Allah amhifadhi Sheikh Abdallah Humeid. Wallahi amekuja kutuamsha wengi sn Alhamdulillah. Zamani hawa tulikua tunawaona ni mashekhe kumbe wengine ndio hao wapiga taarabu, kuna mmoja alijitokeza kumkosoa sheikh kishk, sijui anaitwa al hatimy, wakati huo tukajua ni mwanazuoni. Subhanallah kumbe ni mla gomba maarufu huko kwao mambrui. Allah awape nguvu masheikh zetu ktk sunna mzidi kuwachapa hawa makhurafi ili atlist Dini ikae sawa.
Endelea endelea hivo hivo sheikh wetu Abdallah Humeid kuwakandamiza hawa watu makhurafi na mfano wao na watu wa bidaa kwa ujumla usiwaache hawa Allaah Akuwezeshe kupambana nao ili umma ujue haqq iko wapi na Baatwil iliko na wawajue watu wa haqq na watu wa baatwil
Allah amhifadhi sheikh Abdallah Humeid. Naimani hii nyundo itawazinduwa wengi ktk waislam ndugu zetu wasiojishuhulisha na dini. Saidi awache kuleta nahwu na kujifanya mjuwaji ktk sunna za mtume swalla llahu alayhi wasallam, Imam nawawiy anajuwa zaido lugha kuliko yeye na alifahamu makusudio ni kuziwacha km zilivyo. Sasa yeye sijui ametokana nazo wapi nah'w km hizi.
Hahaha, msikiliza kwa hapo hana hoja yoyote, kaongea pumba tu. Hilo neno lenyewe ameshindwa kulitafsiri akaingiza mada ya lugha, mada ya lugha aliyoizungumzia hapo haina nafasi.
Ndugu zangu tunao jifananisha tatka wale wanao itetea suna kwanza namuomba ALLAH aliye juu azidi kutulinda na kutuhifadhi ndani na haq'i ila mm naomba tuzidi kuwaobea Dua Hawa maghurafi maana hizi zao sio akili za sawa Bali ni ugonjwa kwasababu hivi haya maneno machafu ya huyu DJ wa melodi kwa maana yahuku kwetu znz ni kikundi bigwa Cha taraab " ukilinganisha na haya maneno ya mwalimu wetu kipenzi yaliyo simama na dalili sasa Bado tu wewe ukayakosowe haya ya mwalimu wetu kipenzi dhidi ya huyu sufiy ". Subhana malki alkuduus"
Namshukuru ALLAH kwa kutoniingiza katika makundi ya kihuni ya kiwahabi na kitalafi wala salafi maana ningejaa kibri kama wao ningelijiona mimi nimeokoka kuliko waislam wengine ningelijiona mimi ndo peponi na waliobaki wote ni motoni اعوذ بالله ان اكون مثل هذه الفرقة
Hahahaaa bc huyo mungu unamshukulu weewe sio Allah huyo ni ibrisi wa kihurafy harafu ww ni jahili alikuambia wewe wamotoni ninini? Hizi na bangi zako za kisufi halafu wew vip yaani unatete mnjinga ambae anakshifu hadith za mtume wewe vpi shekh wako ibris malhuni Allah akuongoze hayo mamane na hizo Hadith za shekh abdalla humeid au mtume? Ww wawapi sufisms?
Mm upenda sn masheikh wa AL SUNNAH WALLY JAMAAH kwa sbb ukikosea unaambiwa hapo hapo , na wanakuweka wazi ktk shriki na bidaah ALLAH awaifadhi na al sunnah wall jamaah
Sheikh Said yuko sawa bado. Hata mkamwita mpiga taarabu. Anawaelezeni kuwa mtume kasema fugeni ndevu, lakini zikizidi kuwa ovyoovyo, punguzeni zilizidi. Huwezi kutuambia eti Mtume s.a.w. pamoja na usafi wake eti ndevu zake zilikuwa zikifika kitovuni kama ufagio. Semi ukweli hata nyinyi wenyewe huwa mnazipuna kuziweka smart. Sio midevu bila mpangilio.
Alafu mtu kama elimu yako ni ndogo rudi ukasome sio kutukanana tu matusi. Na kila siku elimu ndogo ni sumu wewe kutukanana na uchache wa elimu utaona kama watu wakoseya maskini kumbe hujasoma.
