BABA LEVO - "NYIE NDIO MNAMDHALILISHA DIAMOND, MNAKUJA HAPA MIC MBOVU TOKA APA" | HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2023
- BABA LEVO - "NYIE NDIO MNAMDHALILISHA DIAMOND, MNAKUJA HAPA MIC MBOVU TOKA APA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Jameni Kama huelewi kipindi acha ku, comment utopolo This is the game 😅😅 Sanya Baba levo mmeshamuingiza mkenge tiyari 😂😂
😅😅😅😅 Sanya fala sana aseeee
@@franciskibay8948 Sana 😄😄
Baba Leo Master
Nakubali mwanangu sanya sema babalevo hajaingia kwenye kingi
“Vitu hujasomea mpumbav “😂😂😂😂😂baba Levo mimi nampenda kwakwel
Yaan ni shiida 😅😅😅😅
unyamaaaa!!!!
Safiii sanaaaa
Baba levo kuhogeya kwake Sana kapatikana eti ndo mana mnakuwa muna zaralisha diamond 😂😂😂😂😂😂
Pombe Ya Baba levo Ime editiwa Iliisisomeke Jina la kampuni 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Hizoo ni mwagienii bx like Zangu
Baba levo ameniangusha, nilikua namkubal ila kilichomponza ni kuingia ndan na kurud, kule ndan ampajui nyiee😂😂
Katika siku zote hii nimeipenda sana 😂😂😂 eti tuende kwenye office 😅😅😅
Ya mwijaku nayo ilikua sio poa😅
Nakukubali baba nahya
Bila shaka baba levo hiyo siku alitukana sana
Baba levo comedian
Mo town sanya nakubali Sana mwanang
🔥
Baba levo hamumuwezi huyo master
B levo anabusara sanaa
Yaani baba levo unjanja wake wote kanasa😂😂😂
😂😂😂 baba levo kimemramba kabisa 😂😂
Baba levo kila video inayorecodiwa kwake lazima awe n pombe mkononi. Cpatii picha fridge vitu vyote mpka madunda yananuka pombe
Baba mulevi uyo nakubali 😂
Baba Levo anajali familia
Ubunifu umekosekana HP cm inapigwa lkn zinasikika saut mbili kwenye cm n pemben yn kiufup motown sanya alikuwa yuko hphp WL c huko alikosema HP wametudanganya
cy alikua hapo hapo alikua nje lkn alikua na mic so sauti ikasikika
🔥🔥🔥🔥
👊👊
Safi san
😂😂😂😂😂 like nyingi jamani
Babalevo anajinywea2
Interview mbovu cjawai ona
Baba levo 😂😂😂
Hiii imeendaaa
BABA LEVO 🤣🤣🤣🤣 kapatikana leo haahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Baba levo ni noma xana😅😅😅
Kipindi kizuri muwe makin na KAMERA zenu maana jamaa alivaa vibaya surual yake
Kwani kuvaa suruali hivyo kiserekali vby ?
👊✌️👍.
Baba levo ameingia cha kiume 😂😂😂
Hivi ni kweli
Halllow yaaah Kwasababu hiv na hivi na hiviiii
😮😮
I love this man mo
Nais Sany Toka kaaza iki kipind Leo kaenjoy San
😮
Ila sisi wabongo tunajifanya wazungu kumbe ushamba au sio baba Levo maana yoyo nyingi
Anaefata ni Zuchuuuuuuu😂😂😂 au Diamondiii
sanyaa umeuwa😂😂😂
Heineken can't be hidden
Tuwe proud na luga zetu God bless Africa nkosi sikeleli iafrika
Wazi wazi!!!!! Wapi likes zangu kwa kuwa wakwanza
🙏 👇th-cam.com/video/uSyf9XVk0Dw/w-d-xo.htmlsi=X1qqUsb9E_MjpKl5
🤣🤣🤣🤣 nmecheka Kam fala nyieee 🙌
Babalevo 😂😂😂😂
Sijawai pataa comments
Kweli Dubai na Saudia Arabia ni mamoja
Wangapi wamecheka kama mimi😂😂😂😂?
Alie edit vdeo amejalibu kuficha logo ya bia lkn wapi 🤣🤣 serenget light 🍻🍺
Heineken hiyo
Heineken beer bana😂
Puwa kubwa 😂😂Leo umewezwa pumbavu zako😅😅napenda hiki kipindi
Chobi afukuzwe kazi anaboa san mitambo inamuelemea
Mo town anajuaa kinoumaa😂 anajitahid kutocheka mpk huruma
uhakikaaaaa
TH-cam msiwe mnatubania maneno bhna..huko ndio kuinjoy kipindi..muedit Instagram uko😂
Leo kayakanyaga😂😂😂😂😂😂
Hanangwa😂😂😂
Hyu anaerekebisha mic mlegezo umeacha mkundu wazi
Baba levo 😂😂😂😂😂😂
Leo mmejichanganya b levo mtalaamu haha
Ashalewa
Hicho kinywaji mbona mtufichee😁😁🙏
Leo Sanya ume mkamata swafiiii😅😅😅😅😂😂😂
Nataka mka mchaleng mondi😂
😂😂😂mnamzingua mnywa pombe angekupigeni na machupa ya bia mngeshika adabu😂
B levo B kaingia kwenye mfumo 😅😅😅😅
Uturuki mpaka vyuo vikuu wakisomeshana kwa lugha yao wameanza kariburi vyuo vikuu kusoma kwa kiengereza
Unyama mwingi bro ila Mimi amuniwezi
😜😜😜😄😄😹
acha ulev
😁😂😂
Siku moja mntengeneze mo sanya mwenyewe hadi apanic
Kwaiyo baba revo anakunywa pombe harafu anaenda kazin kweli kweli
😂😂😂😂😂
🤓🤓🤓🤓🤓
Kwenye cm hapo mmefeI sanya alikuwa anajibu pembeni
bongo mtu akitembea nchi mbili tatu tena kwakupewa lift anajiona kamaliza
Uuo mguu n mdosho
😂😂
Kwenye BTS fundi majumba atakua anatukana sana yan kwake tuc kama kibwagizo cha sentence 😅😅
MB zimeenda bure
😂😂😂 like hapa
CREATIVITY YA HALI Ya juuu🔥🔥🔥🔥🔥
😅😅😅😅😅😅
Kumaaanisha nn
Mnaziba pombe mnaacha ges
Uyu nae ajasoma chochote hahahahahaaa
Mbona kama kwenye cm hapo mwanzoni mmefeli sanya alikuwa yupo hapo hapo
😂😂😂😂😂😂😂
Pandisha suriali acha usela mavi kipind chenu kinaangaliwa na watu wa lika zote na ni wengi so it's not good we unae rekebish mc
Yani mpaka leo kuna watu wanaona kuvaa kata k ni ujanja
Kumbe na ww umeona atakuwa mboga yule
Zile ni inchi kubwa
😅😅😅😅😅😅kuzagamuan
Dakika ya 14 Balevo kaanza kusweat 😅😅😅😅
😅😅😅😜
Alipigwa visu na denisi kinyani