Pole sana aisee yaani uku oman ukipata nyumba yenye kuthamini mfanyakazi unashuku Mungu ni nyumba chache wengi wao bado wanawachukulia wafanyakazi kama watumwa, mafukara wajinga, wenye nguvu sana kama roboti ambaye hachoki. Yaani we acha tu team ghaf tunapitia mengi sana😢
Yaani hujakosea mpenz wanakuona kama roboti jmn hata iyo roboti inachajiwa na kutupumzika, Mm niliwambia ivi nyinyi ni waslam kweli au jina? Ukooo woteee uwahudumie ww vijukuuuu na vitukuuuu mweee
Pole sana dada nimekuelewa sana😢 Mimi mtoto wa dadayangu alikua anakaa kwa bosi ambaye akai na wafanyakzi ni yeye tuuh ndo anamvumilia Sasa wanavyomfanya siku ya kuludi kutengenezaza viza mpya Wanazuiya vitu vyote analudi na kibegi tuuh Hivi sasa hivi anaangaika kutafuta nchi nyingine akafanye kazi kasema hataki kuludi tena manyanyaso kachoka ivyo vitu anampango navyo tena Bora aanze upya
Shena dada mstaharabu sana napenda unavyokuwa msikivu kwa uruma na kuuliza maswari ya ustaharabu . Joyce ongera sana kwa determination mungu atakusimamia kwa yoote.
Kuna dhana kubwa hapa Tanzania kuwa Waarabu ni Waislamu na tabia zao ndiyo maadili ya Uislamu. La hasha! Waarabu wengi si Waislamu kwa maana ya imani na kukubali. Wao wanasema tu kuwa ni Waislamu midomoni mwao. Infact, wanachukulia Uislamu ni kama urithi au utamaduni tu, na kwa hiyo kama sisi kwa utamaduni wetu, wanafanya wanayotaka na kuacha wasiyotaka. Haya yamo hata ndani ya Qur'an, iliyowashutumu kuwa wengi wao ni wanafiki. Ukitaka Uislamu, nenda nchi zisizo za Kiarabu ambako wengi ni Waislamu. Kama vile Indonesia, Malasia, Bangladesh, Pakistan, Iran, Uzbekistan, Tajikstan, Chechnya.....na Afrika. Huko ndiyo utakuta Uislamu na Waislamu.
Sio Waarab wote na unatakiwa kujua kila mahali katika hii Dunia kula watu wabaya na wazuri Halaf kwan umeshafika Arabs Countries au unaskia tuu? Halaf Hizo nchi ulizotaja eti ndio kuna waislam wa kwel mbona wengi wamevurugwa tuu wamepagawa na hii Dunia halaf wengi Elimu ya Dini ya kiislam hawana ni waislam tuu hila they don't know their religion! Tembea hii Dunia utaona mengi!
@@Hamad10Salafi wewe wajiita Salafi unajulikana mapenzi yako. Neno 'Salafi' limeshutumiwa sana katika Qur'an, nawe unajivunia! 'lakini wao husema twawafuata wahenga wetu tu' ndivyo Qur'an inavyowabehua. Salafi mwenzako Ibn Salman, amewaacha Mahujaj 1 200 wafe kwa kiu katika Hijja ya mwaka huu. Naamini unamwunga mkono n'a kujivunia! Auudhu billahi minka!
Joyce pole sana na yote na pia hongera sana kwa moyo wa ujasili.Nami niko Oman mwaka wa kwanza kwa story yako umenizidishia nguvu ya kufanya kazi najuwa siku hazigandi❤🙏
Ila hawa waharabu jamani,kwani walimuona ndugu yetu ni katoka kwenye shombo la samaki, mungu wangu aniepushe kukutana na watu wa hivyo😢, pole sana dear ndiyo maisha yalivyo
Lakini kwa namna wanavyoeleza utagundua kuwa kuna kamsongamano cha watoto wa kiafrika ambao wamekata tamaa nchini kwao na ugumu wa Maisha. Ukiwa huna chochote nchi za watu ni rahisi kukutana hata na vibaka wa nchi hiyo ama mtu wa kawaida ata asie na fedha ndo mwanzo wa matatizo. Chukulia mfano Tanzania ndo tungekuwa matajiri halafu ikatokea waschana wa kiarabu mamia kwa mamia wanakuja kutafuta kazi kwetu hawana pa kwenda wanajirahisi hivi huenda hali ingekuwa mbaya kuliko unayoambiwa.
