidi kukuongoza katika kweli yote Ameen

    • @jobmwakipesile9903
      @jobmwakipesile9903 10 หลายเดือนก่อน

      Hana lolote huyo ni muongo, anatumika na shetani kubadiri uongo kua ukweli na ukweli kua uongo

  • @simonkiguge9962
    @simonkiguge9962 11 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akubariki sana mimi si muisilam ila shekhe hua namuelewa sana

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/R2FMD8BmQFI/w-d-xo.htmlsi=lj2uK2isWfJskMcL

  • @NanaNadine-o5d
    @NanaNadine-o5d 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu kristo alitamka mwenyewe akisema ameniona mimi amemuona amemuona baba ameniona mimi inamaanisha ndiye mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ameeeeeeene ameeeeeeene

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 หลายเดือนก่อน

      🙏

    • @nicklasndabiyeho6650
      @nicklasndabiyeho6650 11 หลายเดือนก่อน

      Uko krbu na ufalme

    • @MageIvanCharlz
      @MageIvanCharlz 11 หลายเดือนก่อน

      Ameniona mimi ame muona baba yeye ni mtume ,au dalaja la kwenda kwa mungu

    • @MageIvanCharlz
      @MageIvanCharlz 11 หลายเดือนก่อน +1

      Somenini vizur

    • @MageIvanCharlz
      @MageIvanCharlz 11 หลายเดือนก่อน +1

      She una elimu wewe mpaka sielewi mungu akupe maisha malefu

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 11 หลายเดือนก่อน +4

    Dr Sure safi sana unajuwa history ya ukweli wambie wenzio pia mimi natoa Aya hii ili kuthibitisha Unacho sema kuhusu Israel kuwa nitaifa ambalo Mungu alilichaguwa na kulifanya kuwa TAIFA kubwa lenye akili ujuzi wa kila kitu kuliko TAIFA lolote Duniani mpaka siku ya kiyama
    Quran 45:16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
    17. Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana

  • @unclebazuu5238
    @unclebazuu5238 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu mwenyewe alikua muyahudi na alisulubishwa ju ya kujiita MUNGU nahao tu wayahudi wenzake, tunajua kila kitu kuhusu hawa wayahudi na Mungu anawapenda kuliko mtu yeyote duniani, hawa tu dio watu Mungu ameghalamika sana kuwachunga kuliko watu wengine duniani

    • @jamilmwinge3695
      @jamilmwinge3695 11 หลายเดือนก่อน

      Kama unajua ilo kwnn uwaambii wachungaji wako wanapodai fungu la kumi ikiwa wao sio wayahudi inamana mnakubali kupigwa ili hali mnaujua ukweli.

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa jamii bora ni wale wanaomkubali Allah na kumtii Muhammad.

  • @ChuuFilm_Qaswida
    @ChuuFilm_Qaswida 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante shekhe kwa kutuelimisha

  • @RahmaAmena-ei7xx
    @RahmaAmena-ei7xx 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeen Mungu akubariki

  • @suzankarambo3325
    @suzankarambo3325 11 หลายเดือนก่อน

    Asantee. Sana. Kwa. Uchambuzi. Mzuri wa. Bibilia. Nitazidi. Kukufuatilia. Ili. Nijifunze. Zaidi. Asantee

  • @ShamsaKwizera-vn1on
    @ShamsaKwizera-vn1on 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupendasana mutumishi wamungu ubalikiwesana unasemesha ukweli❤️🙏🙏

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe nguvu na upate ukueli ... Mchungaji mtarajiwa wa bwana wetu Yesu Kristo ❤

    • @SophiaAbdy
      @SophiaAbdy 11 หลายเดือนก่อน

      Hawezi kuwa mchungaji kamwe

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwee

  • @machaliakulima76
    @machaliakulima76 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sulle umenisisimua sana kusoma BIBLIA hasa Agano la Kale habari za Abrahamu/Ibrahim

  • @comraderashid_nuru_m5260
    @comraderashid_nuru_m5260 11 หลายเดือนก่อน +5

    Genius!!!!