Assalamu Aleikum warahtulillahi wabarakatuh? Shehe wangu said, kusema kweli elimesha watu ipasavyo si kufurahisha watu kwa uongo wako,sasa wewe na Mtume S A W nani bora? Maana mtume alikuwa akipungu za masharubu na kuwacha ndevu,pili wewe shehe wangu said unafurahisha watu 2 na huelimishi watu ukweli wa dini
Waumini wa kweli ni wanajitahidi tu kufuata sheria kwa wanavÿoweza,sio suala la kuhukumiana,hakuna ubaya alioufanya bachu,shekh heshimu na wenzio mwanzo
Ukadhani Niqash ndio muongozo wa Dini ?? Hifadhi juzuu Amma kwanza kisha Soma angalau Hadith moja kwa mwezi ili uielewe. Maana Haqqi ikibainishwa huwa Sheitwan wanawafunga masikio 😊
@@saba-gv3mjSasa Bachu aache kufuata ya Mtume na kujiendeleza kwenye yenye kumfaa, akashindane ma wapiga magita, na ameshawajua madj wapiga mnanda. Watu hawawi sawa.
@Sheba4651 bachu hafuati ya mtume s a w yuwamzushia na mwengine ni ww sahi amejua haki huyu mpiga gita ndio alie mfundisha bachu kacha kuropokwa kaenda kusoma tena bachu sasa bado ww fidhuli usiekua na ilimu wahabi moja mpotoshaji kazi kumzushia mtume s a w
Si eti mawahabi hawasomi hizo fanni,lakini hawaelewei,na sababu kuu ya kusema Mawahabi hawasomi hizo fanni ni kwamba mijadala iliyofanyika baina ya wasomi wa daraja ya chini wa Ahli sunnah wal jamaa Na Mashekhe wa kubwa wa kiwahabi makosa ya kipuzi yalidhihiri kuonesha upungu wao na kutoelewa fanni ndio ukasikia Mawahabi hawajuwi lugha,regelea tu mjadala wa Eldoret Mashekhe wao wakubwa walidhihirisha kutokuelewa kwao ilimu hizo
Assalam alykum MAONI yangu. Ili KUOMDOSHA mgogoro na fitna mwaonaje tuwapambanishe HAWA masheikh wawili Kwa HISHIMA na taadhima Ili TUJUE nani MKWELI na ANAE ongea kwa ILIMU na ninani fidhuli mpotoshaji Kwa sababu matusi KATIKA DINI tumekatazwa. Na tubawapa FAIDA WASIO KUWA WAISLAMU
Hivi nyie kweli ni vichaa kwasababu huyu shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu kukufahamisheni dini yenu kite huku hamuja muelewa munataka nn Tena nyie mbona munacheza na shimo la moto nyie na uwezo wa kujinasua munao kwasababu Bado mupo hai nyieeee
Humaid humuezi kii ilmu sheikh said bro hata ukafanya nini khui.la kushangaza ni kuwa hutoi.mafundisho yoyote kwa ummah lako ni kupinga tu na chuki .na kama kupiga udi si haramu maana haijaharamishwa
Wewe "khawarij" Abuu Humeid, wenzenu wanapozungumzia fani mwasema wanaviburi,wasahau ewe khawarij katika vyuo vyenu hua mna kiarabu kiiingi cha ulimini kisicho kaida je tuseme pia nyinyi mna viburi?, Halafu muacheni saidi atulie, hana habari na nyinyi ,kidume shaffie amkufurisha ibnu ntemia kule nendeni mumtetee wewe humeidi, kassim mafuta mjibuni shaffie acheni na mada ndogo ndogo za ndevu, mwanachuoni wenu akufurishwa kule ,mko kimyaaa kama hampo, mbona hamuendi, ati huja shaffie ni Shia, hilo so jawabu kavunjeni hoja mum nusuru shekhe la mashekhe zenu
Mm nahisi Hawa wengine tusijibizane nao huwenda ikawa ni vichaa kwasababu huyu shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu kila kitu kakiweka wazi kuanzia kitabu Hadi mtunzi wake ikisha litokee jitu Bado tu liwe linapata shaka na hayo vipi tumzingatie mtu wa aina hoyoo
Utaizungumzaje Sunna kama hivo japokuwa mm siwakubali hawa mufsidiin mawahabi wao niwaharibirif wadin na akhlaq nahilo lipo wa ktk jamii zetu lkn kwahili naww hatukubali upuuzi huu wakuikejel Sunna