Joyce nakupenda Kwa ukweli wako kuhusu kazi yako wengi wanaficha hali wanapiga pesa na kufanya maendeleo kupitia kazi za ndani Ila wanaona aibu hawathamini kazi zao
Wafanyakazi majumbani tuwe nyumbani tanzaniya au nje ya tanzaniya tunanyanyaswa sanaa basi tunavuta subra Basi siyo vizuri kutukana na kukashif waarabu tuu hat sisi ngozi nyeusi ndiyo hao wenyemanyanyaso makali mpaka wachomwa pasi moto
shena nimekuwa muumini wa hii Chanel yako nikikosa live lazima niangalie marejeo kuna vingi sana vya kujifinza hiv karibun tunapata uzoefu wa arabun keep it up my young sister
Dalili kwamba Waarabu wengi hawafuati maadili ya Uislamu. Mtume Muhammad SWA amesema juu ya watumishi wa nyumbani: ' Watumishi wenu ni ndugu zenu. Mnyezi Mungu tu amewafanya kuwa watumishi wenu ili kukujaribuni. Basi mtu ambaye hana budi awe na mtumishi, hana budi amlishe kile kile anachokula, amvalishe kile kile anachovaa, na asimwamuru kazi asiyoiweza. Kama hakuna budi ampe kazi ngumu, ni lazima amsaidie' Hivi ndivyo Mtume wa Uislamu asemavyo. Wapi na wapi na tabia za mabedui hawa?
Pole kwa mapito alafu ukisema waarabu wabaguzi na wana roho mbaya, sio wote alafu wasichana wengine wanawatetea wanawashawishi wenzao waende wakifika uko ni mateso, tu kuna wengine wanapata bahati kupata boss wazuri wanaishi miaka mingi lakini hizo nchi za UAE watu wabaguzi sana,
Shena unajitahidi sana kutupa elimu , Mungu akubariki sana , mwenye akili apate ufahamu! Dear views all over msisahau kucoment na kulike videos za shena tupate kujifunza….
Utumwa umerudi Afrika. Afrika ni tajiri lakini viongozi wetu wanatumia mali za wote vibaya. Wanasiasa wanapendeleana. Kwa mufano Rais ansmaliza muda wake anajengewa nyumba kwa kodi za watanzania. Nyumba hata hawahitaji. Kuna ubadhirifu mkubwa sana wa mali za wote.
binafri sitaki kujua wala kulaumu mtu wala serikali alhamndulillah nina mikono na afya njema nitaendelea kutumwa kwa waarabu mpaka Allah atakaponipa rizki yangu na kunijaalia kutosheka nirudi nikakae na familia yangu😊
Nimewaskiza Toka mnaanza Hadi mwisho namwaminia Joyce amegangamaa na binadamu tunatakiwa kuwa hivyo asalimie watu wa Bahrain nilitoka huko 2020 November
Dada mimi natizama sana kipindi chako kutokea Amsterdam Netherlands lakini kipindi chako watu wengi wanapatizo ukweli naumia sana kuona mapindi wanapata matatizo mungu mkubwa 😊
Pia na saudia arabia nikazurumiwa uko kijijinj wakanitupa kwa supermarket akanidaganya eti nimusubiliye apelekeye wa mtoto maji hakurudi aise nimeona Dunia inaniagukia😢😢😢
Hawa waarabu wengine wanajifanya waislam ili uislam uonekana unanyanyasa watu kumbe ni wao na sio uislam hawa wenyewe ndo roho mbaya hata Mungu hawakubali maombi yao
Asante kwa kutuelimisha, Je, hakuna Fursa za Kazi kwa Vijana wa Kiume yaani Wanaume pia ukiachia mbali kazi za Ndani tu ambazo nyingi zina wa favor wanawake tu? Tafadhali ningependa kusikia kutoka kwako Asante
Unaweza kuona haha ya kuchagua viongozi wazalendo na si wachumia tumbo. Uislamu kwa waarabu urithi tu wala si imani. Ni washenzi tu kama washenzi wengine.
