NUTRITION: EP 17 | UMUHIMU WA KARAFUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ส.ค. 2023
  • Imeandaliwa na: AYESHAH BEBEH | IG @ayeshahbebeh Videographer: Director Lummy | IG @directorlummy
    Karafuu ni zao linalopatikana sehemu mbalimbali duniani ikiwepo hapa Tanzania hasa kule visiwani Zanzibar. Fahamu mengi kuhusu karafuu, faida za karafuu katika mwili wa binadamu, kinga dhidi ya magonjwa na mengine mengi ambayo karafuu husaidia kwenye lishe katika mwili wa binadamu.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 61

  • @user-gu1li9hj8m
    @user-gu1li9hj8m 9 หลายเดือนก่อน +6

    Asante san kwa somo lako dada bt karafuu Ina madhara kusafishia uken?

  • @elizabethswai2334
    @elizabethswai2334 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good work Voag

  • @user-uz6py5cg6k
    @user-uz6py5cg6k 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo

  • @RUCKY_
    @RUCKY_ 2 หลายเดือนก่อน

    Safii kiungo changu pedwaa❤

  • @user-yl8cy6nb5w
    @user-yl8cy6nb5w 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asanteee Sana dada angu kwa SoMo lako

  • @KanezaMwajabu
    @KanezaMwajabu 9 หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @aminaisuja6081
    @aminaisuja6081 8 หลายเดือนก่อน

    Naweza dail kwenye maisha yangu

  • @elizabethnassary5327
    @elizabethnassary5327 8 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @RehemaAms
    @RehemaAms 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

  • @user-zj8us9gm1w
    @user-zj8us9gm1w 8 หลายเดือนก่อน +4

    He ksrafu inaweza kuzibu mirija ya uzszi

  • @peterlongole
    @peterlongole 4 หลายเดือนก่อน

    Asante dada kwa somo

  • @juliennealimasi6378
    @juliennealimasi6378 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa ukitumia karafu nyingi kwa saa moja kunatatizo?

  • @AngelaKazimoto
    @AngelaKazimoto หลายเดือนก่อน

    Asante 🙏

  • @user-it2wf9rz6m
    @user-it2wf9rz6m 3 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @CathyNyale
    @CathyNyale 4 หลายเดือนก่อน

    Je karafuu ni nzuri kwa kurudisha uke uwe mdogo

  • @RehemaJokorowela
    @RehemaJokorowela 3 หลายเดือนก่อน

    Asante dad

  • @HerenaMasala-mc8nf
    @HerenaMasala-mc8nf 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua matumizi ya karafuu ili kuzibua mirija ya uzazi

  • @uwasehusna1584
    @uwasehusna1584 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hayo mafuta Ya karafu unayatumikisha kivipi?

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante

    • @Voice_of_Agriculture
      @Voice_of_Agriculture  9 หลายเดือนก่อน

      karibu

    • @AliShaibu-cc9cj
      @AliShaibu-cc9cj 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kalafu ukitumia nying inamazala dada angu manamimi huwanatumia kwa siku litamoja nanus

    • @elizabethnassary5327
      @elizabethnassary5327 8 หลายเดือนก่อน

      6:27 ​@@Voice_of_Agriculture

  • @user-pd5fe4xb5c
    @user-pd5fe4xb5c 3 หลายเดือนก่อน

    Inatibu maumivu ya mkojo

  • @aishaadam-xp7yl
    @aishaadam-xp7yl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asant kwasom dear kama unages tumbon karafuu unaitumiaj?

  • @JuliethDenis
    @JuliethDenis หลายเดือนก่อน

    Je karafuu inaweza kusaidia kuleta period ilokata ghafla??