Mm naamini aliye ungozwa na ALLAH hawezi kupotea na aliye potezwa na ALLAH hawezi kuongoka maana siamini kua Kuna mtu kwa dalili zote hizi alizo zibainisha shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu akatokea mtu ikawa Bado hajamuelewa tunamuomba Allah atupe afya na salama "
Ustadh humeid nakuomba ukiraddi mtu hakikisha unaraddi kwakutafuta radh za allah,usihadaliwe nakuona koment upande wako zikonying,asili ya makafir niweng kwaiyo uwing wakupelekwa nawatu weng kaburin haimaanishi unaenda peponi' Hivyo kosoa kwadalili za Aya na Hadith Usiraddi watu kwaufaham wako Hivyo Fanya kher kwakutafuta radh za allah Jengne kama unaongea halafu unaangalia koment bx bdo ukonyuma kiibada WWE raddi au sema halafu usitafute sifa kwa watu utajauka patupu dunian Fanya kitu kwakutafuta radh za allah
Nauliza lipi la faradhi kati ya kufuga ndevu na kuthibitisha sheria za Allah katika mgongo wa ardhi?Wakati ndugu zenu katika ardhi takatifu na kuukomboa msikiti wa Al Aqsa kutoka katika mikononi mwa Wazayuni.Zindukeni
Nyote tumewaskia lkn kama vile wajua kueka picha za watu huku ukiraddi ingekua uzuri sana ukituekea picture za lugha huku tukiona ukiraddi ki lugha shekh hemedi
Jamani kuhifadhi kusoma na kutafsiri kwa lugha ya mama hadithi na Quran sio usomi.......usomi ni kueleza mafhum na zote hizo zimekuja kwa lugha ya kiarabu shekh said kaeleza istilahi za kiarabu wewe shekhe kuraddi Shekh Said kaeleza ufahamu wake kilugha wewe hujaeleza chochote wewe watutafsiria kwa lugha ya kuswahili bila ufahamu wowote kilugha wala kisheria .......... Wazunguka kwengine badala ya kutuelezea mahallu nizai hapohapo kwenye ndevu waenda kwenye dhwaraba wapi na wapi
kuna wakati unapobainikiwa unaempenda kakosea kaa kimya kumsitiri. shekhe Abdallah humeid amenukuu ufahamu wa wanachuoni wanao elewa lugha na mafuhumu yake kuliko huyo saidi, kwamba ziachwe, akamtaja ibun athiir na imamu nawawiy, tunajua unampenda saidi ila kwa hili kubali kachemka, au saidi anajua na anaufahamu kuliko wanachuo hao?.
@@hussehussein1081 yaani ungelisema hayo yaliyosemwa ni makosa kwa upande alioueleza shkh said....sijapinga maneno ya yeyote isipokuwa uslubu aloutumia saidi upo wazi kwamba watu wazieke vzuri ndevu zao kwa kuzipunguza zipendeze....... Huyu shekhe mwengine atuambia hata kupunguza haifai hata kiakili haiingiii ndevu toka zianze kuota mpaka umri utakaojifia zisikatwe jamani munapopinga mupinge kwa inswafi..........
@@hussehussein1081 kuwa ni kauli ya mwanachuoni si huja manake kiwa jambo lina ikhtilafu bac kauli ya mwanachuoni si huja ni kwa wewe mfuasi umeshika kauli ya mwanchuoni kwa fahamu ya namna gani wanachuoni mbona ni wengi tu shekhe kwa hiyo tukisema mwanachuoni flani kasema kadha basi mbona wengine wamesema kadha ....kinyume na huyo .....hiyo haiwi huja ila ikiwa jambo halina ikhtilafu...
ABDALLAH MWANA WA HUMEID UPO KTK JIHADI KUBWA YA KUPAMBANA NA MAJINGA WA KILHURAAF WALIOJAZANA PWANI YA MRIMA NA PEMBEZONI MWAKE!!
ALLAH AKUHIFADHWI!
Wew tayra elewa hakuna jihadi yakumdhihaki nakumvunjia heshima ndg yako muislamu ng'ombe wew kasoro mkia pumbavu sna wew nawenzako msiojielewa
@@mressahassan6832akhy usitukane
Allah amhifadhi Sheikh Abdallah Humeid. Wallahi amekuja kutuamsha wengi sn Alhamdulillah. Zamani hawa tulikua tunawaona ni mashekhe kumbe wengine ndio hao wapiga taarabu, kuna mmoja alijitokeza kumkosoa sheikh kishk, sijui anaitwa al hatimy, wakati huo tukajua ni mwanazuoni. Subhanallah kumbe ni mla gomba maarufu huko kwao mambrui. Allah awape nguvu masheikh zetu ktk sunna mzidi kuwachapa hawa makhurafi ili atlist Dini ikae sawa.
