MCHUNGAJI WA TAWI LA MOSES MAGEMBE AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 465

  • @melanianyabwinyo9480
    @melanianyabwinyo9480 16 วันที่ผ่านมา +20

    Mch Magembe baba yetu Mungu akutunze. Hakuna aliyepita kwenye madhabahu yako akajuta. Binafsi umenisaidia sana na kunivusha kiroho na kimwili. Mungu akutunze baba yetu. Kazi iendelee ya kumtangaza Kristo

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 18 วันที่ผ่านมา +22

    Mchg. Moses Magembe ana Mungu wala usijilingnishe naye kabisa!
    Mambo ya stories hayasadii achana na Moses Magembe alisha jitoa kwenu achaneni naye kamwe hana madhara na mtu yeyote mwache atwange injili isiyo na makunyanzi❤

    • @GeraldMakalala-z2c
      @GeraldMakalala-z2c 18 วันที่ผ่านมา +5

      Magembe ni mtumishi wa Mungu aliyehai

    • @JeremiahMwalukosya
      @JeremiahMwalukosya 16 วันที่ผ่านมา

      Wewe unasubiri Nini kutwanga injili ndo ninyi mnawaonyeshea vidole eti imekufa huku vingine vikiwaonyoshea ninyi

  • @GoPGM
    @GoPGM 11 วันที่ผ่านมา +3

    Sisikii sauti ya Mungu kwenye maneno yako. Nasikia sauti ya mwili na kiburi cha dini. T.A. G imepishana na shamba la Mungu.

  • @eneamalamla484
    @eneamalamla484 12 วันที่ผ่านมา +3

    Nampongeza sana Baba Magembe anasimamia kweli ya Neno la Mungu, Mungu akulinde sana Mtumishi Magembe

  • @BrightnessLyimo-t9y
    @BrightnessLyimo-t9y 18 วันที่ผ่านมา +33

    Mungu atabaki kuwa Mungu hubirini injili acheni maneno.maghembe ni mtumishi wa Mungu kweli kweli acheni vita naye jmn

  • @NeemaElisante-zd2dt
    @NeemaElisante-zd2dt 18 วันที่ผ่านมา +16

    Mch. Maghembe ni Mtumishi wa Mungu mwacheni aende akamtumikie Mungu

  • @sojipaul5021
    @sojipaul5021 18 วันที่ผ่านมา +17

    Hatuangalii dini ..tunamtazama Yesu na injili ya kweli..we baki na T.A.G sisi tunabaki na Yesu.Mungu haangalii dini.

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 18 วันที่ผ่านมา +40

    KILA MWENYE YESU MOYONI NA AKILI TIMAMU ANAJUA MCH MAGHEMBE NI MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU .Mungu ampiganie ktk huduma yake mpya.

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 18 วันที่ผ่านมา +1

      Amina

    • @lusekelowilliam2068
      @lusekelowilliam2068 18 วันที่ผ่านมา +1

      Yes ofcourse mawe yamezidi kuwa mengi,

    • @ej4409
      @ej4409 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli tupu, waache tu na maneno yao ya kujiinua.

    • @jacksonmbena5410
      @jacksonmbena5410 16 วันที่ผ่านมา

      zambi inawatafuna

  • @WABELOYA
    @WABELOYA 9 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana kijana, unajidhalilisha huna hekima kijana ukiona jambo kama hili jipe siku utaelewa.

  • @Joelchalale
    @Joelchalale 17 วันที่ผ่านมา +6

    Yesu ndie njia acheni kuhubiri dini.. Magembe ndie mchungaji pee anaekemea dhambi. Nyie mnapaka dhambi twende zetu kwa magembe atufundishe njia sahihi yakimfikia yesu

    • @emanuelngowi7290
      @emanuelngowi7290 15 วันที่ผ่านมา

      Mungu kajisazia wachungaji wengi sanaaa wanaokemea dhambi kweli kweli siyo magembe pekee Bado wapo wengi tuu. Magembe anafanya kwa nafasi yake Kila mtu anawajibika kwa nafasi yake

    • @wemamwaikambo2848
      @wemamwaikambo2848 14 วันที่ผ่านมา

      @@emanuelngowi7290 najua wapo wengi ila wakiendelea kukaa ndani ya mwamvuli wa T.A.G hawawezi kwani katiba yao hajakaa vizuri, kuna wakati wanaacha kumwabudu Mungu wanaabudu katiba.

