CHID BENZ: EFM WALITAKA KUNILIPA ELFU 50 KWENYE MZIKI MNENE/ SIVAI KAMA HARMONIZE/ CLOUDS NA WASAFI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2019
- PRO24 is a company founded in 2008,with the combination of multi talented Deejays from Tanzania playing the Best mixes from Africa and around the world.| MIXTAPES | HIP HOP| | R&B| | CRUNK| | REGGAE| | DANCEHALL| | HOUSE| | KWAITO| | NIGERIA| BONGO FLEVA| | GENGE| AND EVERYTHING YOU LOVE..|MORE INFO @ WWW.PRO24DJS.COM| @PRO24DJS
- บันเทิง
nimempenda meneja wa chidy... haongei sana
Hello Mkubwa chidi benz, Na penda Ku Pata vidéo ya nyimbo "so fresh_so clean"
Dah! Hisia kali sana!
Napenda ngeli ya chidi
Uko vizur chidi
Very nice👍
No one confident like this guy
Jaman wasanii wananyonywa
King Kong chuma ilala mabegani.... Inanituma sauti ya Duniani.... Wewe ndo number #1 kwani wanajua mwingine ni nani,,,.....
Chid Benz a.k.a chuma God bless you more
WCB tutadhamini Miaka 20 ya chid Beenz coz tunamuheshimu sana na tuna mkubali. # Diamond platinumz # Salam Sk# Mkubwa F # Babutale# WCB company!!!!
sure
sana penda sana chidi!
tuwa jafar mtumiyeni vizuri kumtukana harmonize
Wewe tuwa kbla ya kudhamin mtu kama chid dhamin family yako
Like za chid bens 50tu kwasisi fans wake👇👇👇👇👇
Big
Up
Kweli konk masta uwa anasemaga kweli alafu watu wanamonaga chizi wasanii wetu...wanazalaulika sana na izi midia sasa chid wa kumpa sh...50000 uyo chid je...au wengine duuuuu
Kashi Saidi konki konki konki hakosei
Chind benz bora umesemaukweli kabic
Akisema dudu baya eti chiz
Nakubaliiii
mond anaishi popote mpk mnyama chid anaela
Chi chi chi chidbenz lafamilia uko vzur can ngoma Kali ya black ninja
Namkubalig uyu bro cio dudubaya uyu ana dis kiakili
Unaweza sana, unajua Sana, ni kweli kabisa, ila kujisifia itabidi tupunguze kidogo
Achana nao ao pia wameingia kwenye upepo wa wale wazeee wa kale ...ndo mana wanafeli ww chid msanii mkubwa sana tanzania
Chuma noma
Chid mkweli
Waooooo jameni chuma wanakuzarau hivo
KONKI MASTER ATAELEWEKA TU.
True. Akisema aonekana Kala gongo
respect bro
Uzuri wachidi sio kama wanaume furani wamajungu majungu yeye kaongea ukweli salut
EFM AIBU HY
Ci show bure inakingilio
Safi sana Child Benz,, nakukubali sana hua ni mkweli always WCB for life #mtatuelewa tu
Foreal alikuletea dharau sana kweny hiyo hesabu aiseee daaah walikuona we ni wakuvaa mitumba
I wanna support him I like his lyrics
Mh kazi kweli 50
Point Talker, Chidi Bengaaaaaaaaaaa
Daaaah 😁😁😁😁😁
That is not shit its seriousness life hustling Chid ur right brother 50k sio poa media ushuzi wasipije tu nyimbo zako tutaview on your channel that is......
Wasenge hao mbwaa elfu hamsini mapumbavu mbwaa wakaimbe baba zao
Show msanii laki mbilii tuuuu,,,,
Mziki mnene chid akalipwe elfu 50, tobaaaaaaaaaaaaa
Sio haki kwakweli wanawaonea sanaa
Sio poaaa kwakwelii
Alafu kama jambo ukilifanya kiuharisia halilipi achana nalo sio ujifanye nawewe unatamasha ujikamue kushindana nawatu uwonekane nawew upo juu unatamasha lako kumbe unajikamua hadi mavi ela huna hata yakulipa wasanii laki mbili mimi sio msanii lakini hainitoshi vipi kwamsanii ambaye nimaarufu hapo
@@hamzamoshi8275 laki mbili haitoshi yn wanandaa tamasha ili na wao waonekane wapo,
Wanajisahau km wasanii hapo ndio kwenye ajira yao hawana kz nyingine tofauti na mziki
Mzee..Vijana wanakudharau sana sasa. Wageuzie Meza basi my brother. We ndio mchizi wangu bwana.