Huyu mwanamke anao yesha dhahiri maneno yake mwongo. Mpelekeni kwa psychologist atawaambia ukweli. Jambo moja huku gulf arab states mfanyakazi wa nyumbani anachotaka kula ale mpaka avimbiwe haulizwi kitu. Nyingine halazimishwi kusali na hata dini yake si muhimu. Wahindi zamani walikua mayaya peke yao na 90%hindus. Hakuna kati yao kalalamika. Wahindi wakichapa kazi kwa bidii, wananunua kwao mashamba na kufundisha watoto wao mpaka Marekani. Yaya wangu mmoja during 80s last century kafanya kazi kwangu miaka 11 kaondoka tajiri kwao na watoto wawili doctors marekani. Nyinyi kaoni na woga wenu na kulalamika. W aarabu are an integral part of East Africa
Madam kama wewe unaroho nzur basi ni wewe Kuna watu hapa oman wanaroho mbaya unatengewa mpaka kikombe mimi nko oman mwaka 9 changamoto ni nyingi sana lakin Alhamdulilah sasa niko na kazi za nje ni uvumilivh tyuu watu hawafanani
@@PendoGeorgeteena usiombe waarabu waswahili😢 waarabu wasiojua kiswahili afadhali kuliko waarabu waswahili ni mtihani....yaan sitaki kusema sana naongea kwa uzoefu
Waarabu wana mambo ya hovyo sana. Sasa mtu huyo anawapikia na kukuoshea vyombo lakini hamtaki achanganye vyombo vyenu na vyake, hapo imesaidia nini? Roho chafu tu.
Warabuni wa oman wamenizurumu hela ya miezi umoja wamenichokesha,,wakaniuza pengine bila malipo nimelia😢😢😢😢mungu atanilipiziyaka wew kisasi namuachiya mungu😭😭😭😭😭
Jamani warabu ni kama watu wangine kwani hata africa kuna wema na wabaya kama mnovoona uko ndo hata warabu ivo miye nimeishi africa na naishi oman watu wote sawa we na bahati yako
Dada Ana nondo kama zote tena ameongea kwa uwazi Bila kupindapinda Kaz kwetu sasa, shukran Sana da shena na da Joyce ❤️🥰💐
Pole sana katika hii Dunia nachukia watu wanaotanguliza dini mbele, wakati matendo Yao ya ovyo kabisa.
Pole sana aisee yaani uku oman ukipata nyumba yenye kuthamini mfanyakazi unashuku Mungu ni nyumba chache wengi wao bado wanawachukulia wafanyakazi kama watumwa, mafukara wajinga, wenye nguvu sana kama roboti ambaye hachoki. Yaani we acha tu team ghaf tunapitia mengi sana😢
Kabisa, wengi hawana ubinadam
Yaani hujakosea mpenz wanakuona kama roboti jmn hata iyo roboti inachajiwa na kutupumzika, Mm niliwambia ivi nyinyi ni waslam kweli au jina? Ukooo woteee uwahudumie ww vijukuuuu na vitukuuuu mweee
Pole sana dada nimekuelewa sana😢
Mimi mtoto wa dadayangu alikua anakaa kwa bosi ambaye akai na wafanyakzi ni yeye tuuh ndo anamvumilia
Sasa wanavyomfanya siku ya kuludi kutengenezaza viza mpya
Wanazuiya vitu vyote analudi na kibegi tuuh
Hivi sasa hivi anaangaika kutafuta nchi nyingine akafanye kazi kasema hataki kuludi tena manyanyaso kachoka ivyo vitu anampango navyo tena
Bora aanze upya
Nimesikiliza kwa umakini sana hongera Joyce na Shena nimejifunza jambo shukrani.
Mtangazaji hongera kwa kazi nzuri maana unampa dada muda mwingi wa kusimulia yaani humuulizi maswali mengi safi sana
Dada mpambanaji sana. Hongera sana sana.
Shena dada mstaharabu sana napenda unavyokuwa msikivu kwa uruma na kuuliza maswari ya ustaharabu . Joyce ongera sana kwa determination mungu atakusimamia kwa yoote.
