Shinyanga ni tajiri sana, kuna madini, mifugo ya kutosha, mazao ya biashara yapo kama pamba,dengu, choroko na mazao ya chakula kama mpunga, mahindi, mtama mihogo. Pia Shinyanga ina watu walio na bidii ya kazi
Hata usipotaja njombe yetu sisi tunajijua ni matajiri wakubwa sana chai yetu hujataja parachichi je mbao je makaa ya mawe je mikoa iliyotajwa mfano mbeya na Dar es salaam wapo na wakwetu wakinga
Mtafiti haujafka Mtwara ukaangalia mazngira na maendleo binafsi na uchumi wao, Wana ges,bandari na ardhi ya vilimo tofauti ikiwemo korosho,mpunga na ufuta na mahindi
Shinyanga ilipaswa ishike nafasi ya pili, msiangalie majengo angalieni rasilimali zilizopo. Ila watu wake ni maskini sana, rasilimali zilizopo madini wanabeba wanapeleka ulaya ndo yanakojengwa maghorofa. Nafasi za ajira hawapewi wazawa, wanapewa wengine wanajenga kwao🇹🇿🇹🇿😮💨😭
@@jrsaid4270Walitaka wasikie mikoa yao inatajwa namba 1, 2, na 3 katika orodha kulingana na dhana zao TOFAUTI na uhalisia!! Wengi wetu tunasumbuliwa na umimi na siyo vinginevyo yaani!!
DODOMA mbali na kuwa Jiji lakini IPO KWENYE MIKOA YENYE WATU WENYE KIPATO CHA CHINI ikiwemo KAGERA, TABORA,KIGOMA NA SINGIDA ila IRINGA umeionea mana ipo top ten
Shinyanga ni Tajiri sana,tena kungekuwa na usimamizi mzuri wa maliasili ya madini ungeongoza kwa kuchangia mapato nchini.Kuna Almasi hakuna mkoa mwingine wenye Almasi nchini Tanzania.Dhahabu nyingi Kahama.Mgodi wa Buzwagi ndiyo unaongoza kutoa Dhahabu nchini Tz upo Kahama Shy.Asilimia 50% ya mapato ya nchi inatokana na madini.na madini mengi yapo Shy
shida ya Arusha imechanganikiwa na wakenya na kawaida yao kutaka kua washindi kwa kilakitu. Arusha mnachozid mikoa mingine n ujambazi na kuvuta bangi tu
Kwani we unahisi kinaangaliwa nini me nafikiria wanaangalia pato la halmashauri husika hivyo ruvuma lazima itaizidi iringa coz ruvuma kuna kilimo kikubwa zaidi ya iringa pia kuna mgodi mkubwa wa makaa ya mawe ukilinganisha na iringa
@@nazarethally9509 mim siwez pinga ila kiukweli hizo takwimu ni za uongo kabxaaa amin usiamin an mimi ni mtu wa ruvuma tena songea hapa mji mwema akin kusema takwimu za songea zizid mkoa ule.wa iringa ni uongo kabxaa iringa kuna vivutio vingi sana vya utalii tena ni zaid ya vivutio kwamba hivyo haangaliwi an mm naweza sema takwimu hizi ni za uongo bwana kak amin usiamini
Morogoro ilitakiwa isogee sogee kidogo maana biashara,ufugaji,kilimo na uchimbaji wa madini kama dhahabu,ruby,ulanga,fieldspar,rodillite n.k bado kuna hifadhi kubwa tatu ambazo ni Mikumi, Udzungwa na Nyerere.
Mbona ndg mwandishi hujaelezea kwa kina kuhusu huo utajiri kwa kutoa mifano ya rasilimali zinazopatikana katika mkoa husika kwan unatakiwa utaje pamoja na kipato chake kwa kila rasilimali na inachangia kwa asilimia ngapi?