  • @robertjerald317
    @robertjerald317 11 หลายเดือนก่อน +6

    Al haj mimi binafsi namuelewa sana kwanza kanyooka na anatafsiri vizuri sana

    • @jobmwakipesile9903
      @jobmwakipesile9903 10 หลายเดือนก่อน

      Unadanganywa alafu unasema unamwelewa kanyoooka....... Hebu someni Biblia wenyewe.... Msikubali kulishwa matakataka.

  • @kalundekasiga98
    @kalundekasiga98 10 หลายเดือนก่อน

    Tunamshukuru Mungu wasomaji Biblia wanaongezeka na kuamini Biblia ni kitabu kitakatifu na kuamini kwa yesu kila goti litapigwa na kukiri Yesu ni Bwana ,taratibu mnarudi kwa Yesu

  • @nelsonzebedayo8281
    @nelsonzebedayo8281 11 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri doctor Mungu akuzidishie

    • @jobmwakipesile9903
      @jobmwakipesile9903 10 หลายเดือนก่อน

      Unadanganywa alafu unashukuru😢

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 11 หลายเดือนก่อน +3

    Njia nimoja tuu YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA

  • @jva_neo
    @jva_neo 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kwa utafsiri mzuri

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi muislam unaongea vizuli ,sana biblia unaijua kuluani unaijua watu washika dini Ila ukweli hawaujui Asante mwalim

  • @Laizer3
    @Laizer3 5 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @mariamtunnu
    @mariamtunnu 11 หลายเดือนก่อน +6

    Duuh nimekwelewa sana natamaniuendelee tu

  • @IssaSuleman-g3v
    @IssaSuleman-g3v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi waislamu hatumakatai yesu ila Tunachokataa kua yesu ni mungu au mwana WA mungu yesu ni nabii wa mungu ila wakristo mnasema yesu mungu Mara mwana WA mungu mnakufuru

    • @NIAAEDWARD
      @NIAAEDWARD 18 วันที่ผ่านมา

      Yesu ni mwana wa mungu

  • @cadiaonesmo9660
    @cadiaonesmo9660 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kukujuwa Maandiko Roho akujalie kuyaishi na kumuanini Yesu

  • @lydiakajuju3477
    @lydiakajuju3477 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mbele nyuma Yesu die njihia ya kweli

    • @safarisafari7388
      @safarisafari7388 10 หลายเดือนก่อน

      Nikweli yesu ndie njia.swali hio njia alikua anatumia yesu unaijua?ukiijua utajipata unafanya matendo yawaislamu😅

  • @masoudymichael
    @masoudymichael 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana ila hao Israel niwakuwaendea vizuri Mana ni fire tangu kitambo

  • @EmanueliTokoch
    @EmanueliTokoch 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mara nyingi tumekua wavivu kusoma vitabu vya mungu na tumekua wakaidi kiasi kwamba hatuna elimu ya kutosha

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚💚

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eti Nabii Allahi Daniel 😂😂😂😂 ILA waislam kwakuwasilimisha watu😂😂😂😂

    • @mussaismail-o2f
      @mussaismail-o2f 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 niatar

  • @rajogemzanaki3030
    @rajogemzanaki3030 11 หลายเดือนก่อน +2

    Na wayaudi kutawaliwa ni kwasababu walimwasi mungu badala ya kukir na kumludia mungu wao ndipo mungu alipo wa pokea na kuwaaidi kuwalinda

  • @Sempreapostandonaverdade989
    @Sempreapostandonaverdade989 11 หลายเดือนก่อน

    Siku zote ukiwa huijui History, Unaonekana Mpumbavu unapo ongea . Sheikh elimu ya Historia ni vizuri uijue.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 11 หลายเดือนก่อน

    USHAURI KWA HUYU SHEKH UWE MCHUNGAJI TU! ACHANA NA UISLAM MAANA UKWELI UNAUJUA LAKINI UMESHUPAZA SHINGO TU. NJOO KWA YESU UPONE, ACHANA NA UISLAM ACHANA NA MOHAMMED MLANGO BADO UKO WAZI KWA YESU❤❤❤

    • @masoudabdallah3406
      @masoudabdallah3406 10 หลายเดือนก่อน

      Alikuepooo huko akaja kwetu baada kujuwa dini ya kweliii ni hii ukufuata vitani hata istoria mwisho wasiku utaketwa kweny hiii diniii😅😅😅😅