Kuna dhana kubwa hapa Tanzania kuwa Waarabu ni Waislamu na tabia zao ndiyo maadili ya Uislamu. La hasha! Waarabu wengi si Waislamu kwa maana ya imani na kukubali. Wao wanasema tu kuwa ni Waislamu midomoni mwao. Infact, wanachukulia Uislamu ni kama urithi au utamaduni tu, na kwa hiyo kama sisi kwa utamaduni wetu, wanafanya wanayotaka na kuacha wasiyotaka. Haya yamo hata ndani ya Qur'an, iliyowashutumu kuwa wengi wao ni wanafiki. Ukitaka Uislamu, nenda nchi zisizo za Kiarabu ambako wengi ni Waislamu. Kama vile Indonesia, Malasia, Bangladesh, Pakistan, Iran, Uzbekistan, Tajikstan, Chechnya.....na Afrika. Huko ndiyo utakuta Uislamu na Waislamu.
fact
Sio Waarab wote na unatakiwa kujua kila mahali katika hii Dunia kula watu wabaya na wazuri
Halaf kwan umeshafika Arabs Countries au unaskia tuu?
Halaf Hizo nchi ulizotaja eti ndio kuna waislam wa kwel mbona wengi wamevurugwa tuu wamepagawa na hii Dunia halaf wengi Elimu ya Dini ya kiislam hawana ni waislam tuu hila they don't know their religion!
Tembea hii Dunia utaona mengi!
@@Hamad10Salafi wewe wajiita Salafi unajulikana mapenzi yako. Neno 'Salafi' limeshutumiwa sana katika Qur'an, nawe unajivunia! 'lakini wao husema twawafuata wahenga wetu tu' ndivyo Qur'an inavyowabehua.
Salafi mwenzako Ibn Salman, amewaacha Mahujaj 1 200 wafe kwa kiu katika Hijja ya mwaka huu. Naamini unamwunga mkono n'a kujivunia! Auudhu billahi minka!
Waarabu sio wabaya ila wapo watu maalum kama ilivyo duniani mote wapo wema na wabaya
Ni sawasawa na watu wanavyodhani kuwa wazungu wote ni wakristo wkt wengi wao Kwanza ni wapagani
Hata watanzania wananyanyasa kweli wasichana wa kazi, nimeona na inanikera sana sana kila nikija home.
Ni kweli. Lakini afadhali kunyanyaswa na mjomba kuliko na mtu asiye jinsi yangu. Huyo ina ubaguzi wa rangi pia!
Unajaribu kutetea unyanyasaji wa waarabu
Joyce pole sana na yote na pia hongera sana kwa moyo wa ujasili.Nami niko Oman mwaka wa kwanza kwa story yako umenizidishia nguvu ya kufanya kazi najuwa siku hazigandi❤🙏
Muwe munatafuta mitaji tu kuliko kukaa muda mrefu kuepuka kuzalilika
Ila hawa waharabu jamani,kwani walimuona ndugu yetu ni katoka kwenye shombo la samaki, mungu wangu aniepushe kukutana na watu wa hivyo😢, pole sana dear ndiyo maisha yalivyo
Lakini kwa namna wanavyoeleza utagundua kuwa kuna kamsongamano cha watoto wa kiafrika ambao wamekata tamaa nchini kwao na ugumu wa Maisha. Ukiwa huna chochote nchi za watu ni rahisi kukutana hata na vibaka wa nchi hiyo ama mtu wa kawaida ata asie na fedha ndo mwanzo wa matatizo.
Chukulia mfano Tanzania ndo tungekuwa matajiri halafu ikatokea waschana wa kiarabu mamia kwa mamia wanakuja kutafuta kazi kwetu hawana pa kwenda wanajirahisi hivi huenda hali ingekuwa mbaya kuliko unayoambiwa.