Wewe mtangazaji ni fala hujui billion na tirion kahama peke yake mapato ya ndani anakusanya billion 12 umechochora ndg sema tirion sio bilion mkoa hauwezi kukusanya billion mlionielewa nipeni like zangu
Sikubaliani Arusha ndio ingekuwa mkoa wa 3, kwa sababu ya mbuga mbili kubwa duniani ngorongoro na serengeti, madini ya tanzanite na kilimo na njia ya utalii katika mikoa ya kaskazini rudia mjomba jiografia
Kwa mujibu wa tafiti nyingi arusha inazidiwa hd na iringa, kwa kuwa mapato ya arusha yanasomewa dar, kwa maana wawekezaji wengi wa arusha wanatokea dar
iringa ndio mwakilishi mkubwa kanda ya kusini mzalishaji mkuu wa uzalishaji wa mbao tz mzalishaji wa mahindi kiwanda kikubwa cha karatasi east africa ,mbuga kubwa tz,kilimo,uwekezeji etc. lakin hujaiweka hata kweny 10 bora fool!!!!😅😅
@@lameckjacksongolani280 unapoambiwa mkoa masikizi hawangalii mji kujengeka wanaangalia uwezo wa wananchi kipato Chao so usishangae mwanza kua mkoa masikin ukibisha ingia mtandaon uliza mikoa 5 masikin Tanzania utaona
Tanga ingekuwa ya kwanza kabisa! Iko safi sana kwa biashara! Tanga pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Shinyanga ni tajiri sana, kuna madini, mifugo ya kutosha, mazao ya biashara yapo kama pamba,dengu, choroko na mazao ya chakula kama mpunga, mahindi, mtama mihogo.
Pia Shinyanga ina watu walio na bidii ya kazi
Almas pia
Hata usipotaja njombe yetu sisi tunajijua ni matajiri wakubwa sana chai yetu hujataja parachichi je mbao je makaa ya mawe je mikoa iliyotajwa mfano mbeya na Dar es salaam wapo na wakwetu wakinga
Mbeya ni kweli ipo juu kweli.ila Iringa hujasema na upo vizuri sana
Iringa Ina rasilimali lakini imepitwa na mingine
Bora simiyu
Nzuri sana
Arusha namba 2 fuatilia vizuri
Arusha haiifikii mwanza hata robo
Wasafwa umetukosea sana,waking a ni iringa
Mtafiti haujafka Mtwara ukaangalia mazngira na maendleo binafsi na uchumi wao,
Wana ges,bandari na ardhi ya vilimo tofauti ikiwemo korosho,mpunga na ufuta na mahindi
mtwara ni moja ya mikoa maskini sana daah kuna sikitisha kwa kweli
Anzjuzima data wenyewe tunajua ila ipo siku atasema tu
@@valentinetesha8536Katika mikoa masikini Mtwara haipo au unasema Mtwara ipi?
@@valentinetesha8536😅😅
😂@@valentinetesha8536
Shinyanga ilipaswa ishike nafasi ya pili, msiangalie majengo angalieni rasilimali zilizopo. Ila watu wake ni maskini sana, rasilimali zilizopo madini wanabeba wanapeleka ulaya ndo yanakojengwa maghorofa. Nafasi za ajira hawapewi wazawa, wanapewa wengine wanajenga kwao🇹🇿🇹🇿😮💨😭
Mbeya nayo ina madini mengi tu na yenye thamani huko chunya kwahyo ni sawa tu
Hv mwanza kwl iwe sawa na shy
Hata kongo ni nchi yenye utajili mkubwa lakini sio nchi tajiri zaidi Afrika
Wewe Jamaa itakuwa umesimliwa hizo taarifa Kwa haziendani na taarifa zako
Unaumwa mavi😂
Arusha ingeshika namba 2
Ni kweli eti Tanga jamani
Hakuna uk😊weli wa data zako babu
Nmecheka kumbe na buseresere munaijua
Kagera kahawa
Ww hujawahi fika arusha nazani pita hv
Kwanza nomeshangaa eti shinyanga inaizidi Arusha hi twakim niyakitapeli asee
Wew kenge sio kweli acha kuwalisha watu matango pori
Kilimanjaro mlima tu,,ungefaa uwe. Wa kwanza kwa mapato ya utalii
Takwimu zako siyo sahihi kabisa Wacha uongo unapotoshosa
Leta zako zilizosahihi tuone
@@jrsaid4270 umedanganya mmno
@@jrsaid4270Walitaka wasikie mikoa yao inatajwa namba 1, 2, na 3 katika orodha kulingana na dhana zao TOFAUTI na uhalisia!!
Wengi wetu tunasumbuliwa na umimi na siyo vinginevyo yaani!!
