VOAGTV
VOAGTV
  • 275
  • 342 470
JE ULIPITWA? FULL VIDEO YA WASILISHO LA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. MIFUGO NA UVUVI.
Tarehe 14 mwezi wa Tano 2024 Bungeni Jijini Dodoma, Mhe. Abdallah Ulega (Mb) Waziri wa mifugo na uvuvi aliwasilisha Bungeni makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 kwenye wizara husika ya Mifugo na Uvuvi. Kutoka billioni 169 mwaka 2021/2022 hadi billioni 460 mwaka 2024/2025.
มุมมอง: 91

วีดีโอ

MASELINA KIBENA Mwenyekiti wa shirikisho la vikundi vya wakulima na wafugaji mkoa wa Morogoro.
มุมมอง 413 หลายเดือนก่อน
Bi. Maselina Kibena ni mmoja wa wadau wa ANSAF ambao walishiriki kikamilishu katika mkutano uliowakutanisha wadau wa ANSAF kutoka sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kuweza kujadili mwelekeo wa wizara hizi mbili lakini kuangalia mambo ya kufanya kuelekea bajeti ya serikali ya mwaka 2024/2025.
ESTER MAHILE MKULIMA WA ALIZETI NA ZABIBU KUTOKA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
มุมมอง 593 หลายเดือนก่อน
Ester Mahile ni mkulima wa mazao ya alizeti na zabibu kutoka mkoani dodoma, ni moja ya washiriki wa mkutano uliandaliwa na taasisi ya ANSAF uliolenga wadau katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kuelekea bajeti ya serikali ya mwaka 2024/2025. Bi Ester, alitoa ushauri wake kwa serikali juu nini kifanyike hasa katika zao la zabibu.
MR HONEST MSERI Mkurugenzi wa taasisi ya ANSAF alipozungumza baada ya kuongoza mkutano na wadau.
มุมมอง 503 หลายเดือนก่อน
Mr.Honest Mseri, Mkurugenzi wa taasisi ya ANSAF alizungumza juu ya yale ambayo mkutano wa ANSAF na wadau umeyazungumza, lengo la mkutano huo ulikuwa ni nini. Ni mkutano ambao uliwakutanisha wadau wa sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kwa pamoja katika kujadili bajeti iliyopita na yale ambayo yameshafanyika na sasa kuelekea bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2024/2025 nini kifanyike zaidi, wapi sekta...
WANUFAIKA WA MRADI WA KUKU (KUROILA F1) WA TANGA YETU
มุมมอง 1995 หลายเดือนก่อน
Omary na David ni miongoni mwa vijana wanufaika na mradi wa Tanga Yetu, mradi wa mafunzo ya kuku aina ya kuroila F1 uliofadhiliwa na botna foundation na kusimamiwa na kampuni ya AKM GLITTERS LTD. Vijana hawa walishiriki mafunzo hayo na baada ya mafunzo wameweza kujiajiri kwa kuanza kufanya biashara hii ya kuku lakini pia wamekuwa wakiwasaidia wafugaji wengine kwa kuwapa msaada wa matunzo ya kuk...
RAHA MBOYA MNUFAIKA WA MRADI WA BBT (BUILDING BETTER TOMMOROW)
มุมมอง 2466 หลายเดือนก่อน
Raha Mboya ni kijana mnufaika wa mradi wa jenga kesho iliyobora ama BBT iliyochini ya wizara ya kilimo. Raha ni mkulima lakini pia mzalishaji wa miche ya mboga mboga akiwa katika eneo la Dumila mkoa wa Morogoro. Alinufaika kwa kupewa kiasi cha shilingi milioni 20 zilizomsaidia katika kutanua na kukuza wigo wa biashara na kilimo chake.
ANNUAL LEARNING EVENT (ALE) 2023 EPISODE 04
มุมมอง 337 หลายเดือนก่อน
Washiriki wa mkutano wa ALE 2023 uliofanyika jijini dodoma wakiwa wanachangia katika moja ya mjadala katika mkutano huo ambao mjadala huu ulikuwa unahusu vijana na wanawake. Mkutano huu ulifanyika Dodoma tarehe 22-23 mwezi wa 11 2023.
