MTOTO WA BAKHRESA AUNDA BOTI YA KIFAHARI TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 206

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 ปีที่แล้ว

    duh safi SANA UNACHANGAMSHA 2021 ndo naona

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana boss wangu yusuph B.asante mungu asante s.s.b kwa watoto wenye juhudi na malengo yakuona mbali zaidi Allah awape afya njema. asante mafund asante wa tz tunaweza hakika...nataman ningekuwepo kwenye umeme hakika ninge jipatia historia nzuri kushiliki kwenye TAnzanite marine 1.

  • @inderjitlall4972
    @inderjitlall4972 5 ปีที่แล้ว +3

    Absolutely awesome!!👍

  • @kebo2155
    @kebo2155 4 ปีที่แล้ว

    .... Safi sana huu ndiyo uzalendo.. Sasa usichoke jenga kiwanda cha nguvu na wape vijana wetu nafasi hatuhitaji wazungu ... 🇹🇿 💯 💯

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah hongereni nyote wahusika Allah awazidishie umri na afya njema muzidi kutuekea miundo mbinu kila sehemu ikiwemo ya usafiri na Kadhalika

  • @techinswahili7850
    @techinswahili7850 5 ปีที่แล้ว +1

    imekaaa poaaa sana tz ya viwanda na ubunifuuu so good

  • @aliabdallah2626
    @aliabdallah2626 5 ปีที่แล้ว +8

    Allah akupe subra upite ktk iman mtihani huu

  • @michaelstephen3743
    @michaelstephen3743 4 ปีที่แล้ว

    Daahhh kwakweli sasa tumenyanyuka sanaa nimefurahi kuona hii kitu nchini mwetuu

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 4 ปีที่แล้ว

    Mashallh ninzuri sana one day ishaallh na mimi nitafikilia kuunda kitu mungu akinipa uwezo wa kifedha

  • @najmaanajma1195
    @najmaanajma1195 5 ปีที่แล้ว +6

    MA SHAA ALLAH TABARAKA RAHMAN

  • @hassanmchwakachangama888
    @hassanmchwakachangama888 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Sana kwa ubunifu ndugu Allah akuekee nguvu in shaa allah

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah, kwanini msiwe na kiwanda mkazalisha boti hapa kwetu badala ya kuagiza njee

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 5 ปีที่แล้ว

    vizuri mwenyezi mungu ambariki na siku moja anipe lifti

  • @eaglecrown3872
    @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว +2

    amen, Itapendeza pia ukiamia na kwenye magari ili kusudi tuwe tunanunua hapa hapa tujivunie kilicho cha kwetu.

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana, Naomba bei yake pamoja na kunletea hadi Arusha

  • @gabrielmbelwa1410
    @gabrielmbelwa1410 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana. Hongera sana

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 ปีที่แล้ว

    Allaah Ambareekiyeee in sha Allaah. Na kumuhefadhi yeye na familiyaaa yakeee.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana ukiwa na ela hakuna linalo shindikana

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 5 ปีที่แล้ว

    Fantastic,atengeneze nyingi

  • @yashjuma9168
    @yashjuma9168 5 ปีที่แล้ว +2

    Very nice !

  • @alemalmaz9466
    @alemalmaz9466 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah fishing on the next level Amazing

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +23

    Hongera Bakharesa Allah akuzidishie mazuri mengi mashaallah

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 5 ปีที่แล้ว

    Looks Good. N Good workmanship on it. Congrats

  • @nakembetwahagai608
    @nakembetwahagai608 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana

  • @jamaljamali287
    @jamaljamali287 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana bro big up

  • @iddibama6819
    @iddibama6819 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana Yussuf Bakhresa ila ningependa kufahamu gharama za Boti hii ni kiasi Gani

    • @japhetjsphetnoniape1492
      @japhetjsphetnoniape1492 5 ปีที่แล้ว +1

      Ili iweje

    • @adammakoye4198
      @adammakoye4198 4 ปีที่แล้ว

      Sh pesa

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 4 ปีที่แล้ว

      Unataka kununuwa au kusumbuwa watu tuu

    • @iddibama6819
      @iddibama6819 4 ปีที่แล้ว

      @@kidjhdf7568 ​ ndio ninunuwe sasa utakujaje na Mada zako et Ohh mtoto wa Bakharesa Aunda Boti la kifahari ..kama unataka kuweka mambo hadhani wewe eka tu

    • @iddibama6819
      @iddibama6819 4 ปีที่แล้ว

      nataka ninunuwe

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว

    Mambo Haya angefanya mondi sasa weee! Oooh anataka sifa! Anaushindani wa kipumbavu! Ooh anajikweza! Nk nk nk! Wakati pesa katafuta kwa nguvu zake! Wivu tuuu! Hongera mwana wa Tahiti umeinyesha uthubutu uliotukuka!

