I like Rostam, and what i like the most is that these guys already knew of the outcomes from what they did , they know the art of artists in their industry. Its like an inteupreneur who comes into project knowing all the calculated risks and everything. So what is happening now its not something that will threaten them, they already knew this will come . So Big up big brothers. Thats my level of seeing this.
Yaaani nyinyi RoSTaM wabishi na dakika moja mtu angeruusiwa kuingia kwenye nyoyo zenu basi angetoka na vifurushi vya ukweli woote ila inakuwa inposible. Nawakubali sn100%
hawa jamaa wajanja sana wanvojibu maswal kana kwamba hawajawagusa wasanii flan hivi but kiukwel sababu kwenye hyo interview wanasema kwamba wametaja wasanii, wanasiasa na mpira ila hapo wanvojibu wanaweka siasa nying sana but ukijaribu kusikiliza vizur watu wanaowahisi kwenye hyo mistari ndio hao hao....but hyo ni sanaa ambayo inakuwa na majibu meng
Jambo ambalo nilikua nikirifikilia mda mrefu sana kua wakitoa nyimbo rostam na nay ltakuaje nilikua naisbr sana leo lmetimia big up sana kaka zangu 👍👍👍👍👍👍
Nikimuangalia Roma ni mtu makini sana, yani ana akili na upeo mkubwa sana, watu wa hivi huwa ni wachache sana, i love you Roma hakyanani 😜 msalimie mama Ivan
Roma stamina nawakubali kinyama ila fanyeni mpango ney ajiunge na Rostam ingekua bomba kinomanoma na ingekua bonge la shoo ama mtoe kizazi kingne ingetisha kinoma noma mzee
Bro hii n team hatari akili mingi umbo ndogo hutawaeza hip-hop iko wide man bona watu wajishuku n pia bongo flava ngoma mingi pia ziko somehow kaa kijiwe nogwa bona hawaingilii uko,,#Rostam forever representing 254 nagoja show county 001 msa
Kama unawakubali Rostam na kichupa chao cha kijiwe nongwa gonga like la kibabe tuende sawa
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
KING CHIKUNDE Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa
th-cam.com/video/mHqRjmenCMI/w-d-xo.html
Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
Ctak
Millad ayo anajua kihoji wstu vzuri sana, hslafu hatakagi kiki, kama unamkubali gonga like
Jackson Daud h"8-h""8gz
7ih8'89cicizxx:"oz9:8"
9*9':o-89*i8'8!'7-og9'*98oi!CD's "9oxiocjzxi"*8oxxzixig'9x"8ho'-jhhv"9''*o"'"!-"**"'-cz"99coxi9"x&'ohgc'*9"*8-hcci989xu98'9x*"**'
@@deusmichael4679 aminia Sana kaka
Alafu Kuna dogo langu anaitwa kazungu kafrica naomba umtafute kaka umulete studio ,pia ningependa apige colabo na rostam
Gong like km unamkubali @Millard kwenye interview
SELLAH TV Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa
th-cam.com/video/mHqRjmenCMI/w-d-xo.html
Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
Oky
Kijiwe nongwa bonge la ngoma htr 🔥🔥 🔥🔥 🔥 km umeikubali tujuane hp
Alorney Axa Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa
th-cam.com/video/mHqRjmenCMI/w-d-xo.html
Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
Milad naomba unisaidie
Nice
Yani hawa jamaa wanajua kama unawakubal gonga like twende sawa
Awa jamaa ninoma
Hawa jamaa wanacheza na akili za watu kama unaelewa kile namaanisha gonga like☀️☀️😂🤔🤔🤔
Manyoko
Kazi bora sana Ila kuna msani mako boy toka drc Congo kijana mudogo amefatilia sana kazi zenu ingé kuwa Heri mumupe ,hâta nafari
millard na kuku bali sana nikiludi bongo na kuja ni kutembelea studio kwako bro hujawahi niangusha kwenye interview zako u always inspire so much bro
Jmdadila TV online Hi karibu uone wimbo wangu mpya hapa
th-cam.com/video/mHqRjmenCMI/w-d-xo.html
Enjoy na usisahau kusubscribe .ahsante 🙏🏻
Acha ujinga kumax ww ! kiswahili chenyew hujui kuandika et na kuku bali ahahahahahahahahahahahahh unauza zegeta uko !!?
Namless Namless so if I don't know how to write that fucking Swahili what's up about you, u seems laka your vagabond in tz
@@namlessnamless1207 kwahiyo mtu akikosea ndo ajibiwe vibaya km unaona amekosea basi rekebisha na sio kuendelea kutukana sio vizur
@@namlessnamless1207 we shoga usijidai unajua san
I like Rostam, and what i like the most is that these guys already knew of the outcomes from what they did , they know the art of artists in their industry. Its like an inteupreneur who comes into project knowing all the calculated risks and everything. So what is happening now its not something that will threaten them, they already knew this will come . So Big up big brothers.
