Dada.Rose pole sana dada yangu nafikiri unanifahamu ni mimi Somba Amsterdam pia wanawake wengi wa ki Africa wa matatizo wengi kwa sababu ya luga muwe makini sana pia msome luga
Nimekaa Europe miaka 20 +, huyu dada anaongea 100% UKWELI na sio wadachi tu wazungu asilimia 99 ndio walivyo haswa mkija kuishi huku kwao.Ukikutana naye Afrika enjoy sana sana, ukihamia kwao utajua hujui 😂 budget ngumu maisha kwa kujibana.Katabia kaUbaguzi kapo kwenye chembechembe zao za damu ni HAKATOKI kubali kataa ndio iko hivyo.
Kiukweli nimependa interview ya uyu Dada natamani umrudishe tena Ana mengi yakutueleza nimempenda mno, naomba Instagram yake, yani sio mchoyo wa maelezo,Mungu ambariki sana uyu Dada 😘🌹🌹🌹
Wauw. Kweli kwa malezi tuwe makini saaana, na watoto wetu. Kweli self confidence itawasaidia kupambambana na ubaguzi. , and hardworking. Ndio mfano mzuri saana Ili wawe na maisha bora, Nao waendeleze msimamo huo hata bora zaidi huko mbeleni. Kuhusu kutafuta wazungu. Mpango WA Mungu kwetu hauepukiki na Hata wakiroga. Mume na mke ni mpango WA Mungu, Basi tuombeni Mungu atuchgulie mme bora popote pale. Tuwe na uzao ulio na maarifa ilituendeleze vizazi bora. Na tuelimichaneni zaidi na zaidi. Asante dada kwa kipindi chako 🙏😘
Kiukwel mim ninamaumivu kwa jinsi nilivyolelewa mpka sasa nimeolewa bado kile kinyongo kipo kuna mda mume wangu namchukia nikikumbuka mapito yngu mpka nasemaga mungu anisamehe namuelewa sana dada rose😢🙏
Nimejikuta tena sitamanintena kupata mzungu .yaan nimefuatilia interview zako dada mmmmh yaan ninaona hata kuomba tu Mungu anipatie mtu sahihi ❤❤❤. Mungu naomba unisaidie one day nije nipate interview na mm hapa .
Ila kiukweli wazazi wa kiafrica wepesi sana kutoa laana alaf wao wanaonaga kama masihara yaan utaskia na tutaona kama utafika popote alaf baada ya hapo anataka umsaidie chochote kitu wakat kashakulaan hutafika popote maishan kwako mimi nimeikataa kwenye kizazi changu na sitakaa nimtamkie mwanangu laana hata aniudhi vipi
Mie Ana Kinyaa mtoto akijisaidia but huwa namwuliza Hivi nikiumwa mwanangu atabaki na Kinyesi ?? Anasema samahani mke wangu , yaani sometimes kiukweli hata kumwacha mwanangu mbali na Mimi nikiwa naenda somewhere nakosaga amani , so huwa najitahidi as I can to take care of her
Yaani niwaambie hawa watu wengine wamekulia maisha ambayo Wazazi walikuwa Ni watu wa mitoko ya Disko, Disko na wao, and Wazazi ni watu wanaogombana mbele ya watoto so wanakuwa na vilema fulani fulani . Kwa hiyo unaezakuta mtu anakujali but kusafisha mtoto shida au House Arrangement shida , so in other ways tuna mapengo tunayoweza saidiana kuzuia wengine mapengo ni kama Korongo la barabara huliwezi Ng’o
Nami niko holland toka 2005. Kwanza nakupongeza sana coz unaelimisha jamiii na DaRose ameongea fact kabisaa Kwanza ubaguzi upo sehemu zote ila wachini kwa chini mashuleni,makazini,majirani etc. Na kuhusu kula mmmmh wao ukiwaalika kwao watakula kama hawana akili nzuri ila kwao mgeni aseme kabla ili aesabiwe viazi vyake kama nivitatutatu basi namgeni tumuekee vyake vitatu na kipande cha nyama chake. Viparty vyao sasa utoke kwako umekula maana utakula vipande vya matango,vipande vya cheese na vipande vya soseji. Nasi wazungu tu hata kaka zetu nanahangaika navikazi vyao wanawaleta dada zetu ulaya wakija hapa wanawakimbia coz hawajui maisha ya ulaya wana expect a lot matokeo yake wanawakimbia kakazetu. Ndugu zetu fanyeni research ya maisha ya ulaya kabla hamjafika.