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 16 วันที่ผ่านมา +5

    Wana TAG tuwe na hekima yakunyamaza kwenye hili jamani, jinsi navyo endelea kulisema hili ndivyo mnavyo endelea kuliharibu kanisa. Mfano tunavyosema habari ya misingi mizuri. Kuna makanisa yana misingi bora zaidi. Tumuache mtumishi wa Mungu Magembe akaifanye kazi na tumuombee. Tukizidi kuongea tunazidi kujichafua kanisa.

  • @ambassadorkatemeambassador2840
    @ambassadorkatemeambassador2840 18 วันที่ผ่านมา +18

    Mungu n mwema, Mzee maghembe ana Mungu

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 18 วันที่ผ่านมา +17

    Nikisikiliza Mahubiri ya Mch. Magembe naona utofauti mkubwa mno... Kwa Mchungaji Magembe Mungu yupo.

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 17 วันที่ผ่านมา +6

    Tony Kabuta.... Jamaa alisaidia sana maisha yangu ya kiroho kipindi nasoma pale Mabibo Hostel

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 18 วันที่ผ่านมา +34

    KWA MAGHEMBE hamuwezi kutuambia KITU/.. TUNAMPENDA Baba yetu MPENDWA MCHUNGAJI MAGHEMBE

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 18 วันที่ผ่านมา +13

    MIMI NAVYOJUA,YEHOVA MWENYEWE NDIYO HAKIMU WA HAKI.ILA BINAFSI MOSES MAGEMBE KUNA VITU VINGI SANA VYA KIROHO NIMEJIFUNZA KUPITIA YEYE KWENYE MIKUTANO YAKE HAPO MAJ6 TANGU 1997.HE IS REALLY A MAN OF THE ALMIGHTY GOD😢😢

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga 18 วันที่ผ่านมา

      AMEN TUSIJIDANGANYE MCHUNGAJI MAGEMBE AMEFANIKIWA

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 18 วันที่ผ่านมา +13

    Wote ni watumishi wa Mungu, ila kuna kitu cha ziada anacho Magembe na mtu kumfuata si kwamba anarudi nyuma.

  • @AsumntaAmos
    @AsumntaAmos 17 วันที่ผ่านมา +9

    Magembe amejitoa sadaka kwa Yesu kristo tumuunge mkono wapendwa titamwona Yesu kwa mafundisho ya kweli

  • @VeloMahenge
    @VeloMahenge 16 วันที่ผ่านมา +1

    Najifunza mengu humu ila mimi maoni yangu ni kuwa tujifunze neno la kristo tu sio kanisa zuri mara nini ukweli uko kwenye neno la MUNGU sio majengo nakadhalika tupime mandiko yanavyo sema sio kuwa watu wamapokeo tu tutapotea tukifuata mapokeo ya kidhehe yote yamenenwa vibaya tumtafute YESU sio majengo na kuwashabikia watu❤

  • @JoyceFrancis-u8g
    @JoyceFrancis-u8g 15 วันที่ผ่านมา +2

    Me nilikuwa najua unaongea jambo la msingi kumbe umeleta porojo mkuu😅😅😅

  • @BeatriceElias-n1c
    @BeatriceElias-n1c 7 วันที่ผ่านมา

    Mmmh kwl kanisa linahitaji uamsho na matengenezo ya kanisa, huu ni mda wa kuhubiri injili co maneno mengi kwakweli mch. Maghembe Mungu amtunze na azid kumtumia ili kanisa lipone kwa jina la Yesu,

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 18 วันที่ผ่านมา +29

    Twendeni kwa magembe kuna yesu hapo😂😂😂😂

  • @mosesmligo9614
    @mosesmligo9614 18 วันที่ผ่านมา +4

    Izo cv zitakusaidia Sana parapanda itakapolia mtumish kip it up.

