Hii akaunt ulitakiwa uindeleze kpnd kile ndo umeingia tu wasafi maana moto wako umepungua ulivyoenda tu wasafi na kuikacha hii chanel.U deserve better champ.much respect KING🏅
@@LilOmmyTV sorry, wacha Raiya watumie hizi 2 x na nyenginezo, ila wewe Inapaswa uwe really Text, hizi 2...hazileti picha nzuri kama mtangazaji, ingawa najua una eleweka ila unakupunguzia CV🙏
kuna nyimbo ya siku nyingi sana Chid aliimba na matonya inaitwa "usinipe lawama".....goma kali sana.....now is the right time to do the remix...itabamba sana
Chid Benz is the one of the talented person happened in Tanzania. Am from USA but there's very few genius like him in this continent. Tanzania is blessed to have alive talented kid like Chid Benz. Be blessed Chid.
Chid Benz Ndo Maana Halisi Ya Super Star Yani Hata Akae Miaka 10 Bila Ngoma ILa Akirudi Kwenye Game Bado Jamii Inampa Ushirikiano, Msaani Pekee Ambae Hatumii Kiki ILa Bado Anatrend Mjini, Msanii Pekee Mwenye Akili Nyingi Kuliko Wasanii Wengine Japo Jamii Inamchukulia Pouwa, Hajawahi Kuboa Katika Interview Zake Yani Presenter Unaweza Kujikuta Umekaa Kimya Una Kazi Ya Kuitikia Maana Mwamba Anaongea Mwanzo Mwisho, Big Up Big Broow Chid Benz Chuma...
Chid Benz nakuelewa sana ila nyimbo zako za saivi unazingua ma yoyoyooo heheeeee braaa braaa sijuwi ndio manini andka kama zamani naamini unakitu kikubwa sana kichwani wewe
Great interview 🔥🔥🔥
Ukimuhoji chid jiandae kuwa msikilizaji zaidi kuliko kuuliza maswali! 😃😃😃 Jamaa mwongeaji huyu! But Yuko vizuri! Very smart!
Kweliii
Hii akaunt ulitakiwa uindeleze kpnd kile ndo umeingia tu wasafi maana moto wako umepungua ulivyoenda tu wasafi na kuikacha hii chanel.U deserve better champ.much respect KING🏅
Nadhani hyo sio sigara ni aina ya dozi ya kuacha ngada ...all in all nampenda Sana chid
Whether you like or not, beenz is the best and he is always doing big
Big up brother chid✊🏿✊🏿✊🏿
Kabisa, lets support his new album as well Wa2wangu👍
@@LilOmmyTV sorry, wacha Raiya watumie hizi 2 x na nyenginezo, ila wewe Inapaswa uwe really Text, hizi 2...hazileti picha nzuri kama mtangazaji, ingawa najua una eleweka ila unakupunguzia CV🙏
Hichi kichwa si cha kuuliza maswali Mepesi.. Watu hawamuelewi Rashid(ChidBenz) anajua nini anafanya siku zote 🔥🔥🔥🙌🙏
Chid huyu jamaa ni genius anakumbuka vitu vingi balaa aseee kaua sana
kuna nyimbo ya siku nyingi sana Chid aliimba na matonya inaitwa "usinipe lawama".....goma kali sana.....now is the right time to do the remix...itabamba sana
Chid Benz is the one of the talented person happened in Tanzania. Am from USA but there's very few genius like him in this continent. Tanzania is blessed to have alive talented kid like Chid Benz. Be blessed Chid.
Chidiiii Beeeeeennzzzzzz ILALAAA MABEGAAAANNNN errrr dayyyy all dayy
Chid Benz ni miongoni mwa watu talented duniani
Chid Benz Ndo Maana Halisi Ya Super Star Yani Hata Akae Miaka 10 Bila Ngoma ILa Akirudi Kwenye Game Bado Jamii Inampa Ushirikiano, Msaani Pekee Ambae Hatumii Kiki ILa Bado Anatrend Mjini, Msanii Pekee Mwenye Akili Nyingi Kuliko Wasanii Wengine Japo Jamii Inamchukulia Pouwa, Hajawahi Kuboa Katika Interview Zake Yani Presenter Unaweza Kujikuta Umekaa Kimya Una Kazi Ya Kuitikia Maana Mwamba Anaongea Mwanzo Mwisho, Big Up Big Broow Chid Benz Chuma...
We chid weee una hatare sanacaf lil ommy hamumtendei haki chid inabdi interview zenu mumlipe pesa nyingi sana...
Lil Ommy ni Goat ndani ya East Africa kwenye maswala ya burudani .Salute sana Mr.
Appreciate👊
Mikamwamba present chid benz intro 🔥🔥🔥Mashallah
Misele rip banza stone bhanah#much respects marco chali
Popopisha enzi ya lamar🔥🔥🔥🔥🔥
Popopopisha
sasa ommy hivi umekua mweupe boss !!! kweli maisha yanaenda kasi sana 😆😆💪💪💪👏👏
Guys huyu chid ni mtu mwenye IQ 1000 anavyoongea nafeel sana, he's real.
