CHID BENZ:HARMONIZE AMECHANGANYIKIWA/NANI ANAYE MUAMINI WALE WANAMCHORA TU/DIAMONDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2019
  • #wasafi #hivinikweli#motown_sanya
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 568

  • @anastaziadominic8216
    @anastaziadominic8216 4 ปีที่แล้ว +84

    Wanaosema Presenter katisha sana kwenye interview ..gonga like hapa twene sawa.

  • @ezradaniel4613
    @ezradaniel4613 4 ปีที่แล้ว +15

    Chid benzi ww n nomaaaaa,unaongea ukwel mpka unafurahisha,safi sn,Mungu akupe nguvu zaid.

  • @regimentish
    @regimentish 4 ปีที่แล้ว +14

    This Guy has a lot of Wisdom, I can listen to his interviews all day....

  • @gracebahati738
    @gracebahati738 4 ปีที่แล้ว +19

    Msg nzuri sana kwa harmonize kutoka kwachidi

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 4 ปีที่แล้ว +23

    Chidiiiiiiii.. namkubal hata akiimba qasweeda.. team CHIDI ndo mm..like yr songs brow

  • @mo_zillaa5428
    @mo_zillaa5428 4 ปีที่แล้ว +7

    Daaah!! Hii interview ni nzuri sana aiseee.. Kuanzia presenter na ubunifu wake, pili chumaa ni mtu hakosei kwenye interview zakee🔥🔥🔥

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 ปีที่แล้ว +67

    Hiki ni chuma ni noma hpo kwa harmonize umeongea point tupu chid muongea kweli

    • @abduljamadini6468
      @abduljamadini6468 4 ปีที่แล้ว

      Shaaban Ramadhan kumb huw unayumb hvy uyo Benz anaona bado yupo apaapa

  • @bonifacejuma8447
    @bonifacejuma8447 4 ปีที่แล้ว +36

    Dah chid upande wa harmoniz umeongea point sana 🙏🙏🙏

  • @farajiramadhani1621
    @farajiramadhani1621 4 ปีที่แล้ว +116

    Chid benz ni mkali Inafika wakati watu inabidi wakubali hali yake na wasapport mziki wake .

    • @angelngowi6323
      @angelngowi6323 4 ปีที่แล้ว

      Kasapotiwa mala ngap anaenda kuiba vitu vya watu anaiba mpk simu unamsapot kitu gan sasa

    • @deboss5935
      @deboss5935 4 ปีที่แล้ว

      We Faraji Ramadhani unakwama wapi ww, hebu angalia hyo interview yake usikie huo Utumbo anaongea huyo chidi Benz, aah Jamaa kaniboa asee

    • @gladymakule3806
      @gladymakule3806 4 ปีที่แล้ว

      Point

    • @baldwinmoses6365
      @baldwinmoses6365 4 ปีที่แล้ว

      Ume nena vema kaka

  • @zulfamsham7437
    @zulfamsham7437 4 ปีที่แล้ว +121

    Nahisi nimemuelewa sana chid benz jamani kuhusu harmonize .kama umemuelewa kama mimi hebu tuonane hapa😌😌😌😌😌😌

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว

      nom.sana mwambiee mmakonde nabado

    • @zulfamsham7437
      @zulfamsham7437 4 ปีที่แล้ว +1

      @@janatahmad7048 ila tumuangalie baada ya miaka miwili itakavyokuwa hakuna anayemuombea mabaya ila angejaribu kukaa na kufikiria kwa umakini kabla hajaamua

    • @zulfamsham7437
      @zulfamsham7437 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shammylove1525 yap kama bongo star search tu walimkataa harmonize yule vip huyo jembe ni jembe angempenda harmonize wakati huoo kabla diamond hajamfua vilivyooo😒😒😒

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 ปีที่แล้ว

      Zulfa Msham day alitoa aiyola kabla hajawa na Dai, na hapaswi kuwa mtumwa hata wewe na mimi tulinyonya maziwa ya mama tukaacha tukakua tukawaacha tukasaka maisha, kwa nini abaki chini y Wasafi? Unajua vitu vingapi mkataba ulimkataza kufanya? Wakati anatambaa kama amefika umri wa kutembea muache atembee. Maisha ni kusonga mbele

    • @semweneemmanuel9005
      @semweneemmanuel9005 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo Aiyola imetolewa under WCB na shooting imefanyika South Africa ww uliesema Aiyola iliyolewa before weka kumbukumbu zako sawa usikurupuke.....