Duuh nilijua Arusha inashika top 3
Iringa wauza mbao hujagika
TRLION N BILION
DODOMA mbali na kuwa Jiji lakini IPO KWENYE MIKOA YENYE WATU WENYE KIPATO CHA CHINI ikiwemo KAGERA, TABORA,KIGOMA NA SINGIDA ila IRINGA umeionea mana ipo top ten
Huyu ameenda kwa mapato yanayopatikana inawezekana kweli
Arusha ,nilijua itashika nafas ya 3
Mikoa Arusha Una jiji moja to Arusha mikoa mbeya shinyanga Zili jiji zaidi moja jiji kubwa
Mikoa Arusha Una jiji moja to Arusha mikoa mbeya shinyanga Zili jiji zaidi moja jiji kubwa
Mashamba wee hujui hata kuandika kwa taarifa yako Arusha uchumi hamna hata Jiji la Arusha linashindwa kujiendesha kimapato
Arusha ni Jiji lenye Hela sana kuzid mbeya
@@GerardLaizzer wadanganye wasiojua au nenda kachukue takwimu za serikali za mapato ya majiji na mikoa ndipo utaelewa
Karibu Iringa mkuu
Dodoma kumbe nawenyewe ni mkoa masikini Tz
Uko sawa mwandishi
Unavuta bangi sana
Geita kwa madini mmeipunja
Kweli Shinyanga inazidi Kwa maana inarasilimali nyingi mfano madini 😊
Siyo mikoa. Sema miji
TABORA SIJAISIKIA
😂😂😂 Arusha hata 5 bora haipo😮
Acah uongo wee mjinga aisee
😂😂shinyanga tene
Shinyanga mkoa tajiri sana, una machimbo kibao ya madini yanayouingizia mkoa mabilioni ya tsh.
Naomba magemu
Hapo kapatia Dar pekeake ...
Siyo kweli!!
Mbwa muongo sana uyuu duh atA kama hna D atA Moja
😂😂😂 KAFANYE TAFITI PUMBAVU.
Kichaa ww
Duuuuuuh sijui ila nitakuwepo
Mbeya ingekua namba 2
Shinyanga ni Tajiri sana,tena kungekuwa na usimamizi mzuri wa maliasili ya madini ungeongoza kwa kuchangia mapato nchini.Kuna Almasi hakuna mkoa mwingine wenye Almasi nchini Tanzania.Dhahabu nyingi Kahama.Mgodi wa Buzwagi ndiyo unaongoza kutoa Dhahabu nchini Tz upo Kahama Shy.Asilimia 50% ya mapato ya nchi inatokana na madini.na madini mengi yapo Shy
Hawawez kuelewa
Duuh hii ndo nchi ya bongo taarfa za uongo siasa nying
We muhaya acha utapeli😂
Data hizo sio sahihi
Mtafiti hajatembea
shida ya Arusha imechanganikiwa na wakenya na kawaida yao kutaka kua washindi kwa kilakitu.
Arusha mnachozid mikoa mingine n ujambazi na kuvuta bangi tu
😢😢😢😢😢😢😢 sijapenda
🎉❤❤❤❤ Shinyanga
Ajabu sana hii iringa unaacha wap ety ruvuma mwandish huna jipya
Kwani we unahisi kinaangaliwa nini me nafikiria wanaangalia pato la halmashauri husika hivyo ruvuma lazima itaizidi iringa coz ruvuma kuna kilimo kikubwa zaidi ya iringa pia kuna mgodi mkubwa wa makaa ya mawe ukilinganisha na iringa
@@nazarethally9509 mim siwez pinga ila kiukweli hizo takwimu ni za uongo kabxaaa amin usiamin an mimi ni mtu wa ruvuma tena songea hapa mji mwema akin kusema takwimu za songea zizid mkoa ule.wa iringa ni uongo kabxaa iringa kuna vivutio vingi sana vya utalii tena ni zaid ya vivutio kwamba hivyo haangaliwi an mm naweza sema takwimu hizi ni za uongo bwana kak amin usiamini
Iringa tajiri kuliko bàadhi ya uliuotaja, tena mbaka wananchi wake. Wewe mwongo sana
Tembea uone sio unaishia iringa tu arafu unaongea, shinyanga ni sahihi kabisa
Morogoro ilitakiwa isogee sogee kidogo maana biashara,ufugaji,kilimo na uchimbaji wa madini kama dhahabu,ruby,ulanga,fieldspar,rodillite n.k bado kuna hifadhi kubwa tatu ambazo ni Mikumi, Udzungwa na Nyerere.
Manyara unaiachaje Kwa mfano,,tafiti haipo sawa.sisi tunalima Hadi tunakosa pa kupeleka,weka na TANZANITE
Dodoma inashika nafasi 3
Vp kuhusu arusha
Kwahiyo dodoma ni mkoa masikini du
Uongooo uongoo uongo uongooo
Mmh, ni uongo kwa vile Arusha haijatajwa namba ya karibu, au siyo??
Zanzibar sio Tanzania! Au hapo kwenye 10?
Mbona ndg mwandishi hujaelezea kwa kina kuhusu huo utajiri kwa kutoa mifano ya rasilimali zinazopatikana katika mkoa husika kwan unatakiwa utaje pamoja na kipato chake kwa kila rasilimali na inachangia kwa asilimia ngapi?