    • @asunigohagi5177
      @asunigohagi5177 14 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SifaMtasha
      @SifaMtasha 4 วันที่ผ่านมา

      Duh 😂

  • @SaidKalolo
    @SaidKalolo 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mangembe anawito wa mungu anaye mfuata ajapotea ila wengi wanaabudu jina lakanisa siyo mungu wakweli

  • @MiriamkivikeMichaelkivike
    @MiriamkivikeMichaelkivike 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu asimame na wote magembe na kanemba nawapenda sana hawa watumishi wa Mungu🙏

  • @burchardbejumula6028
    @burchardbejumula6028 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe na BWANA YESU, Ila Mzee Magembe utamkubuka na tulikuchangia vitu, tunamtaka Bwana na Nguvu zake

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 18 วันที่ผ่านมา +6

    Jamani huu mji una maelfu ya watu sasa iweje mnatafuta huluma kwa vikomdoo vya magembe kwani ugumu ni nini kuwahubilia wanaokufa dhambini kama alivyotaabika mangembe f

  • @GERALDHAMBAGELE
    @GERALDHAMBAGELE 18 วันที่ผ่านมา +5

    Sisitiza kumtafuta YESU , na siyo kusisitiza kubaki na taasis , maana hatutaenda mbinguni Kwa kuwa na taasis/ dini . YESU hajaleta dini kaleta wokovu.

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 18 วันที่ผ่านมา +6

    Penye usalama ni palipo na YESU KRISTO siyo tasisi kama mnavyojichapulia hapo Mzee Magembe kaondoka anapiga injili na nyinyi pigeni injili

  • @ShukuruSamson-qc9mq
    @ShukuruSamson-qc9mq 18 วันที่ผ่านมา +8

    Ukimwabudu Mungu katika Roho na kweli hata ukiwa na mshirika mmoja wa kumtii Mungu utaona bora sana kuliko kushawish quantify coz Mungu anaweza kuiponya Dunia kwa mtakatifu mmoja tu aliye duniani .. Ukiifuata kweli Mungu atakupa vyote & vice versa is not true

    • @FrahaTitu
      @FrahaTitu 17 วันที่ผ่านมา

      NIHERI KUWA NAMUUMINI MUMOJA ANAEMJUA MUNGU KULIKO KUWA NA MAELF YA WATU WASIYO NA HOFU YA MUNGU WAMBIE WATU KWELI YA MUNGU HATA KAMA ITAKUUMIZA LAZIMA TUJUE NENO LA MUNGU NI UPANGA NI NYUNDO NI MOTO ULAO

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 18 วันที่ผ่านมา +5

    Magembe kama Magembe ni mtumishi wa Mungu aliye hai,na sio mtieiji(T A G)

  • @RasherySoi
    @RasherySoi 17 วันที่ผ่านมา +5

    Mch maghembe ni chanda cha Mungu

  • @mathewpaul629
    @mathewpaul629 18 วันที่ผ่านมา +7

    Mimi nilifikiri tukio hili limeisha nashangaa mnatumia nguvu kubwa sana kuyeyusha haya mambo. Mbona mzee magembe yupo kimya sana?

  • @barakalechilema7755
    @barakalechilema7755 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe unahubiri dhehebu.pole ndugu.Magembe anamuhubiri yesu na injili halisi ndo maana hamuwezani

  • @johnlightmkose4723
    @johnlightmkose4723 4 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana TAG mmepoteza chuma MAGEMBE

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 18 วันที่ผ่านมา +6

    Kanisa linaitaji matengenezo tumuombe mungu atusaidie

  • @nuhumanoni7815
    @nuhumanoni7815 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kutulia ni hekima kubwa sana. Kwa nini muendelee kunyukana kwenye madhabahu ya Bwana. Tulieni fanyeni kazi mliyoitiwa hilo jambo lilishapita.

  • @emmanuelmwakibolwa735
    @emmanuelmwakibolwa735 18 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu anataka watu wamfuate yeye. Mungu hajasema tufuate taasisi. Taasisi mara nyingi hugeuka mwishoni kuwa kazi ya binadamu na si ya Mungu. Fikilieni pia jinsi Assemblies if God ilivyoanza na mtu mmoja. Sio taasisi.

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 17 วันที่ผ่านมา

      Hakuna kanisa lisilo taasisi...mbona hamuelewi...ndio mana yanasajiliwa kwenye wizara ya mambo ya ndani ingekuwa sio taasisi yasingekuwa yanasajiliwa kikatiba na kisheria...