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 10 หลายเดือนก่อน

      @@masoudabdallah3406 MIMI MWENYEWE HUKO NAKUJUA (HIVI NITAKUA NA AKILI KWELI KUAMINI MTU AMBAYE KAJA AKASEMA MIMI NI MTUME NIMEKUTANA NA MALAIKA) BILA USHAHIDI WA MUNGU, WATU, HATA MUUJIZA KUTHIBITISHA. NIKIAMINI HAPO BASI HATA WEWE UKINIAMBIA WEWE NI MTUME NITAKUBARI. 😀 YESU MNAMUITA MTUME ALIFANYA MIUJIZA, DAUD ALIFANYA MAKUU NA MUNGU MWENYEWE AKASEMA SASA NJOO KWA MOHAMMED 🤣🤣 HAKUNA SHAHIDI. SASA UNAAMINI NINI HAPO, KAULI ZA MTU? 😁😁SIWEZI

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 10 หลายเดือนก่อน

      @@masoudabdallah3406 NDIO MAANA UNAMUONA ANASOMA BIBLIA MUDA WOTE, ANGEELEZA ANAYOELEZA KUPITIA QIRAN KAMA ATAWEZA NAKUPA HELA. BIBLIA NI KITABU KILICHOKAMILIKA NA NDIO CHA KUTEGEMEA.. NIMEMWAMBIA AWE MCHUNGAJI MAANA YUKO NA BIBLIA TU BIBLIA TU, MBONA AKIINGIA MSIKITINI HATUMII BIBLIA? YESU OYEEEEEEE

  • @bizzboy5490
    @bizzboy5490 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani muwe waelewa waslaam hatumkatai Yesu, tunakataa
    Mnavyo mtukuza nakumfanya mungu.

  • @jescaRein-ww3hy
    @jescaRein-ww3hy 11 หลายเดือนก่อน

    sawsaw shekhe ,nimekupenda😊😊😊😊😊😊🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Damasi-tn6ec
    @Damasi-tn6ec 10 หลายเดือนก่อน

    Amin hii ipo hata MARKO 13: mstari14-19

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @RahmaAmena-ei7xx
    @RahmaAmena-ei7xx 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeen umesema ukweli shekhe

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/R2FMD8BmQFI/w-d-xo.htmlsi=lj2uK2isWfJskMcL

  • @MilkieMarrie
    @MilkieMarrie 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumtaja Yesu haina maana kwamba mtaiona pepo la hasha , YESU anasema enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kila aaminiye kuwa YESU NI BWANA na Mwokozi wa maisha yake ataokoka , hakusema atakaye muamini mohammadi, YESU anasema mimi ndimi njia ya kweli na uzima hakuna mtu atamwona baba bila kupitia mimi (YESU) Full stop. Mafundisho mengine zaidi ya hapo ni ya mpinga kristo ( wapinzani wa YESU)

  • @CollinceFrances
    @CollinceFrances 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa ❤❤❤

  • @comraderashid_nuru_m5260
    @comraderashid_nuru_m5260 11 หลายเดือนก่อน +13

    Sheik umeshinda mtihani mkubwa ambao wengi wameshindwa, hata wanazuoni wanafeli mtihani huu!!! Ntakuwa hapa kujifunza kila siku!!!! natamani kusoma Quran pia

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ni vizur kuruhusu hakili yako ierewe, ww ni mmoja wa ma legends, kuna wengine hata huwa hawaruhusu kuerewa

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 11 หลายเดือนก่อน

      kaka umeshtukia mambo mema mapema,hizi ndio habari zilizofichwa Kwene UFUNUO wa Yohana watu wengi ni wapagani

    • @bulunjamalimikulwa4876
      @bulunjamalimikulwa4876 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuongoze ktk hili, MUNGU humuongoa amtakaye na humpotosha amtakaye! Hii iwe chanzo cha imani yako kukithiri zaidi naye ndiye awe nguzo ya maisha yako

    • @bulunjamalimikulwa4876
      @bulunjamalimikulwa4876 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuongoze ktk hili, MUNGU humuongoa amtakaye na humpotosha amtakaye! Hii iwe chanzo cha imani yako kukithiri zaidi naye ndiye awe nguzo ya maisha yako

