SIRI YAFICHUKA: Muungano ulivyopitishwa Zanzibar - mjumbe wa Baraza la Mapinduzi atoboa siri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2023
  • Katika mahojiano ya kipekee, Maria Sarungi Tsehai alifanya mahojiano na Hassan Nasoro Moyo mwaka 2014 kabla ya kifo chake
    Mzee Moyo alikuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na miongoni mwa wachahe walioketi kupitisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
    Alieleza mazingira waliyopitia hadi Muungano kupitishwa Zanzibar
    Tunaomba radhi kwa ubora wa video unaotokana na mfumo wa zamani wa kurekodi video hii.

ความคิดเห็น • 11

  • @connan9923
    @connan9923 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa mchezo mchafu Tuishi tu kwa kupendana hamna namna majirani zetu wa Pwani 😅😅

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +2

    Baada ya Rais Nyerere kupeleka jeshi lake Zanzibar, alimlazimisha na kumtisha Rais Abeid Karume kukubali Muungano ingawa wote hawakuzaliwa Zanzibar.

    • @frimatuslupimo2031
      @frimatuslupimo2031 2 หลายเดือนก่อน

      Alimtishaje? Unaweza kuweka evidence?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@frimatuslupimo2031Ahsante kwa suala linalohitaji tafakuri.
      TAFAKURI YA MUQADDIMAH
      1) Kujua lengo la Watanganyika walioishi Zanzibar na kuunda Chama Chao Cha WAHAMIAJI na pia kujiita WAFRIKA kabla ya Afro-Shirazi Party kuundwa.
      2) Kujua kwa nini Nyerere baada ya kuunda Tanganyika
      African National Union (TANU) aliunda Afro-Shirazi Party.
      3) Kujua lengo la Afro-Shirazi baada ya Uhuru wa Zanzibar.
      4) Kabla Uhuru wa Tanganyika Nyerere alisema anataka kuiburura Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi. Na baada ya Muungano kaiburura Dodoma.
      5) Mapinduzi yaliandaliwa kwa Siri kubwa Tanganyika na ombi la Nyerere kukhusu Muungano
      ilikuwa Siri na Karume. Wote hawakuzaliwa Zanzibar.
      6) Sababu za ukweli za kufanya Mapinduzi zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa.
      7) Sababu za ukweli za kufanya Muungano zimeandikwa lakini hazisomeshwi na zinafichwa.
      8) Baada Muungano taarekhe ya Zanzibar na Tanganyika hazisomeshwi. Inapotoshwa na wengine kupotosheka.
      Baada ya Dibaji hiyo nitakujibu kwa ufupi kifungu kwa kifungu.
      KAA CHONJO

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @abbymwangomile392
    @abbymwangomile392 ปีที่แล้ว

    We liongo

    • @jaafarwibonela7402
      @jaafarwibonela7402 ปีที่แล้ว

      Kama yeye kaongopa, wewe ukweli unao?

    • @nasipmuhamed2390
      @nasipmuhamed2390 ปีที่แล้ว

      Ukweli unauma ndugu yangu utake usitake

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 ปีที่แล้ว

      Ukweli upo wapi??

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze ปีที่แล้ว +3

      SI ndio maana lukuvi akasema watanganyika hawawezi Kuiacha Zanzibar, sababu Ina waislam 99% kumbe Nyerere,alikua ana agenda ya ukiristo, ndio maana anatakiwa apewe utakatifu, awe Saint Nyerere, kwa kazi nzuri alioifanyia kanisa katoliki,tusilishane matango pori!

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 หลายเดือนก่อน

      MUUNGANO NA UKATOLIKI✝️
      ​@Zainabnoor0087-ze UKWELI MTUPU.Sababu za Mapinduzi na Muungano ni PROPAGANDA TUPU zinasomeshwa✝️
      Utawala wa Nyerere kwa faida Kanisa lake na Washauri wake kuanzia Skuli ya Msingi mpaka Ikulu Tanganyika na Zanzibar.