NUTRITION EP: 18 | FAHAMU UMUHIMU WA KITUNGUU SWAUMU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2023
- Kitunguu swaumu kina faida nyingi sana katika mwili wa binadamu, hutumika kama kinga kwa magonjwa mbalimbali yanayoshambulia mwili wa binadamu, ni kizuri katika uimarishaji wa mifupa pia. fahamu haya na mengine mengi katika sehemu yetu hii ya 17 ya Nutrition.
- บันเทิง
Asanten sana jaman
👏🏽
Matumiz yake,kutafuna au unapredi Kama juice
Asante sanaaa mungu akuongezee maisha marefu nimekuhelewa
Karibu sana
Mamba zenu za simu hazionekani
🎉
❤❤❤❤❤
Jib je unatibu
Asanten
Karibu sana, endelea kutufatilia zaidi.
Mimi nimepunguz tumbo adi mwili
Namaumivu ya bega
Kwasis wembamba tukiitumia si tutakonda kuliko
Sasa unaeleza faida matumizi yake autaji
Na2mije Ili nipungue uzito
Umesikiliza vizuri video yote/
Mbona Mimi nikitumia naingia breed
Unaweza muona dakatri kwa tatizo hilo, pengine kuna shida.
Jambo dd mimi naumwa mungu wa kiume bwana yangu alitebea na mwanke nikiwa mimba ni tafaya nini?
Duuuh pole