    • @silvanusjeremiah8256
      @silvanusjeremiah8256 10 หลายเดือนก่อน

      Sheh kama ukijua kweli huwezi kuongea huu upuuzi

  • @AllyOmari-if1ej
    @AllyOmari-if1ej 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa msiofutilia hii hituba Dr sulle aliitoa miaka miwili iliyopita

  • @masteraboupizza1022
    @masteraboupizza1022 11 หลายเดือนก่อน

    Dr sulley nauliza kanani ninchi gani

  • @hamisiramadhani3538
    @hamisiramadhani3538 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli dr sule nakukubali sana hapo najifunza kitu hawa wahukukwetu wanaitwa wakristo na watu waisrael wanaitwa wayahudi

    • @NanaNadine-o5d
      @NanaNadine-o5d 11 หลายเดือนก่อน

      Niwamoja usijichanganyi

  • @kennethyego3750
    @kennethyego3750 11 หลายเดือนก่อน

    Yesu ndiye atasuluhisha mgogoro kati ya Izraeli na Palestina, Yerusalemu ni makao makuu ya Wayahudi✓ Mtakuja salimu amri insha'Allah 🙏

    • @liverpoolfootballclub9985
      @liverpoolfootballclub9985 11 หลายเดือนก่อน

      Ila mayahudi wenyewe sio wakristo dini lao ni Judaism na yesu mwenyewe hawamtambui ndiyo maana walimsulubu

    • @anordgerison8639
      @anordgerison8639 11 หลายเดือนก่อน

      @@liverpoolfootballclub9985 Lakini Kama umemfuatilia shekh alivo sema kuwa Judaism n lile kundi la walio abudu ndama ambao n wasamaria 😂😂😂😂😂😂 Ivo Kuna waisrael pia ambao ndio wenye nchi yao 😂😂😂😂

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj 11 หลายเดือนก่อน

    Ni vyema kweli ukawa na.elimu ahera na elimu dunia, ukikikosa kimoja tu.kati ya.hivyo utapata shida sana,AMEN

  • @ycliffbitabo3135
    @ycliffbitabo3135 11 หลายเดือนก่อน +5

    Shekha unachanganya mambo ila Mungu yupo kazn ipo siku utasalimu amri ya Bwana yesu

    • @omaar5693
      @omaar5693 11 หลายเดือนก่อน +3

      doh:
      kula chuma iko👇
      43“Kwa hiyo nawaambieni, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine wenye kutoa matunda yake.”

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 11 หลายเดือนก่อน

      Shehe wetu hana bwana ni bwana kwa mkewe si kwa mwanaume mwenzie kama nyinyi

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 11 หลายเดือนก่อน

      ANA AMR GANI UYO YESU NAWE MBELE YA ALLAH

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@omaar5693waislamu someni biblia takatifu mtapata akili ya kujitambua hivyo vitabu vyenu vinawafanya muwe manyumbu... biblia inasema Israel ni taifa teule la Mungu( Jehova shama) muumba mbingu na ardhi yoyote atakae chokoza Israel atapigwa na Mungu mwenyewe na dalili zinaonyesha jinsi warabu wanavyo pigwa na Israel kila uchwao yeremia (1 19 ) (amosi 1:7)

    • @Juniorjacob-le1rr
      @Juniorjacob-le1rr 11 หลายเดือนก่อน

      Shehe mwenyewe anasema Bwana yesu asema hivi 😂😂😂😂😂😂kumbe mnajua yesu ndiye Bwana

  • @sharonzuberi555
    @sharonzuberi555 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda huyu shehe aseee kiboko sanaaa

    • @jobmwakipesile9903
      @jobmwakipesile9903 10 หลายเดือนก่อน

      Unadanganywa alafu unashukuru.... Hebu someni Biblia wenyewe..... Huyo shehe ni muongo anatumika na shetani kubadiri uongo kua ukweli na ukweli kua uongo

  • @KelvinOdero-p7f
    @KelvinOdero-p7f 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ shekih

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 11 หลายเดือนก่อน

    Kitabu cha Daniel 7
    14 Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kila Kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wametumikie, mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa.
    Amen !!!
    Bwana Yesu asifiwe milele na milele

