NUTRITION EP 23: FAIDA ZA KITUNGUU MAJI KWA AFYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2023
  • IMEANDALIWA NA AISHA SAID
    Katika sehemu ya 23 ya Nutrition tunakuletea kitunguu maji, ni vyema ukafahamu faida za kitunguu maji katika mwili wa binadamu, wengi wetu tumekuwa hatufahamu faida za kitunguu maji, katika sehemu hii ya 23 tunakuletea faida zoote muhimu za kitunguu maji na kwanini ulaji wa kitunguu maji ni muhimu kwa afya ya mwili wa binadamu.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 3

  • @OMARIRAJABU-qc5mm
    @OMARIRAJABU-qc5mm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mana nilikua sijui matumizi ya kitunguu mwilini

  • @NepayaMayombe
    @NepayaMayombe 5 หลายเดือนก่อน

    Nitawapataje?