Alhamdulilah shekh abuu Humeid
Endelea endelea hivo hivo sheikh wetu Abdallah Humeid kuwakandamiza hawa watu makhurafi na mfano wao na watu wa bidaa kwa ujumla usiwaache hawa Allaah Akuwezeshe kupambana nao ili umma ujue haqq iko wapi na Baatwil iliko na wawajue watu wa haqq na watu wa baatwil
جزاك الله خير
الشيخ عبدالله حفظه الله
Allah amhifadhi sheikh Abdallah Humeid. Naimani hii nyundo itawazinduwa wengi ktk waislam ndugu zetu wasiojishuhulisha na dini. Saidi awache kuleta nahwu na kujifanya mjuwaji ktk sunna za mtume swalla llahu alayhi wasallam, Imam nawawiy anajuwa zaido lugha kuliko yeye na alifahamu makusudio ni kuziwacha km zilivyo. Sasa yeye sijui ametokana nazo wapi nah'w km hizi.
Manabii wote walikuwa na ndevu kwahiyo walikuwa hawana pesa ya kununua viwembe ,msanii said tunaomba umrudie Allah
Allah akulipe khery. Sheikh Abdallah Humeid
Abdallah humeid Allah akulinde na kila shari, nakupnda kwajil ya allah
DAH SH ABDALLAH HUMEID NI PONYO KWA KUHUISHA SUNNA NA NI SUNNA KWA WAHHARIBU SUNNA
ALLAH MLINDE SHEKH WETU SANA
AMIIN
Kweri kabisaa Akhy
Audhu Billahi Mina Shaytani Rajiym
Muogopeni Mungu Jamani Mashehe
Chungeni Kauli zenu mutakwenda kuulizwa
Hapa najua maghurafy watalia sana wallah ruduud zitaendelea mpak mwisho wa ulimwengu inshaallah .🎉🎉
BarakAllah fiyk sheikh Allah akuifdhi amiyn
Allah awahifadh masheikh zetu wasunna popote walipo hakik nakupenden kwa ajil ya allah
Mashaallah sheikh Abdhallah humeid nimeelewa Allah akuhifadhi
Uyu mweupe sana
Ww tayar juzuu ya amma
Abuu humeid ww nmzuka sanaa
Wewe ndio mzuka
Yaani shekh wangu said hapa umenidanganya
Masahaba ha hawakuifaham Sunna kama ulivoifaham ww mpuuz umeniudhi Sana
Kaka bainisha nani alie kuudhi, dj au sheikh Abdallah humeid khafadhahullah?
Majahl yanapongezana kumkashf ustadh said
حفظك الله ورعاك شيخنا الفاضل
Sheikh jazaakallaahu khaira kwa ukumbusho mzuri
Hamtaki ukweli ....nyinyi ni malkiia wa mipasho..mashekhe wenu ni umbea..tu ..hawa elmu
Huyo ni dj side mpiga tarabu wa mombosa kidole juu hamna elimu kabisa
Dijei hana kitu kabisa mweupe sana allah amuongoze
Wewe Una nini??
Hahaha, msikiliza kwa hapo hana hoja yoyote, kaongea pumba tu. Hilo neno lenyewe ameshindwa kulitafsiri akaingiza mada ya lugha, mada ya lugha aliyoizungumzia hapo haina nafasi.
Ustadh said kawazidi Sana elmu pamoja na mapungufu yake ndio maana kila kukucha mnatafuta njia ya kumshusha jasomeni
Ndugu hata hili wewe hulifahamu wamsifiya huyu anaelimu
Mh!jaman kusoma hujui hata picha huoni! Sheikh anapiga piga gitaa!!
Ndugu zangu tunao jifananisha tatka wale wanao itetea suna kwanza namuomba ALLAH aliye juu azidi kutulinda na kutuhifadhi ndani na haq'i
ila mm naomba tuzidi kuwaobea Dua Hawa maghurafi maana hizi zao sio akili za sawa Bali ni ugonjwa kwasababu hivi haya maneno machafu ya huyu DJ wa melodi kwa maana yahuku kwetu znz ni kikundi bigwa Cha taraab " ukilinganisha na haya maneno ya mwalimu wetu kipenzi yaliyo simama na dalili sasa Bado tu wewe ukayakosowe haya ya mwalimu wetu kipenzi dhidi ya huyu sufiy ". Subhana malki alkuduus"
Ingekua una akili au wajua japo kuangalia picha tu ningekujibu
Barakallahu fiik haki mpaka ibainike.