  • @dcharles4647
    @dcharles4647 11 หลายเดือนก่อน +4

    Shia ya waislamu wanawafanya waislamu wasimwani YESU yani wamchukulie poapoa tu.Kumbe hawajuwi kama kimbembe cha ulimwengu anakiweza Bwana Yesu tu,Inshort aliye na Yesu yu katika mboni ya MUNGU haguswi na chochote kile chini ya nchi wala juu ya nchi.Kwahiyo acheni udini tafuteni imani tena ile ya Yesu Kristo ndio Org

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 11 หลายเดือนก่อน

      Utambuzi ni mpango wa Mwenyezi MUNGU MTUKUFU. Juu uwazi wa maelezo ya mwalimu wetu Dr. Sulley lakini bado baadhi ya watu hawaelewi eti.

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/9f64YFwRc6c/w-d-xo.htmlsi=NOjsQFMHbBtDy2of

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 11 หลายเดือนก่อน

      Cc waislamu tunamuamini Kama MTU TU Tena alkuwa Nabii na Sio Mungu

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 11 หลายเดือนก่อน

      Bwana Yesu salama na Amani iwe juu yake ni Mtume, mkweli tena ni mnyenyekevu wa moyo. Alifanya mingi ya Kiutume na sio mazingaombwe kama ya waojiita mitume leo.Na muislamu asiemuamini hana Imani ya kweli.

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmadmzoa74mtenda miujiza mkuu katika manabii na ishara nyingi kupita kiasi.. huyo ni Yesu Kristo mnazareth.. yupo, aliyepo anatakaekuwapo !!

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @ceciliahharon268
    @ceciliahharon268 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe unasoma maandiko vizuri Lakini unasoma kama gasetti sisi wakristo tunaongoswa na roho mtakatifu , nyinyi mfahamu yakwamba yesu ndiye mfalme

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 11 หลายเดือนก่อน

    Mnachochanganya ni msikiti na Yesu
    Yesu sio muislamu hata CK moja Wala Hana ukoo na waarabu Wala muislamu yeyote,
    Ukiwa MSABATO utaelewa vzr Hila za waislamu wanavyodanganya watu ili wajiunge nao,

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu bwana 🎉

  • @kakakuonamprubenikakakuona1387
    @kakakuonamprubenikakakuona1387 10 หลายเดือนก่อน

    KAH kumbe ni kweli kabisa yesu alipaa kwenda mbinguni

  • @issalyanalijr-8610
    @issalyanalijr-8610 11 หลายเดือนก่อน +2

    Migogoro ya Israel na Palestine mchonganishi ni YESU.😅

  • @justinrweyongeza9465
    @justinrweyongeza9465 11 หลายเดือนก่อน +1

    Cathoric na nmekusikiliza vizuri,umeeleza hasa maana ya dini,uwa nawaambia watu mfano ikitokea kuhama ukatoriki ni bora niwe mwislamu kuliko kua mlokole!!

    • @RajoubKinoro-bu2fj
      @RajoubKinoro-bu2fj 11 หลายเดือนก่อน

      Umeongea kweli. Quran imewaita nyie wakristo wa kikatoriki ni wachamungu kwasabab moja tu ndugu yangu, kwamba nyie mkiona ukwel mnaufata

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli hatA mm nikitoka uislamu Bora niwe Catholic and nothing else's

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa

  • @KelvinWaleo
    @KelvinWaleo 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa shehe Kwanza nakupongeza kwa kufahamu kuwa yesu alipaaa kwenda baba

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 hiyo ndio Elim ya ki Islam sio wakristo wanao sema alisulubiwa msalaban kusoma hamtak kaz chuk tu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@kutailass6671amini ya kwako uliofundishwa na sisi tuamini ya kwetu tuliofundishwa usitake kulazimisha watu wengine waelewe unavyoelewa wew😅😅

  • @CrisMastakg
    @CrisMastakg 11 หลายเดือนก่อน

    Munajisumbua maneno menji jesu ni rei(nfalme wa wote)👑👑👑👑👑

  • @domnickokaro665
    @domnickokaro665 11 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu hajasema

  • @martinnkuba6683
    @martinnkuba6683 11 หลายเดือนก่อน +3

    Alaaaah kumbe kipindi cha matatizo mnamkumbuka yesu, na kusoma biblia

  • @EmmanuelMandela-f7k
    @EmmanuelMandela-f7k 11 หลายเดือนก่อน +1

    We dokt Sulley kaa ukijua Israel nitaifa la mungu mungu atakupiga mapigo tisa

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 11 หลายเดือนก่อน

      kwani Israel ni dini gani!!?