Thats my level of seeing this.
Nyimbo iko poa sana rostam hongela
Sawa kabisa bro nakubali so (fundi wao anakuja toka ubelgi)
Maqn kama ume wakubali gonga like
Ety ney hafiii kama umesikia hiii gonga like twende sawaaa
Kijiwe nongwa bongee dudee nalikubali mbk kesho rostam big up sana👍👍
nice interview 💪👏👍
One jiwe to jiwe strong man da shilole hao jamaa ni hipopo balaa uwawezi hata kidogo
Yaaani nyinyi RoSTaM wabishi na dakika moja mtu angeruusiwa kuingia kwenye nyoyo zenu basi angetoka na vifurushi vya ukweli woote ila inakuwa inposible. Nawakubali sn100%
Kijiwe nongwa ndo nyimbo yangu bora ya mwaka,, big up ROSTAM,,, Roma & Stamina
Kijiwe nongwa ni ngoma kali kwa kweli pigeni kazi wakali
Weka likes kama unaamini rostam wanatuogopea....kijiwe nongwa ndo habari ya mjini
😂😂😂💯🏃💪 rostam next level
Hawa jamaa ni akili nyingi sana. Nawakubali sana.
Roma makini sana kwa kujibu maswali
Millard daaaaa aseee maswali ulipitia wap make umetisha my brother
Hahahahah.. Eti inakujakuja. Hahahah uuuw nyie ni noumaa. Ila ngoma Kali saana
Neema Frank VP sister kwema
Hahahahahaaa
Mi nawakubali sana rostam kama upo pa1 na mm dondosha like hapo
Hawa ndio wasanii Pelee naweza kaa nikaskiza nyimbo zao,,,,, wako funny,,,,, Ila hao wengine matusi washaona ndio fani
Yani mnakataa kitu kiko wz
Hiyo goma hatari
Wana siansa100%
Sikumja #rostam umja wao atakuwa kiongozi frani nnchiniTZ🇹🇿
hawa jamaa wajanja sana wanvojibu maswal kana kwamba hawajawagusa wasanii flan hivi but kiukwel sababu kwenye hyo interview wanasema kwamba wametaja wasanii, wanasiasa na mpira ila hapo wanvojibu wanaweka siasa nying sana but ukijaribu kusikiliza vizur watu wanaowahisi kwenye hyo mistari ndio hao hao....but hyo ni sanaa ambayo inakuwa na majibu meng
Kama umeckia yeeemen nyingi like
fundi gereji ni mm nimemuoa mpishi huku huku igunga kama unaamin maeneno ya roma gonga likee
2pac wa hii generation....[teardrops and closed caskets poetry version] thumbs up bro's. keep up
Kama unamkubali millard kwa interview kali bongo nzima like zake👇👇👍
Ni og San namkubali Sana stamina one love broo
This guys are funny😂😂😂wanatuchezea akili
Saidah licious 254 these guys not this guys my dear
Support nyumbani music mzuri ku subscribe na ku share
Hahaha hahaha, hsya majamaa noma sana big up xana nawakubali
Dogo janja kubwa zima lile.. millard upo vizur..
Roma ni mwalimu mzuri sana kwenye stadi na ameongea point sana tatizo LA sisi waafrica vitu vya kipumbavu tunavishabikia San kuliko vya maana
Dah milard ayo na maswali yako yote konki lkn umekutana na Roma bac majibu yanakuwa simple and clear 😂😂😂
Ime fikisha view million 1.4
Hongeren Rostam maana mnatumia lugha ya picha xo hakuna mtu mliye mtaja xo shilole aache kujishitukia maana sana ni ufundi na ubunifu
the interview is dope!!! i like clarification ya Dogo Janja hahahah
Appreciat kwa kile anachokifanya
Ney katengeneza sn chorus ila mnakumbuka mlipo sema "ata udiwani hauwafai kwnz mmoja ana kithethe" mlimchana Ney..
😂😂😂😂😂😂
Lakini kwa Ney haikuwa bifu
Jambo ambalo nilikua nikirifikilia mda mrefu sana kua wakitoa nyimbo rostam na nay ltakuaje nilikua naisbr sana leo lmetimia big up sana kaka zangu 👍👍👍👍👍👍
Hahahaha et naomba like😁😁😁😁kitu nimegundua ni kwamba Stamina sio muogeaji sana
ASEE HII NGOMA IT IS VERY HIT
😀😀😀😀😀😀😀nimecheka had interview imeisha
Nakubali
Roma umejisahau kwamba nyie HAMFARIK😩😩
Roma umejaa Romantic mdomani
Wangapi wanatamani part 2?.. Weka likes tuendelee kusmile
Naikubal,naipenda,naifatlia ROSTAM mnatsha.
