Asante sana Pd. kwa mafundisho mazuri sana sana, Mungu akubariki mno, nimeisikiliza zaidi ya mara tatu na bado nina hamu ya kusikiliza, ni mahubiri yenye tija na niya wakati uliopo na tunaishi nayo kila siku. Ubarikiwe sana 💯👏🙏.
Mungu akubariki PD. KWA MAFUNDISHO MAZURI YA KINA, NAOMBA TUFUNDISHE DHAMBI YA YUDA ALIYEMSALITI YESU KRISTU KWA KUMBUSU AKAPOKEA VIPANDE 30 VYA FEDHA. ATASAMEHEWA. NA JE,. PILATO KWA KITENDO CHA KUNAWA MIKONO YAKE KWA MAJI BIRIKANI HATAPATIKANA NA HATIA YA KUMWAGIKA DAMU YAKE YESU KRISTU ???
Ubarikiwe saba baba Padri kwa mafundisho haya inayo waszidiya waamini Wenger kuacha mawazo ya upuuzi,Mungu akutiye nguvu tele,nilikufata vizuri sana,kutoka Bukavu/DRC.
Mungu ni Roho Imefika wakati Watu wote wajue kwamba Mungu wafananishwe na sanamu ya kuchanga wala kuchorwa tuache kuzungumzia muhula wa dhamiri sasa tupo kwenye Muhula wa Neema tuwahubiri Watu kutubu na kubatizwa ndani ya maji ktk Jina lake Yesu kristo kupata ondoleo la dhambi ili kuipata neema ya wokovu niagizo la Yesu Marko 16:15-16 Na mitume wakatii agizo mdo 2:38
Wow mahubiri na mafunzo mazuri sana , Mimi nashiriki na Kanisa la SDA , LAKINI kwa Mungu hamna mipka za dini wala rangi wala lugha , nashukuru kwa ujumbe huu na Mungu abariki mnenaji. Kwetu ni Kakamega Kenya ila kwa sasa nafanya kazi Mjini Thika Kenya.
Hakika baba umenena vema haya ni mafunzo kwà watoto, vijana hata wazee , ni wengi hufikiri tunda la mti wa katikati ni kuvunja amri yà 6 ila tangu sasa tumeelewa, barikiwa mnoooo Pd. F. Rwechungura 👏🙏 . Nakumbuka mbali jimbo nililokulia @ Tabora Cathedral nimewaona nà Makatekista wangu nimefurahi nà kufarijika pia.❤❤❤
Asante kwa mafundisho mazuri padrii mungu akubaliki maana ili lilikuwaga swali la kila siku tysc tmsc na tulikuwa hatuelewi tunaelezeana to vitu visivyo
Nimekuelewa Sana father na ni kweli kabisa kiburi ndio dhambi ya asiri iliyofanywa na wazazi wetu wa kwanza...hapa umetema madini ya gharama kubwa sana,, asante mzee.
KUTUBU ni kuamini KIFO CHA KRISTO YESU na pia ni badiliko la fikra kwa neno la Mungu inayokukataza USITENDE DHAMBI# Kumkufuru Roho Mtakatifu ni KUTOKUAMINI HAKUNA DHAMBI YA ASILI BALI KUNA "UTAKATIFU WA ASILI'
Shalom Kwa upande wa wangu ni hvi Mungu ndie muumba wa vyote tuonvyo na tusivyoviioona so ilikkua lazima iwe hivyo. Kusudi Dunia ijae watu mama Jehova asingepanga havinge tokea akili kichwani.
Huyu ni Padri ni Sahihi kwake tutojua ni nani anazaa kati ya Mwanamke na mwanamme!.... Na hajui kuwa Mama hawezi kulaani! Pia hajui kuwa Mwanamke hakulaaniwa wala Mwanamme, aliyelaaniwa ni Nyoka tu! Na Dhambi ya Asili siyo Kiburi, Adamu na Mkewe Eva, tunda walilokula ni "SHERIA" Ndiyo tunda la ujuzi wa mema na Mabaya!
Asante sana Pd. kwa mafundisho mazuri sana sana, Mungu akubariki mno, nimeisikiliza zaidi ya mara tatu na bado nina hamu ya kusikiliza, ni mahubiri yenye tija na niya wakati uliopo na tunaishi nayo kila siku. Ubarikiwe sana 💯👏🙏.
Umesikiliza Mara tatu bila kuelewa pole Dana , maswali yako Sasa yako wapi? Kama kweli umeelewa
Mungu akubariki PD. KWA MAFUNDISHO MAZURI YA KINA, NAOMBA TUFUNDISHE DHAMBI YA YUDA ALIYEMSALITI YESU KRISTU KWA KUMBUSU AKAPOKEA VIPANDE 30 VYA FEDHA. ATASAMEHEWA. NA JE,. PILATO KWA KITENDO CHA KUNAWA MIKONO YAKE KWA MAJI BIRIKANI HATAPATIKANA NA HATIA YA KUMWAGIKA DAMU YAKE YESU KRISTU ???
