CHID BENZ AFUNGUKA SIRI NZITO/ WALIVYOCHUKUA PESA ZAKE/ ETI MADAWA?/'WANANIONA CHIZI'/ KITAELEWEKA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @AhmedAli-oz3np
    @AhmedAli-oz3np ปีที่แล้ว +2

    Nimemskiliza kwa makiniiii Sanaa nimegunduwa kitu chidi kapata nafasi kashindwa kutumiya vizuriii waloitumiya vizuriii anaaaanza kuwapakaziyaaaaa eti hawamkumbukiiiii wakati kipindi kile alikuwa mkubwa kuliko hao alio wasaidiaaaa Mzee hilooo ni somo to sha kilaaa unopooo pitiya jaribu kujifunzaaa babaaaaa kupoteya njia ndio kujuwa njiaaa kazaa nafasi bado unayoooooo

  • @ThomasMasangaluka
    @ThomasMasangaluka 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yawezekana kweli chid ni mlevi lakin anacholalamika ni haki yake kwakua wakati ule anafanya mziki hakua mlevi mbona kuna wasanii wamekufa na haiki zao zinaheshimiwa

  • @dullodullodullo686
    @dullodullodullo686 ปีที่แล้ว +1

    Chidy mm namkubali sana wakimuhoji uyu jamaa nikichwa mno nauyu kweli wamemdhulumu

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Benzino wamekudhulumu...nenda kawaroge

  • @barnabaschars1637
    @barnabaschars1637 ปีที่แล้ว +2

    Chid kuna wkt anaongea vtu vya mcng ila kuna saa anazngua,ila kkubwa alchosema n pesa ganiiiii(maisha hubadilika)

    • @AndrewMajingwa-ln7oi
      @AndrewMajingwa-ln7oi ปีที่แล้ว

      Huyu muda mwingine ni criaz na muda mwingine ni comedy elewaaa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha point lkn anasema

  • @kaimukhamis7898
    @kaimukhamis7898 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana kaka Chid ume ua sana

  • @Kingsusi
    @Kingsusi ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa hana akili ! Wakina AY na mwana Fa walipiga hela Tigo hivyo hivyo ! Nashangaa yeye amekaa🤦🏽‍♂️

  • @beatriceraphael6025
    @beatriceraphael6025 ปีที่แล้ว +1

    Chid kichwani zipo sana,namkubali

  • @rashidngwele3935
    @rashidngwele3935 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa uyu jamaa

  • @dinosmack
    @dinosmack ปีที่แล้ว

    Chid benz amtafute kibatala mbobezi..kama ni kwel anachosema bas chid ni billionaire next to mh mwana FA na AY

  • @loveness6732
    @loveness6732 ปีที่แล้ว

    Mwishoni amesema swala very sensitive… which mtu ukisikiliza unaona something

  • @dullodullodullo686
    @dullodullodullo686 ปีที่แล้ว

    Nenda vyombo vya Shelia nenda basata mtfte mwana F A mana ushalalamika saana

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

    Nampendaga huyu hana unafki kanyooka

  • @masoudwamba-wg4id
    @masoudwamba-wg4id ปีที่แล้ว

    😮 huyu jamaa kuna kitu kichwan anacho

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 ปีที่แล้ว

    Mwana FA anatakiwa asikie hii 😓

  • @jaydanharrison5605
    @jaydanharrison5605 ปีที่แล้ว

    Kufanyaa kaz na huyu jamaa nikaz Sana Yan dah 😂😂

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 ปีที่แล้ว

    Tatizo lake haelewekii...aongee point nn tatizo yeye analopoka tuu Yan haelewekii

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 ปีที่แล้ว

    Chuma