Faida Za Karafuu na maajabu yake tibani DK/Sheikh: Jafari Mtavassy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2021
  • As, alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh habari zenu ndugu zangu katika channel yetu leo tutapata sehemu ya faida itokanayo na karafuu maashaallaah usiache kishea na Ndugu jamaa na marafiki like video na kaa tayari kupitia Mtavassy tv online youtube channel kupata mengi mazuri na yenye manufaa usisahau kumuombea Sheikh wetu duaa hata kwa kuitikia Salaam hapo kwa comment
  • ยานยนต์และพาหนะ

ความคิดเห็น • 21

  • @kichechemtundu4061
    @kichechemtundu4061 3 ปีที่แล้ว +4

    ALLAHUMMA aamiina Sheikhe wetu kipenzi ubarikiwe kwa haya yoote mema unayotutendea na kipenzi chetu Sajd aje arithi elimu yako na apate zaidi kisha afanye kama ufanyavyo

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazzakallah khairan ustadh jafar Allah akuzidishie ilmu zaidi ameen 🤲🤲🤲

  • @kichechemtundu4061
    @kichechemtundu4061 3 ปีที่แล้ว +2

    wa, Salam warahmatullaahi wabarakaatu
    Skh tuwekee kwenye description hapo ni siku ngapi matumizi na kipimo cha mafuta ya kuchanganya kwa mtu mwenye kupalalaizi

  • @duniaduaratv1216
    @duniaduaratv1216 3 ปีที่แล้ว +2

    Walekumsalaam Karafuu hizi hizi

  • @rehemaboazi6918
    @rehemaboazi6918 2 ปีที่แล้ว

    Abari zako kaka nimekufatilia nikasikia kuwa karafuu utibu bawasili unafanyeje kaka yangu iyo karafuu naangaika Sana na bawasili yangu niyandani aitoki Ila ninamaumivu makali kwenye choo kubwa kwandani namuwasho mwingi na mapaja yananiuma Sana kwa nyuma pamoja na kiuno nitumie nini kaka yangu nisaidie tafazari na Mungu wa mbinguni atakusaidia Sana.

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @devotakoy3935
    @devotakoy3935 2 ปีที่แล้ว

    Asante Shekh

  • @user-pk2km5nj3f
    @user-pk2km5nj3f 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 ปีที่แล้ว

    Ushtadh mimi naumwa nyonga mapaja miguu yote nafanyaje jaman maana nateseka sana dawa nyingi nishatumia lkn hali bado

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Okay thanks

  • @AishaSimai-fb1ki
    @AishaSimai-fb1ki ปีที่แล้ว

    Doctor assalam aleikum warhamatullah wabarakatu mmimetumiaa uke mchanganyiko wa mafuta ila hee nikijipaka tu bas huishiwa nguvu na moyo huenda mbio je niendelee au niachane nae ?

  • @user-gp6nu7ky5f
    @user-gp6nu7ky5f 10 หลายเดือนก่อน +1

    14:37

  • @latifaalramdani1651
    @latifaalramdani1651 3 ปีที่แล้ว

    Je kutafuna Inafaa izo karafuu

  • @ashaajimtu2536
    @ashaajimtu2536 2 ปีที่แล้ว

    Aa je ukiwa na m'ba usoni waeza kutumia karafu

  • @dianajeremiah9787
    @dianajeremiah9787 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kuuliza doctor karafuu inaweza saidia kukuza nywelee??

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      ndio weka kwenye mafuta ya iana ya uto / miminika n.k

  • @aminabashir1167
    @aminabashir1167 4 หลายเดือนก่อน

    Nasumbuliwa naugonjwa wamisuli mwaka wasaba sasa

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 หลายเดือนก่อน

      0656606014 nicheki kwa namba hioyo whatsup

  • @aminajuma7162
    @aminajuma7162 ปีที่แล้ว

    Mm niko nashida ya mgongo kuma na kulemea kama nimekewa jiwe nashingo kuuma na kifua pia..kisha nasikia moto sana jee hii yaweza nisaidia ..sheikh..lakini nimeshukuru kwa hiyo elimu nyengine.

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      sawa nimesikia nitafute kwa whatsap +255 656 606014

    • @ezramichael696
      @ezramichael696 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@MTAVASSYTvmambo vipi kaka