Good explanation & teaching, keap it up Amen.
@@philibertmpinzile.6090p0pqQmmmok
MUNGU AWE NAWE.
Hakika baba dhambi ya asili ni kutokutii na kuwa na kiburi. Hakika Mungu ATUSAIDIE KATIKA hili Baba. Barikiwa Sana kwa chakula Bora Cha ROHO
Hongera sana Mtumishi wa Mungu,ingekuwa mapadri wote wangesimama kwa Neno la Mungu kama,hakungekuwa lazima ya madini maelfu duniani
Asante sana padiri KWA SOMO lako, mungu azidi kuongeza elimu yako ya kiroho, tupatie kushinda zambi zetu za asili,
Amen baba mtumishi wa mungu 👏👏👏👏
Heko Padre Mungu akutie nguvu na akufunulie zaidi kwenye mahubiri yako.
Hongera kwa mahubiri mazuri Baba
Ubarikiwe saba baba Padri kwa mafundisho haya inayo waszidiya waamini Wenger kuacha mawazo ya upuuzi,Mungu akutiye nguvu tele,nilikufata vizuri sana,kutoka Bukavu/DRC.
Barikiwa sana Baba Padre kwa Tafakar nzuri.
Asante baba kwa mahubiri mazuri
Mungu ni Roho
Imefika wakati Watu wote wajue kwamba Mungu wafananishwe na sanamu ya kuchanga wala kuchorwa tuache kuzungumzia muhula wa dhamiri sasa tupo kwenye Muhula wa Neema tuwahubiri Watu kutubu na kubatizwa ndani ya maji ktk Jina lake Yesu kristo kupata ondoleo la dhambi ili kuipata neema ya wokovu niagizo la Yesu Marko 16:15-16
Na mitume wakatii agizo mdo 2:38
Daah kwa mahubiri haya Mungu nisaidie nibadilike
Hapo ni kweli,watu watubu dhabi zao,watu watafakari maisha ya badae🙏🙏🙏
Kwa kua yesu ameshalipa deni masalabani,kufa na kufufuka.tunakiwa kufa nakufufuka
katika ubatizo(wakolosai 2:12-13).
Asante Baba Paroko kwa mafundisho mazuri. Mungu akubariki sana.
Barikuwa sana baba Padiri Mungu akubariki sana. Maana watu wengi huwa hawakubari kuhusu hilo tunda mwenye sikio asikie
Hongera sana padri kwa funzo🙏❤
Ahsante sana Baba Padre. Milele Amina.
Hongera sana padre kwa mahubiri yako mazuri na mungu akubariki.
Wow mahubiri na mafunzo mazuri sana , Mimi nashiriki na Kanisa la SDA , LAKINI kwa Mungu hamna mipka za dini wala rangi wala lugha , nashukuru kwa ujumbe huu na Mungu abariki mnenaji. Kwetu ni Kakamega Kenya ila kwa sasa nafanya kazi Mjini Thika Kenya.
First time a Catholic priest is. rightly dividind the word of truth keep it on father
Si eti first time ni vile tu ma churches ingine Catholic hawawegangi you tube ivo ndo kuhuburingi
Ahsante sana mheshimiwa padri
Hakika baba umenena vema haya ni mafunzo kwà watoto, vijana hata wazee , ni wengi hufikiri tunda la mti wa katikati ni kuvunja amri yà 6 ila tangu sasa tumeelewa, barikiwa mnoooo Pd. F. Rwechungura 👏🙏 . Nakumbuka mbali jimbo nililokulia @ Tabora Cathedral nimewaona nà Makatekista wangu nimefurahi nà kufarijika pia.❤❤❤
Amina mahubiri mazuri ubarikiwe padri
Kutokutii ndio nthdambi kubwa ❤❤❤
Asant baba padiri kwa tafakari nzuri muno munooo sana
Asante baba ,kwa mahubiri mazuri sana yamenifungua.
Asante kwa mafundisho mazuri padrii mungu akubaliki maana ili lilikuwaga swali la kila siku tysc tmsc na tulikuwa hatuelewi tunaelezeana to vitu visivyo
Amen Father kwa mahubiri mazuri yamenibariki mno.
Proper interpretation and application of the scripture
Thx servant of God
Ubarikiwe baba padri
Nashukuru kwa neno
Asante sana atasahi nasikilisa mafundisho yako nikiwa kazini.