Joyce nakupenda Kwa ukweli wako kuhusu kazi yako wengi wanaficha hali wanapiga pesa na kufanya maendeleo kupitia kazi za ndani Ila wanaona aibu hawathamini kazi zao
Tujifunze kuthamini panapo tupa rizki ya halali 🙏
Wafanyakazi majumbani tuwe nyumbani tanzaniya au nje ya tanzaniya tunanyanyaswa sanaa basi tunavuta subra
Basi siyo vizuri kutukana na kukashif waarabu tuu hat sisi ngozi nyeusi ndiyo hao wenyemanyanyaso makali mpaka wachomwa pasi moto
shena nimekuwa muumini wa hii Chanel yako nikikosa live lazima niangalie marejeo kuna vingi sana vya kujifinza hiv karibun tunapata uzoefu wa arabun keep it up my young sister
Shukran sana ❤️🙏
Dada nikihitaji na Mimi nipate kazi natakiwa kuwa na vigezo gani@@OfficialDatingAssistance
@@OfficialDatingAssistancelive huwa lini? Maana naelimika
Mmmh
❤maisha ni popote joice mwenyezimungu akujaalie
Pole sana dada mimi naishi oman ila naishi vizuri sana na wafanyakazi wangu kweli kuna wengi wanapata matatizo sana oman pole sana
❤❤
Nahitaji kazi dada
pole sana wangu,ila wewe ni shujaa👏👏👏
Pole sana maisha magumu sana hapo Bahrain uko Manama nchi za kiarabu maisha magumu njoo ulime nyumbani nikupe shamba
Dah! Hongera sana dada unamsimamo Mungu akuongoze zaidi
wasukuma oyeee 👏👏
Dalili kwamba Waarabu wengi hawafuati maadili ya Uislamu. Mtume Muhammad SWA amesema juu ya watumishi wa nyumbani: ' Watumishi wenu ni ndugu zenu. Mnyezi Mungu tu amewafanya kuwa watumishi wenu ili kukujaribuni. Basi mtu ambaye hana budi awe na mtumishi, hana budi amlishe kile kile anachokula, amvalishe kile kile anachovaa, na asimwamuru kazi asiyoiweza. Kama hakuna budi ampe kazi ngumu, ni lazima amsaidie'
Hivi ndivyo Mtume wa Uislamu asemavyo. Wapi na wapi na tabia za mabedui hawa?
Pole sana aisee, tulieni home. Ukishaanzia Zanzibar kuelekea nchi zenye tabia za uarabu uarabu, utayaona hayo lazima.
Una roho ya kiume dada amazing
Uyo mama mwenye roho nzuri wa bahrain inawezekana teari amjua mmewe tabia zake ataondokaje amwache mme nyumbani na dada wa kazi
Pole Sana Dada Kwa Mitihani Na Hongera Kwa Ujasiri Wko
Wallah nimejifunza mengi sanaaaa
Ahsante kwa masomo mazuri🎉❤
Mashaalhah Mashaalhah pole sana na hongera kwa uvumilivu
Nimejifunza asante
Daah pole sana, utafutaji ni mgumu sana
Pole sana
Pole kwa mapito alafu ukisema waarabu wabaguzi na wana roho mbaya, sio wote alafu wasichana wengine wanawatetea wanawashawishi wenzao waende wakifika uko ni mateso, tu kuna wengine wanapata bahati kupata boss wazuri wanaishi miaka mingi lakini hizo nchi za UAE watu wabaguzi sana,
Shena unajitahidi sana kutupa elimu ,
Mungu akubariki sana , mwenye akili apate ufahamu!
Dear views all over msisahau kucoment na kulike videos za shena tupate kujifunza….
Huyu dada.namkubali. pole sana udumu.milele.
Utumwa umerudi Afrika. Afrika ni tajiri lakini viongozi wetu wanatumia mali za wote vibaya. Wanasiasa wanapendeleana. Kwa mufano Rais ansmaliza muda wake anajengewa nyumba kwa kodi za watanzania. Nyumba hata hawahitaji. Kuna ubadhirifu mkubwa sana wa mali za wote.
