CHANGAMOTO ZA KUA KWENYE MAHUSIANO NA MZUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2023
  • Hamisi wa BSS ametuelezea walipokutana na girlfriend wake na namna changamoto ya kuishi pamoja ilivyokua
    Sio kila ukiona mzungu basi tuombe hela, no kukosa kuungwana.
    Thank you Hamisi for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 50

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 7 หลายเดือนก่อน +8

    Sawa sawa Hamis, Vijana wafanye kazi. Hata Wazungu wanapenda kuwa na mahusiano na wenza wenye kujiongeza.

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisi wa Bss, Nipo California joto sana ,sana

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Hamisi wetu 🎉🎉💐💐.

  • @JosephineMwendwa-my7qc
    @JosephineMwendwa-my7qc 7 หลายเดือนก่อน +4

    Shena congrats kwa kazi yako nzuri

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kumbe kule bss alikuwa anaigiza uboya kumbe lina akili... anajieleza vizuri

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ana akili na kipaji kikubwa sana tu
    Mungu amfungulie njia zake zote

  • @molenimanyika1271
    @molenimanyika1271 7 หลายเดือนก่อน

    Shena Mungu akubariki sana kwa kazi yako

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 7 หลายเดือนก่อน +2

    Happy new year Shena🎉endelea kutupa mambo mazuri katika mwaka huu mpya.. nakupenda sn 🤗

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana wapendwa ❤❤❤❤🥰🥰

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน

    Nice interview 😍😍😍

  • @Alice-Gyunda
    @Alice-Gyunda 7 หลายเดือนก่อน +1

    He so cleaver ❤🎉

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎊 👏 💐

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri hamisi umeongea kwa undani ukweli mtupu

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hi! My sister, naonaleo uko nakjana wakibongo maalfu kwajna la H, wa bss, hongera Sana, mi nakutakia Heri yamwaka mpya,

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Sono limepita

  • @bwakahamisi9607
    @bwakahamisi9607 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shena😊

  • @miriamahmadi1356
    @miriamahmadi1356 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg หลายเดือนก่อน

    😮

  • @Tausishaban-he5io
    @Tausishaban-he5io 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tumpe maua yake 💐💐

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana khamisi 😅😅😅😅

  • @user-qb3hx2ku9v
    @user-qb3hx2ku9v 7 หลายเดือนก่อน +2

    Unamaanisha hamiss amepata mzungu hii nakuja kwako hamis uniambie ulianza lini kutafuta mzungu umetumia mbinu gani mimi nahisi kuwa kichaa kweli 😅😅

  • @ikupaisaac2635
    @ikupaisaac2635 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hiyo kule zamaradi tv alitudanganya ameachika na block juu

  • @eusterchacha9799
    @eusterchacha9799 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kcc imefanya watoto wakigamboni wengi tuko ulaya

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ukitulia unaongeaga vizuri Hamisa😂😂😂😂😂

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hamisa tena 😂😂😂

  • @user-gw6zg5yx9e
    @user-gw6zg5yx9e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ukokidunia

  • @georginasadiki1556
    @georginasadiki1556 3 หลายเดือนก่อน

    network

  • @leahlucas479
    @leahlucas479 7 หลายเดือนก่อน

    Wazungu wamebadirika miaka hii, ila ya zamani wanawake wazungu walikuwa wanakaa nyumbani kulea watoto.

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️❤️

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน

    Wabongo punguzeni taama ,tafuteni pesa kwenu ,mzungu hawapendi mtumnafiki na kupenda kumbeba mwanaume, usitoe akili ,eti umepata mke wakuoa , ukibatika kuletwa ,ukileta utapeli wa kibongo atakuharibu kichwa ,mzungu hana mzaaa 😂😂😂😂

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 7 หลายเดือนก่อน

    Binti kigoma alikukongota makonzi shida ilikuwa anata nini

  • @azia_msulunkut
    @azia_msulunkut 6 หลายเดือนก่อน

    Habar shena samahani naomba namba yako ninashida na ww

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sina haraka shena ntatoa ushuhuda wangu soon acha nieke mambo swa

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 7 หลายเดือนก่อน

    Na mimi soon nitakuja kusema yangu

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 7 หลายเดือนก่อน

    Hamisi ameongeza kilo nyingi

    • @user-rl5qu4zj9b
      @user-rl5qu4zj9b 7 หลายเดือนก่อน +6

      Wewe hamiss juzi tuhapa uliojiwa ukasema ameondoka kila ukimtafuta hapatikani

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-rl5qu4zj9bmi mwenyewe nímeshangaa maana alisema hawana mawasiliano sa imekuwaje? Mbona kutuchanganya?

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-rl5qu4zj9bkweli alisema alimblock

    • @Zuu673
      @Zuu673 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-rl5qu4zj9bkaachwa wala hayuko nae

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilitapeliwa na mzungu, tulikutana kwenye application ya tantan Sina amu!

    • @shunny-iq1lx
      @shunny-iq1lx 6 หลายเดือนก่อน

      Hahahh sio wazungu ni matapeli wa mtandaoni tantan ni scammers pole mwaya nilitapeliwa milion mbil kila nikikumbuka najicheka

    • @shemelaruhinda6113
      @shemelaruhinda6113 5 หลายเดือนก่อน

      @@shunny-iq1lx pole mpendwa mie nilitapeliwa million 5 tena kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi za ndani warabuni. Sitokuja kusahau kamwe

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu kumbe kule bss alikuwa anaigiza uboya kumbe lina akili... anajieleza vizuri