Mashaallah kasri mungu akupe afya na akuzidishie na sisi atupe inshaallah. Kuna watu wana pesa lkn hawana mipangilio ila wewe mheshimiwa umezitendea haki neema alokupa m.mungu
*Mungu akubarik ww na familia yenu mzima na abariki zaidi company yenu mumetufuta machozi cc wapemba kwa boat yenu ya speed tunasafiri kwa wepesi na urahisi zaiidii Allah aibariki Zan fast ferries*
Allah amlaze pema peponi mzee Turk.nililia sana alipofariki,hawa watu wana mioyo ya huruma sana,Allah awazidishie .nilifanya kazi ktk kiwanda chao mombasa unguja,yaani ni watu wenye mioyo ya imani mnoooooo
Mashaallah sikutegemea kama kuna mpaka sehemu ya kuswalia kumbe nilazima ilikuwa uwe Tajiri pia kila siku unasoma juzuu moja unaimaliza Mungu akuongezee kila ulipopunguza
Mashaallah kka hongera sn Allah akurudhuku zaid akuekee mamaetu ale neema zako za kijana wamzazi mwenzie km yy mzazi mwenzie alivo kua famasia baba akala nema zake nayy mama ale nayma zake kupitia ww kka hongera sa uwe naramadhan Qareem na laylat-lkadir iwe juu yk nami M/mungu anijalie niwe km ww tuige mfano wako mzuri kka inshaallah 🙏
Katika vijana ambao wanamiliki mambo makubwa lakini ukimuona katika shuhuli za maarous misiba au hata uraiyani hana mambo mengi wala kujivuna namkubali🎁🥰💞💯🌹
Huyuu ndio mbunge ana provide direct kwa watu si wale wanaongea maneno mengi.Majimbo yana njaa chagueni wabunge wenye uwezo kama huyuu hii ndio style ya marekani
Saleh leo kawa km sie yeye full nidham,ule ukuda wa kutaka kujua kila akionacho na kufunqua funqua draw na mafridge kakaushia. All in all Mpaka miquu chini katembea kudadek 😂
Muhishimiwa Kwanza kabisa Sema alhamdulilah sio kwa nyumba alhamduliah kwa mama kuwa hai trust me once mamako ataondoka duniani life is meaningless trust me 😢
Me nkajua utasema namshukur mama yangu mzaz kwa kunizaa we unakumbuka malafiki zako tu. We mpuuz sana mama ndyo kila kitu kwako hiyo siku yako ya kuzaliwa ujue hukujitambua alie kuwa anakutambua wewe ni mama yako pekee huna hud kumshukuru mama yako kwanza ndyo wafate hap marafik zako jua kuwa siku ya kuzaliwa kwako ni siku aliyo pitia mambo mengi mama yako alitukanwa na manes na pia alipelekwa hosptal kwa shida wewe unashangilia kitu ambacho hukijui jua kuwa huo ni ujinga sana. Me nina mke mke wangu alizalia nyumban tena usiku kitu nilicho kiona hakika siwez kufurahia siku ya kuzaliwa kwangu yaan hiyo siku ntampa zawad mama yangu tena ntajitahid nimpe zawad kubwa zaid ya anavo fikilia. Kuzaa sio mchezo mdogo wangu acha kabisa kufurahia siku iyo mama ndye anae jua.
🤔Kuonyesha raslimali, mafanikio na kusimulia historia yako sio jambo geni, ni jambo zuri na la mfano kwasababu sisi tunaoshuhudia haya huweza kutufunua macho na kujua jambo mojaau mawili. Asanteni kwa kushea tumefarijika na kujua kidogo vipi mwenzetu amefanikiwa.