    • @MachrissLimited-b7t
      @MachrissLimited-b7t 11 หลายเดือนก่อน

      Kanga lingekuwa taifa la Mungu kwann linapigwa na binadamu soma vizuri dini yako acha uzuzu

    • @NanaNadine-o5d
      @NanaNadine-o5d 11 หลายเดือนก่อน

      We jinyamanziye wamtafsri wanavyojitakiya mimi simo

    • @NanaNadine-o5d
      @NanaNadine-o5d 11 หลายเดือนก่อน

      Acha udini wewe

  • @binseif2216
    @binseif2216 11 หลายเดือนก่อน +8

    Nisaidieni aindiko hivi kwenye bible wapi yesu kajitaja yeye kuwa ni mwana wamungu au yy ni mungu,maana naona wanaomsemea ni kina mathayo lkn yeye alisema nimtu tu

    • @joseaugust2805
      @joseaugust2805 11 หลายเดือนก่อน

      kasome yohana 17:5 5.
      Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
      Yohana 17:5
      unachokitaka wewe ni sawa mfano, hakuna andiko mariam aliposema ,, mimi ni mama wa Yesu, , ila matukio kisa kamzaa ndo wewe msomaji unajua yeye ndo mama yake Yesu, ndo ninyi mnatak Mstari Yesu aliposema mimi ni MUNGU , , upo lakini ninyi waislam ni ngumu kuelewa,
      ni pale yesu alipowaambia mafarisayo kuwa yeye yuko kabla ya ibrahimu ajakuwako, aliwaambia MIMI NIKO AMBAYE NIKO, wakachukua mawe mafarisayo wakataka wampige , kwanini walitaka wampige, kwa sababu, katika torati yao Musa alipomuuliza MUNGU nikawaambie wewe unaitwa nani ulienituma, MUNGU akamwambia Musa kuwa kwaambie MIMI NIKO AMBAYE NIKO, asa vizazi vya israel wakalishika hilo jina , asa wakasikia Yesu anajiita vile vile kama Musa alivyo mtambulisha MUNGU ,ndo maana wakataka wampige mawe maana wakajua Yesu anakufuru kwa kujiita yeye MUNGU kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO,,
      alafu kasome ufunuo wa yohana utaona alfa na omega ndo mwanakondoo, ambacho alfa na omega ndo cheo cha MUNGU, so mbinguni kuna kiti cha enzi kimoja tuu, ila MUNGU alivyojifunua kwa wanadamu kwa style tofauti tofauti tofauti kulingana na majira na nyakati, ila ukitaka kumkariri MUNGU ndo utamweka kwenye box kwamba utakuwa na mipaka kisa tuu umemkariri ,
      so unaposoma maandiko jaribu kuyaelewa ila usikariri,
      MUNGU huwaga anaangaliaga maagano yake aliojiwekeaga na manabii wale ili ayatimize , lakini kwenye kuyatimiza ana style tofauti tofauti za kuyatimiza sasa kwenye hizo style tofauti tofauti dunia ndo inachanganyikiwa , na ndo mapenzi yake dunia nzima ichangangikiwe ili imtafakari na ili yeye MUNGU atukuzwe kwa matendo yake makuu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 11 หลายเดือนก่อน +3

      Nisaidie andiko KWENYE Quran YESU AKISEMA hatakufa ila atapaa akiwa hai

    • @joseaugust2805
      @joseaugust2805 11 หลายเดือนก่อน +1

      quran mimi imekataa , mimi situmii quran, sio iman yangu , kama wewe ndo iman yako ndo ukasome , biblia na quran kuna vitu vimeendana na kuna vitu vile sensitive vimepingana kimaandiko , hasa kwenye ishu za kisa cha yesu , na visa vya majini na malaika , na visa vya paulo , na n.k

    • @binseif2216
      @binseif2216 11 หลายเดือนก่อน

      @josephwilliam5813 Sisi Quran maneno yake allah amesema hakusulubiwa wala hakuuliwa lkn alifananishwa nae,sisi hatuna wasemaji kama kina mathayo wanasema yesu mwana wa mungu,wakat yesu mwenyewe anasema mimi nimtu na njia ya mungu naifundisha katika kweli)hiyo bible sasa kati ya yesu na kina mathayo nani msema kweli?