binafri sitaki kujua wala kulaumu mtu wala serikali alhamndulillah nina mikono na afya njema nitaendelea kutumwa kwa waarabu mpaka Allah atakaponipa rizki yangu na kunijaalia kutosheka nirudi nikakae na familia yangu😊
Nimewaskiza Toka mnaanza Hadi mwisho namwaminia Joyce amegangamaa na binadamu tunatakiwa kuwa hivyo asalimie watu wa Bahrain nilitoka huko 2020 November
Shukran sana, Hongera pia 🥰🙏
Tutafutiane wachumba huko dada
😂@@kamuogo
Da joyce umefanana na rafiki angu anaitwa mariam elias jaman mmefanana dah❤❤❤❤❤❤❤
Nakuelewa Sana sana ndugu yangu,
Dada mimi natizama sana kipindi chako kutokea Amsterdam Netherlands lakini kipindi chako watu wengi wanapatizo ukweli naumia sana kuona mapindi wanapata matatizo mungu mkubwa 😊
Mangine yanauislam jina pole sana
Dada msukuma mzr shingo zuri
Dada mvumilivu hula mbivu mungu akusimamie papambana ❤❤
Niko na WiFi za waarabu za bure na like kama maji
😂
Pia na saudia arabia nikazurumiwa uko kijijinj wakanitupa kwa supermarket akanidaganya eti nimusubiliye apelekeye wa mtoto maji hakurudi aise nimeona Dunia inaniagukia😢😢😢
Shena Mwenyezi Mungu akujaalie tunajifunza mengi sanaaa
Hawa waarabu wengine wanajifanya waislam ili uislam uonekana unanyanyasa watu kumbe ni wao na sio uislam hawa wenyewe ndo roho mbaya hata Mungu hawakubali maombi yao
Sasa kwani si waislam?? Kila dini ina wazuri na wabaya usiseme wanajifanya km sio watu wa dini hiyo.
Dada pole sana kuhusu malimawe na mambo mengine sorry sana. Simba from Amsterdam Netherlands
Hongera Sana sana
Yaani story yake sawa na mimi jamani haya maisha
oooh hiyo nyumba ilikuwa na nguvu za giza😅😅😅 bora ulivyoondoka
Nilipata kazi za oman nikakataa boss akaniuliza why nikamchana live nyinyi wanyanyasaji wa kijinsia,hamuna ubinadamu,akasema sawa
Ulimpa Makavu Live 😂😅😂😅
Watu weupe ni roho mbaya sana haswa waarabu
Ila kuosha gari hairuhusiwi jamani walikuwa wanakuonea kataeni mkifika huku
Kweli kabisa yn uku wapo wazuri na wabaya
@@tutiwatuti Dada naweza kupata kaz
Mambo mazuri yooooote wanayofanyiwa hawasemi .
Regina usikat tamaa simamà. Na mungu utafika Tu
Nimependa huyu dada ana level kubwa ya kujieleza
Waarabu hapana aiseee, wale watu ni wabaguzi mnooo,eti aoge na malimao 😢😢😢
Mimi nateteya waarabu hivi niwaulize nduguzetu WA bongo huko Tanzania munao jiita wakirsto hamumkosei allah
Anaishi na mqenya anaongea qm qatoqa qenya ❤❤
Mie Nahis Ni Mkenya Huyu Dada Sio Kwa Kiswahili Hiko
Pole sana dear.Ila umetupatia nguvu ya kuendelea kupambana
Sijajua ni macho yangu au ni sawa.. Ninaona hawa wadada kama wanafanana kwakiasi furani hivi...
Pole😂 kwa changamoto sisi tupo omanii kikwelii change moto azikosii ila kula uhuruu Allhamundulilah 😂
Asante kwa kutuelimisha,
Je, hakuna Fursa za Kazi kwa Vijana wa Kiume yaani Wanaume pia ukiachia mbali kazi za Ndani tu ambazo nyingi zina wa favor wanawake tu?
Tafadhali ningependa kusikia kutoka kwako
Asante
Pole
Unaweza kuona haha ya kuchagua viongozi wazalendo na si wachumia tumbo. Uislamu kwa waarabu urithi tu wala si imani. Ni washenzi tu kama washenzi wengine.
Duh kazi hizi
Yaani mmh
Dada warabu niwashenzi vipi kuliko kupewa sabuni unapewa malimana allah wakibaruh
Uislamu unaafadhali sanaa pesa inamateso musisikiye anaesema kapewa pesa bure muongoo kutafuta es unaitiya mateso magumu
Vzr
Huyu mwanamke anao yesha dhahiri maneno yake mwongo.
Mpelekeni kwa psychologist atawaambia ukweli.