I LIKE THE PLACE ITS VERY PEACEFUL N STUNNING PLACE TO LIVE N HAVE BRAKE N RELAX👌 IT IS A MARVALOUS STUNNING PLACE😆👍 I LOVE IT❤" "PEACE N QUITE" I LIKE TO LIVE AT THE FARM! THEN TOWN" FAR FROM THE NOISY N ZAHMA 👌COOL N CALM👍
Kuna msenge mmoja majuzi aliwakusanya wa mama alikua anawapa shilingi elfu ishirini ishirini na kurusha mitandaoni,angalieni wenye pesa wapo kimya na wanasaidia watu sana lakini hatuwajui sio kujionesha onesha mitandaoni
Nimewakubali wote Mbunge,,, mtangazaji,,,na camera man wote Mashallah Allah awazidishie wametulia sana,,safi kabisa nimefurahia kipindi
Mashaallah kasri mungu akupe afya na akuzidishie na sisi atupe inshaallah. Kuna watu wana pesa lkn hawana mipangilio ila wewe mheshimiwa umezitendea haki neema alokupa m.mungu
Aisee hongera nampenda Huyu kiongozi,nilimsikiliza kwenye salama na,anaonekana nimtu mwenye utu sana....M. Mungu ambariki zaidi na zaidi
*Mungu akubarik ww na familia yenu mzima na abariki zaidi company yenu mumetufuta machozi cc wapemba kwa boat yenu ya speed tunasafiri kwa wepesi na urahisi zaiidii Allah aibariki Zan fast ferries*
Iyo ni nyumba au mtaaa maashallaaah mungu kajua kuwabariki❤❤❤❤❤
Naishi jimbo la mpendae ni kweli kabisa kiongozi wetu ni mtu mzur
Allah amlaze pema peponi mzee Turk.nililia sana alipofariki,hawa watu wana mioyo ya huruma sana,Allah awazidishie .nilifanya kazi ktk kiwanda chao mombasa unguja,yaani ni watu wenye mioyo ya imani mnoooooo
Amiin yarab
Njaaa itakuponza
@@user-qg4wc5dz9r na ww husda zitakuua
@@user-qg4wc5dz9r husda zitakuua
😂😂why
Mandhari ya hii nyumba ni tamu sana..... Mungu akupe maisha marefu Mh. Ufurahie mafanikio yako na familia kwa ujumla
😂😂😂 yani nimecheka sana nanimependa bei ya gari pekee nyumba ya mwijaku
"Kuhakikisha mfereji wa kuendelea kupata unakuwepo".👏👏
Mashaallah sikutegemea kama kuna mpaka sehemu ya kuswalia kumbe nilazima ilikuwa uwe Tajiri pia kila siku unasoma juzuu moja unaimaliza Mungu akuongezee kila ulipopunguza
Mashallah hongera kwa mbunge anajielewa! Bora tunaona vitu tofauti 😊
Mashallah mashallah maisha ni nyumba inaleta utulivu wa akili ingekua mswahili apo unhekuta ana wake kumi vijana wa kiswahili wajifunze hili
Wivu wako usitutaje tuwache tajiri na mali zake masikini na watoto wake wacha tuoe tupate watoto😂😂😂
Mwenyezi Mungu azid kumbarik huyu Mheshimiwa na mtangazaji wa hii makala, Mwenyezi Mungu atujaalie wote tulio Tazama tuwe serious na malengo yetu
❤❤kabisa wallah 💯 Allah atunyanyuwe ktk kila kheri tunazozifanya
Ameen
Mashaallah kka hongera sn Allah akurudhuku zaid akuekee mamaetu ale neema zako za kijana wamzazi mwenzie km yy mzazi mwenzie alivo kua famasia baba akala nema zake nayy mama ale nayma zake kupitia ww kka hongera sa uwe naramadhan Qareem na laylat-lkadir iwe juu yk nami M/mungu anijalie niwe km ww tuige mfano wako mzuri kka inshaallah 🙏
Mtu mwenye mwoyo safi. Very humble man.
Hana cheni hana kipuli hajatoboa pua hana tatoo ila anabonge la jumbaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
Mashallah sio wengine wamechora matatoo wametobowa pua
Kwahiyoo unampiga kijembe mtangazaji 😂😂😂
@@ABUUALLY-tv8rl Kwan mtangazani ana tatoo
Anatokea familia ina hela usishangae hana njaa kwao
Hongera sana Mh Mwenyezimungu akulinde❤
Muheshimiwa haringi umepoa mtu wamaana kabisa huna majivuno mwenyekukuelewa amekuelewa
Alhamdulillah nmesoma kitu kupitia kiongozi
Mtangazaji kuchanganyikiwa na jumba la kifahari mpaka viatu umeogopa kuvaa😂😂😂
😂😂😂halaf hana uhuru wa maswali leo
Halazimishi kuingia vyumbani km anavofanya kwa wasanii
Uyu jamaa yuko humble sana
Tawfiq mtu mzuri sana lakini huyu tokea zanani yupo hivi hana tabu mashaa allah nice one from 🇬🇧
Alipata malezi mazuri
From Nairoi Kenya...mheshimiwa yupo sawa
Rahasana nimependa sana chumba chKusaliya
Katika vijana ambao wanamiliki mambo makubwa lakini ukimuona katika shuhuli za maarous misiba au hata uraiyani hana mambo mengi wala kujivuna namkubali🎁🥰💞💯🌹
Ni kweli hawa Turk wote wana roho nzuri na anasaidia sana pale mpendae
I seeee Kuna watu wanaishi alaf Kuna sisi wapiga debe insta
Huyuu ndio mbunge ana provide direct kwa watu si wale wanaongea maneno mengi.Majimbo yana njaa chagueni wabunge wenye uwezo kama huyuu hii ndio style ya marekani
Hongera sana Mbunge wangu Taufiq
Viongozi wetu wote wanatakiwa kuwa inspiration kwa Watanzania wetu kama hivi❤❤
Masha Allah ... allah akulinde na Khasad... sali SUNNA rakaa 2 ... kuomba ulinzi wake... NA CHA KUSHANGAZA UPO KAWAIDA KABISA.