  • @hassanihassani4330
    @hassanihassani4330 5 ปีที่แล้ว

    nimemkubali mungu amzidishie mema

  • @badaral6167
    @badaral6167 ปีที่แล้ว

    Mashallah neema ya allah

  • @ahmedbawazir8035
    @ahmedbawazir8035 5 ปีที่แล้ว

    Excellent job ,
    Keep on

  • @abdifatahnur6155
    @abdifatahnur6155 5 ปีที่แล้ว

    MaShaaAllah kaka hongera

  • @mechanicaldesignbrain
    @mechanicaldesignbrain 5 ปีที่แล้ว +1

    nimewakubali wako vizuri👏👏👏

  • @jamalsalim2845
    @jamalsalim2845 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallaah bakhresa allah akungezea inshaallah

  • @omarmuhnzi7412
    @omarmuhnzi7412 5 ปีที่แล้ว

    Safi mzigo uko sawa Hongera kwa juhudi kubwa.

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaalah ametufanyia mengi

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 5 ปีที่แล้ว

    Haataaareee...wa mbili ukweli havai maja,hongera Mtoto wa bilionea kwa ubunifu uliotukuka.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ni vitu vya kawaida sana jaribuni kufatilia Discovery chanel mtaona kila kitu kinawezekana na tunaweza kuunda wenyewe

  • @anabankhamis7951
    @anabankhamis7951 5 ปีที่แล้ว

    Aisee noma sana

  • @stonetown578
    @stonetown578 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha'Allah TabarakaAllah

  • @stewartmsamila5691
    @stewartmsamila5691 5 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na pesa hivi vitu rahisi sana

  • @fat-hiyasuleiman4748
    @fat-hiyasuleiman4748 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani wivu huwo hata kupigiya mashallah tusipende kusema vibaya tusimamiye uwezo wetu

  • @eaglecrown3872
    @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว +6

    Inapendeza sana kuleta wataalam nyumbani maana utaalam unabaki nyumbani kuliko kununua bot kama hiyo kutoka nje

  • @joshwazakaria8222
    @joshwazakaria8222 4 ปีที่แล้ว

    Mungu pamoja nasi tutaweza tu🙏🙏

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @qaiszahran7992
    @qaiszahran7992 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ...u can do more better....👍

  • @allyhamad780
    @allyhamad780 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akuzidishie

  • @kacenazir666
    @kacenazir666 5 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah! Big up sana Yusuf B.

  • @selekidebe4385
    @selekidebe4385 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah boti nzur sana

  • @ashanange832
    @ashanange832 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana na Allah akuongoze zaid

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 ปีที่แล้ว

    Honger

  • @khamisijuma4842
    @khamisijuma4842 5 ปีที่แล้ว +1

    Pesa mwenzake pesa

  • @shabanihassani8524
    @shabanihassani8524 4 ปีที่แล้ว

    Mbona ya kawaida sana

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana!

  • @brandts2555
    @brandts2555 5 ปีที่แล้ว

    mmmh congtrs faza

  • @minjamsuya4476
    @minjamsuya4476 5 ปีที่แล้ว

    Hongera bahresa. Lakini tuwakumbuke na wasio na uwezo lakini wako na vipaji

  • @masoudkhamis9933
    @masoudkhamis9933 5 ปีที่แล้ว +3

    Mazali pesa zipo zitumike tu sio boat tu ata ndege akitaka inshallah itawezekana

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 5 ปีที่แล้ว +1

    Maasha allah

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmmm i thought they have built from scratch but only assembling not bad keep itup

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว

    Hongera baba utufanyie kila mtu yake twahangaika hasa tukenda Pemba

    • @danadana6450
      @danadana6450 5 ปีที่แล้ว

      Salama Khamis kwani iyo boti irachukuwa abiriya au niyake yy mwenyewe tuu na famikiya yake

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah nice

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 ปีที่แล้ว

    Mashallahu

  • @tony47ization
    @tony47ization 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu :-) :-) :-) :-) :-)!

  • @mickeykibabu6999
    @mickeykibabu6999 5 ปีที่แล้ว

    Kali saannaaa👏👏👏👏👏

  • @iqbalsalaf115
    @iqbalsalaf115 5 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah

  • @adammakame2154
    @adammakame2154 3 ปีที่แล้ว

    Kila kilichopo duniani kitaondoka ni hanasa tu iyo ya dunia izo pesa angeliwapa maskini na wasio jiweza angelifanya jambo la maana co kujilimbika mamali tu Kullu man alyhafaan.ndugu zng tucjisahau sana dunian tunapita tu

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 5 ปีที่แล้ว

    Good

  • @arboghastalexkayanda3109
    @arboghastalexkayanda3109 5 ปีที่แล้ว

    made wonders

  • @immanuhu3234
    @immanuhu3234 4 ปีที่แล้ว

    Jmn Semeni na wazawa wa zanzibar mbn wasenge nyie kila kitu tz hi zanzibar ikowapi makuma nyiny maana munajua km hakuna masomo zayd ya wazanzibar lkn kazienu kutufinyanga tuu nakutufinya ili tusitambulikane duniani lkn mungu atawalaani

  • @yahyaomar3752
    @yahyaomar3752 5 ปีที่แล้ว

    Hili noti ni la abiria ama???nakama nila abiria lina bwba abiria wangapi??