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 17 วันที่ผ่านมา

      Nakushauri hata hapo ulipo anza kuchunguza ni taasisi au sio...

  • @VailethKivike
    @VailethKivike 17 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu tembea na mtumishi magembe

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi naomba uelewe watumishi wa
    Mungu .shida ni sheria zilizotungwa na viongozi wa kanisa ngazi za juu zinaua watumishi wa ngazi za chini na washirika kwaujumla kubalini kutengeneza.tusipige debe jamani.

  • @oscarsinavangi3305
    @oscarsinavangi3305 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mchungaji wangu Magembe ❤

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 14 วันที่ผ่านมา

    Huu ujinga utaisha ln kusikia kutoka kwa mungu wakat wanao skia maneno ya mungu n wachache n nyny mupo weng saiv

  • @FrahaTitu
    @FrahaTitu 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kaaa kwa yesu ndie mwenye misingi mizuri siyo t a g

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v 18 วันที่ผ่านมา +8

    hata hao wa magomeni wameenda kwa mzee magembe

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy 17 วันที่ผ่านมา +2

    Unahistoria ndefu hongera ila muulize Mungu kuhusu hii dini Mungu atakufunulia tu

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa kweli ajidhihilishe ndani yenu kwa Jina na Damu ya Yesu kristu Amina

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 18 วันที่ผ่านมา +16

    KAA NA TAASISI sisi TUNAKAA NA MUNGU

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 18 วันที่ผ่านมา

      Tumia akili basi ndugu

    • @ChristinaKembe
      @ChristinaKembe 18 วันที่ผ่านมา +1

      We kaa na TAASISI sisi tuko na MUNGU

    • @omuze1290
      @omuze1290 18 วันที่ผ่านมา

      @@ChristinaKembe Tanzania Assemblies of Wapigadili

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 17 วันที่ผ่านมา

      Hakuna dhehebu ambalo sio taasisi

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 17 วันที่ผ่านมา

      Isingekuwa hivyo yasingesajiliwa kisheria...kila dhehebu ni taasisi...someni mpate ufahamu msikurupuke...

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 18 วันที่ผ่านมา +15

    Mimi nimewaambia kwa upendo kabisa acheni kuongea kwenye vyombo vya habari. Tutazidi kujichafua.

    • @SaraMathew-xd2vp
      @SaraMathew-xd2vp 18 วันที่ผ่านมา

      Kwani ni lazima warecord kila ibada ndio kilipoteza kanisa uko , sasa ivyo ni kama wanabishana hv

    • @marcedeskaigarula
      @marcedeskaigarula 18 วันที่ผ่านมา

      Sure, kwanini msiongee off Mike? Hayo ni mambo ya ndani .

    • @omuze1290
      @omuze1290 16 วันที่ผ่านมา

      @@AnnaBituro Wanaochafuka ni wafia dini na walafi wa mali kwa kutumia katiba dhalimu. Hatutachoka kuwasema!

    • @KsaC711
      @KsaC711 8 วันที่ผ่านมา

      Mbona wewe unakomenti mtandaoni? Soma 1 Timotheo 5:20

  • @Stephano-g3g
    @Stephano-g3g 18 วันที่ผ่านมา +10

    TAG isije kuwa chaka la waovu hawataki dhambi ikemewe ?

  • @Amosbenard6321
    @Amosbenard6321 18 วันที่ผ่านมา +6

    Magembe ni Mashine hakuna wa kumshushaa hata iweje Mungu alishamuinua na kwa kuwa yeye ndo amempatia Maono ya PCC tumuombee tu hata nani amchafue hawezi kuchafuka. Kamweeeeeeee kwa Jina la Yesu by PST, AMOS BENARD ONLINE TV. TH-cam.

  • @AndrewMagwila
    @AndrewMagwila 15 วันที่ผ่านมา

    Mambo ya mungu kuyaelewa ni kazi sana ni bora mngekaa kimya sbb Mungu ana njia nyingi sana kufanya na watu wake Naona hapo mnapugia debe taasisi .hata baba magembe hajaasi ameaga vzr kbs waambieni watu ukweli ishu ya msingi sio kubaki kwenye taasisi bali ni kubaki na yesu ktk utakatifu ili wamuone Mungu mnatakiwa kuelewa kuwa baba magembe bado ni mtumishi wa Mungu na bado ana Mungu chungeni vinywa maana Mungu hafanyi kazo kwa mazoea anaweza kuwatokea nyinyi na akawatuma mahali kwa kazi nje ya TAG mtamgomea Mungu?