Mwiiteni aristote aseme speeeec
MashaAllah muheshimiwa Allah akuhifadhi nimefurahi hicho chumba cha Swalaa wallahi good usali na familis
Aisee hakika Allah akutunze sana Mh Taufiq kwa faida ya wengi
Zenji wana vitu vizuri sana'ongera mhe❤❤❤
Hii si nyumba chuo kikuuuu.
Yaani daaah
😂😂😂😂ndo unachosoma au
Mashallah Allah akubariki na pia uwe na moyo wa kusaidia wasojiweza Kwani wapo wasomiliki ata chumba 1 Allah atakuhifadh duniani na akhera
Ndio nipo si hata chumba kimoja
Saleh leo kawa km sie yeye full nidham,ule ukuda wa kutaka kujua kila akionacho na kufunqua funqua draw na mafridge kakaushia.
All in all
Mpaka miquu chini katembea kudadek
😂
😂😂😂😂😂 nimechekaaaa jmn
Nimecheka sanaaaa
Mpaka uzungumzaj tofa hahha
Kijana mdogo lakini amekuwa na njozi kubwa yaani mpaka naona wivu wa maendeleo Aristotle anasema spaceeeee
Muombe dua, ili Allah na wewe akubariki ❤
Mungu akupe zaidi nazaidi muheshimiwa na salehe munguakuongoze inshaallah
Amin inshallah
Amin kwa sote
Mashallah nimependa sana.maendeleo yako Allah azidi kukuweka.
Shukran bro swaleh classic kwa kutusaidia kwa namna nyengine
MashaAllah ❤❤❤
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unaweza tafutwa mwezi mzima na usipatikane
Kuna kuishiii na kuishiaaa
MashaAllah kama Ikulu vilee pokea MAUA yako 💐
Mashaallah tabarakaallah Allah akuhifadhi
Muhishimiwa Kwanza kabisa Sema alhamdulilah sio kwa nyumba alhamduliah kwa mama kuwa hai trust me once mamako ataondoka duniani life is meaningless trust me 😢
Mashaallah Allah akuzidishie ni mtu mzuri na apenda mazuri Allah ampe mazuri
Aaaaaa unashindwaje.bwana kuongeza wake aaah lakn maaasha allah
Mungu akuzidishie zaidi na zaidi
Maashallah mungu akuzidishie
Frankley speaking, I like the way the garden is! It is woow and I don't expecting the weird of apart from that house.
GOD BLESS U MORE N BLESS ALL THE CREATIONS OF GOD! IN HIS SWEET WORLD👌AMEEN🤲
Mungu akubariki kiongozi unaonekana nimtu wa watu
Mashallha beautiful place❤
Mungu nipe ulichowabatik wao mungu akueke na akuongezeee unapotoa
Huyu kweli ni tajir😂😂😂
Yaani mungu huyu ha! Sisi wengine twatabika ha! Asante mungu🙏
@@ziadasalimu1730omba msamaha kwa mola wako
Mungu amuongezeee na sisi atupe vino heri na sisi.