MADAM ELIZABETH SWAI, MWENYEKITI WA KAMATI YA WADAU WA KUKU TANZANIA
มุมมอง 727 หลายเดือนก่อน
Madam Elizabeth Swai alipokuwa akiongea katika mkutano wa uzinduzi wa kamati ya wadau wa kuku ya makubaliano kati ya sekta binafsi na serikali na katika uzinduzi huo mgeni rasmi akiwa ni katibu mkuu wizara ya mifugo na uvuvi Prof. Riziki Shemdoe. Mkutano huo wa uzinduzi wa kamati ulifanyika jijini dodoma tarehe 08.12.2023 na kuhudhuriwa na maafisa mifugo wa nchi nzima, wadau wa sekta binafsi na...
ANNUAL LEARNING EVENT 2023 (ALE) EPISODE 03
มุมมอง 357 หลายเดือนก่อน
Madam Loyce Mrusuli kutoka FARM AFRICA alipokuwa akizungumza katika jukwaa la ALE 2023 mkutano uliofanyika jijini dodoma mwezi novemba. Mkutano huo ambao ulikutanisha wadau mbalimbali wa kilimo, vijana, wanawake na wadau kutoka serikalini na sekta binafsi ulilenga kufungua milango zaidi na kutatua changamoto mbalimbali.
BWANA KHALIDI MGARAMO MENEJA SERA KUTOKA TAASISI YA SAGCOT ALIPOKUWA AKIONGEA MBELE YA WADAU WA KUKU
มุมมอง 237 หลายเดือนก่อน
Bwana Khalid Mgaramo meneja wa sera kutoka taasisi ya SAGCOT alipokuwa akizungumza mbele ya mgeni rasmi katibu mkuu wizara ya mifugo na uvuvi pamoja wadau wa sekta ya kuku waliohudhuria mkutano uliofanyika jijini dodoma mahususi katika kuzindua kamati maalumu iliyoundwa kutekeleza mpango kazi kati ya sekta binafsi na wizara ya mifugo na uvuvi.
KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI PROF. RIZIKI SHEMDOE KATIKA MKUTANO MKUU WA WADAU WA KUKU.
มุมมอง 897 หลายเดือนก่อน
Katibu mkuu wizara ya mifugo na uvuvi prof. Riziki Shemdoe alipokuwa akitoa hotuba yake katika mkutano mkuu wa wadau wa kuku Tanzania uliofanyika jijini Dodoma 08.12.2023. Mkutano huo ambao ulihudhuriwa na maafisa mifugo wa nchi nzima na wadau wa sekta za kuku, ulikuwa mahususi katika kuzindua rasmi kamati iliyoundwa ili kutekeleza makubali kati ya sekta binafsi na serikali kupitia wizara ya mi...
ANNUAL LEARNING EVENT 2023 (ALE) EPISODE 2
มุมมอง 307 หลายเดือนก่อน
Bwana Mkali Mbwana kutoka taasisi ya MEDA akiongea katika jukwaa la mkutano wa ALE uliofanyika jijini dodoma. Akizungumza zaidi ameelezea mradi wao unaowalenga zaidi wanawake na vijana katika kuweka usawa kwenye jamii, na ameelezea mradi huo na namna unavyowanyanyua wakulima.
ANNUAL LEARNING EVENT 2023 (ALE) RECAP EPISODE 1
มุมมอง 217 หลายเดือนก่อน
Kijana mwanachuo akitoa hoja katika mkutano wa ALE 2023 uliofanyika dodoma tarehe 22-23 ukiwakutanisha wadau wa sekta za kilimo mifugo na uvuvi, katika mjadala huu kijana alikuwa akielezea namna upatikanaji wa taarifa kuwa hauko sawa na namna vijana wanatakiwa wapewe nafasi hasa katika sera zinazohusu maaswala ya kilimo.
MAKALA YETU EP 34 : FAHAMU KUHUSU KUKU MWEUSI
มุมมอง 747 หลายเดือนก่อน
IMEANDALIWA NA LUCY MWASONYA Leo katika sehemu ya 34 ya makala yetu tunakuletea aina ya KUKU MWEUSI, kuku huyu kutoka Malawi ni kuku wa tofauti na wa kipekee sana. Fahamu historia yake, fahamu faida zake kifugaji, fahamu namna unaweza fanya biashara ya kuku huyu mweusi kutoka Malawi.