Mashaallah sheikh wetu, endelea kukutetea sunna..
Barakallahu fiqu
Namshukuru ALLAH kwa kutoniingiza katika makundi ya kihuni ya kiwahabi na kitalafi wala salafi maana ningejaa kibri kama wao ningelijiona mimi nimeokoka kuliko waislam wengine ningelijiona mimi ndo peponi na waliobaki wote ni motoni اعوذ بالله ان اكون مثل هذه الفرقة
Hahahaaa bc huyo mungu unamshukulu weewe sio Allah huyo ni ibrisi wa kihurafy harafu ww ni jahili alikuambia wewe wamotoni ninini? Hizi na bangi zako za kisufi halafu wew vip yaani unatete mnjinga ambae anakshifu hadith za mtume wewe vpi shekh wako ibris malhuni Allah akuongoze hayo mamane na hizo Hadith za shekh abdalla humeid au mtume? Ww wawapi sufisms?
Subhaana llaah amahakika zama zimefika za kushika sunnaa kwa magego
Asante sheikh ❤
ALLAAH atusaidie tuwe mbali na uzushi na wazushi
Mm upenda sn masheikh wa AL SUNNAH WALLY JAMAAH kwa sbb ukikosea unaambiwa hapo hapo , na wanakuweka wazi ktk shriki na bidaah ALLAH awaifadhi na al sunnah wall jamaah
Sheikh Said yuko sawa bado. Hata mkamwita mpiga taarabu. Anawaelezeni kuwa mtume kasema fugeni ndevu, lakini zikizidi kuwa ovyoovyo, punguzeni zilizidi. Huwezi kutuambia eti Mtume s.a.w. pamoja na usafi wake eti ndevu zake zilikuwa zikifika kitovuni kama ufagio. Semi ukweli hata nyinyi wenyewe huwa mnazipuna kuziweka smart. Sio midevu bila mpangilio.
Mpiga gitaa hawezi kua sheikhe
Alafu mtu kama elimu yako ni ndogo rudi ukasome sio kutukanana tu matusi. Na kila siku elimu ndogo ni sumu wewe kutukanana na uchache wa elimu utaona kama watu wakoseya maskini kumbe hujasoma.
Assalamu Aleikum warahtulillahi wabarakatuh? Shehe wangu said, kusema kweli elimesha watu ipasavyo si kufurahisha watu kwa uongo wako,sasa wewe na Mtume S A W nani bora? Maana mtume alikuwa akipungu za masharubu na kuwacha ndevu,pili wewe shehe wangu said unafurahisha watu 2 na huelimishi watu ukweli wa dini
Huyu anaejbu nmzuka sana kumbe alafu nan aliekwambia ww nmtu wahak
Wew
جزاكم الله خيرا
Waumini wa kweli ni wanajitahidi tu kufuata sheria kwa wanavÿoweza,sio suala la kuhukumiana,hakuna ubaya alioufanya bachu,shekh heshimu na wenzio mwanzo
Humedi hawezi niqash na Ustadh Saeed.Atabaki kurradi chumnani na kupeoerusha mitandaoni.
Humedi hana ilimu wala maarifa.
Ingekua una akili ningalikujibu ila mhh emty
Humeid huwezi pambana na Ustadh Saeed kwenye Nikash.
Baki chumbani upige Raddi na urushe mitandaoni.
Kwahiyo we unamsapot mpigia gitaa!?
Ukadhani Niqash ndio muongozo wa Dini ?? Hifadhi juzuu Amma kwanza kisha Soma angalau Hadith moja kwa mwezi ili uielewe. Maana Haqqi ikibainishwa huwa Sheitwan wanawafunga masikio 😊
Uyu Dj Said hafai ata kuskilizwa
Mtihani
Kawaida Yao makhurafi na matwaaghuti kutumia mihadithi yauongo na kugeuza lugha
Ww khabith una kuikejel Sunna ya rasuulullah
Jamaa hana kitu kichwani kabisa kama kuna mtu anamtetea aje na vyeti vyake vya darasani form four form six
Bachu kanyamazishwa ww mwenye ilimu njoo na huyu mjinga wenu humeid
@@saba-gv3mjSasa Bachu aache kufuata ya Mtume na kujiendeleza kwenye yenye kumfaa, akashindane ma wapiga magita, na ameshawajua madj wapiga mnanda. Watu hawawi sawa.
