USHAHIDI WA KUSOMA MAULIDI SHEIKH KUSOMA ASOMESHA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2022

ความคิดเห็น • 47

  • @khalidhemedabubakaralhasan8825
    @khalidhemedabubakaralhasan8825 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ustaadh kusoma Barka yetu allah akupe umri mrefu ummah ustafeed yaa rab

  • @damondhamonaizbadowangu4559
    @damondhamonaizbadowangu4559 ปีที่แล้ว +3

    masha allah ya shekh tutasoma maulid mpka kufa kwetu

  • @s.m.jawadida8868
    @s.m.jawadida8868 ปีที่แล้ว +2

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH 💚💚💚💚

  • @KhadijaHamad-cd9dh
    @KhadijaHamad-cd9dh หลายเดือนก่อน

    Suratl Maidah Ina Aya 120

  • @khalidhemedabubakaralhasan8825
    @khalidhemedabubakaralhasan8825 ปีที่แล้ว +2

    Naam nisunnah

  • @jaffarmohamed5948
    @jaffarmohamed5948 ปีที่แล้ว

    Mashallah nakubali

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallahu wafundishe hao mawahabi japo hawaelewi ila ipo cku wataelewa hao watoto wa bachu

  • @fatumasalimu-9516
    @fatumasalimu-9516 ปีที่แล้ว

    Mtusifun sana bwana mtume

  • @khalidhemedabubakaralhasan8825
    @khalidhemedabubakaralhasan8825 ปีที่แล้ว +2

    Ukitaka kujua kua ni sunnah jiulize lipi katika maulidi linalofanyika ambalo halijafanyika zama za mtume

  • @saiditara7235
    @saiditara7235 ปีที่แล้ว

    Aya ya mwisho kwenye suratul maadah ni Aya namba 120

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 10 หลายเดือนก่อน

    Alafu ndugu zetu wa lamu mnapenda sana kujikuza, yani hao watanzania mpaka wampigie goti huyo mgunya ndio watajua kusoma!!!??? Mbona una madharau sana mgunya wewe...

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Ww chizi ilimu mulikua mukitoka tz kuja kutafuta ilimu lamu hata wagunya pia walikua wakija lamu kutafuta ilimu sasa ww huna ujuwalo ni ujinga tu na hakuna mgunya ni wabajuni lamu waswali na warabu kama hujui na masharifu wako lamu baki na uhasidi wako

  • @bakariismail3274
    @bakariismail3274 9 หลายเดือนก่อน

    Lete aya acha pumba

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว +3

    Mashia hata siku moja hamwasemi😂😂😂

    • @mohammedsuleiman1555
      @mohammedsuleiman1555 ปีที่แล้ว

      Duùùu

    • @banihashim5347
      @banihashim5347 ปีที่แล้ว

      @@mohammedsuleiman1555 kazi yenu kushambulia watu wa sunnah kwasababu wanapinga bid, a mbali mbali mnazo fanya, lkn mashia wanaolinga utume wa mtume wanapinga qur, aan wanatukana maswahaba wanawatukana wakize mtume Hilo hiliwashughulishi kwasababu Hao mashia ndio sponsa wa maulidi zenu😂

    • @omarsakawa2070
      @omarsakawa2070 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@banihashim5347umekosea nyie ndio munawakufurisha watu wa mawlid kwa hio lazma mutajibiwa na mutafundishwa.na hao mashia pia twatahadharishana.