    • @joseaugust2805
      @joseaugust2805 11 หลายเดือนก่อน

      @@binseif2216 kosome luka 1, Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
      27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
      28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
      29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
      30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
      31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
      32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
      33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho,,
      Je malaika gabriel , na si katoka kwa MUNGU au kwa shetani?? na kama je katoka kwa MUNGU, malaika Gabriel na dunia nzima nani anaakili, ??? kwahiyo yeye malaika Gabriel alivyosema mtoto atakuwa mwana wa aliye juu na atatawala nyumba ya yakobo milele , yakobo ndo israel, je malaika gabriel alisema uongo ?? na je hakutoka mbinguni kwa kutumwa na MUNGU?

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wayaudi warikuwepo mashaliki yakat ila alipo pewa utume mtume Muhammad tu ndipo wayaudi wakafukuzwa Kwa awakumiamini mtume Muhammad

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaumwa YAANI MPAKA YESU anaondoka hawakumuamini na hawakufukuzwa labda nikusaidie HATA WAO KWENDA utumwani MISRI MUNGU ALIWAFUKUZA na MUNGU amewafukuza na kuwarejesha HATA KABLA ya KRISTO IZO story za masheikh ZILIZOKUA na dalili ya maandiko

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 11 หลายเดือนก่อน +4

    It's the Holy spirit that guide us in the Holy bible through the help of church tradition . Not history... Through Holy spirit. Using church fathers and tradition . Passing of un written word of God .

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 11 หลายเดือนก่อน

      Isn't history a reversible function of tradition?

    • @KulwaBikogoto-dw2jt
      @KulwaBikogoto-dw2jt 11 หลายเดือนก่อน

      Always the records or history tells the truth ,we may ask our selves what and when was the initiation of those Islamic and Christianity's ideologies to deferent countries then that was the benefit to those who sucliffeced them selves to spread those ideologies to as.

    • @KulwaBikogoto-dw2jt
      @KulwaBikogoto-dw2jt 11 หลายเดือนก่อน

      Who wrought those histories found in Bible and Quran

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 11 หลายเดือนก่อน

    Tatizo. Wakiristo. Wanamuita. Mutu anaeenda. Chooni. Mungu. Wakatialitumwa. Namungu. Na mungu. Nimmoja tuu. Jamani. Nayesu. Nimwisilam. Myatambue. Nyinyi. Waisilam. Tunaeelewa vizur. Kuliko nyinyi

  • @cadiaonesmo9660
    @cadiaonesmo9660 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tupe andiko linalothibitisha Yesu alitabili huyo mtume wenu mbona hukutaja Maana Yesu katabiliwa na Manabii wote hadi Yohana mubatizaj huyo wa kwenu mlimtoa wapi mbona kwenye Biblia hayumo

  • @richardgervas2310
    @richardgervas2310 11 หลายเดือนก่อน

    Aubili Imani yake ya kiislamu ,,asimtaje yesu

    • @SophiaAbdy
      @SophiaAbdy 11 หลายเดือนก่อน

      Asimtaje kwasababu gani yesu kwa waislam ni nabii issa

  • @SharidaJosephine
    @SharidaJosephine 11 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ulikuja baada ya YESU how msikiti unaouzungumzia umeutoa wapi? Weweacha uwongo.

  • @levux_media
    @levux_media 11 หลายเดือนก่อน +1

    ndugu msitukanane wala kutukana imani za wengine badala yake unapoona hapajakaa sawa weka hoja kutoka kitabu unachoona hakijatendewa haki na utoe ufafanuzi sio kutukanana.