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaa 👊 👊 pindi la kjanja Zaid 🔥🔥

  • @chibudangote2116
    @chibudangote2116 4 ปีที่แล้ว +123

    wana wcb naomben like jaman

  • @bittersweet1683
    @bittersweet1683 ปีที่แล้ว

    King of the microphone El magnifico , King Kong, chuma love from🇷🇼

  • @mwarabutoleolamwisho7879
    @mwarabutoleolamwisho7879 4 ปีที่แล้ว +27

    Wapo Ambao hawakutaman kumuona tena chidBenz akicmama,GOD is not good but he's the Goodest,I appreciates your much more CHIDBENZ ur machine.

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 4 ปีที่แล้ว +10

    ukitoa point anazoongea mwamba napenda sana energy ake muhuni ana ongea kwa energy sana io n kumaanisha ana uwakika n'a anacho ksema 💪..

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 4 ปีที่แล้ว +15

    Wasanii wapo wengi wa zaman na ukitaka kujua chid ajachuja mpk sasa tazama tu media kwa nn wanamfuta...hapo ndio utajua bado anauza

  • @mohammediddi773
    @mohammediddi773 4 ปีที่แล้ว +11

    Katika kitu nilicho prove chidi Benz ana akili sana

  • @jacksonmezza3721
    @jacksonmezza3721 4 ปีที่แล้ว +26

    KAONGEA VITU VIKUBWA SANA CHIDI VIKUBWA SANA YANI 👊

  • @kaylin7665
    @kaylin7665 4 ปีที่แล้ว +1

    Umu umeongea kitu support 🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @Yi-05
    @Yi-05 4 ปีที่แล้ว +90

    huyu jamaa ni kichwa sana aiseee he is a genius indeed..

  • @abasiselemani3909
    @abasiselemani3909 4 ปีที่แล้ว +23

    tuliomiss interview za chid benz

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว +22

    Wallahi kaongea maneno yanasisimuwaa😭😤😤😤😤😤😤😤duh

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 4 ปีที่แล้ว +13

    More sanya mbona upo kimya sana tuletee kipindi mzee naipenda sana saut yako mzee yaani nikuona Mimi lazima ule bando langu

  • @suleimanshabani6541
    @suleimanshabani6541 4 ปีที่แล้ว +4

    Chidi umeongea maneno mazito sana ama kweli ww nikichwa na unaona mbali big up brother

  • @kanole.x6389
    @kanole.x6389 4 ปีที่แล้ว +35

    chid anajuaa atabaki anajua mpk day ya mwishoo

  • @africanflame1521
    @africanflame1521 4 ปีที่แล้ว +4

    Chidbenz ukoo juu kama wcb

  • @kayjuma2629
    @kayjuma2629 4 ปีที่แล้ว +8

    Mo town thats a nice interview my brother, gud set up, mixing it up with crowd comments alafu part ya kuimba mwishoni is just perfect

  • @fhfg1127
    @fhfg1127 4 ปีที่แล้ว

    namkubali chidi huwaga anaongea point naomba sapport kwa kaka nasib amuinuwe kaka yetu chidi

  • @ritamrembo3351
    @ritamrembo3351 4 ปีที่แล้ว +1

    Chid Mungu tu ndo yuwakuelewa,for mi utabaki kuwa on ju ju ju big big love from 254

  • @kingnecky
    @kingnecky 4 ปีที่แล้ว +1

    Peace and love chidi Benz, umeongea cha maana chuma. From +1

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa una Hii q kubwa Sana respect daaaaah ila mungu akuongoze naamin kwel dogo anapotea @harmonize_tz angalia hii interview

  • @chrisantusmtanga1918
    @chrisantusmtanga1918 4 ปีที่แล้ว

    Chidbenz ur genius umeongea point nakupenda sana braza

  • @hanselwhiteside2962
    @hanselwhiteside2962 4 ปีที่แล้ว +43

    Chidbenz anakanusha maombi ya mashabiki sio kwa kupenda, ila inauma sana kufanya kitu kwa nguvu then mtu anajiita anaku "MANAGE" anakudhurumu jasho lako, najua kipindi yuko kwemye peak watu walimtumia sana Chidbenz na sidhani kama malipo aliyopewa yalikuwa na haki na ndio maana amelaani sana kwa Harmonize kuwaamini watu tofauti, huo ni mtazamo tu nadhani wapo wasanii wengi nikikumbuka enzi nakuwa miaka ya Sugu moto chini hadi sasa miaka ya Diamond, kuna wasanii wengi wamezimwa na watu fulani, wamezimwa na kupotea kwa kukosa elimu, najua haituumi kwasababu hawatugusi kidamu... Ila serikali kupitia vyama vya kutetea sanaa wangekaa chini na kuwalipa hawa watu au kusimamia malipo yao kwa hao waliojiita wanawabeba zaman kwa kuwapa mafao yao... Kwa wasanii wasomi kama F. A na A. Y walipambana maana walikuwa na msingi wa elimu na kazi za pembeni, tusiwaseme wasanii waliopotea kuwa walipenda starehe au madawa, kuna muda tunapaswa kujua kila mtu anatumia aina fulani ya "Kilevi" anapopata stress... Wao kuingia huko sio kwa kupenda ila ni maisha tu na mjini bhana ukifulia hata kutembea sometimes inakuwa shida