Ila haya maisha sio poa yaani daah😢
MashaAllah juzu 1 kwa sik
hii sio nyumba inafaa iitwe Kasri, ina hadhi ya Presidetial house ⭐⭐⭐⭐⭐
Kwa hio sisi tuliojiripua huku turundi Mpendae tuje tupate ruzuku ya Ramadhan na posho la mwisho wa mwezi 😂
Masha'allah ✨
❤mashallah namuomba allah anijalie na mimi
Masha ALLAH ❤ ❤ ❤ 🎉🎉
Kher, baraka,upendu,uzma,akili na mengi mazur mungu akuzidishie wewe na sisi amin amin
Kwli baba Kwan psa kuizalisha kunahtaji kufnya matumiz mm nnalak tano na amini nita izalisha kuwa tilion
Me nkajua utasema namshukur mama yangu mzaz kwa kunizaa we unakumbuka malafiki zako tu. We mpuuz sana mama ndyo kila kitu kwako hiyo siku yako ya kuzaliwa ujue hukujitambua alie kuwa anakutambua wewe ni mama yako pekee huna hud kumshukuru mama yako kwanza ndyo wafate hap marafik zako jua kuwa siku ya kuzaliwa kwako ni siku aliyo pitia mambo mengi mama yako alitukanwa na manes na pia alipelekwa hosptal kwa shida wewe unashangilia kitu ambacho hukijui jua kuwa huo ni ujinga sana. Me nina mke mke wangu alizalia nyumban tena usiku kitu nilicho kiona hakika siwez kufurahia siku ya kuzaliwa kwangu yaan hiyo siku ntampa zawad mama yangu tena ntajitahid nimpe zawad kubwa zaid ya anavo fikilia. Kuzaa sio mchezo mdogo wangu acha kabisa kufurahia siku iyo mama ndye anae jua.
Yote ya nini hayo,mbona hayakuhusu?,wewe unajua Vipi yeye na mzee wake wanavyoishi,hebu kuwa mstaarabu.
🤔Kuonyesha raslimali, mafanikio na kusimulia historia yako sio jambo geni, ni jambo zuri na la mfano kwasababu sisi tunaoshuhudia haya huweza kutufunua macho na kujua jambo mojaau mawili. Asanteni kwa kushea tumefarijika na kujua kidogo vipi mwenzetu amefanikiwa.
Mungu akupe umri muheshimiwa
Leo hamna ubwabwa 😂😂 mfungo 😂😂😂
Mimi nimfatiliaji mzuri wakipindi chenu,lakini leo kwamara yakwanza amehojiwa Muheshimiwa plus Tajiri nawala haringi
dah huyu mweshimiwa wa Zbar ni mtu poa sana..anajua kuji-express na ni mtu mwema mno
Hana tatizo ni mtu mstaarab sana,
He has a good heart mashallha
Ila nyumba ndogo na simple ni nzuri bana hlf una enjoy haikupi stress....
Hivi mwijaku ameona hii nyumba sio anatusifia kichochoro chake
Mtag aje aone
Hahahaha😂
Soaaaaceee imezingatiwa wenye pesa hawana kelele
Umasikini kitu kibaya sana.yaani mtangazaji anatembea peku wakati tajiri kavaa sandal..😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hufai
Jamaaa nimemkubali Sanaa mbunge safi
Nakukubali sana tangu nilivyokusikiliza kwaSalama
Nyumba ina heka Kumi mashaallah
Mashaallah jumba la kifahati hatare
Daaah kweli tutafute hela
Kuna watu wsishi alafu sisi tunaishiaa
Msanii mkubwa wa tz mmoja aonyeshe kama hili
Manshallah ❤
Allah yebarik
I LIKE THE PLACE ITS VERY PEACEFUL N STUNNING PLACE TO LIVE N HAVE BRAKE N RELAX👌 IT IS A MARVALOUS STUNNING PLACE😆👍 I LOVE IT❤" "PEACE N QUITE" I LIKE TO LIVE AT THE FARM! THEN TOWN" FAR FROM THE NOISY N ZAHMA 👌COOL N CALM👍
Huyu MH katisha Nadhan hata Mr white mwenyewe hajawai ishi namna hii
Allah akujalie kheer
Mashalllah❤
Mwijaku anatuambia ana kasri😅sijui hii itakuwa Nini kama ile ni kasri😅😅😅
Ila Kuna watu wanaishi ili wale, wengine tunakula ili tuishi.
Masha Allah
Mashallah allah akubariki
Kuna msenge mmoja majuzi aliwakusanya wa mama alikua anawapa shilingi elfu ishirini ishirini na kurusha mitandaoni,angalieni wenye pesa wapo kimya na wanasaidia watu sana lakini hatuwajui sio kujionesha onesha mitandaoni
Maa shaa Allah
Kwahy ndio ukagoma kuvaa viati😂😂😂
Mulokozi njoo zenji tukusomeshe😂
Kwakwel aje tu
Nyumba ni furniture mulokozi katisha sana
Onyesha yako sio vya watu. Mulokozi sio mbunge BTW
Mulokozi ana kibunda wee😂😂
Mulokozi Hana nyumba bhana weeee we umeona iyo nyumba heka10
Mashaalah
Unyama sn 🔥🇶🇦
Kuna watu wanaishi❤