MAKALA YETU EP 33 : ZAO LA CHAI
มุมมอง 457 หลายเดือนก่อน
IMEANDALIWA NA LUCY MWASONYA. Katika yale mazao mengi ya biashara, kuna hili zao la chai. Je unafahamu historia ya zao hili?. leo katika makala yetu hii sehemu ya 33 tunakuletea zao aina ya chai, historia nzima ya chai, kilimo cha chai, aina za chai na mengine mengi kuhusu kilimo cha zao hili la chai, tazama video yetu hii uweze kujifunza zaidi.
MAKALA YETU EP 32 : ZAO LA ALIZETI (SUN FLOWER)
มุมมอง 538 หลายเดือนก่อน
MAKALA YETU EP 32 : ZAO LA ALIZETI (SUN FLOWER)
NUTRITION EP 23: FAIDA ZA KITUNGUU MAJI KWA AFYA
มุมมอง 7K8 หลายเดือนก่อน
NUTRITION EP 23: FAIDA ZA KITUNGUU MAJI KWA AFYA
MAKALA YETU EP 31: FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SERAMA
มุมมอง 1048 หลายเดือนก่อน
MAKALA YETU EP 31: FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SERAMA
NUTRITION EP 22: FAIDA ZA TANGO MWILINI
มุมมอง 6K9 หลายเดือนก่อน
NUTRITION EP 22: FAIDA ZA TANGO MWILINI
MAKALA YETU EP 30: FAHAMU KUHUSU ZAO LA KOROSHO
มุมมอง 5339 หลายเดือนก่อน
MAKALA YETU EP 30: FAHAMU KUHUSU ZAO LA KOROSHO
NUTRITION EP 21: FAIDA ZA PILIPILI KATIKA MWILI WA BINADAMU
มุมมอง 1.6K9 หลายเดือนก่อน
NUTRITION EP 21: FAIDA ZA PILIPILI KATIKA MWILI WA BINADAMU
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA : EP 06 : MWANI
มุมมอง 3119 หลายเดือนก่อน
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA : EP 06 : MWANI
AGRF 2023 RECAP: MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA SAGCOT MR. GEOFREY KIRENGA.
มุมมอง 779 หลายเดือนก่อน
AGRF 2023 RECAP: MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA SAGCOT MR. GEOFREY KIRENGA.
NUTRITION: EP 20 | PROTINI ZA SAMAKI
มุมมอง 21610 หลายเดือนก่อน
NUTRITION: EP 20 | PROTINI ZA SAMAKI
AGRF 2023 RECAP: MKURUGENZI WA AKM GLITTERS ELIZABETH SWAI AKIONGELEA UMUHIMU WA ELIMU.
มุมมอง 10810 หลายเดือนก่อน
AGRF 2023 RECAP: MKURUGENZI WA AKM GLITTERS ELIZABETH SWAI AKIONGELEA UMUHIMU WA ELIMU.
MAKALA YETU : EP29 | KILIMO CHA KAHAWA
มุมมอง 10110 หลายเดือนก่อน
MAKALA YETU : EP29 | KILIMO CHA KAHAWA
MH. ABDALLAH ULEGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATUKA UJENZI WA BANDARI MPYA WILAYANI KILWA.
มุมมอง 11610 หลายเดือนก่อน
MH. ABDALLAH ULEGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATUKA UJENZI WA BANDARI MPYA WILAYANI KILWA.
#AGRF2023 RECAP: MH. ABDALLAH ULEGA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI
มุมมอง 25010 หลายเดือนก่อน
#AGRF2023 RECAP: MH. ABDALLAH ULEGA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI
NUTRITION: EP 19 | FAIDA ZA BAMIA KATIKA LISHE NA AFYA ZETU
มุมมอง 15K10 หลายเดือนก่อน
NUTRITION: EP 19 | FAIDA ZA BAMIA KATIKA LISHE NA AFYA ZETU
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA: EP 05: MAJI YA MADAFU
มุมมอง 1.3K10 หลายเดือนก่อน
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA: EP 05: MAJI YA MADAFU