  • @azizaibrahimu7129
    @azizaibrahimu7129 4 ปีที่แล้ว +1

    Best interview ever chid Benz anaakili sana mmakonde chukua hiyo

  • @jumakimtanange8177
    @jumakimtanange8177 4 ปีที่แล้ว +33

    Nikkimbishi na chidbenz hawa jamaa nouma kweli kwenye interview hawa nouma

  • @gogerrah447
    @gogerrah447 4 ปีที่แล้ว

    Ila chidi ako na akili na hakuna bisho bro..maoni kichizi men.namkubali...big lov from kenya

  • @jonathanmwanja3994
    @jonathanmwanja3994 4 ปีที่แล้ว +32

    CHIDI BENZI IS REAL, YANI ANAONGEA POINTS TUPU TU

  • @xavitorres777
    @xavitorres777 4 ปีที่แล้ว +7

    dah hii interview imenoga kuanzia alipotajwa dudu baya 🤣🤣🤣🤣

  • @dizzoyboy3700
    @dizzoyboy3700 4 ปีที่แล้ว +11

    Awo jamaa wanaoimba mwishoni dah😂😂😂😂

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 4 ปีที่แล้ว +27

    Nimeamin hao wanaomponda kweli sio mashabiki wa chid coz chid ni mtu mwenye akili sana..na ofcourse alianguka lakini sasa anarud..chid benz

    • @reginamilian4148
      @reginamilian4148 4 ปีที่แล้ว

      Yan awa niwapumbavu saaana

    • @fredmbilinyi203
      @fredmbilinyi203 4 ปีที่แล้ว

      Kenned John ni seem ya maisha ambayo tunatakiwa kujifunza

  • @yahayammsiwa1651
    @yahayammsiwa1651 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapo sawa chichichichi binz💥💥💥💥🤧🤧

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 4 ปีที่แล้ว +9

    Chidi soo chidi blow huyu jamaa hiphop iko ndani yake beat zote anaflow bila kuforce akipata support ya nguvu atafanya mapinduzi ya hali ya juu

  • @hovsback1405
    @hovsback1405 4 ปีที่แล้ว

    Chidi wewe ni number 1 kwa interviews aki (a real definition of an original artist)

  • @jumalihumbo8937
    @jumalihumbo8937 4 ปีที่แล้ว +20

    Chuma napend interview zk😂😂😂

  • @esterdaudi9614
    @esterdaudi9614 4 ปีที่แล้ว +2

    Big chumba harmonize fans but your real chid👊🏻

  • @tonythadei9608
    @tonythadei9608 4 ปีที่แล้ว +16

    Leo nimeenjor sana Daah chid Benz noma

    • @hovsback1405
      @hovsback1405 4 ปีที่แล้ว +1

      Mpaka Kenya tunamkubali sana huyu jamaa Aliweza sana kwa ile nyimbo ya kadhaa remix

    • @tonythadei9608
      @tonythadei9608 4 ปีที่แล้ว

      Safi ndugu zetu Kenya moja

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 4 ปีที่แล้ว +10

    Umeongea FACTS TUPU ChidiBenzinoooooo!!!!

  • @zebdayleonard8599
    @zebdayleonard8599 4 ปีที่แล้ว +3

    Like kwa walio kuw wameishiw bundle nawkaweka vocha nawakaendelea na manrno child Benz

  • @footballlove4413
    @footballlove4413 4 ปีที่แล้ว +3

    Chid akili nyingi sana blessed brother

  • @Puxladen
    @Puxladen 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 tupo p1 na chidbeenz gonga like

  • @chrisroby8406
    @chrisroby8406 4 ปีที่แล้ว +3

    Mnatumia mda mref kutuletea sany nakubal swag zako bgp blo

  • @allyjerome9451
    @allyjerome9451 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah, huyu Jamaa, akili kubwa sana aisee bac tu......!