Jambo moja huku gulf arab states mfanyakazi wa nyumbani anachotaka kula ale mpaka avimbiwe haulizwi kitu. Nyingine halazimishwi kusali na hata dini yake si muhimu.
Wahindi zamani walikua mayaya peke yao na 90%hindus. Hakuna kati yao kalalamika. Wahindi wakichapa kazi kwa bidii, wananunua kwao mashamba na kufundisha watoto wao mpaka Marekani.
Yaya wangu mmoja during 80s last century kafanya kazi kwangu miaka 11 kaondoka tajiri kwao na watoto wawili doctors marekani.
Nyinyi kaoni na woga wenu na kulalamika.
W
aarabu are an integral part of East Africa
Madam kama wewe unaroho nzur basi ni wewe Kuna watu hapa oman wanaroho mbaya unatengewa mpaka kikombe mimi nko oman mwaka 9 changamoto ni nyingi sana lakin Alhamdulilah sasa niko na kazi za nje ni uvumilivh tyuu watu hawafanani
@@PendoGeorgeconnection
@@PendoGeorgeteena usiombe waarabu waswahili😢 waarabu wasiojua kiswahili afadhali kuliko waarabu waswahili ni mtihani....yaan sitaki kusema sana naongea kwa uzoefu
Nimependa ulivo clarify Shena. Km kitu hujakutana nacho usimkatalie mtu. Tupo kujifunza.
Hahaha shombo la Africa. Ni kupiga malimao tu 😂😂. Hii dunia ina mambo mengi
Mbona. Namimi. Anaitwa. Joyce. Joseph. Somo. Yang. Kabisa
Safisana da Joyce
Duuu alafu wana tuma pesa uku tanzania watu wana wadhurum😢😢😢😢jamaniii
😂😂😂😂😂 kukopaa pesaa ndo zao 🙌🙌
Waarab wana rooh ngum sana
Joy, kuhusu ugonjwa wako ukija Tanzania nitafute nikusaidie kuhusu vidonda vya tumbo
Dada ivo ndo kuko wallahi warabu ni ivo mzuri hakuna.
Hello, dada nmekusikia mwanzo mwisho...........naomba mawasiliano na wewe moja kwa moja please
Ningekua na mda ningeongea live tusimuliane history
Kuoga na malimao tena....heeee😢😢😢
Kinachonishangaza ni baadhi ya waarabu kumbagua mfanyakazi kwaajili ya dini na Hali wao wenyewe hawaifuati hiyo dini yenyewe... Pumbavuuuu kweli
Aisee waarabu wanashida sana
Washenzi
Waarabu wana mambo ya hovyo sana. Sasa mtu huyo anawapikia na kukuoshea vyombo lakini hamtaki achanganye vyombo vyenu na vyake, hapo imesaidia nini? Roho chafu tu.
Warabuni wa oman wamenizurumu hela ya miezi umoja wamenichokesha,,wakaniuza pengine bila malipo nimelia😢😢😢😢mungu atanilipiziyaka wew kisasi namuachiya mungu😭😭😭😭😭
Dada nimekupenda kw uwazi wako. Ningependa km utakubali uje kwangu mie nipo UAE mi ni mtanzania mwenzio km utaweza nijukishe pls
Mbona hamhadithii mambo mnayopitia huko Tanzania.
Jamani warabu ni kama watu wangine kwani hata africa kuna wema na wabaya kama mnovoona uko ndo hata warabu ivo miye nimeishi africa na naishi oman watu wote sawa we na bahati yako
Hiyo ndiyo oman
Kumbe Warabu washenzi hivyo😢
Mi alihamndulillah chombo chochotee natumiaa msosi napakua kiasi ninachotaka tena madam ananiambia pakua chakula cha kutosha hata kama vyakula 10
Mshukuru Mungu sana my dear, mimi hapa hata vyombo nilipewa vyangu toka nimeingia siku ya kwanza 😓😓😓😓
Pole hawo watu sisi tunatumika kama nyama
Kweli umeonaa s waarabu too Dunia nzimaa lmeajaa mambo Kaa hayo
malimao😂😂😂
Tupee namba yake dada Joyce dada Shena
Mwanangu shen cjui jinc ya kukupata
+4367764790884
😊😅😢😊😮
Guale haha kama ngozi najua kuipika
Us