  • @OscarLucars
    @OscarLucars 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe unajua pia sio rahisi Kwa baadhi ya waumini wa majumba 6 kumpoteza mchugaji wao magembe acha roho wa MUNGU azungumze na watu wake msiji tetee sana

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 18 วันที่ผ่านมา +7

    Mtu amefungua kanisa jipya
    Tyr ana washirika mia Saba
    Halafu ibada yake Ina fwatiliwa na watu zaidi ya elfu 55 au si chini ya elfu 3 TH-cam
    MAGHEMBE ANA MOTO AMBAO MAKANISA MENGI YA TAG HAYANA

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kanisa liendelee, na MAGEMBE aendelee na kazi ya Mungu.

  • @LainessKalolo
    @LainessKalolo 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu mmoja asimame anisomee ufunuo 3:14- -22 😢kanisa tajiri kimwili vugu vugu

  • @Moseskiyalo
    @Moseskiyalo 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni m TAG jidai mwema sana sasa hivi ila watakushangaza hao na tuta hifadhi hii clip kama ushuhuda utakapo pigwa na kupolwa kanisa utalia saana lakini unafiki wa kumnafikia baba yako ndio kitakuwa kitanzi chako kiukweli sikujui ila utalia saana bila msaada wowote

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 16 วันที่ผ่านมา +2

    NAANDIKA NAFUTA. NGOJA NIONGEE KWA KUNYAMAZA 😢

  • @kanisalatecjcusofficial
    @kanisalatecjcusofficial 10 วันที่ผ่านมา

    Amen,kijana amenibariki

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 16 วันที่ผ่านมา

    Tunyamaze jamani na tumwombee Mchungaji Magembe. Acheni Mungu Mungu atusemehe mwenyewe

  • @mathewpaul629
    @mathewpaul629 18 วันที่ผ่านมา +8

    Ninona mnatafuta huruma kwa washirika. Muacheni Mungu aamue na atende

    • @omuze1290
      @omuze1290 16 วันที่ผ่านมา

      @@mathewpaul629 Hakuna anayetafuta huruma hapa bali tunausema udhalimu wa maaskofu wenu. Imagine mtu anatumikia kanisa kwa miaka 56 halafu anaondoka mikono mitupu? Halafu wakahalalisha udhalimu wao kwa katiba yao? Hivi, katiba yenu iko juu ya Biblia inayoagiza usilipe baya kwa baya if at all mch. Magembe kakosea?
      Maaskofu wameshindwa kuiga mfano wa Rabani kwa Yakobo.

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 18 วันที่ผ่านมา +3

    Sisitiza watu waache dhambi na mtakieni heri Magembe kuhamia dhehebu ambalo msingi ni mmoja na Imani ni Moja Wala Hilo si tatizo beba msalaba wako.

    • @SaraMathew-xd2vp
      @SaraMathew-xd2vp 18 วันที่ผ่านมา

      Hapo kwenye kuhubili kuiacha zambi ndio kumefifia maana wachungaji wengi wanaubili uponyaji na mafanikio ad tunashindwa kuwatogautisha na wanasaikolojia . Ndio maana mch magembe alisema TAG yazamani imepotea

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu hakai kwenye tasisi
    Kama Mungu alikwambia ukamwone Mozesi Magembe

  • @petromihambo1405
    @petromihambo1405 10 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji naona unajisifia tu wew na ELIMU yako... Unatuchosha😊

  • @esronyuba2575
    @esronyuba2575 18 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu awatangulie ila mitandao haita saidia bali mwombeni Mungu.

    • @SaraMathew-xd2vp
      @SaraMathew-xd2vp 18 วันที่ผ่านมา

      Na hii mitandao ndio inapoteza imani ya kweli, maana saivi kila kanisa linamavidio ko kunamuda Ibada zinakuwa kama maonyesho

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 18 วันที่ผ่านมา +2

    acheni maneno hubirini injili Yesu anarudi

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mngenyamaza tu , maana watu wanamuelewa sana Magembe maana watu wanataka kuambiwa ukweli na sio kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Magembe ni mtumishi anayesimama kwenye kweli .

