CHIDI BENZ: JUX SIO MSANII / WANAMUUA ALI KIBA KUSUDI / WEUSI KILA KITU WAO TU / NANDY SIO MZURI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2019
- PRO24 is a company founded in 2008,with the combination of multi talented Deejays from Tanzania playing the Best mixes from Africa and around the world.| MIXTAPES | HIP HOP| | R&B| | CRUNK| | REGGAE| | DANCEHALL| | HOUSE| | KWAITO| | NIGERIA| BONGO FLEVA| | GENGE| AND EVERYTHING YOU LOVE..|MORE INFO @ WWW.PRO24DJS.COM| @PRO24DJS
- บันเทิง
Yaan kama unamkubali huyu mwamba acha majungu gonga Like yako hapa aisee mimi binafsi namkubali Sana chid benz Chuma ☝☝☝
Kama unaamini mungu sio mwanadamu weka like yako kapona jamaa
YUWAPI YULE MPUMBAVU WA SAUTI YA VIROBA ANAJIITA DUDU BAYA AANGALI CHUMA AKITOA CHECHE PUMZI KAMA ZOTE .GOOD CHIDI
Jamaa anaweza sana
Safiiiii
Dudu baya mi simuelewi kabisa na kuchuana na mwanahip hop kama chiddy bado sana
Stifanic Dzuya hiki kifaa noma sana, sasa chidi ndo konk master afu dudu Mrs konki
Stifanic Dzuya kwan yule dudubaya ana rap? Yule mbana pua tu
Duuhh aise kama umemkubali chid kwa ushauri wake kwa P Makonda gonga 👍
Chuma nomasana
Bab kubwa
Namkubali Sana huyu jamaa anakitu flan Sana.
Afu wakigonga Like inakusaidia nini? PUMBAVU kweli
Kama umeamini kwamba chid ana wachana love gonga like
Salim Yusuph chidi niahatali sana
Chidy uko na akili sana mungu ni Mwema. ..zidi kumuomba mungu ipo siku watajua
Wote mnaomba Likes, hivi hua zinawasaidia nini? PUMBAVU kweli
HUYU mtu ni zawadi kutoka kwa Mungu isipokuwa kuna watu wanaujua uwezo wake kwamba ni balaa lakini wanadiliki kumdidimiza. Anaongea fact sana nilitumai angejipendelea au kufurahia fulsa hii cha ajabu Ameruka. ..... Noma sana
Kama unaamini chid anauwezo mkubwa kifikra tupia coment yako hapa
Genius Chid Benz, Most Complete Hip Hop Artist in East Africa and without a doubt amongst top 5 best african Rappers, ila tatizo media ni za watu na wao wana watu wao ambao sio kina Chid Benz wenye Authenticity Talent
Uyu mkuda nimesomaha nae secondary scol sjui alipotelea wapi kabla hajamaliza.nashangaa hewani anarusha vyombo hatari.
Tulichenza nae sana basket ball kinyama sana yani.ni defencer moja mkali sana kwene basketball.
Daaah chid amenifanya nigundue kwamba watz ni waoga sana kusema ukwel ila yeye kasema
fact
Mfalme atabaki kuwa mfalme 👑
Uyu jamaa watu wanamuona boya mjinga ila kaa ukijua huyu jamaa ana kipaji na kufafanua kitu kwa akili zaidi na yuko sawa ila haya anayoyafanya ni bora kwa usalama wake chidi benzi namkubali sana...
Kipaji.....ata Mimi nimekiona kipaji chake
Kwakwel jamaa yuko vzur kichwani tuu
Salah Kassim sure
Chid jaman Like zote apa kwa child kama unaamini ataludi kwenye ubola wake
Child noma xanaa
Jamaa yuko fresh sana
Sio ubola...ubora
Abas Mwakifwamba 😂😂😂😂😂😂
Ubora upi Chidi benz there is nothing anaweza kufanya kwa sasa yote kamaliza inatakiwa wamzingatie maana he iz only living Hip hop legend alive
Sio kwa michano iyo chid benz ...👌.