Dada.Rose pole sana dada yangu nafikiri unanifahamu ni mimi Somba Amsterdam pia wanawake wengi wa ki Africa wa matatizo wengi kwa sababu ya luga muwe makini sana pia msome luga
Jamani nimempenda huyu dada straight to the point, and her sense of humor is wicked 🤣 😆
Let's gather here if @aroma of zanziba in one way or another cultuted your culinary abilities. Thank you.
Hata Kuna waafrica wazuri wanawashinda wazungu LOVE YOU ❤️
Interview hii uwe inairudiwa kila wiki mara moja ni darasa nzuri. Hongereni sana.
Yaani huyu Dada ni Mimi kabisa nimempenda Sana anasema ukweli nipo Austria mwaka wa 9 now
Hongera Sana kutuletea hii program. Unaalika watu wenye madini . Huyu Dada ana akili sn na anajitambua sn. Mungu awabariki sn
Best interview ever. Ninaishi Ulaya huyo dada told 100% truth.
Wadada wapenda wazungu chukueni tips za maisha maana huyu dada kaongea yote
I love her perspective in life. She's speaking real life facts, I've learned so much. Thank you Shena for hosting her.
Rose wewe ni kiboko yaani umejaa madini, I love the way you are free❤
Nimempenda sana.huyu.dada Rose anaongea point ili wengine wajifunze
Huyo dada unaweza kumchukulia poa, but she is very knowledgeable. Asante sana da Shena, your doing a great job.
Thanks
Rose is amazing and smart na sio mchoyo wa kuelimisha Mwingine
She is very realistic, she is sincere, confident and open minded
Naomba namba ya Dada Rosey tafadhali
Nice interview, she is very wise
Ukweli umuweka mtu huru asante dada kwa kutueleza yahuko tunajifunza pia
Huyu dada rose Mungu akuweke,wazazi hawa 🙌 Mungu tu ndo anajua
Dada kafunguka mpaka rahaa hivyo ndo inavyotakiwa katufufungua maskio mwenye mungu akuongoze katika maisha yako❤
Nimekaa Europe miaka 20 +, huyu dada anaongea 100% UKWELI na sio wadachi tu wazungu asilimia 99 ndio walivyo haswa mkija kuishi huku kwao.Ukikutana naye Afrika enjoy sana sana, ukihamia kwao utajua hujui 😂 budget ngumu maisha kwa kujibana.Katabia kaUbaguzi kapo kwenye chembechembe zao za damu ni HAKATOKI kubali kataa ndio iko hivyo.
Well said
Ni kweli
Kiukweli nimependa interview ya uyu Dada natamani umrudishe tena Ana mengi yakutueleza nimempenda mno, naomba Instagram yake, yani sio mchoyo wa maelezo,Mungu ambariki sana uyu Dada 😘🌹🌹🌹
Asante kwa interview nzuri sana sana !
Nimeipenda mno dada ametujuza mengi🙏
Dada nimekupenda bureee. Uko focused sana. Yaani mawazo yako yanaendana na yangu kabisaaa! Big up sana🙏 Nashukuru umenibariki sn.
Ni kweli kabisa, mimi nafanya kazi za ndani ulaya kwakweli maisha mazuri na ninasaidia ndugu zangu lkn pia najenga nyumbani, kina dada tupambane
Kabisa my tupo wengi tunapambania ndoto zetu. Ubarikiwe sana
😅😅 Na kweli mzungu anaweza kufanya ujichome kisu kwa stress, nimependa sana maongezi ya huyu dada 🙏🏿
Kwakweli dada umewajulia kuna mmoja nilimta analala sehemu mbaya mchafu na kazi anafanya vizuri
Tuambie mdogo wangu. Maana wengi tunazani wazungu wanatingisha pesa , au wanazani humans wazungu wenye ziki. ❤
Uko vizuri Rose Mungu akutetee
Hongera sana dear Shena umekuwa sababu ya kutufungua ufahamu hongera pia dear mgeni wetu umenifungua ubongo haswa🙏🙏
Sip mchezo kweli sio kila mzungu ana hela 🙌🙌🙄
Bora Africa tuna maisha jmn mmh!
Wauw. Kweli kwa malezi tuwe makini saaana, na watoto wetu. Kweli self confidence itawasaidia kupambambana na ubaguzi. , and hardworking. Ndio mfano mzuri saana Ili wawe na maisha bora, Nao waendeleze msimamo huo hata bora zaidi huko mbeleni.
Kuhusu kutafuta wazungu. Mpango WA Mungu kwetu hauepukiki na Hata wakiroga. Mume na mke ni mpango WA Mungu, Basi tuombeni Mungu atuchgulie mme bora popote pale. Tuwe na uzao ulio na maarifa ilituendeleze vizazi bora. Na tuelimichaneni zaidi na zaidi.