  • @joelinajohn5853
    @joelinajohn5853 13 วันที่ผ่านมา

    My self Tony kabuta umenisaidia sana kiroho

  • @BlandinaLukole
    @BlandinaLukole 18 วันที่ผ่านมา +5

    Zamu kwa Zamu, usimsemee wala kushabikia yaliyomkuta Mchungaji mwenzako

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 17 วันที่ผ่านมา +2

    Meseji nyingi zinaonesha ukweli.Maghembe ni mtu wa Mungu.

  • @emmanuelsmihulu725
    @emmanuelsmihulu725 15 วันที่ผ่านมา

    Siongei mengi, ila hili limewauma sana sana, Mwacheni Pasteur Maghembe, ... Msitumie hii kuwa kiki....

  • @praygodkanyikarirayo
    @praygodkanyikarirayo 18 วันที่ผ่านมา +7

    Fanya kama unavyonia moyoni mwako,lakini hakuna Kama Magembe TAG.

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 18 วันที่ผ่านมา

      Acha upumbavu kaka hakuna kama magembe? Kwamba Yesu hana nafasi mbona mnapenda kuamini watu hadi mnamkosea na Mungu kwa iyo magembe ameondoka na Yesu TAG

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 18 วันที่ผ่านมา

      HAKUNA KAMA BWANA YESU.

    • @omuze1290
      @omuze1290 18 วันที่ผ่านมา

      @@saimonseleka8792 Yesu msiyemtii?

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 12 วันที่ผ่านมา

    MMMMHHH !!!!! KAZI KWELI KWELI,, MUNGU MKUU TU ATUSAIDIE..,,

  • @omuze1290
    @omuze1290 18 วันที่ผ่านมา +12

    Wacha wee! Ukweli mnao mioyoni kwamba mnaogopa kuondoka bila kitu kama alivyoondoka mch. Maghembe.
    😅😅😅😅

    • @Bennymwangaza
      @Bennymwangaza 18 วันที่ผ่านมา

      Well spoken 🎉

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hilo jambo linawachanganya sana wachungaji kwenye hizo taasisi.

    • @edisonbayona-rz9ed
      @edisonbayona-rz9ed 18 วันที่ผ่านมา

      Nimekuelewa

  • @MatildaJohn-y1z
    @MatildaJohn-y1z 11 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu wangu Tony

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 18 วันที่ผ่านมา +4

    TUNAMPENDA MAGHEMBE

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi 18 วันที่ผ่านมา

      Nenda kwani shida iko wapi

  • @musashadrack1164
    @musashadrack1164 17 วันที่ผ่านมา +1

    Nilizan chawa ni watu wasiomjua Mumgu kumbe na kwa Kristo Yesu wapo machawaaaaaaaa

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atusaidie

  • @samuelelias6542
    @samuelelias6542 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wacheni Vita na mtu wa MUNGU Magembe ni mtumishi halisi wa Mungu

  • @EmmanuelDutu
    @EmmanuelDutu 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ataamua ugomvi huo ss hatujui kirefu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 18 วันที่ผ่านมา +5

    Karibu huku kumenoga😂😂😂😂😂

  • @LameckMwakilembwe
    @LameckMwakilembwe 18 วันที่ผ่านมา +13

    KUNAMAMBO MENGI YAMEFICHWA MACHONI PAKO MTUMISHI HUYAJUI KUHUSU VIONGOZI WAKO WA TAG muombe Mungu akuonyeshe,

    • @getrudeegervas6694
      @getrudeegervas6694 18 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ambae unayajua kwann usimuambie

    • @Mtengelabmk
      @Mtengelabmk 17 วันที่ผ่านมา +1

      Sio hayajui anajua Ila yupo kazin, Mwache aendelee na Kaz aliyotumwa na TAG

    • @LameckMwakilembwe
      @LameckMwakilembwe 14 วันที่ผ่านมา

      @getrudeegervas6694 Haya mambo huwezi kumwambia mtu akakuelewa, Mungu ndie anaweza ukiufungua moyo na ukitaka kujua

