RC SENYAMULE APOKEA ZAWADI YA MAUA YA UPENDO KWA NIABA YA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.พ. 2024
  • Ikiwa ni siku ya wapendanao Duniani ambayo huadhimishwa Kila mwaka Februari 14, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amepokea maua ya upendo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.
    Zawadi hizo zimetolewa na Wadau mbalimbali ambao Wametoka katika Mikoa ya Arusha,Mara na Zanzibar huku wakiongozwa na kampeni ya "MAUA YA MAMA".
    Kikundi hicho kimehusisha waendesha baiskeli na na boda boda ambao walianza safari Yao katika Mkoa wa Mara na leo hii wamehitimisha safari Yao katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
    #upendokwamama
    #mauayamamasamia
    #Dodomafahariyawatanzania
    #Happyvalentineday

ความคิดเห็น •