Arusha inawezaje kukosejana 3 Bora?
Nakigoma je,,
😂😂
Uongo unapenda, ukweli aaah
Jaman tumsikilize
Yupo sahihi kwa shinyanga,mji wa kahamatu uliopo shinyanga unaweza kuishinda hata baadhi ya mikoa mingine.
Hap hujaunganisha na shy mjin wee
Meongo mkubwa ww
Wagamba amazima aho.
Yakawaida san
Wewe mtangazaji ni fala hujui billion na tirion kahama peke yake mapato ya ndani anakusanya billion 12 umechochora ndg sema tirion sio bilion mkoa hauwezi kukusanya billion mlionielewa nipeni like zangu
Arusha iko wapi
Hamna kitu
Shillingi bilioni?😅😅😅😊
Hiyo si ni hela ya kujenga km 2 za lami tu
😂😂😂
Uyu kuuma arudishe MB zetu
😮 kweli Shinyanga inazidi Arusha na tanga
ndio unaijua kahama na madini yake ?
Tembea ujionee
Sikubaliani Arusha ndio ingekuwa mkoa wa 3, kwa sababu ya mbuga mbili kubwa duniani ngorongoro na serengeti, madini ya tanzanite na kilimo na njia ya utalii katika mikoa ya kaskazini rudia mjomba jiografia
Broo serengeti ipo sehemu kubwa mkoa wa mara na manyara
@@eibrerdarkibrerhata meatu simiyu
usitudanganye arusha vp
Arusha inategemea kitega uchumi kipi? Kanda ya ziwa kuna ziwa, madini, ufugaji n.k
Yaani wewe ni muongo sana yaani Arusha iko wapi
Hapo tumepigwa
Takwimu za ovyo sana, hizi
Singapore namba 3 mm nimexema dengu kama kawa
na mm nilijua hivyo
Akuna kitu sijui izo tarifa kapata wap
hizi pesa zinaenda wapii
Utafiti huo unatilia shaka,
Acha kudanganya, fanya utafiti
Huamini nn hapo
Hitwakimu ni za kisiasa zaidi shinyanga kuizidi Arusha ni kichekesho
Kwenye mikoa masikini zaid Tz shinyanga ipo.
@@mligogodfrey8882et mikoa masikin usiangalie majengo angalia rasilimali wew
Upande wa kaskazin Tanga haiwezi kuwa zaid ya Arusha wala Kilimanjaro umetuongopea au kwa vile mikoa mingine haina bahari ya hindi??
Je singida ni ya ngapi
Dodoma haipo
Hio Hela I kwa siki au kwa mwezi?
Arusha iko wapi hujafanya utafiti wa kutosha
Kutoiweka Arusha top3 hapo umefel
Arusha no 2 na mwanza ni no 3
Arusha haiwezi kuiona mwanza kwa kila kitu ukianzia uzuri,utajiri Nk
Kwa mujibu wa tafiti nyingi arusha inazidiwa hd na iringa, kwa kuwa mapato ya arusha yanasomewa dar, kwa maana wawekezaji wengi wa arusha wanatokea dar
Njombe ya ngapi ? Acha usengelema
Ww ni mpumbavu
Mwandishi hajuwi kitu chochote
Toa takwimu zako tuzione
Mwandishi hujui chochote takwimu za uongo kabisha
Leta zako zilizosahihi tuone
iringa ndio mwakilishi mkubwa kanda ya kusini
mzalishaji mkuu wa uzalishaji wa mbao tz
mzalishaji wa mahindi
kiwanda kikubwa cha karatasi east africa ,mbuga kubwa tz,kilimo,uwekezeji etc.
lakin hujaiweka hata kweny 10 bora fool!!!!😅😅
Tumepigwa
We ujielewi unaacha wp chuga kwa mfano
Kadanganya wakat mwanza IPO kwenye mikoa 5 masikin wakat arusha ndo namba2
Mwanza iwe masikini duuh😂😂😂
@@lameckjacksongolani280 unapoambiwa mkoa masikizi hawangalii mji kujengeka wanaangalia uwezo wa wananchi kipato Chao so usishangae mwanza kua mkoa masikin ukibisha ingia mtandaon uliza mikoa 5 masikin Tanzania utaona
kapimwe akili
Huna akili wewe
Hapo nakataa kabisa huwezi itoa Arusha ilipaswa kua namba 2 au tatu.
Wewe ni mjinga Arusha hamna uchumi wowote ule