  • @kibajadaniel9887
    @kibajadaniel9887 11 วันที่ผ่านมา +1

    Umethibitisha kwamba MUNGU alikutoa kutoka kazini (Cameroon) na kuja kujifunza chini ya mch magembe, ulishawahi kujiuliza kwa nini hakukutuma kwa wakuu wa hiyo taasisi ukajifunze hawana makanisa wao??? CVs kubwa lakini utaishia kama YUDA ISKARIOTE

  • @eneamalamla484
    @eneamalamla484 12 วันที่ผ่านมา +1

    Halafu anayewagusa watumishi wa Mungu wa kweli atapondwa

  • @lumpogige
    @lumpogige 11 วันที่ผ่านมา

    YESU alisema waacheni viongozi vipofu wa watu vipofu hao wote njia ni moja shimoni

  • @shilohgideon_wisdom
    @shilohgideon_wisdom 18 วันที่ผ่านมา +8

    Si kwamba huwezi kuachilia hizo mali ambazo umewekeza kwa nguvu kubwa? Kama alivyofanya maghembe, sikiliza Maghembe is matured than you think brother, you better stay quiet scholar.

  • @ngassajuliusmussachallya
    @ngassajuliusmussachallya 18 วันที่ผ่านมา +4

    Acha mambo mengi Kuna Mungu ndani ya Mch. Magembe

    • @omuze1290
      @omuze1290 16 วันที่ผ่านมา

      @@ngassajuliusmussachallya Ningekuwa naishi Dsm ningesali PCC Kinyerezi.

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hubiri kuhusu Yesu mwache magembe

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 18 วันที่ผ่านมา +3

    Magembe ni namba nyingine, ukweli lazima usemwe.

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 18 วันที่ผ่านมา +2

    Uongozi siyo hoja mbele za mungu ukweli ni njia pekee ukahaba uliopo TAG ya leo magembe alikuwa sawa

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mnajua Boss wetu ni Mungu.
    Hunaudhuru wewe kumuhukumu mwingine.
    Kila mtu ameitwa kwa wakati wake. Haya maneno yenu hayasaidii.

  • @revivalchurchkimarastopove6755
    @revivalchurchkimarastopove6755 16 วันที่ผ่านมา +2

    Bakiza maneno kijana hujakua

  • @desderymakoi
    @desderymakoi 18 วันที่ผ่านมา +4

    SOMENI COMMENT LAKINI....TUOMBE KWA AJILI YA KANISA

  • @valelianonyato-gx5bq
    @valelianonyato-gx5bq 18 วันที่ผ่านมา +3

    Yani wamefanye vyema kubaki kwenye tasisi ila siyo kumtafuta Mungu na mafundisho ya kweli nakujitakasa kawaida ya sumaku hunasa chuma tu waitwao niwengi wateule ni wachache ipo hivyo

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 18 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana wapendwa. Bwana atawavusha

  • @FrolaMhagama-tt4ez
    @FrolaMhagama-tt4ez 17 วันที่ผ่านมา +2

    Unatazama msingi poleni sana jitieni moyo hivyo hivyo hukumnapotea

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 16 วันที่ผ่านมา +1

    UNATAFUTIA KIKI KWA baba yangu, kwa nini mnahangaika na picha ya baba yangu, mnajua bila picha yake hampati watazamaji

  • @ntibashimadicksonmathiasna2915
    @ntibashimadicksonmathiasna2915 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hizo Cv hazisaidii mbele za Mungu

  • @bishopkulwajz209
    @bishopkulwajz209 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kama Mchungaji Magembe ni Baba yako acha kumsema Mchungaji wako Mungu hatakuacha salama.

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 18 วันที่ผ่านมา +4

    MUNGU ALIKUELEKEZA KWA MCHUNGAJI MAGHEMBE …kumbuka Hilo… umetumwa kuna kutushawishi SISI HATUKUELEWI tumemfuata MCHUNGAJI MAGHEMBE

  • @elleng5227
    @elleng5227 18 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu alikutuma uende kwa Maghembe akufundishe hakukutuma TAG japo alijua Maghembe yupo TAG, ww ukaishia kutafuta kibali na kusimama na TAG hujiulizi why haukutumwa kujifunza kwao, binadamu na mawazo yake