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 4 ปีที่แล้ว +1

    Chid benz hapo kwa Harmonizer umeongea point kubwa sana 👏

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema chid kampenda huyu presenter: like for me wanaokubaliana na Mimi afuu njoo kwenye akaunti yangu uone video ya dully syskes akiwachana wasanii bongo search

  • @naomijonas6090
    @naomijonas6090 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani Chid anazingua Sana hajui tu mashabiki wake tunavyoteseka nakupenda chidi hivyo ulivyo una sauti yakipekee Duniani

  • @salumali7031
    @salumali7031 4 ปีที่แล้ว +1

    Dahh huyu jamaa ni genius kw kuongea mm hua namkubali kw interview kuliko nyimbo

  • @dancehottzdancehottz2465
    @dancehottzdancehottz2465 4 ปีที่แล้ว

    chenz Benz humenifurahisha Sana na maneno yako yanafurahisha funny😁😀🎉

  • @hamiariddi6461
    @hamiariddi6461 4 ปีที่แล้ว

    Chidi ameongea point mashabiki zake tupo hatunawahi kuacha kumshabikia, mimi nimejita hamibenz since 2008 mpaka nw account zangu zote, fb, insta, hata wasap, shule, chuo, mtaani wananiita hamibenz na jina nimetoa kwake

  • @nafiaafrica
    @nafiaafrica 4 ปีที่แล้ว

    chidy benz hana tofauti na mr nice walipata nafasi kubwa sana za juu wakaanguka iwe bahati mbaya au kusudi ila walianguka,chidy benz ndo msanii wa kwanza wa hip hop kuwa na hela kuliko yoyote,akupata washauri wakumuongoza kaishia kula bata mpaka bata kamla yeye,diamond ndo msanii anaeishi kwa mistake za hawa wote anajua walianguka wapi yeye apite wapi,chidy benz ashakuwa na show ya maisha yake ashalipwa pesa mingi sana,chidy anlikuwa mfukoni kwa siku anatembea na milion 10 mfukoni na wapambe kama 20 nyuma yake akidhani hapa tz ni america.

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 4 ปีที่แล้ว +47

    Hamonise ajiangalie sana Haya maneno ya chidi ukweli mtupu!!

  • @pambatz2984
    @pambatz2984 4 ปีที่แล้ว +25

    Sema huyu jamaa mda mwingine anaongea point

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 ปีที่แล้ว +2

    Daa nime enjoy Sana leo chid mpk mashabiki wake 😘🤗🤗

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 4 ปีที่แล้ว +18

    Sometimes kufika on top sio kazi ila kazi ni kumaintain kuwa on TOP.

  • @alexmbembela4571
    @alexmbembela4571 4 ปีที่แล้ว +1

    Alisikia sio shabiki langu hilo like hapa

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mwanang shotout kwak mzee

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว +8

    This guy anatema true

  • @vinceeblass5025
    @vinceeblass5025 4 ปีที่แล้ว

    Uwezi mzidi alie kufundisha kushika myk Chd og sana wew

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 ปีที่แล้ว

    Naipendaga sana kuangalia hii interview

  • @benedictorgwambasa4159
    @benedictorgwambasa4159 4 ปีที่แล้ว

    Good sana chidy Benz mm nakuombea urud katika Hali yako na pia nazd kukubali sana mungu yu nawe

  • @deusbenard305
    @deusbenard305 4 ปีที่แล้ว +1

    "asante kaka chid Benz!! truth iz truth!!!!

  • @peteradonga7668
    @peteradonga7668 4 ปีที่แล้ว +1

    We In Kenya stand firm to Support you,we know your Worth and potential...KING KONG CHUMA.

  • @henrickovicent2933
    @henrickovicent2933 4 ปีที่แล้ว

    Safi sna kka umeongea maneno mazuri. Ahsante

  • @petersynto8634
    @petersynto8634 4 ปีที่แล้ว +22

    Maneno ya mtu mzima hayo huyu jamaa nilikuwa namwona kama zimepungua but Leo nimekuelewa kumbe unajitambua

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 4 ปีที่แล้ว +20

    ASASA chuma umeongea kitu konk sana diamond abaki kama msanii na redio ibakie kama redio acheze nyimbo zote....... Ushauri nimeukubali sanaa aisee mondi pokea kaka

  • @wahidymrosso7600
    @wahidymrosso7600 4 ปีที่แล้ว

    Chidy anaongea point San anajua akipata mtuu akimshika bila kujali hasara atafika mblii

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 4 ปีที่แล้ว +2

    My role model in music🔥🇰🇪

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi nikweli
    Kitu kime editiwa poa sana hongera zenu wasafi media