  • @richie2544
    @richie2544 5 ปีที่แล้ว

    Tunaweza

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah 🇹🇿🇯🇵🇯🇵🙏🏾❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ahmedmiles4580
      @ahmedmiles4580 3 ปีที่แล้ว

      i know im randomly asking but does any of you know of a tool to get back into an Instagram account??
      I was dumb lost the login password. I appreciate any tips you can give me!

  • @habibuzahoromakame.6728
    @habibuzahoromakame.6728 5 ปีที่แล้ว

    Ah!hayaaaaaa

  • @kiparamasoud1322
    @kiparamasoud1322 5 ปีที่แล้ว

    I'm from Saudi arabia

  • @lucasshayo9705
    @lucasshayo9705 5 ปีที่แล้ว

    Background sound ipo juu sana

  • @rehemakulaba495
    @rehemakulaba495 5 ปีที่แล้ว

    Dah🙌🙌

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว

    Gharama ya Boti hii unaweza kulisha masikini mjini kwa miezi nachenji ikabaki

  • @sameermilo2492
    @sameermilo2492 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania Tunaweza 🇹🇿💯

  • @alisaid2410
    @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

    yani hivi vituo local havina kazi wakati mwingne

  • @dreamhighmotivation121
    @dreamhighmotivation121 5 ปีที่แล้ว

    MMMMhhhh!!! hii ni hatari kweli

  • @adhnanhassan7512
    @adhnanhassan7512 5 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na pesa kila kitu chawezekana....

  • @hamzaibrahimhamza5819
    @hamzaibrahimhamza5819 5 ปีที่แล้ว

    Anxt sna

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว

    Pesa

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 4 ปีที่แล้ว

    Biti kubwa sana kama tupo club hatusikii

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu wa kwanza nimemwita said namie natest zari huenda akamrithi somo yake,babu yake amenishika nimwite juma mi nimemwambia hakuna juma tajiri anakataa

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 5 ปีที่แล้ว

    Pesa hizo

  • @bimmassoud6993
    @bimmassoud6993 4 ปีที่แล้ว

    Yusuf said ndio mtoto wa baharesa au..

  • @jumamkuu6542
    @jumamkuu6542 5 ปีที่แล้ว

    Mie siamini Kama no kweli

  • @kiparamasoud1322
    @kiparamasoud1322 5 ปีที่แล้ว

    Hongera , huo niuthubutu na pes nyingi isonakazi pia nakujitangaza kwa makampuni Yao ,,,, ila hongera sanasana Azam kwani kunawengi wenyepesa hawajathubutu kufanya Jambo mfano wahilo mashalla hakika Azam mkojuu hongereni Sana.

  • @chiefmk835
    @chiefmk835 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo tu ni mtaji.

  • @tolekakipira9415
    @tolekakipira9415 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi uwezo tunao tunashindwa Wapi sasa wengine wakati uwezo tunao

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 5 ปีที่แล้ว

    Kuishi kwingi ni kuona mengi. Ni jambo la busara sana kuwaleta wataalam nchini kuliko kuagiza hio boti nje ya nchi. Ajira kwa wazalendo hongera Bakhresa ni mzalendo na tajiri halisi wa Tanzania tunakupongeza.

  • @abbyjustine7906
    @abbyjustine7906 5 ปีที่แล้ว +2

    Uwezo tu nao, nguvu tunazo hapo muhimu ni viwanda tu

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว

    Shing ngapi?

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว

    Boti hii kama huna milioni ya kuipanda utabaki kuingalia 2......

  • @faidamasegenghe3379
    @faidamasegenghe3379 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe uwezo tunao

  • @zubeirkhamisabdallah9627
    @zubeirkhamisabdallah9627 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman ety camera man baada ya cctv kama umemskia gonga like

    • @rasterwangu9708
      @rasterwangu9708 5 ปีที่แล้ว

      Nilichosikia mm ni camera maalum

  • @babamicah8787
    @babamicah8787 5 ปีที่แล้ว +1

    Namuona lucho anauza sur t uku😂😂😂

  • @ufc-ultimatefightingchampi8456
    @ufc-ultimatefightingchampi8456 5 ปีที่แล้ว

    I hope he pays those worker enough money for the job

  • @Almisbahy9551
    @Almisbahy9551 5 ปีที่แล้ว

    Mbele Ya Pesa Hakuna Kinachoshindikana