Miiko ya Utumish Usipende fedha ukinitumikia nitakupa fedha kwa ajili ya mahitaji yako, shetan anazo fedha pia hivyo uwe makini na hela Usipende uzinzi ukiwa mzinzi Mungu anakukataa Usijiinue kwasababu ukijiinua Mungu atakushusha Usiwe na miungu mingine
Ive known Pastor Moses Kulola from my grandmother Mariam Dawa born in 1912 who was a sevethday adventist evangelist. Mariam witnessed that Kulola was a true servant of God. I traced his ways at my older age with clear understand of his ways that Moses Kulola was walking in the Light of God. God bless Moses Kulolas works.
Natafuta kitabu kilichoandiaka historia yake (moses kulola) na huduma yake kiujumla ikiwemo mapito, majaribu, mafanikio na matendo makuu Mungu aliyoyafanya kwa mkono wa moses kulola.
Huyu Baba alijikana kumutumikia Mungu,saivi watumishi wengi wa Mungu tunapenda pesa, uspo kuwa na gari nyumba kubwa nzuri watoto wasome shule nzuri ule vinzur hicho ndicho kinatafutwa, huyu baba umevupiga vita vya Imani vinzur Mataji yake atakuta mbinguni, Mungu akowe na uzao wake asiwepo atakaye ikosa mbingu maana imeandikwa itakuokowa wewe na nyumba yako
Mimi mukongomani ila mzee Moses Kulola ni mentor wangu. Nilisha jifunza mingi kutokea kwake .
South Africa 🇿🇦 will be saved.
Jesus Christ is the Lord
Miiko ya Utumish
Usipende fedha ukinitumikia nitakupa fedha kwa ajili ya mahitaji yako, shetan anazo fedha pia hivyo uwe makini na hela
Usipende uzinzi ukiwa mzinzi Mungu anakukataa
Usijiinue kwasababu ukijiinua Mungu atakushusha
Usiwe na miungu mingine
Ive known Pastor Moses Kulola from my grandmother Mariam Dawa born in 1912 who was a sevethday adventist evangelist. Mariam witnessed that Kulola was a true servant of God.
I traced his ways at my older age with clear understand of his ways that Moses Kulola was walking in the Light of God. God bless Moses Kulolas works.
Mungu akubalikini sana baba katunzi
Laiti wangàlijua watumishi wote wangechukua mfano wa huyu mzee jinsi ya kuihubir kweli ya mungu waachane nà injili ya mapokezi na upotovu
Amen
Ameen.Nikiwa binti mdogo nilitoroka nyumbani nikaenda kuhudhuria mkutano wake uliofanyika Wilaya ya Rungwe miaka ya 85 alipokuja wilayani hapo.
Hongera sana,je ulifanikiwa kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako?
Mungu wa mbingu na nchi awabariki
Nimefarijika sana ,na nimejifunza pia nasubiri party 2
Ameni nimeipenda sana hii sitori jina la Bwana Yesu libalikiwe
Amen Mtumishi Wa Mungu Mafundisho Manzuri
Amen sana nimebarikiwa sana na ushuuda wa ndungu moses kokulola
Natafuta kitabu kilichoandiaka historia yake (moses kulola) na huduma yake kiujumla ikiwemo mapito, majaribu, mafanikio na matendo makuu Mungu aliyoyafanya kwa mkono wa moses kulola.
Huyu Baba alijikana kumutumikia Mungu,saivi watumishi wengi wa Mungu tunapenda pesa, uspo kuwa na gari nyumba kubwa nzuri watoto wasome shule nzuri ule vinzur hicho ndicho kinatafutwa, huyu baba umevupiga vita vya Imani vinzur Mataji yake atakuta mbinguni, Mungu akowe na uzao wake asiwepo atakaye ikosa mbingu maana imeandikwa itakuokowa wewe na nyumba yako
Barikiwa babu
This is amazing beautiful
Najifunza sana
Amen🙏🙏
Nmedaka miiko ya Utumish kwakwel
Duuuh kwa kweli ukija sasa mabatini hakuna hata eneo la kujenga pamejaaa nyumba nyingii mno
Twangoja part 2
Amen
Amen, nimejifunza kitu Tunasubiri part two
Nataman twendelee kwakwel
Amen Amen Amen
Amen
YESU GANI SASA YULE WA KWENYE MOVIE AU YUPI SASA.
Duuuh part two is where
Part 2
Amen
Amen
Amen