Millard nakubali kazi zako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rostam bhana😀😀😀
Nikimuangalia Roma ni mtu makini sana, yani ana akili na upeo mkubwa sana, watu wa hivi huwa ni wachache sana, i love you Roma hakyanani 😜 msalimie mama Ivan
anautulivu sana
daaah jamaa wajaja awa wanavyo ruka maswari kama sungura anuruka mitego mirad umewakosa kila ukienda uku wanakupereka uku
Toeni nyingine rostam nay na kalajeremiah hiyo ltakua good sana.
Nmeipenda sana
Daaah kwamba kateni simu niko njiani ney noma
Km huna uwezo wa kuhoji ukikutana na hawa jamaa unazima maik
🤣🤣sema mnajua kukwepa sana maswali wala me mnanishinda tabia kwahiyo kila mtu mliomtaja yupo mtaani kwenu tu😂Dah acheni siasa zenu bhana waelewa tumeshaelewa
Hahaha hawa wanavituko jamani
😂😂😂😂
👍👍👍
Roma stamina nawakubali kinyama ila fanyeni mpango ney ajiunge na Rostam ingekua bomba kinomanoma na ingekua bonge la shoo ama mtoe kizazi kingne ingetisha kinoma noma mzee
Nawakubali wanangu rostam.MTU akijihisi yumo.ngoma Kali sana.big up Millard ayo..
Bado tuna gongo like
Mirado unafeli wapi..?? Ka mkubwa biti ilyo mbaya bana turudishie biti yetu ya interviews ambayo mirado icon
Inakujakuja hawa jamaa wasumbufu sana
nawakubali sana rostam
Daaa kijiwe nongwa ni noma nawaona walimu was fasihi
Dirty broo Millard ayo angeza camera ktk interviews ili ikae POA ,kazi kazi nakubali Sana iko POa
Bro hii n team hatari akili mingi umbo ndogo hutawaeza hip-hop iko wide man bona watu wajishuku n pia bongo flava ngoma mingi pia ziko somehow kaa kijiwe nogwa bona hawaingilii uko,,#Rostam forever representing 254 nagoja show county 001 msa
Hii interview imenifanya nacheka Sana yaani Rostam mnacheza na vichwa vya watu tu 😀😀😀
Hahahahahah nacheka tu eet kama unakuja kuja😁😁😁😁Hawa watu
neema lkiswaga hawa wa2 ni shidah bidada neema
kwel nawakubal sana
Stamina mwoga kwenye kamelaaaaaaaaaaa
stamina anaongea kizembe hiv halafu ndio kamaliza hiv,,yani anasema kama ataki hv.😀😀
Haya majamaa yanajua kucheza na akili za watu yanakataa ukweli
Cio kwa aibu hyo ya stamina
Kama inakuja kuja kuja hivi haki ya Mungu ninyi mafundi kweli
Ukoko ulikuaa mtamuuuu uleee
MILLARD wasikudanganye hao ni kweli
Second #KingOfInterviews after #LilOmmy🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kila mtu atakavyo tafasri lakini huo ndio sanaa Rostam noma
kama unaamini shishi kajisumbua tu kuwadis rostam gonga like hapa tujuane
Rostam ibaki kama rostam asiongezeke yeyote hao jamaa wanajua hadi nomaa
dahaa awa jamaaa miaka 100000
Eti inakujakuja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nyie Jamaa mnanifanya nasahau kazi dadeki
Inapendeza sana kbs
Wasebge nyie ety inakujakuja😅😅😅akat mlidhamiria
Rostam is fireeeee
Hawa jamaaa noma san.
Noma Sana
Hatar hiyo
Hhh Maharagee ya pembeni matamuu!!
Hh Love Rostam!!😂
Kwelii fasihi mnaijua vzr nd kaz ya fasihi....
Hutaj mtu jiwe kizani...... Yalaaaa
So #Rostam you to do remix guys #Kenyan guy here
kizazi sana ngoma kalee
Haaa!!!!! Millard baba hawa jamaa anganyengine ukiwapeleka huku wanakupeleka huku dah!!!!
Ahahhahaaaa hawajamaa n noma sn kiukwel mziki wao unakutaka kutumia akil sn
Nic San broo
Kwann roma unakuwa muongeaji mkuu
Nassoro Mssuya Roma pia kaenda shule kumbuka Roma ni MWALIM WA MATHEMATICS so kujieleza Kwa kufata protocol anajua
Nice
🔥🔥🔥
Wasio lpenda wajibebe wajinga najua wapo like shilole na wapuuzi wengine pigeni kazi wadau tuna sikiliza tu.