Namkubaligi sana kaka mkubwaa Chid
The Intro Is On FIREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Chid is the legend de icon....the greatest rapper ever in East africa
I love him... ❤❤❤🙌🏽
Binafsi namkubali sana benzino anajua mnoooo oooooo napataje albam yake nipo chuga
Napenda interview za chid Benz kuna vitu unajifunza
Video ipo clear sana, big up lil Ommy 🔥🔥
Pamoja sana, Enjoy
Huyujamaa anajua bhana sema uchawi mwingi bongo hakuwezi kaka sauti base🫡🫡🫡🎶🎶
Chid Benz nakuelewa sana ila nyimbo zako za saivi unazingua ma yoyoyooo heheeeee braaa braaa sijuwi ndio manini andka kama zamani naamini unakitu kikubwa sana kichwani wewe
Sema lil ommy chidi anakukubali sanaa
Lil for me you're the best mc have ever met you have tought me so much in interviewing to enzi hizo
Daaah nimemuelewa mwishoniii brain kubwa
Chidi kaa kwa room skiliza ngoma ya DAR ESALAM STAND UP then tupe kitu ka hicho uone miujiza mi nakuamini sana
Chid tunajua watumia hiyooo misigara but mpaka kwa interview ya nin my bro change bhna
Could be a marketing scheme for views or clout .plus anaishi life yake we nani ku judge
We demu mehu sigara ya chid inakuhusu nn mwambie basha wako nae avute.
I never get tired of this interview
Big up brother chid
Interview za chiz hazijawahi kunipitia bila ya kusikiliza
Interview za Chid hua ni funny na kali🔥🤣🤣
Maswali kidogo tu majibu kibao 😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
@@jacquilinenoah949 ❤.
Chidy anajua ila leo nmejua kwann huwez kumsaidia,angalia wachezaji wanaojua sana mpira mwsho wao
Yaan chid benz napenda sana jinsi unavyojieleza
No one like chid Benz, shout out to lilly ommy (MVP)
Chid wewe ni 🔥🔥🔥🔥
Nacheka kama Fala.interview za brother chidi yani kama isiishe hivi
Love chidi benz
Muda mwingine najiuliza una uzuli wa namna gani na nashindwa pata jibu ukiwepo wendo chanzo Cha kunipoza nafs yang Napo pata majalibu
Inaitwaje
Sigara mdomoni mwanzo mwisho...de legend imself.....
😆😆😆😆
Mpigeni tuff hyu mwamba jaman anaweza
Oh Yeah/Stuffs like that. Bado sana ngeli
Chid we do mchizi wangu 🐐👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥
...CHEEED chuma...mi naelewa sana ....The real Jeneous
mpa leo namkubali mfalme wa hip hop chidibenze.
Our ilala king chuuuuummaaaa🔥🔥🔥
Hivi Chiddy kajisahau kama ana sigara mdomoni 😂😂😂alafu anaweza kuongea na sigara yake mdomoni
Hivi sigara kagongelea na Nini aise🤣😂
The mvp tambwe umetisha 🔥🔥🔥🏹
Chid Benz unga umekushambulia Sana kak
Namuelewaga sana huyu mwamba sijui kama kuna mtu anamuelewa kama mimi🤣
Huyu jamaa ni bonge la rapper, tatizo tz hatumkubar mtu mpk atoweke,huyu jamaa ni chuma sana...
Nakuaminiiiiii iiii wewe ndio dawa ya kunitbu ........😍
Safii broo nakuelewa saanaa
Chid Benz alikuja Show akiwa makero mbaya Sana 😅😂..🇰🇪
Bado tunakuitaji bro unakipajikikubwa.nyimbo kama Tell me way,marshallah na zingine nahisi muziki mzuri wa bongo.
Noma noma sanaaa
Mnaogea Sana
🔥 🔥 🔥 sana ila unakipaji kingine unacho kuongea na sigara mdomoni muda wote huo😅😅😅
Nakubali sanaas
Lil we Ni mnyama sana
Chid your are the best all times
Chuma na MVP wanyamaaa sn
Dopeeeee
Chid anaongea points tu
Tatizo full style zilezile badilika bhana ww unaweza n unaladha nying bora uweunachan ata zile vers upo na nonini
Kizaz Sana Kaka %100
Huku ndio nilikuwa nakutaka Ommy big Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Tatizo ni hyo sigarete chid unamazuri mengi Ila mabaya umeandamana nayo,,,,
Kwani fegi chidy umepaka gundi 😂😂😂😂Ila nakuelewa sana
Hyo intro its dope brother 💪
Appreciate 👊
Nko Kuwait lakini hakuna content yko inanipita bro
Balaa mnoo
Great 🌟
Ebhana huyu chid🙌🙌🙌🙌
Kweli chid benz
Kubwa Sana hiii
Good presenter + Good MC
Nakubaliiii
Mnyama sana omy
Smart brain chidyyy
Hongera sana Liliomy
Chid beeeeeenzi mnyama
Legend
Kafanya na mzee yusufu tarabu itakua amapiano😅😅😅
Htri sana child beenz
🤣🤣🤣Aliyesikia Naweza Tomb....nje kite ila kwako siwez kujaribu LIKE APA
Naweza Tamba kote ila kwako sithubutu siwezi hata kujaribu, boya ww
Unawaza ukufala kichwan mwako
Sauti yake Tu. Uyumwamba. 🔥🔥
Iyo fegi kama inagundi
Woza🔥
Chind benz good
sigala haidondok 😂😂😂
Iyo ngoma mm chid naijua wakat ndio huu video kota za ilala
Chichichichichidy Beeenz☺️🎤✅
KAKA CHEDIBENZ
INTERVIEW YAKO UNAUWA SANA
#AVATASTAR255
CHIDI BENZ UPO VIZURI BRO
I like
Umetisha mzeee
Chuchuchu chuchu chuchu chu chuchumaaaaaaaaaaaaaa, iligoma litambae
Me macho kwenye sigara inadondoka saangapi 😂😂😂
#Liliyommy mpe #chidbenz kiwashio awashe fegi