Asante dada kwa kipindi chako 🙏😘
Ahsante sana kwa maneno mazuri
Leo nimewajua waDutch asante kwasomo
Jamani kumbe wako kama wajerumani duh habari haki naona niwazungu wengi wako hivo
Aki Interview ya Sada ndo imenileta huku kwa Rose Mmenichekesha kuhusu wadutch daah I can't wait to share my strory nahisi ndo mtacheka sanaaa
We are waiting dear 🥰🥰
Nimeandaa mbavu kabisa
Huyu dada anaakili mnoo kuna vitu kaongea dah😢 Mungu amjalie huko kwa wa dutch
Kiukwel mim ninamaumivu kwa jinsi nilivyolelewa mpka sasa nimeolewa bado kile kinyongo kipo kuna mda mume wangu namchukia nikikumbuka mapito yngu mpka nasemaga mungu anisamehe namuelewa sana dada rose😢🙏
Daah pole sana! Jaribu kuachilia hiyo hali!
Ss huyo unaemuwekea kinyongo anahusika nini?
Halafu haitakusaidia utakufa kabla ya wakati , jifunze kumsamehe maana hata ww wako unaowakosea
Samehe na jifunze kusali au kusali jiunge TH-cam wale wanaosali utakuwa sawa
Jamani Rose amefunguka vizur katufunza mengi sana uje umualike tena jmn.
Dada rose Asante umenifundisha Sana nimekupenda bure dada
Nimejikuta tena sitamanintena kupata mzungu .yaan nimefuatilia interview zako dada mmmmh yaan ninaona hata kuomba tu Mungu anipatie mtu sahihi ❤❤❤. Mungu naomba unisaidie one day nije nipate interview na mm hapa .
Namimi nina jikuta na anza kuto kuwatamani tena wazungu haki😢😊
Aseee,bonge la interview....thx to both.
Thanks for this expérience
My pleasure
Nafurahi sana kipindi, nimejifunza mengi.
Jaman huyu dada kaongea vitu vizuri sanaa hii interview ni ya moto sanaa
Nakupa hongra dada,ulaya sio mchezo maisha,mjitumikishe kazi,
Point yako ya mwisho ni nzuri na ya muhimu sana
The best and fun interview 🙌🏽
Mishumaa mitatu 😂😂😂😂 sister ❤ unasema ukweli lesson nzuri sana. Unatufurahisha.
Kiukweli naona faida ya maamuzi katika maisha
Interview ni nzuri sana hâta mimi yalinikuta
Yaan nimempenda sanaa maana katupa ukweli
da rose yupo vizurii sana anasema true life
Uli pewa passabort ya uholanzi ama huna dutch passabort nu zag
Dada Rosé nimekupenda Sana naomba tuwadiliane tuwe marafiki mm nipo Oman
Ninaomba maombi upya kwa Mungu kumbe ndo maana Mungu alinichelewesha .alitaka nipate hii somo
Yaaan nimependa stor yake huyo dada Yuko vzr
Yaaani natamani hii interview niiseve niiweke kila nikitamani niisikilize
Dada yangu napenda sana uko muazi sana .mimi ni naishi Amsterdam simba
Karibu sana kwa kipindi kaka
+4367764790884
Your the best nimependa sana interview yako
Ila kiukweli wazazi wa kiafrica wepesi sana kutoa laana alaf wao wanaonaga kama masihara yaan utaskia na tutaona kama utafika popote alaf baada ya hapo anataka umsaidie chochote kitu wakat kashakulaan hutafika popote maishan kwako mimi nimeikataa kwenye kizazi changu na sitakaa nimtamkie mwanangu laana hata aniudhi vipi
Katika interview ya leo inafundisha sana. Ss tukipata mzungu tunakimbilia ndoa
Dada Rose apewe maua yake💐. Mwenye masikio asikie😂! 👏🏾
Kuna namna iliyo bora sana ya kuwasaidia watu kama hawa!
Sister mwenye kipindi unaish mkoa gan au inchi gani??
yuko Österreich
Dada umeongea vema ulaya kazi si vinginevyo
Data. Rose kwa nini usiwe mshari mama.samia
Rose asanteee watu wanajuwa hkuna wadhungu maskin😅😅😅
Unakaa sehemu gani huko uholanxi?. Nimekupenda Sana.
