MKOA WA DODOMA
MKOA WA DODOMA
  • 72
  • 11 154
WILAYA YA CHEMBA YAPATA BARAZA LA ARDHI TANGU KUANZISHWA KWAKE
Wananchi wa Wilaya ya Chemba wanakwenda kutatuliwa kero yao ya muda mrefu ya kukosekana kwa Baraza la ardhi la Wilaya ambalo hutumika kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi inayojitokeza kila wakati kabla ya kufikishwa kwenye ngazi ya Mahakama.
Hayo yamebainishwa leo June 28, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary wakati akiwaapisha wajumbe wanne wa baraza hilo, hafla ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa ofisi yake jengo la Mkapa Jijini Dodoma.
“Tangu kuanzishwa kwa Wilaya ya Chemba 2012, wananchi wake wamekua wakisafiri umbali mrefu kwenda Kondoa kutafuta haki zao za ardhi. Sasa wamepata baraza lao na kufanya Dodoma kuwa na jumla ya mabaraza 6 hivyo, kero ya wananchi wa Chemba kutokua na Baraza la ardhi inakwenda kutatuliwa” Mhe. Senyamule
Mbali na hilo, Mkuu wa Mkoa, amemtaka Katibu tawala Mkoa pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Mkoa, kusimamia mchakato wa kuhakikisha Wilaya ya Chamwino nayo inapata baraza la ardhi na kukamilisha mabaraza yote saba ya Mkoa wa Dodoma kwani ndiyo pekee imesalia bila kuwa na baraza hilo
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Gerald Mongella, ameishukuru Serikali kwa kuifanyia kazi kero hiyo. “Tumekua tukipambana na migogoro mingi ya ardhi hivyo baraza hili litatusaidia kupunguza kero hizo si chini ya asilimia 75. Kupitia Baraza hili, haki itapatikana na amani itatamalaki kama ilivyo matamanio ya Mhe. Rais kumaliza migogoro yote ya ardhi”.
Naye Mwenyekiti wa Baraza la ardhi na nyumba Mkoa wa Dodoma Bw. Omary Mbega, amesema jukumu kubwa la wajumbe hao ni kusaidia haki itendeke na kuwasihi kufuata maadili, kanuni na taratibu zinazoliongoza Baraza kwani ukiukwaji wake unaweza kupelekea kutenguliwa kwenye nafasi hiyo inayodumu kwa kipindi cha miaka mitatu.
&&&
#keroyakowajibuwangu
#dodomafahariyawatanzania
มุมมอง: 41