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 4 ปีที่แล้ว +1

    Chidi Benz inabidi uende na wakati ili usikike kwa mashabiki zako. Maisha yamebadilika tofauti na wakati ulipokuwa juu. Hata manager kupata utapata lakini jiongeze banaa fungua acc za TH-cam na Instagram ili watu wakufuatilie kama hujui kutumia watakufundisha. Tunakupenda jameni

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 4 ปีที่แล้ว

      Account youtube kufungua ni hela mzee 2ml ataitoa wap

    • @kibongobongo4608
      @kibongobongo4608 4 ปีที่แล้ว

      @@rasvegas8991 Dah 😒
      Itabidi aombe msaada kwa wasanii Najua wengi wanamkubali wamchangie na kumfungulia yaani wampe acc tuu na Sio hela. Lakini anaweza kufungua ya Instagram si ni bure? Pale aweze kuanzia kuwasiliana na mashabiki na ni rahisi kuwaomba wamuunge mkono

  • @magesadaudi86
    @magesadaudi86 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kwel mm hua nnafurahia Sana interview ya Chid Benz

  • @goodluckmkalawa3053
    @goodluckmkalawa3053 4 ปีที่แล้ว

    We jamaa ni kichwa nakupenda sana unaakili sana

  • @cleofasladislaus1474
    @cleofasladislaus1474 4 ปีที่แล้ว +22

    Chid wewe ni hatari sana akili yako unawaza mengi sana.

    • @braxedafiroza2444
      @braxedafiroza2444 4 ปีที่แล้ว

      Cleofas ladislaus anawaza na kulamba unga

  • @fuxudyf6600
    @fuxudyf6600 4 ปีที่แล้ว +9

    Chid Benz nakupenda San sauti yake from +257

  • @teomijombo7954
    @teomijombo7954 4 ปีที่แล้ว

    Chid benz fungua account ya you tube naiman utatengeneza mkwanja mwingi saaana sababu watanzania wengi wanapenda kuangalia interview zako zenye ukweli na vituko kidogo cjui niseme vichekesho kidogo ikiwemo pamoja na mm fans wako mkuuubwa saana ninapo ziona taalifa zako you tube cwezi nikaipita bila kuziangalia sababu zinanifurahisha sana na kunielimisha saana brother.

  • @ommynations.9157
    @ommynations.9157 4 ปีที่แล้ว +23

    LA FAMILIA dah kitambo xana manzee!

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว

    Sauti ya chidy jamanii
    Yaani in nguvu sana
    Nampenda anavyoimba

  • @YoramIDanny
    @YoramIDanny 4 ปีที่แล้ว +1

    Dhaaaa CHUMA umeridhikaaaa jamaa ! Ila powa sana kwenye freeee stairisss wewe ni CHUMAAAAAA

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 ปีที่แล้ว

    Chidi Benz una Uswahili sana...una wivu wa maendeleo ya wenzako

  • @obagoabhiathan3565
    @obagoabhiathan3565 4 ปีที่แล้ว +1

    King wa ilala chid makini sana

  • @halid494
    @halid494 4 ปีที่แล้ว

    Best artist...Rashid.

  • @yulestevo
    @yulestevo 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana chidiiii...

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 ปีที่แล้ว +2

    Point za chid noma sana

  • @herifredrickson2040
    @herifredrickson2040 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi midia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marijanmo4736
    @marijanmo4736 4 ปีที่แล้ว +24

    Kweli chid muambie wa chitooli uyo.

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 ปีที่แล้ว +5

    Presenter Huna Adabu,wakati unaongea na Chid Kuwa na nidhamu,usipagawe na iko kipaza

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaah chidi nakupa tano 👋

  • @hamisikhalid3046
    @hamisikhalid3046 4 ปีที่แล้ว +4

    kauli thabiti kaka chid benz

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 4 ปีที่แล้ว +16

    Hata Mungu anatupandisha sana na tunamkosea itakuwa Harmo na Mondi!Harmo atapaa tu kama ndio majaliwa yake no one can do anything about it!!

    • @goldtv5558
      @goldtv5558 4 ปีที่แล้ว

      Sekunda Mbilinyi harmonize hana jipya

    • @sekundambilinyi5450
      @sekundambilinyi5450 4 ปีที่แล้ว

      @@goldtv5558 hakuna mwenye jipya yote ya zamani

  • @mohammadbamvua2394
    @mohammadbamvua2394 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mtangazaji kijasho kimekutoka

  • @edwardrts9842
    @edwardrts9842 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa ukweli bro

  • @georgemkumbo496
    @georgemkumbo496 4 ปีที่แล้ว +4

    Daah chid upo real sana,mzee