@Sheba4651 bachu hafuati ya mtume s a w yuwamzushia na mwengine ni ww sahi amejua haki huyu mpiga gita ndio alie mfundisha bachu kacha kuropokwa kaenda kusoma tena bachu sasa bado ww fidhuli usiekua na ilimu wahabi moja mpotoshaji kazi kumzushia mtume s a w
@@saba-gv3mj Kwa hivyo unataka Bachu aje awe mtu wa Dj Said, aje aimbishwe taarab na kupiga minanda?
Macho yenu yana upofu, na mioyo yenu.
Wewe ndo Huna kitu Acha kuzarau watu
Saidi Dj anaona raaha
We dilele si ungejitokeza kwa munaqashaa kama ni kweli
Dogo kuwa mpole usome
Mipasho na kejeli havijawahi kua dini wala suna ya mtume saw
Najiuliza tokea nilivyobalekh ningeacha ndevu mpaka leo zingekuaje kama ni hadithi ni lazima ichunguzwe upya maana uislamu ni usafi
Allahu mustaani. Mtume swala llahu alayhi wasalam wako aliziwacha Kwa hivyo alikuwa mchafu
Hapana ukhut zisingekua ndefu sana maana niye wanawake ndevu zenu haziwi kubwa sana
Msiba mkubwa Wallah
kasome kwanza
Si eti mawahabi hawasomi hizo fanni,lakini hawaelewei,na sababu kuu ya kusema Mawahabi hawasomi hizo fanni ni kwamba mijadala iliyofanyika baina ya wasomi wa daraja ya chini wa Ahli sunnah wal jamaa Na Mashekhe wa kubwa wa kiwahabi makosa ya kipuzi yalidhihiri kuonesha upungu wao na kutoelewa fanni ndio ukasikia Mawahabi hawajuwi lugha,regelea tu mjadala wa Eldoret Mashekhe wao wakubwa walidhihirisha kutokuelewa kwao ilimu hizo
Mashehe wa kiwahabi , Sunna za Mtume saw hassa hawazifuati wanachagua mbili tatu walizochaguliwa .
Tawheed ya vipande vipande ndio waliobebeshwa.
Inavoonesha ktk hili linalozungumzwa haki umeilewa ila umebakia ubishi wako wa kighorafi ila Allah akuongoe
Kama vichwa vyenu vibovu halaf msome miaka mitano hiyo lugha mtaielewa kweli?
Hizo nahau zako zinakuferusha bwamdogo side
Makhurafi hamna kitu kichwani ,wenu ushabiki tu
Assalam alykum MAONI yangu. Ili KUOMDOSHA mgogoro na fitna mwaonaje tuwapambanishe HAWA masheikh wawili Kwa HISHIMA na taadhima Ili TUJUE nani MKWELI na ANAE ongea kwa ILIMU na ninani fidhuli mpotoshaji Kwa sababu matusi KATIKA DINI tumekatazwa. Na tubawapa FAIDA WASIO KUWA WAISLAMU
Huyu saidi anakuumizeni sana ndo eshapewa hachafuki
Hivi nyie kweli ni vichaa kwasababu huyu shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu kukufahamisheni dini yenu kite huku hamuja muelewa munataka nn Tena nyie mbona munacheza na shimo la moto nyie na uwezo wa kujinasua munao kwasababu Bado mupo hai nyieeee
Naam" nikweli huyu jamaa akapewa u dj nasio elimu kama ataka elimu aende masjd ghufeli au masjd Aisha akasome dini kwaza ndio azungumze mitandaoni
Humaid humuezi kii ilmu sheikh said bro hata ukafanya nini khui.la kushangaza ni kuwa hutoi.mafundisho yoyote kwa ummah lako ni kupinga tu na chuki .na kama kupiga udi si haramu maana haijaharamishwa
udi haujakatazwa na serikali ila dini hivi vyombo ni haramu
Shekhe achana nae bana huyu atakupotezea mda maana hawa wanatetea kuvaa hirizi kwakutumia balakha na nahau kwahiyo hakuna kitu hapa maslahitu
Wewe "khawarij" Abuu Humeid, wenzenu wanapozungumzia fani mwasema wanaviburi,wasahau ewe khawarij katika vyuo vyenu hua mna kiarabu kiiingi cha ulimini kisicho kaida je tuseme pia nyinyi mna viburi?,
Halafu muacheni saidi atulie, hana habari na nyinyi ,kidume shaffie amkufurisha ibnu ntemia kule nendeni mumtetee wewe humeidi, kassim mafuta mjibuni shaffie acheni na mada ndogo ndogo za ndevu, mwanachuoni wenu akufurishwa kule ,mko kimyaaa kama hampo, mbona hamuendi, ati huja shaffie ni Shia, hilo so jawabu kavunjeni hoja mum nusuru shekhe la mashekhe zenu
Sasa nyinyi mbumbu mwapewa hoja nyinyi mwaleta matusi mteteni dj
Tuekee hayo maneno kwa screen tuyaone please wacha kiarabu kingi bila uhakika weka page ya kitabu na hayo maneno na sisi tuone kweli hayo maneno
Sas mbona we una vituko!! Yn wataka ufanyiwe uepesi kiasi hicho! Doh!
