Napenda mtu anaeongea vitu sahihi ambavyo nimekwishakufanya na kuona matokeo,nmekufatilia kwa kurudiarudia baaac ukaniongezea uhakika wa why am so strong na ni matokeo ya mengi uliozungumza...you are super broo
Kwenye asali umekosea sana. Tafiti tunazoendelea nazo zinaonesha utofauti mkubwa Sana kati ya asali ya nyuki wanaodunga na asali ya nyuki wasiodunga. Fuatilia vizuri urekebishe hiyo sehemu
Funzo nzuri sana dak, upande wa kupiga punyeto nimesikita kw makini na n ukweli jibu lako liko sawa, mahana mm sijao lakn nmejijua zaidi ya miaka kumi lakn bdo nko sawa, nkiwa na mechi nacheza vizuri zaidi ya dakka 90+. Napendwa sana ninavyocheza game yangu
Waume musipate tabu mimi kama sadaka naitoa kwenu hii tumieni sana vitunguu saumu na karafuu tafuneni hivi viungo kunyweni na maji halafu mutashukuru.....
Doctor shikamoo! Ningeomba uzame zaidi kwenye sababu za kisaikolojia na jinsi zinavyoadhiri tendo la ndoa. Vyakula vina sehemu ndogo tu! Ila mwangalie sana huyo mwanadada! Kuna la zaidi anahitaji hupendi kuona!
Hongera sana Times FM,naomba namba ya huyu Doctor, nimemuamini sana.
Asante daktari,ukweli wa dhati hayo.Akili nzuri yenye maarifa nzuri.
Nimejifunza Mengi Asante sana Times Fm
Hongera doc kwa mafunzo mazuri Mola akulinde na akuzidishie elimu
Asante sana doctor
Napenda mtu anaeongea vitu sahihi ambavyo nimekwishakufanya na kuona matokeo,nmekufatilia kwa kurudiarudia baaac ukaniongezea uhakika wa why am so strong na ni matokeo ya mengi uliozungumza...you are super broo
Huyu jamaa anajitambua sio politique
🎉❤🎉🎉🎉🎉
@@tusajigwe74910:00
Nashukuru Dakitari Kwa mafunzo yako
Uko vzr
Nimekuelewa docter ata mimi ni mtumiaji wa pili pili vizuri sana
Asante sana Doctor ❤❤❤❤
Asante sana daktari nimekuelewa vizuri san
❤❤doctar ongera sana nimechukua moja mbili thank you
Asante sana Daktari nimepokea mafunzo kamili
Ubarikiwe sana na Mungu DOCTOR
Ooooh nimejua Sasa Asante sana doctor
Asante sana broo
Asante kwa somo zuri.
Good education Mungu awabariki mwendelee na kazi hiyo Bila kuchoka
Nikiwafuata kutoka Burundi, nafurahia Sana maelezo haya ya Daktari, abarikiwe sana na hii Radio ibarikiwe pia
Asante kwa elimu nzuri mtaalam mungu akubariki sana
Ahsante doctor nimejifunza kitu
Congratulations doctor
Jambo zuri Doctor
Dr uko sawa
Huyo docta yupo vizuri Sana anasema kweli . Defao
Asante doctor nimekuelewa
Dr.asali ya nyuki wadogo ni tofauti na asli ya nyuki wakubwa Dr.
MashaAllah,mafunzo mazuri sana🙏
Uko sawa docter
Very good but the background music is not supposed to be there
Kweli docta anajitaahidi Kwa kuelezea.ubarikiwe sana.
Thanks doctor
Oooooh kumbe nmekuelewa docta 👏👏👏👏
Doctor uko sahihi,binafsi nishajichunguza kila baada ya mfungo wa Ramadhani nakuwa vizuri mno,so shida ya yote ni ulaji mbovu
Duh! Ahsante sana doctor
Uko vizuri doct😊
Asante doctor
Asante kwa elimu
7:21 Mpeni Daktari glasi ya kunywea maji.... kunywa maji moja kwa moja husababisha upungufu wa nguvu za kiume 😎
Asante docteur nimekupata kutoka Burundi
Sawa kabisa doctari. Nimekufata kutoka Drc.
Ahsante doctor nimekuelewa vzr nipo similar na hivyo vyakula
Ahsante Sana Doctor Kwa ushauri wako Nakupata vizuri nikiwa Kigali Rwanda ushauri huu nimzuri nitaendelea kukufuatilia
Nimeelewa thank you
Shukrani sana
Asanti sana docta
Asante Sana
Dr anaongea point saaana
Safi docta
😂hsante Doctor, nimekupata vema....Ubarikiwe
Thank you so much 💓
Unatusaidia doctor barikiwa
Ubarikiwe Doctor kwahilo somo.
