RC AKERWA NA ULEVI WA MTENDAJI KATA YA MANCHALI/ AMSIMAMISHA KAZI NA KUAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2024
  • Mhe. Senyamule amemsimamisha kazi mtendaji wa kata ya Manchali Bw.Waitara Wambura Kwa kuonesha utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya kazi kutokana kulewa pombe katika masaa ya muda wa kazi na kumtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino kufanya uchunguzi wa kina juu ya utendaji kazi wa mtendaji huyo.

ความคิดเห็น • 1

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 4 หลายเดือนก่อน

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA MAJUMBA YAWATU