Mm nahisi Hawa wengine tusijibizane nao huwenda ikawa ni vichaa kwasababu huyu shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu kila kitu kakiweka wazi kuanzia kitabu Hadi mtunzi wake ikisha litokee jitu Bado tu liwe linapata shaka na hayo vipi tumzingatie mtu wa aina hoyoo
Tena anaimba anafumba macho nawasiwasi na sauti anaregeza bado macho kurembua tu mpumbavu wa mombasa
Utaizungumzaje Sunna kama hivo japokuwa mm siwakubali hawa mufsidiin mawahabi wao niwaharibirif wadin na akhlaq nahilo lipo wa ktk jamii zetu lkn kwahili naww hatukubali upuuzi huu wakuikejel Sunna
Juzi lilikuja Zanzibar linapolewa kwa msafara ujinga mtupu bidaa kubwa la mombasa
nani
We humeid kama ni kidume itisha niqash uone kilichomtoa bachu manyoya
Dj side , side kama side 😂😂😂
shekh kinanda Tena AAA usifanye istihizai katika din
KIBOKO YA MAWAHABI
Nani mutrib??? 😂😂😂😂😂 tumesikia kaka hapa na tumejua sio kweli... 😅😅😅😅😅 kidevu embe...
DJ anaweza kuwa kiboko yako wewe tuu
Mm naamini aliye ungozwa na ALLAH hawezi kupotea na aliye potezwa na ALLAH hawezi kuongoka maana siamini kua Kuna mtu kwa dalili zote hizi alizo zibainisha shekh wetu abdallah humeyd kipenzi chetu akatokea mtu ikawa Bado hajamuelewa tunamuomba Allah atupe afya na salama "
Huwa wanadanganya kuwa Massunny hawajui fani za lugha hapo walipotea bali wao uhifadhi mutuni peke yake matumizi hamna
Sheikh Said uliwapiga kifundoni mpaka leo kinauma wakilala wanakufikiria wakikaa wanakufikiria wakienda wanakufikiria hawaamini kilichotokea si MCHEZO
Ah huyu dijei side mpotoshaji tu
Mohammad bachu alikurupukwa kufanya munakasha na dj lakini mahizbi hawana akili
Hata shekhe lake pia yuaweka ndevu
Dj saidy unataka sasa tukuite dada
Ustadh humeid nakuomba ukiraddi mtu hakikisha unaraddi kwakutafuta radh za allah,usihadaliwe nakuona koment upande wako zikonying,asili ya makafir niweng kwaiyo uwing wakupelekwa nawatu weng kaburin haimaanishi unaenda peponi'
Hivyo kosoa kwadalili za Aya na Hadith
Usiraddi watu kwaufaham wako
Hivyo Fanya kher kwakutafuta radh za allah
Jengne kama unaongea halafu unaangalia koment bx bdo ukonyuma kiibada
WWE raddi au sema halafu usitafute sifa kwa watu utajauka patupu dunian
Fanya kitu kwakutafuta radh za allah
Swa mazayuni nyiye mnacheka si basi
Shekh,umefanya vyema kumkosoa said juu ya suala la ndevu,ila shakh bachu amekukosea nini
3:17
Acheni kutiana AIBU😢
Hapa hakuna tofauti na taarabu kabisa , bado Jina la bendi tu hapa litolewe na lichapishwe rasmi kwa youtube
Nauliza lipi la faradhi kati ya kufuga ndevu na kuthibitisha sheria za Allah katika mgongo wa ardhi?Wakati ndugu zenu katika ardhi takatifu na kuukomboa msikiti wa Al Aqsa kutoka katika mikononi mwa Wazayuni.Zindukeni
Sas we nae umetokea wapi!! Kila jambo lina pahala pake, we waelewa linalozungumzwa hapa???
Huyo dj hana ilmu yoyote ni mtu mbumbumbu lakini masufi washatekwa. Kusoma lugha hakumfanyi mtu kuwa ilmu.