Chuma konk yaan ni 🔥🔥🔥🔥
Yaani this guy can rap bila kutapatapa wala kusita, namkubali Chid100%
chid interview zake usipokua makin huambui kitu
Mm huwa napenda sana interview za Chid 😂😂🔥🔥🔥
Hustler Hustler saf sana
Kumbe chid benz daah unga tu umemuaribu bonge la kichwa
Chiddy is genius...na ipi siku ata rudi na watu hawto amini kama ni chidy
Sanaa broo
jamal abdi kweli kabisa huyu jamaa mkali kuliko maelezo yaani kipawa halisi cha hiphop
Timoth Mwakakusyu kurud kwenye Game atarud ila hawez kua na promo kama zaman huyu keshayumba
Hassan Said ofcoz nakubaliana naww kwny promo mkuu, Ila kama atabadilika mazima na akaamua kurudi kwa nguvu zote atatoboa na inahitaji kazi ya ziada
@@hassansaid89 hakuna kisicho wezekana mungu aki taka
Narudia Kusema Chidd ndio msanii pekee wa Hip-hop Bongo anaweza kumkalisha yule jamaa wa Kenya Khaligraph....!!!
Mtafutieni Collabo na yule jamaa alaf mtaamini ninachomaanisha!!!!
Huyu jamaa ni talented sana
Usimfananishe chidi na Kali graph.... Yule mkenya yuko juu
Hujakosea
Kaligraph jones ana air tym ya kutosha chid kapotea kutokana na drug addiction ila akipewa air tym kaligraph hana pumzi kumzid chid
Don’t compare Chid with Khali😂😂 Khaligraph ni 🔥 🔥
Hiyo Freestyle ya Chidi noma.... Hiyo Collabo ya Khali inafaa..
Chidiiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 asee uyu jamaaaa mwamba pumzi ka yoteee
Km unakubal huyu ndo 2pac wa tz like zenu 💪 nakukubal #kingkong
Arafa Zakir
Kwa kias fulan
Chidiiiii
Huyu chid ni so
Broo 2pac afananishwi
RC Makonda kapewa ushauri mkubwa sana ambao hata angekaa na wazee wa busara asingeweza kuupata ....big up chid kumbe ushajua kwamba watu wanataka kupaishwa badala ya kufanya kazi ionekane
From Nairobi enough love n respect to chidi chuma1
BIG LOVE FROM NAIROBI, KENYA. CHIDI BENZ
Chid Benz mkalisana
Kamanawew hunamkubali chid gonga like hapa
🇰🇪 I like Chidi Benz
Huyu jamaa yuko sawa kabisa bongo music kuna vituko visivyo elezeka vifo vya ajabu vijana wadogo..vijana wamejiunga na vikundi vibaya
Freemason si umalizie tuu au unaogopa mzee baba?
aloyce iluminata 😂😂😂
ngoma za kisadawe
Kumamae Chuma kimerud mamae chid no one like you
Hey king kong walai leo umeongea kama wanaume 10 wenye PHD zao i salute you sir ... you still my no.1 hip hop star..
Daaaah bro Chidy ww unaakili nyingi sana aisee.....
Chidi EAST african legend ...nakukubali sana mm kutoka kenya.
Broo akili mingi Sana mungu akulinde na kila baya juu yako
chumaaaaa
Binadam wabaya kwakwel daaah @officialalikiba mungu akuepushe🙏
Mungu mkubwa mwili umeanza kurudi kama umeona kama mimi acha like hapa
Makin sana
Sony boy Tz yap
Chidi ni one of my best guys ambao ki mziki na heshimu anawashida wengi ni venye tu hawapendi kuskia hiyo ukweli na huwa inawauma
Sisi tumekuali
Good brother you're the best rapper
Kenyan but had to listen to chid this guy has ideas for survival... Mistari noma
Benziii a k a chumaaaaa
Atali tupu
Chid beng beng.a.k fire....Love familiaaaaaaa.hahahaaaa
Sana.... Nakubali
Kama unaakili timamu huyu jamaa amesem kitu has kwa serikali yetu ila kama kawaid tutamchukulia poa tu
Wallah chid anahakili sana kuliko tunavyo mchukulia jaman
Sagara Tv %100 chiz namkubali sana
Chid ana pumzi,hiyo flow ....mapafu ya farasi....!!! Nouma sana....Big up Chid Benz...