  • @KhamisKhamis-go1fx
    @KhamisKhamis-go1fx 9 หลายเดือนก่อน

    Ah huyu mt anaongelea nyuso znazo ngara zifatwe jaman sio sunna na quran

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 10 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa kumtukuza mtume swalla llahu aleihi wasallam ni kufanya maulidi basi kwa kweli maswahaba hawakumtukuza mtume swalla llahu aleihi wasallam.
    Nyinyi mumewashinda maswahaba.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Na mtume s a w alisema kuwambia maswahaba kutakuja vipenzi zangu maswahaba wakamuliza ni nani vipenzi zako zaidi ya sisi maswahaba mtume s a w alisema nyinyi ni maswahaba zangu vipenzi zangu niwale watakuja hawakunikuta mm mtume s a w wakaniamini ndio mana twamtukuza

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y 10 หลายเดือนก่อน

    Ibni kathir hayo aliyasema wapi ndugu yangu? mbona unawazulia maulamaa uwongo

  • @mgosilawanukoviri2734
    @mgosilawanukoviri2734 ปีที่แล้ว

    Bidaa kwako unae tumika watu

  • @bemindfulofurswalah
    @bemindfulofurswalah ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yangu mtume salalahu caleyhi wasalam alifunga saum siku ya kuzaliwa kwake ambaye ni jumatatu..na haku amrisha masahaba kusherekea wewe kama unampenda mtume salalahu caleyhi wasalam mbona unalifanya katika dini jambo ambaye hajalifanya

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 ปีที่แล้ว

      Mtume kutofanya jambo kunaitwa
      الترك
      Sio
      التحريم
      Nenda ukasome

    • @bemindfulofurswalah
      @bemindfulofurswalah ปีที่แล้ว

      @@mussaissa6796 kk الترك katika jambo la ibaada na Kuna tark katika Mambo ya aada enda ukasome ndugu yangu

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      Ww wafunga hiyo sunna?

    • @khalidhemedabubakaralhasan8825
      @khalidhemedabubakaralhasan8825 ปีที่แล้ว +1

      Sie tunafunga lakini pia jua tafauti ya kusherehekea siku na kumtukuza mtume sie tunasoma maulidi twamtukuza mtume na hio ni taarif ya maulid kisheria kasome katika اعانة الطالبين

    • @bemindfulofurswalah
      @bemindfulofurswalah ปีที่แล้ว

      @@khalidhemedabubakaralhasan8825 ndugu yangu nikulize jee mtume salalahu caleyhi wasalam si alikuwa na habari na siku yake ya kuzaliwa? Ndio je mbona hakuamrisha maswahaba kusherekea??? Na hata kutukuza hiyo siku kwa kusoma seerah yake? Mtume salalahu caleyhi wasalam anafaa kutukuzwa kila siku na kufuatwa kila siku apana siku moja katika mwaka mzima mwogope Allah usizushe katika dini ya

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf ปีที่แล้ว +1

    Maulid jee ni sunna?

    • @omarsakawa2070
      @omarsakawa2070 ปีที่แล้ว

      Maulid ni jina bid'a,lakini yanayo fanywa ndani ya maulid ni sunna tupu.

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 ปีที่แล้ว +1

      Inasikitisha sana unapotembelea comments za waislamu wa madhehebu tafauti wanajishuhulisha zaidi na tafauti ziliyoko kati yao kuliko yale wanayokubaliana ...hali unachangia pakubwa kuwapa nguvu wasiokuwa waislamu kuendelea kuitawala hii Dunia kwa mfumo ya Ibilis na shetani ...hata hii mitandao ni ktk silaha zao wanazozitumia kuwashughulisha waislamu kujenga uwadui baina yao ili zidhofike nguvu zao za waumini wa hii Dini ya uislamu na lakisikitisha zaidi kuopalilia hii fitna ni mashekhe wengi waliusoma huu uislamu kwa njia ya urathi tu na juju ndiposa hawaoni thamani ya waislamu kuwa kitu kimoja kabisa ...ilihali Allah(sw)kashasema
      قال الله تعالى في كتابه العزيز وهو أصدق القائل وقوله الحق
      ((بسم الله الرحمن الرحيم ))
      وَٱعْتَصِمُواْ بِحَبْلِ ٱللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُواْ ۚ وَٱذْكُرُواْ نِعْمَتَ ٱللَّهِ عَلَيْكُمْ إِذْ كُنتُمْ أَعْدَآءً فَأَلَّفَ بَيْنَ قُلُوبِكُمْ فَأَصْبَحْتُم بِنِعْمَتِهِۦٓ إِخْوَٰنًا وَكُنتُمْ عَلَىٰ شَفَا حُفْرَةٍۢ مِّنَ ٱلنَّارِ فَأَنقَذَكُم مِّنْهَا ۗ كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمْ ءَايَٰتِهِۦ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ،
      Maneno haya Allah(sw)amewaelezea waislamu walokuwepo enzi za mtume(saww)ungali hai hata kabla hajaaga dunia
      Uislam ulikuja kuwakuya Bin Adam wapo kwenye ujinga ambao imewaletea aina zote za uadui...ukiona jamii inajishuhukisha sana na tafauti zao basi ni dalili ya ujinga umetawali jamii hiyo na matokeo ni kuporomoka ....