Jamani,glory to god,legend is back.wapenda hiphop kijana Yuki sawaa.tumpokee
Mko vizurii sanaaa Broo
Ukweli. Unauma. Yahaaaaaaa
Hivi mnamuona konki hanaakili huwa anaongeaga ukweli kabisa
Duuuuh hiyo ni dharau
Jamaa kampoza Na ten kumbe alikuwa anamseti asiropoke
INTERVIEW KALII
Siyo majizo uyo malaya Ana mpango wowote
Wakati mwingine unaweza kuhisi konki master anasema uongo kumbe kweli brother konk master
UKISTAAJABU HAYA UTAUONA MSIMAMO WA DIAMOND
Nice interview big up presenter hmzazi you're the best
CHUMAAA HUWA SI MNAFIKI KAENDA RADIO IYO IYO NA KATOA SHITI IYO IYO
Leo umeongea point chidbenz
Chidi yupo sawa kama vp nitupie manamba namimi nimtunze
Chid💯
Daah Chid Mungu akusaidie tu.. Umeongea mpk nimewachukia Efm
Nakukubali chid tell them the truth
Is not fair at all (50,000)
Is crazy big up broo
Nikukosoe mtangazaji professor Jay, hakulalamika kwa nini hakupewa kiasi kwenye zile pesa , bali alilalamika kwa sababu, ilisemekana na alipata baathi ya zile pesa , na haikuwa kweli.
Dah
Sema hapo e fm wanlta dharau bhn elfu 50 ht meja kunta hachukui hyo
Chid uko sahihi sana nakukubali sana
10:18 ndo ishu ya malipo nasave muda wako na bundle. Kisha nipe shukrani...
Shukran
Konki master akisema ooohh anatafuta kiki..! Haya sasa..!
Duh 50 wamezingua..io c ela ya mafuta tu...bora umesema ukweli uwaokoe hao wengine
Self Concious examplified....#chidbenz
Duuuuuh!!!!!
ef 50000 imeixha iyo😂😂😂😂
Nimeipenda studio na maprisenter mko poa
Nakukubali sana chidi
Uko sawa bro ni lazma uwe strong💪💪💪💪
Kali ya mwaka 😂😂😂😂
Pole saaana Chumaaaaaa Yatapita 💪💪💪💪
Dah kweli chid lazima wawe na heshima aise ,
Naona Mwanao kakugusa
siku utakufa watakukubuka sana
Hatariii
Hahahahahaaaaaaaaaaa et elf50 dhalau kubw xana
MKIAMBIWA DIAMOND NIMWANA MAPINDUZI HARISI MASHABIKI TAKATAKA MNAJISHAUWA FUCK YOU GOOD SANA CHID BEEENZ🙌
Nomaaa sanaaa aiseee
Wafanya kazi wao wenyewe wanawalipa ela ya mbuzi ndomaana wanakimbia
Hahahahaha,walikuchukulia ngada boy kumbe your very conscious bro ,aibu yao
Uyu mwamba anaakili
Kweli chid benz mtu mzito🤝🤝🤝🤝🤝
Nakuelewa sana bro chid
Kwahyo harmonize kalipwa laki mbili🙆🙆🙆😳😳😁😁😁😁😁
Pengine buuuuleeee sikaambiwa atafanyiwa promosheni nakweli tunaiyona wanapost kila siku show yamtwara😂😂😂😂😂
Hahahaaaaaa
Elfu hamsini duuu efm kweli kiboko
Gonga like kama umeskia Nasseb akitajwa na chid
Hapo kunamadalali TU...... Sio 50K.....huo usegerema na MaJay anajua
not a huge fan of rap, but shockingly, I always enjoy UK rap more than most US rap songs. I can hear real words. UK rap over US!
By reading your comment really you done rap UK drill is nonsense
Mmakonde atakua kapewa laki tano hahahahahaaaaaa
Hata hiyo inatosha laki tano perday yenyewe unaperform nyimbo moja wakt kitaan wana wanachakaa kwa buku tano kwa 12 hours
Duh!
ni uboya uwo iyo elfu 50 wakanunue mananac wale na wana singeli wao
Nauza k
Kweli chid nakuelewa Sana broo
Usikute sababu ya kutopga nyimbo za wasafi hao EFM walitaka msanii Wa diamond apige shoo kwa elfu 50 😂😂
Chidi 🔥 🔥
Huyo demu mbona kavaa kama vile hichi ni kipindi cha tarab
That's real power talk..salut chid...
Game must change 🤘🤘
Wew ni chizi show yenyewe ni bure
Umeongea kwa uchungu
Konki msema kweli kabisa
Mkanda nisiweke ntavaa ule mweupe wa siku zote 50 imeisha hiyo
CHUMAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥
Mi Robot vipi....
50000 duh
Pindi kali
Chidi anajua kichizi
Chid anaongea kwa hasira