Baada ya Ngwea, chid ndiyo king wa freestyle
Miltone Musumbah 254 jamaa no master freestyles
safi chid, akili ipo nimekuelewa
Punchy,crazy rapper... dangerous freestyler!!!!
Dooooo huyu jamaaa ANAAKILI sana naanajua nininianaongea. Tenasana.
I nvr stop believing at this guy... I lways compare him with DmX their genius na wamepitia mitian but wana pita..
Nakuunga mkono
Chidy Benz😎🎤 Oyeeeeeeeeeeeeee More On Air Hiphop Legendary Sema Oyeeeeeeeeeeeeee Kiba More Fire 🎼🎶🔥🔥🔥
King Chidi , , You the one and only Chidi I Know ... love from 254
Jamaa midundo za hip hop zinamuogopa saana💪💪💪💪😂😂😂
Woyoooo noma much love sana
This is genius
Dkens Mo Pain yaa
You will still be the KING.
My blood, always I do smile when I see u with good health.
Kila tangazo wao wao wao wao waaah huyu jamaa kiboko daah
Lugwe Lalo
Ni unga huo
Daah huyu jamaa muacheni tu aitwe #Chuma #kingKONG
"at the end of the day wasanii tunataka hela.. Kwahiyo yeye afocus sana kwetu apambane na mambo mengine "
Umeanza pendeza chid wetu wa zamani...🌷🔥🔥
Wow this guy is very smart and talented 😍😍😍
This guy's IQ is on another level.....secondly I love the way he spits....rhymes.Chidi Benz!!! Keep soaring .You are a huge talent underestimated .So bright ......so smart. Invest in yourself bruh. You are bang talent !
@Jesus Van God So how is it related to Chidi Benz...prostitution is one of the oldest profession and it has comes in different forms .In this case if you found Wakikuyu being the top what's the big deal ....in my opinion you just an elementary bigot, dimwit and a insensitive charlatan! Stick to the theme and stop seeking for cheap fame in the wrong medium.You Nicompcomp!
R, i, p Latino nation, Mtoto wa nyumbani, chid nimekusoma sana kwanini Wasaniii hawathaminiwi, akiwa anapotea, utasikia madawa yule hivi kweriiiiii,,,,,,
The Brother is smart enough he knows for real what's going in this mother earth,BIG respect to Chidi de man strong enough bless up.
daa mchiz mwishoni kaongea point sana
jamaa ana akili sanaaa anapaswa kuitwa legend
Kama unaamini chidi bado yuko on fire gonga like
Kweli chidi ni nyoko
King of Hip hop, Chidi Benzinooo
Sina maneno mengi, nimeamua kulike tu
Huyu jamaa moto I say kma unakubali npe like
chumaaaaaaaaa!!!! master mind!!
watangoja sanaa.. upo juu chuma.
Salute!
wanabong"oaa na unauuuuuwaaa/..... Mamamamamamaaaaaaaaaaaake! ma true soldier is Baack
Hongera sana chid kaka umeongea jambo la maana kwa hiyo bashite ajielewe kabisa afanye vitu vya maana aweke vitu vya maana
Dazuu nmekupenda
Fact kuongea chid
Nakukubali chid ,ila nipen no za chid jaman
okl
Ukizipata nicheki
Mfaume Ramadhani
Kuna interview alifanya naharini huko alitaja namba zake
Noma
Your a legend Chidi love from +974
Karaah juu ya karaah waleroho mbaya kweli watapotea Nomaa chiiiiiiiiiiiD
ila kweli jux hajui kuimba live ndio kbss hlf ndo clouds inaua wasanii wakubwa kwa kuwakuza watu wasiostahili
Chid mi umpenda sana akona Akili sana
Meju Baraza sanaa
kweli bina adamu ajakamilika unachanganya pumba na mchele
@@abdalamohammed3456 ukimaanisha
Wewe uko nayo akili
@@shabanhamad6565 sina nailiki
Still dope despite the challenges
Glad to have Chidi Benz back
his flow are amazing, King of Hip-hop officially
HahahahahHDooo nimecheka sana haya magufuli umeisikia habarihio chunga usinje ukaenda nyia debe huko alikotaja.