MUNGU Mwenyezi, akubariki baba.
Ahsante baba kwa tafakari nzuri
Pardon si m'aviez mal compris mais vraiment je suis touché par cette Evangil sur ce vraiment pardon.
Tutubu,tuache kiburi na kukufuru mungu na roho mtakatifu,mungu atusaidie
Asante Sana baba padri Kwa mafundisho yako mazuri. Na Mimi umenisaidia Sana. Ubarikiwe .
Amina
Asante Father kwa mahubiri mazuri.
Asante Padre kwa kutufunilie habari njema kuhusu dhanbi ya asili.na kumufukuru roho mtakatifu
Nimekuelewa Sana father na ni kweli kabisa kiburi ndio dhambi ya asiri iliyofanywa na wazazi wetu wa kwanza...hapa umetema madini ya gharama kubwa sana,, asante mzee.
Siye yule asemaye Bwana, Bwana, ndiye atakaye risi ufalme wa Mungu.
Asante sana Padri Hilo neno la mti wa katikati watu wengine wanalitafsiri vibaya
Ubarikiwe 1:43
Asante kwa mahubiri maziri ya kutafakarisha.
Ubarikiwe mtumishi
Amina barikiwa
Mahubir masuri sana ubarikiwe muno.
Ahsante kwa tafakari zuri sana
Amina baba paroko
Asante sana padre nimeelewa
Asante sana pd kwa mafundisho manzuri sana mungu akubariki mno sana🎉
Amina Baba .
Asante sana ancle.mahubiri mazuri mno naamini waamini wa Tabora wanakufaidi mno mungu akuimarishe sana
Nimefurahi
Guo ndio ukweli
Baba ubarikiwe kwa mafundisho mazuri najua yatanijenga kiimani
Thank brother for a good word for the evening about the truth on Tundra lakatikati
Asante sama father . Amina kunwa
Asante muhubiri kwa ujumbe safi wa bibila.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Nimebarikiwa Sana.
asante sanana na mungu akubaliki sana .nimeelewa sana.
Asante baba kwakunifungua macho tunda la katikati barikiwa sana farthar
Shukrani sana mtumishi wa Bwana kwa mafundisho y'a busara!
Asante baba kwa mafundisho adili
Asante xana patri kunihelimisha hapo
Mwanamke mwema hushirikiana na mumewe kutunza familia. Soma kitabu Cha Mithali 31:10-31, wanasaidiana.
Asantee sana father kwa mafundisho mazuri
Karibu Fullugosple
Asante Fr. Barikiwa sana
Nafurahi saana juu ya dini langu Katolika, liko lile lile katika ulimwengu nzima, mimi ni mkongomani mjini Likasi.
Amina
Neno mzuri father
Asante padre.
Hongera baba kwa tafakari iliyotukuka kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu.
that great revelation,worderfull
Asante baba paroko majivuno na libido noma
Amina Mtumishi
Mahubiri mazuri sana
Asante baba Paroko kwa mahubiri.
Asante kwa mafundisho.
Padri Asante kea mahubiri
Amina paroko tumependa sana mahubili yako
Ameeeen
Amina baba ubarikiwe sana padre
Amina sana baba ❤
Asant bab kwa mahubili mazuri sana
Nafurahi sana
Hiyo kweli mtumishi wa Mungu
Amen 🙏 🙏 🙏
KUTUBU ni kuamini KIFO CHA KRISTO YESU na pia ni badiliko la fikra kwa neno la Mungu inayokukataza USITENDE DHAMBI#
Kumkufuru Roho Mtakatifu ni KUTOKUAMINI
HAKUNA DHAMBI YA ASILI BALI KUNA "UTAKATIFU WA ASILI'
Amina baba
Umenifunza
Injili izuri sana padiri❤
Ameni
Amen Amen
Shalom Kwa upande wa wangu ni hvi Mungu ndie muumba wa vyote tuonvyo na tusivyoviioona so ilikkua lazima iwe hivyo. Kusudi Dunia ijae watu mama Jehova asingepanga havinge tokea akili kichwani.
Nimekuelewa pd.Faustin Rwechungula.
Hahari njema
Huyu ni Padri ni Sahihi kwake tutojua ni nani anazaa kati ya Mwanamke na mwanamme!.... Na hajui kuwa Mama hawezi kulaani! Pia hajui kuwa Mwanamke hakulaaniwa wala Mwanamme, aliyelaaniwa ni Nyoka tu!
Na Dhambi ya Asili siyo Kiburi, Adamu na Mkewe Eva, tunda walilokula ni "SHERIA" Ndiyo tunda la ujuzi wa mema na Mabaya!
❤❤❤❤❤
Amennnnnn