Ww wamsikia tena bachu masufi hamuwawezi kilimu na kila fani hamuwawezi
😂😂😂😂😂😂😂 okk hhhhhhhhhhhhhhhh @@saba-gv3mj
Wana fani gani hatuko nayo hao masufi
Hamjui fanni bachu mpaka sasa kaamua kubaki kenya anajifunza mustwalahul hadith akijua tu tunamuomba aingie tena anga zetu aone mara hii atakunya
Wpiga kelele tu nyinyi wakenya mazero brain njoo na vyeti vyako vya darasani tuongee fala wewe
Huyu shehe muongo
Kama Shekh Abdullah ni kafiri kama alivo sema uyu mmoja ktk wachangiaji WA koment. Mimi na mwambia ivii Kafiri ni babayako na mamayako na wewe.
Hamumuwezi hata mukimuita dj kawakaanga mpaka mmejikijolea😂
SubhanaAllah,,Allah akuongoze
@@adennurahuka402wewe je!hutaki kuongozwa
😂😂😂😂😂 mutrib sio? Wewe wacha ujinga....
Makhurafi huyu mwenzenu hajazidi yeyote elimu Ahlul sunnah twataka kubainisha haki,watuwasije hadaika na hawa wapiga guitar.
Acheni kutiana AIBU 19:37
19:05
Nyote tumewaskia lkn kama vile wajua kueka picha za watu huku ukiraddi ingekua uzuri sana ukituekea picture za lugha huku tukiona ukiraddi ki lugha shekh hemedi
Ili khuraf bichwa kama box ninachafua uislam
HUNA KAZI YA KUFANYA SEMA YAKO KWABZA
Hiki kisufi kinaongea kitu gani? Apewe piano na guitar Tu akajiimbie kurafi mmoja huyu
Jamani kuhifadhi kusoma na kutafsiri kwa lugha ya mama hadithi na Quran sio usomi.......usomi ni kueleza mafhum na zote hizo zimekuja kwa lugha ya kiarabu shekh said kaeleza istilahi za kiarabu wewe shekhe kuraddi Shekh Said kaeleza ufahamu wake kilugha wewe hujaeleza chochote wewe watutafsiria kwa lugha ya kuswahili bila ufahamu wowote kilugha wala kisheria .......... Wazunguka kwengine badala ya kutuelezea mahallu nizai hapohapo kwenye ndevu waenda kwenye dhwaraba wapi na wapi
kuna wakati unapobainikiwa unaempenda kakosea kaa kimya kumsitiri. shekhe Abdallah humeid amenukuu ufahamu wa wanachuoni wanao elewa lugha na mafuhumu yake kuliko huyo saidi, kwamba ziachwe, akamtaja ibun athiir na imamu nawawiy, tunajua unampenda saidi ila kwa hili kubali kachemka, au saidi anajua na anaufahamu kuliko wanachuo hao?.
@@hussehussein1081 yaani ungelisema hayo yaliyosemwa ni makosa kwa upande alioueleza shkh said....sijapinga maneno ya yeyote isipokuwa uslubu aloutumia saidi upo wazi kwamba watu wazieke vzuri ndevu zao kwa kuzipunguza zipendeze....... Huyu shekhe mwengine atuambia hata kupunguza haifai hata kiakili haiingiii ndevu toka zianze kuota mpaka umri utakaojifia zisikatwe jamani munapopinga mupinge kwa inswafi..........
@@hussehussein1081 kuwa ni kauli ya mwanachuoni si huja manake kiwa jambo lina ikhtilafu bac kauli ya mwanachuoni si huja ni kwa wewe mfuasi umeshika kauli ya mwanchuoni kwa fahamu ya namna gani wanachuoni mbona ni wengi tu shekhe kwa hiyo tukisema mwanachuoni flani kasema kadha basi mbona wengine wamesema kadha ....kinyume na huyo .....hiyo haiwi huja ila ikiwa jambo halina ikhtilafu...
Shekh Said Allah amhifadhi nyie hizbi ssalafiy hamna ispokuwa husda tu zinawasumbua
Eti husda ww huna elimu ya dini wafwata tu 😅 zero brained human ww 😅 soma wacha kufuata vitu za makhurafi
Dj, ww nimsanii maana unapiga gitaa na nivyombo vya miziki mtume kakataza, sas wew wafuata mtume yupi!!, au uko kwenu kuna mtume wenu
Muhammad bachu amefanya vituko mno huwezi shindana na ghurafi mpiga magita suffiy kama huyu