Doctor uko vzr sanaa aise nimependa somo lako
Je. Kuinama sana mgongo kuuma inaweza kudhuru
Ahsante kwa mafunzo doctor
Thanks doc unaongea kweli,so mm natoka Kenya nasumbuliwa na hiyo tatizo sana
Kwenye asali umekosea sana. Tafiti tunazoendelea nazo zinaonesha utofauti mkubwa Sana kati ya asali ya nyuki wanaodunga na asali ya nyuki wasiodunga. Fuatilia vizuri urekebishe hiyo sehemu
Doctor yuko vizuri,
Uko vizuri docta
Pamoja Sana doctor
Kweli upo vizuri docta
Hongera sana Mkuu Elimu Yako ni Muhimu sana.
Nakuombea maisha marefu dockt
Dokta nakupata sanaa
Funzo nzuri sana dak, upande wa kupiga punyeto nimesikita kw makini na n ukweli jibu lako liko sawa, mahana mm sijao lakn nmejijua zaidi ya miaka kumi lakn bdo nko sawa, nkiwa na mechi nacheza vizuri zaidi ya dakka 90+. Napendwa sana ninavyocheza game yangu
Heeeee
Vumbi ilo
Shukraan Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akujaalie Dokta unatupa sisi swadaqa yaani unatupa ushauri bure
Doctor naomba namba zako za simu nataka kuzungumza na wewe juu ya nguvu za kiume
Wanawake ndo wanatufelisha kwenye tendo wanstamka maneno ya hovyo wakat wa ndoa!
Nimekukubali sana dr
Dokta nimekuelewa sana uposawa kbsa
Hongereni sana
Nimeupenda sana ushauri huu,ASANTE SANA DR.
Nashukuru Docta kwa huo ufafanusi
Well spoken
Docta ubarikiwe sana mtu wa Mungu kwa mafundisho mazuri ya kiafia umenibariki sana
Na nahona wewe mdada unahuliza saana, unapenda ngoma!!
Show
😂😂😂😂😂😂Anapenda show 😂😂😂
Ana wafundisha
Nimefuatia vipindi vyako na nimefanya baadhi ya mazoezi (spel) zinanipa matokeo chanya tuko pamoja mungu atusaidie amen.
Hapo kwauchafu hapo mi nipo mungu asamehe comment yangu insha’allah
SHkrn doctor
Grato doutor pela sua receita para a saúde sexual, creio eu que se tentarmos seguir estas orientações pode nos ajudar bastante.
Nimekuelewa Dr,kumbe cha msingi ni kufuata maelekezo ndo ushindi utapatikana
Muko vyema sana❤
Bien-sûr, cordialement je suis convaincu avec ta parole mon docteur.
Very Good
Umenifunza brother Asante nimekuamini
Ni kweli kabisa doctor maneno yako.😂❤
Asante
Amejibun kifaswaha. Yupo saii. Mwanzo. Nilifikili. Chizi freshi. Baada. Yakuzungjmzia. Kitambi. Leo. Ameenyoosha. Maelezo vizuri sana. Ameeongea. Ukwer. Asante. Na amejibun kifupi. Hajatuchosha. Wasikilizaji
😂😂😂😂Dkt ahsante sana, SEMA nimecheka sana ,yaani hutulii ni kama unataka kupaa🤣🤣🤣🤣💞, SoMo zuri, Mungu akubariki
Du !hujatulia ww ndg nimecheka htari😂😂😂😂
Nikeelii upungufu huu wangubu za kiuime ni shiida tanzania
Duuu!!! Huyu docter Yuko vizuri kwa maelezo, Hawa ndyo tunawataka, syo hao wanaotaka pesa tuu!!
Hongera 'ndungu kwa ushaurî kqfuti ni tunda ao tweleze 9:00
Waume musipate tabu mimi kama sadaka naitoa kwenu hii tumieni sana vitunguu saumu na karafuu tafuneni hivi viungo kunyweni na maji halafu mutashukuru.....
Duuh
Nitumie namba yako
Yes
Karafuu unatafuna kiasi gani
Ati unasema?
Nice
Nimekuelewa
Kujichua cyo mpango wa mungu
Doctor shikamoo! Ningeomba uzame zaidi kwenye sababu za kisaikolojia na jinsi zinavyoadhiri tendo la ndoa. Vyakula vina sehemu ndogo tu! Ila mwangalie sana huyo mwanadada! Kuna la zaidi anahitaji hupendi kuona!
Nzuri sana,nimekuelew kamanda,endelea kudumu watanzania weng wanufaike na uwepo wako
Alicho kisema doctor ni kweli kabisa
Docter hivo vitunguu swaumu vinatumika kwa mda gani
Doctor I say noma. Nimwalimu mzuri Sanaa.