วีดีโอ

MWENGE WA UHURU DODOMA KUPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA SH.BILIONI 21.2
มุมมอง 160วันที่ผ่านมา
Mwenge wa Uhuru Mkoani Dodoma unatarajiwa kupitia jumla ya miradi 56 yenye thamani ya Jumla ya Shilingi Bilioni 21.2. Mwenge huo utakimbizwa kwa siku nane katika Halmashauri zote nane za Mkoa huo na utakimbia kwa Kilometa 1,484 . Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 27.06.2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati akipokea Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Mpira wa Kata ya Chipog...
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MKOANI DODOMA
มุมมอง 510วันที่ผ่านมา
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MKOANI DODOMA
KERO YAKO, WAJIBU WANGU" YAZINDULIWA DODOMA
มุมมอง 313 หลายเดือนก่อน
Kaulimbiu hiyo inayosema "kero yako, wajibu wangu" imezinduliwa Leo Machi 16, wakati wa kikao cha Kamati ya ushauri wa Mkoa (RCC) kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
KERO YAKO, WAJIBU WANGU" YAZINDULIWA DODOMA
มุมมอง 363 หลายเดือนก่อน
Kaulimbiu hiyo inayosema "kero yako, wajibu wangu" imezinduliwa Leo Machi 16, wakati wa kikao cha Kamati ya ushauri wa Mkoa (RCC) kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
RC Senyamule akikagua miradi inayotekelezwa TANROAD Mkoa leo March 12/2024 Jijini Dodoma.
มุมมอง 4353 หลายเดือนก่อน
RC Senyamule wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo inayotekelezwa na TANROAD Mkoa leo Machi 12/2024 Jijini Dodoma.
SIKU YA MAADHIMISHO YA WANAWAKE DUNIANI-MKOA WA DODOMA
มุมมอง 1274 หลายเดือนก่อน
Matukio mbalimbali ya siku ya Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chinangali II Wilayani Chamwino.
MBUNGE NA MKUU WA WILAYA YA KONGWA WAKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MLALI
มุมมอง 864 หลายเดือนก่อน
Mkutano huo umefanyika Februari 27,2024 katika Viwanja vya ccm vya Kata hiyo ambapo Mhe. Senyamule ameweka bayana miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Kata hiyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Shule Mpya ya Ihanda umoja Sekondari, ujenzi madarasa 4 ya Shule ya Sekondari Mlali, ujenzi wa Barabara ya Mlali- Pembamoto kwa kiwango cha changarawe yenye jumla ya garama za kiasi cha fedha zaidi ya S...
MILIONI 787 IMETEKELEZA MIRADI MLALI- KONGWA
มุมมอง 384 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya Mkutano wa hadhara wa kuongea, kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wakazi na Wananchi wa Kata ya Mlali Wilayani kongwa. Mkutano huo umefanyika Februari 27,2024 katika Viwanja vya ccm vya Kata hiyo ambapo Mhe. Senyamule ameweka bayana miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Kata hiyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa Shule Mpya ya Ihanda ...
RC AKERWA NA ULEVI WA MTENDAJI KATA YA MANCHALI/ AMSIMAMISHA KAZI NA KUAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE.
มุมมอง 1534 หลายเดือนก่อน
Mhe. Senyamule amemsimamisha kazi mtendaji wa kata ya Manchali Bw.Waitara Wambura Kwa kuonesha utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya kazi kutokana kulewa pombe katika masaa ya muda wa kazi na kumtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino kufanya uchunguzi wa kina juu ya utendaji kazi wa mtendaji huyo.
RC SENYAMULE APOKEA ZAWADI YA MAUA YA UPENDO KWA NIABA YA RAIS
มุมมอง 274 หลายเดือนก่อน
Ikiwa ni siku ya wapendanao Duniani ambayo huadhimishwa Kila mwaka Februari 14, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amepokea maua ya upendo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Zawadi hizo zimetolewa na Wadau mbalimbali ambao Wametoka katika Mikoa ya Arusha,Mara na Zanzibar huku wakiongozwa na kampeni ya "MAUA YA MAMA". Kikundi hicho kimeh...
RC SENYAMULE AOMBEWA DUA NA WAZEE NA MASHEIKH WA BEREKO WILAYANI KONDOA
มุมมอง 1294 หลายเดือนก่อน
#Wazee na Masheikh wa Bereko Wilayani Kondoa wakimuombea Dua RC Senyamule na kumuombea Baraka kwa Mwenyezi Mungu katika kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Dodoma @ziaraRCSenyamuleKondoa
SENYAMULE ATOA TAMKO MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOA WA DODOMA
มุมมอง 1194 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Ametoa tamko kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani leo tarehe 12 Februari 2024 mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa Juu Jengo la Mkapa Jijini Dodoma. Mhe. Senyamule amesema lengo Kuu la kuadhimisha siku ya wanawake Duniani ni kutoa fursa kwa jamii kupima utekelezaji wa Maazimio, matamko, mikataba na itifaki mbali mbal...
WANABEREKO WILAYANI KONDOA WAMSHUKURU NA KUMPONGEZA RAIS SAMIA
มุมมอง 1224 หลายเดือนก่อน
#Wananchi wa Bereko Wilayani Kondoa wamuahidi Rais Samia @mitano tena uchaguzi Mkuu 2025 kwa kazi kubwa aliyoifanya katika utawala wake👏🏻👏🏻💪🏽
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA MAJARIBIO YA UFUNDISHAJI MUBASHARA
มุมมอง 375 หลายเดือนก่อน
Wazari wa Nchi ,Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Mohamed Mchengerwa Leo Februari 7,2024 amezindua majaribio ya ufundishaji mubashara (Live Teaching) katika Shule ya Sekondari ya Dodoma . Akizungumza mara baada ya uzinduzi huo Waziri Mchengerwa ametoa maelekezo kwa Wakuu wa Mkoa na Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini kuhakikisha wanateua Shule moja kwa kila Mkoa zitakazotumika kusambaza mfumo huo kwenye...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA KWA RAIS MHE.DKT SAMIA SULUHU HASSAN
มุมมอง 865 หลายเดือนก่อน
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA KWA RAIS MHE.DKT SAMIA SULUHU HASSAN
RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA ZANKA SEKONDARI
มุมมอง 485 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA ZANKA SEKONDARI
RC SENYAMULE AWAPONGEZA SHULE YA MSINGI MUNDEMU KWA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA SERIKALI.
มุมมอง 745 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE AWAPONGEZA SHULE YA MSINGI MUNDEMU KWA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA SERIKALI.
RC JIJI 3
มุมมอง 505 หลายเดือนก่อน
RC JIJI 3
RC JIJI 2
มุมมอง 245 หลายเดือนก่อน
RC JIJI 2
DC SHEKIMWERI NA MKAKATI WA KUTENGENEZA MADAWATI
มุมมอง 135 หลายเดือนก่อน
DC SHEKIMWERI NA MKAKATI WA KUTENGENEZA MADAWATI
MADAKTARI MSIFANYE VITENDO VYA KUWAUMIZA WAGONJWA
มุมมอง 205 หลายเดือนก่อน
MADAKTARI MSIFANYE VITENDO VYA KUWAUMIZA WAGONJWA
VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KANDA YA KATI
มุมมอง 385 หลายเดือนก่อน
VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KANDA YA KATI
75% WAMERPOTI SHULE KATA YA KELEMA MAZIWANI WILAYANI CHEMBA
มุมมอง 145 หลายเดือนก่อน
75% WAMERPOTI SHULE KATA YA KELEMA MAZIWANI WILAYANI CHEMBA
RC CHEMBA CLIP 1
มุมมอง 335 หลายเดือนก่อน
RC CHEMBA CLIP 1
RC SENYAMULE ZIARANI CHEMBA
มุมมอง 715 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE ZIARANI CHEMBA
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
มุมมอง 375 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
มุมมอง 145 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
มุมมอง 55 หลายเดือนก่อน
RC SENYAMULE AKUTANA NA WACHIMBA MADINI WA MKOA WA DODOMA
UZINDUZI WA MUHULA WA MASOMO 2024-DODOMA
มุมมอง 906 หลายเดือนก่อน
UZINDUZI WA MUHULA WA MASOMO 2024-DODOMA

ความคิดเห็น

  • @MindMentorAcademy954
    @MindMentorAcademy954 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee sonso wamoto sana😅

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 4 หลายเดือนก่อน

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA MAJUMBA YAWATU