Really woman ever yani dada nimekupenda
Mahojiano mazuri sana
Ni kweli aswaaa
duh Rose nikija holland nitakutafuta angalau tukutane kwa CHAI tu
Rose hanywi chai lakini ujue 😁😁😁
leo nmejifunza sana
Mie Ana Kinyaa mtoto akijisaidia but huwa namwuliza Hivi nikiumwa mwanangu atabaki na Kinyesi ?? Anasema samahani mke wangu , yaani sometimes kiukweli hata kumwacha mwanangu mbali na Mimi nikiwa naenda somewhere nakosaga amani , so huwa najitahidi as I can to take care of her
mmh! pole mwaya
Yaani niwaambie hawa watu wengine wamekulia maisha ambayo Wazazi walikuwa Ni watu wa mitoko ya Disko, Disko na wao, and Wazazi ni watu wanaogombana mbele ya watoto so wanakuwa na vilema fulani fulani . Kwa hiyo unaezakuta mtu anakujali but kusafisha mtoto shida au House Arrangement shida , so in other ways tuna mapengo tunayoweza saidiana kuzuia wengine mapengo ni kama Korongo la barabara huliwezi Ng’o
Pole ana ubaba ndani yake
Mmmmh Pole zungumza naye abadilike
hiyo point kutoa sadaka MUNGU HUKUPA KWA NJIA USIO IJUA
Rose mwanangu wa kwanza nimempenda sana nimejifunza vitu vingi
Duuh nimecheka😂😂 mdachi akija kwako anasalandia msosi
This was wonderful
Asante Roselle nakupendaga 😅
We Dada nimekupenda unaongea ukweli kabisa harafu yani unapita mule mule hahaha 🤣wadada tulieni acheni papala na wazungu
Nimekupenda Bule. Unasema ukweli kabisa.
Nimecheka mno
Yaan hawa wazung bwana wasumbufu kiukweli tunapata stress tu
Asante Asante Asante nimejitambua sasa
Hiki kipindi kinawafanya watu kufunguka mambo yasiyo ya kawaida kusikia bigup !
Mimi na andika mkiongeya.... Points❤❤❤❤
😂😂😂😂😂Rosselle umeniichekesha nimekupenda bure ila unaongea ukweli ☝️👌
Rose kaongea ukweli interview nzuri sana hii salute 🫡
Thanks dear
❤❤❤❤❤ nimpenda sanaaaaa....
🤣🤣🤣🤣 best interview nimecheka sanaaaa
Nice interview ♥️♥️da rosemary & da shena❤️❤️
Sio wadutch wazungu wengi hawana utuuu me niliolewa huko yamenishinda huyu dada kaongea ukwel woteee kabisaaa
Duh
Leo nimecheka bora uwaaambie wajue❤❤❤
Nimecheka leo dada kaongea point kabisa 😂😂😂
Mimi nina penda sana uholanzi na nina ishi holland uit groningen nu
Niko drachten hapa karibu tutembeleane
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Rose Umenichekesha sana!!
Daah dada nimempenda amefunguka kweli,bora tuambie ukweli tujue maisha yanavyoenda huko,kumbe wa dutch ndo walivyo hahahah
Hapo kwenye mikate hao walinifanya mimi sijala mikate hadi leo niliichoka na kuichukia
😂
😂
Kweli kabisa huyu km mimi
Umenitoa out nalipaje?
Silipiii nasema😂😂
Haha.. hawa wadutch siwapendi kabisa ..maisha ya kula mikate na supu siyawezi!wanaume wambea kama wanawake
Mazungumzo mazuri 👏🏾
Yaani wewe binti , safi sanaa.
Nami niko holland toka 2005.
Kwanza nakupongeza sana coz unaelimisha jamiii na
DaRose ameongea fact kabisaa
Kwanza ubaguzi upo sehemu zote ila wachini kwa chini mashuleni,makazini,majirani etc.
Na kuhusu kula mmmmh wao ukiwaalika kwao watakula kama hawana akili nzuri ila kwao mgeni aseme kabla ili aesabiwe viazi vyake kama nivitatutatu basi namgeni tumuekee vyake vitatu na kipande cha nyama chake.
Viparty vyao sasa utoke kwako umekula maana utakula vipande vya matango,vipande vya cheese na vipande vya soseji.
Nasi wazungu tu hata kaka zetu nanahangaika navikazi vyao wanawaleta dada zetu ulaya wakija hapa wanawakimbia coz hawajui maisha ya ulaya wana expect a lot matokeo yake wanawakimbia kakazetu.
Ndugu zetu fanyeni research ya maisha ya ulaya kabla hamjafika.
Thanks Monique Naomba tuongee whatspap +4367764790884
@@OfficialDatingAssistancehelo
Dada Rose kiboko ana hekima, mahojiano yalikuwa ni mazuri na yenye kuelimisha
Wadarch waongea kama wahindi?
Nimempenda sana dada rose
Thanks dada Rose
Jamani Rose nimempenda mno