  • @MarryKalembe-vg3gq
    @MarryKalembe-vg3gq 9 หลายเดือนก่อน +13

    Me naomba kuuliza ivi ni kweri karafuu inaweza kuua sumu ya kijiti na ukapata mimba

    • @user-zj8us9gm1w
      @user-zj8us9gm1w 8 หลายเดือนก่อน +1

      Je karafu hussidia kurudisha hethe
      Ya mwana mke

    • @VellahBeauty-wg3ob
      @VellahBeauty-wg3ob 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndyo mumy na husafisha kizazi

    • @user-yb6sz6fb8u
      @user-yb6sz6fb8u 3 หลายเดือนก่อน +1

      Inawezkn kutibu p,l,d

    • @user-xv1bg3jo7l
      @user-xv1bg3jo7l 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ndioo

  • @user-pd5fe4xb5c
    @user-pd5fe4xb5c 3 หลายเดือนก่อน

    Inatibu mkojo yani utit

  • @user-ym6gv9yz4d
    @user-ym6gv9yz4d 9 หลายเดือนก่อน

    Inapatikana wapi

  • @AzizaManda
    @AzizaManda 17 วันที่ผ่านมา

    Je ina weza kutibu ugojwa wa moroide ?

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama unataka kujitibu fangasi unatumiaje??

    • @user-rc8qg4rm5f
      @user-rc8qg4rm5f 4 หลายเดือนก่อน +2

      Chemsha karafuu kw maji afu jifukize hayo maji weka kwa ndoo na ukae juu mvuke upande huko kwa bibi

  • @user-xm9gm4dm7d
    @user-xm9gm4dm7d 9 หลายเดือนก่อน

    Inawezekna kweli mtu kupata ujauzito

    • @user-tw5ts8fw4k
      @user-tw5ts8fw4k หลายเดือนก่อน

      Ndio karafuu inasaidia kupata ujauzito

    • @soniamasele5347
      @soniamasele5347 หลายเดือนก่อน

      Natumiaje

  • @shamimuabdallah8801
    @shamimuabdallah8801 หลายเดือนก่อน +1

    Je ukiwa mjamzito ukatumia karafuu je mimba inaweza kutoka?

    • @makrinaivanm8514
      @makrinaivanm8514 14 วันที่ผ่านมา +1

      Inatoka

    • @shamimuabdallah8801
      @shamimuabdallah8801 14 วันที่ผ่านมา

      @@makrinaivanm8514 mmmh nilikua cjui kwa hiyo hapa unatumia ukiwa kwenye period tu au vp?

  • @JeniferJoseph-cf8kq
    @JeniferJoseph-cf8kq 2 หลายเดือนก่อน

    Dada inatibu fangaz nauken ukitumia

  • @user-fh5mk7qk5c
    @user-fh5mk7qk5c 3 หลายเดือนก่อน

    dada naomb uni jibu niko na rafiki yanyu uke yake imekua mkumbwa anatka kutmia hii karafu anaoitumiaaj sasa juu wengi hawachua fenye inatumika

  • @MarkoTarimo-mp2cs
    @MarkoTarimo-mp2cs หลายเดือนก่อน

    mbona wengine wanasema hutoa harufu mbaya ukeni

    • @Voice_of_Agriculture
      @Voice_of_Agriculture  หลายเดือนก่อน

      Hapana, ikitumika ipasavyo haileti harufu mbaya

  • @marthakuzenza7942
    @marthakuzenza7942 4 หลายเดือนก่อน

    Je inatibu na harufu mbaya zinazotoka uken

  • @MarkoTarimo-mp2cs
    @MarkoTarimo-mp2cs หลายเดือนก่อน

    naomba kuuliza inatoa harufu mbaya ukeni

  • @user-sx6xf8he9l
    @user-sx6xf8he9l 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nkitumia wkati w period naeza pata ujauzito

    • @BeatriceMassawe-qy6bs
      @BeatriceMassawe-qy6bs หลายเดือนก่อน

      Wewe unafanya mapenzi ukiwa kwenye period?

    • @JanethMadios
      @JanethMadios 11 วันที่ผ่านมา

      Me pia nimeshangaa😢​@@BeatriceMassawe-qy6bs