    • @mohammedmussa1616
      @mohammedmussa1616 ปีที่แล้ว

      @@abdallasalim4104 Swadaqta. Jazaka llahu lhairi. Ni kweli kaka yangu yaani saiv imekuwa sisi waislamu wenyewe kwa wenyewe kugombana na kutiana motoni.

    • @omarsakawa2070
      @omarsakawa2070 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi nasema Ni sunna,manake kwa somwa qur'an,kwa swaliwa mtume,kwa tolewa mawaidha,kwa tolewa swadaka ya chakula,kwa hitimishwa kwa dua,jee yote hayo si sunna?kataa hilo ukufuru.

    • @fuellessgenerator9426
      @fuellessgenerator9426 10 หลายเดือนก่อน

      Mawlid maanake nini?ili tujue ni sunna au la

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y 10 หลายเดือนก่อน

    Hayo yote unayo yazungumza hapo huya egemezi katika dalili, na mengine hapo umeya chomeka tu, sio mahala pake

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 10 หลายเดือนก่อน

    Maulidi ni kheri au ni shari?
    Ikiwa ni kheri, kheri hiyo aliijua mtume swalla llahu aleihi wasallam au hakuijua?
    Ikiwa aliijua, je aliifanya au hakuifanya?
    Ikiwa aliifanya tunaomba ushahidi, na hamna!!!
    Ikiwa hakufanya, waonaje umemtangulia mtume swalla llahu aleihi wasallam katika kheri ukaijua wewe na kuifanya wewe na yeye hakuifanya!!!
    Wacheni ubabaishaji wenu!!!
    Dini ni inayotoka kwa Allah wala sio fikra zako.
    Na kumheshimu na kumtukuza pia tumefundishwa katika sheria wala sio kwa kuzua!!!

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 9 หลายเดือนก่อน

      Acha makelel yako humu ukiwatukana wanawazuoni utakuwa kichaa maan shkhe kusoma hajatoa kichwani mwake sasa ukitaka kupinga wapinge hao walio tunga vitabu kama una elimu kuwashinda wao

  • @thegreatmind9178
    @thegreatmind9178 ปีที่แล้ว

    Lau tutafanya mizani ya haki iwe quran sunnah na vitendo vya maswahaba Sheikh tusicheze na dalil .maulidi ni bidaah

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 ปีที่แล้ว

      Ni kitabu gani
      Ambacho kimetungwa na Mtume au maswahaba
      Ambacho wewe ndicho unatoa hizo dalili unazodai kuwa unafuata.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      Mmh! Bidaa kwako tu,,, wewe wafanya vingapi vya bidaa?

    • @majutorajabu4566
      @majutorajabu4566 ปีที่แล้ว

      MSOME MNAPOTENGENEZA SENTESI ZA. KUPINGA JAMBO,SASA MTU ANASEMA ETI MAULIDI NI BIDAA;MAANA YAKE SIKU YA KUZALIWA NI UOVU NA UZUSHI,DUH! KUMBE MTUME AMESHUSHWA KUTOKA MBINGUNI??

    • @user-it3ee7zq2y
      @user-it3ee7zq2y 9 หลายเดือนก่อน

      Huyu amuaibisha Sheikh lake
      Kusema
      Fiylu mathi marfuu