Chid bado ni mwanahiphop asilia ila achane na madawatu kiukweli tumemmisi sn masikioni mwetu kuhusu hoja ya makonda chidi ameongea pwent sn yupo sahihi
mpka ufe ndyo wajue pengo lako chumaaaaa u are the king kong iron man 2pac Tanzania makavela
There is only one PRINCE.. CHIDI, THE KING IS NGWAIR.. BOTH HAVE TGE CROWN
😅😅😅🇦🇪🇦🇪🇦🇪 hiii Interview ya chid B kal hahaha haha
UAE wapi likes za chidi benzy
Halima Hamza Naomba no yako fasterrr nko nashida
Yangu ama😎
Yangu ama
👍
Namkubali sana Chid Benz
Huyu jamaa ana ubongo wa hali ya juu sana sema watu wanawaaminisha wengine katka mapungufu yake ili kumuondoa katika reli tu,hakuna beat ya hip hop isiyomuogopa KING KONG
Huyu ni mwanaharakat mambo yake anafanya kiufundi sana kumuelewa unapaswa kutuliza wenge kwanza jamaa yuko sawa sawa chumaaaaaaaaa
This guy has got some insane delivery on the mic. He got bars
Very Smarty Guy Allah akulinde Chidi 🙏🏾🙏🏾
Brutal truth......this dude is so really smart and perhaps in a scary way...
Chidy iz genious 💥👊🏾
List yang ya wasema ukweli in trending bongo, #mwajiku #dudubaya #chidbenzino #gigy #nsaidiekuindeleza list...😁😁
Siku zote anaenekana chizi basi ni mtu mwenye akili ukiangalia kwa makini.
Chidi anaongea point hata akipingwa alafu bado ni king ana pumzi za nyangumi alafu beat zinakimbiaaa yaaani wewe vipi anachanaaaa 🔥🔥🔥 unachange beat na bado anaflow tu bila sita sita. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This guy is the best.
Kwa interview hii mmeelewa kwanini kiba hana shobo na diamond maana anamfahamu vizuri
King anamjua mond vipoa sana
unazan diamond ndo anashobo
Kweli kabisa
TetemA
Ajaribu dudubaya kama ataweza
Vester Mhoja mavi yule haewz kuimba hawez kumfikia chiz nyoko zke
😂😂😂labda umbea anaweza
Ni izi madawa tu ase ila chidi ni mtu kzuri sana na anaongea kwa kujiamini sana mi namwomba Mungu amsaidie zaidi awe vizuri mm hapa sitaki like zenu kabisa
That's really Hip hop base no playback 100% it's what's
Niuzie hio pumzi wewe manake sio yaulevihio kamawanavyo sema.
CHID LEO UMEJUA KUNIFURAHISHA AISEEEE🤣🤣🤣😂😂😂
Noma snaa
Usiombe uangalie kwa 0.15×
Chidi Benzino is the illest baddest ..chuma ..outer +254 and +971 big up ..🇦🇪🇰🇪
Chid nimesoma naye secondary school... mbali na hip hop jamaa alikuwa mkali pia kwenye basketball. Nacheki hii programme mpaka nahisi kulia. Msela ana kipaji kikubwa saaaaaana
Chid beeeenz 🤙
Ebwanaaa uyuuuu jamaaa mzimaaa😉😉😉😃😃aumwi anaongea point najua viongozi wanaandikaaa yuko vizuriii
YES. Huyu ndo alifaa kuwa mkuu wa Dar es Salaam na sio Bashite
Faida moja ya madawa ni Kuwa Real
up vizur chidi
Chid ni mkaliiii kinoma
Kiiiiiing koooooong salute jembeeee,hawatowezaaaaaaaaa #tatizonyota
Chidy my no 1 rapper
Kazana baba umepona , unaga ufala ww , unaongea fact fact
10.37 sio collo, sio wyre...... KING CHIDI.. more blessings from KE