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/9f64YFwRc6c/w-d-xo.htmlsi=NOjsQFMHbBtDy2of

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mrongo musa alikaa mlimani 40dayz yeye anasema 30 days shindwa kabisa

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 11 หลายเดือนก่อน

    DU KWELI NYIE CHENGA😂😂😂😂😂

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 11 หลายเดือนก่อน

    Walioanzisha matatizo yote ni Amina nan,mnadai haki zenu fuaten. Sheria

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 10 หลายเดือนก่อน

    Shoga mmoja

  • @msaeneck7674
    @msaeneck7674 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni yohana 17 6....11 na wala sio mathayo ila juu ya yote upo sawa

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wao walimtukana na kusema mtoto wa zina na kumsilubu

  • @TatuRehema
    @TatuRehema 11 หลายเดือนก่อน

    Shehe anachanganya sana

  • @herikipengele8321
    @herikipengele8321 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu unajieleza vizuri lakini bado hujapata ufunuo wa kuyaelewa maandio kwasababu sijaona popote katika Biblia ikionyesha Yesu Kristo kutabiri juu ya ujio wa Mohammad

  • @saigonernest7631
    @saigonernest7631 11 หลายเดือนก่อน +1

    Atakaejishusha atakwezwa . Na ataejikweza atashushwa

  • @andrewkissavah8272
    @andrewkissavah8272 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe sule unataka Mungu akushughurikie maana naona umejishibia maharage kwa hiyo unabehua mpunga kama muuza tiba mbadala

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 11 หลายเดือนก่อน

      Wengi wenu hamtumii hata akili .ungetoa Hoja ya kubisha kama unaona anapotosha bali Kazi yenu nikumbeza mtu lakini utambue hasara si kwake yeye kashafikisha atakae na aishike Njia ya sawa na aiache Njia pia atakae na hasara itakua juu yake

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Quran ni kitabu cha majini sio cha Mungu

  • @TatuRehema
    @TatuRehema 11 หลายเดือนก่อน

    Shehe abacan ça

  • @BinHakim
    @BinHakim 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh ameshiba wali wa maulidi

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo qurani tulisoma tukajua ni maneno mchomoko yaliyo chomekwa , wamekopy maneno Toka tarati na kujitafutia mtume fake . Mungu gani ambae hata mkiomba hampati zaidi ya machingu?! Israeli anavyo waburura na Mungu Allah anakula usingizi

  • @New522
    @New522 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba una kosea sio mathayo ni yohana 😂😂😂😂 umekosea apo

  • @mathewmsango417
    @mathewmsango417 11 หลายเดือนก่อน

    Umedanganya sule bwana yesu hajaelezea msikiti wakati huo palikua na hekaru, soma mathayo 24-1mpakakuendelea acha uwongo chukizo la uharibifu ni kuuwawa bwana yesu maana yeye ni hekaru

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sule acha porojo,hueleweki,muamini Yesu kama mimi upate neema ya ufalme wa mbinguni

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe shenz nyamaza hujui kitu

  • @victorgasper7563
    @victorgasper7563 8 หลายเดือนก่อน

    umejipinda doctor sule waambie ukwel wasio ijua biblia ongera shekhe

  • @MayalaLubala
    @MayalaLubala 24 วันที่ผ่านมา

    Ulipodanganya maneno ya mwisho

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 11 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo ni Bwana lakini hamtaki kumwamini na kumpokea ili awaoke. Sasa shehe siuokoke tu!

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/9f64YFwRc6c/w-d-xo.htmlsi=NOjsQFMHbBtDy2of

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Iraeli saidia watu wako

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 11 หลายเดือนก่อน

    KWANI MMELOGWA NYIE. MKITAKA KUZUNGUMZA KUJITETEA MNATUMIA BIBLIA.. MNAAMINI DANIEL NA PAULO😂😂😂 ILA MKIANZA KUPINGA UKRISTO MNAPINGA DANIEL, PAULO, NA BIBLIA YOOTE INAKUA IMECHAKACHULIWA HII NI AKILI KWELI😂😂😂😂😂

  • @JoshuaMwamala
    @JoshuaMwamala 19 วันที่ผ่านมา

    Yani mnasoma na kufundisha msiyoyajua