Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Innocent Bashungwa Atembelea Makao Makuu ya Jeshi Dodoma.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

ความคิดเห็น • 64

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว +8

    Kijana mwenzetu makes us proud.
    Ubarikiwe sana kaka Inno

  • @ulisajajk4464
    @ulisajajk4464 ปีที่แล้ว +2

    Hii kauli " sitamuangusha" Mh Rais. Nimeipenda sana. what a good start. All the best Mh Waziri.

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 ปีที่แล้ว +3

    Daaa mheshimiwa mungu akujarie tarumbeta zilizo pigwa zikuguse napanya rodi wakapotee mitaani wakiwa hai au wafu wanazingua sna matukio ya uharifu yakaonde tunaimani nawewe 👏👏

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutangulie kwa kazi zako za kila cku pamoja na familia yako na watu unaowaongoza.Mungu apewe sifa🙏🏼🙏🏼

  • @moshikilimanjaro5660
    @moshikilimanjaro5660 ปีที่แล้ว

    Utukufu kwa Mungu,
    Jifunze mengi naomba Mungu aendelee kukupa hekima .
    Vision and highly understanding, dedication, natamani uwe Rais miaka ijayo.

  • @saidndimbo2738
    @saidndimbo2738 ปีที่แล้ว +1

    Congulatulation Hon.Minister, let our army continue to defend our territory. Be blessed sir,

  • @theclassicone7470
    @theclassicone7470 ปีที่แล้ว +2

    Jeshini Raha sana heshima kwa kila mmoja ,mkuu wa majeshi anamsaluti waziri wake

  • @bonifacekasongwa9623
    @bonifacekasongwa9623 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa hongera sana. Endelea kichapa kazi huku ukiamini katika Mungu

  • @jumaabdallah7076
    @jumaabdallah7076 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kaka kikubwa kumtanguliza mungu na kujitahidi kujifunza kwa waliokutangulia ktk hiyo wizara utapiga hatua kaka Lakin mm maoni yangu ungeanzia na mipaka yetu Kwan wahamiaji haramu ni hatar sana kwa usalama wa nchi yetu kipenzi
    r

  • @temlatele1053
    @temlatele1053 ปีที่แล้ว

    hongera kwa kazi mungu akupe moyo wa huruma uwakumbuke na hawa watoto wanaojitolea jamani muwakumbuke endapo nafasi zinatokea za ajira

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana piga kazi smart boy
    Hapa kazi tu ..

  • @canibalgazaboy8325
    @canibalgazaboy8325 ปีที่แล้ว

    Protocal imekaa sawa CDF nilifikiri utasema itafaki imezingatiwa big up.

  • @jamyally761
    @jamyally761 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kaka anajitambua san na anapend kujifunza huw haingii sehem kwa pupa anajua kuingia sehem kwa nidham achaa mama ampe aendelee kujifunza kila wizar

  • @damymzuri5203
    @damymzuri5203 ปีที่แล้ว +2

    Ninachokijua mungu huwa anawatanguliza lkn huwa mnakwamaga wp

  • @melkizedekanthony1834
    @melkizedekanthony1834 ปีที่แล้ว +1

    Binadamu bana..mnataka nani awe waziri sasa! Chapa kazi waziri unaweza saana tu. Achana na maneno maneno
    ....piga kazi...

  • @lusekelohaonga5263
    @lusekelohaonga5263 ปีที่แล้ว

    Very proud of you My brother.

  • @yohanibura2699
    @yohanibura2699 ปีที่แล้ว

    Hongera sana waziri unajitahidi sana ubarikiwe sana

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 ปีที่แล้ว +2

    Kijana ametulia tuu lazima afike mbali.

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndo inaitwa bahati kama sikosei😁😁😁😁!

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

    Wow!

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 ปีที่แล้ว

    Hiyo wizara ni nyeti haihitaji kushtukashtuka fanya inahitaji uhakika mno upempuzi japo yote yapo tayari xo cye tupo kukusikiliza

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 ปีที่แล้ว +1

    watu wanaongea kilamtu aliaminiwa hadi ninyi munaomdhara bashungwa mukamuona mzuri

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 ปีที่แล้ว

    Congrats bashungwa

  • @herimohamed276
    @herimohamed276 ปีที่แล้ว +1

    Yupo vizuri

  • @lusekelohaonga5263
    @lusekelohaonga5263 ปีที่แล้ว

    Congratulations.

  • @mariamponera6386
    @mariamponera6386 ปีที่แล้ว

    hongera pambana aliyekuweka au kukuweka wana imani na wewe

  • @mohammedmbwana245
    @mohammedmbwana245 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kijana

  • @mcback4384
    @mcback4384 ปีที่แล้ว +1

    Bashungwa mzito sana hata kwenye kuongea tu anaonekana alivyo mzigo, alifaa ateuliwe Mwanri kuwa mbunge kisha awe waziri wa ulinzi ila huyu mama ushauri wa kuendesha nchi anaupata kwa wapaka wanja wenzie!

    • @JK-uq1tv
      @JK-uq1tv ปีที่แล้ว +1

      Sasa wee unajua huku atakiwi waziri anaye wafokea viongozi Wetu wa jeshi huku kila kitu kimepangwa hakuna siasa kila mtu anaijua kazi yake.

    • @musason1680
      @musason1680 ปีที่แล้ว +1

      Jeshi halitaki mtu wa kulifokea n amri tu na kazi yake n pamoja na kuweka uhusiano mzr na serikali kufanya vikao na viongozi wa kijeshi ambao ndio wanadeal na watu wao kujua mwafaka na wale viongozi wao kujua direction ya kipi wanaenda kukifanyia kazi kama azimio la serikali

    • @mohamedasaid7910
      @mohamedasaid7910 ปีที่แล้ว

      Wewe unamadharau na kina mama.
      Utapata Mwanadada atakunyorosha ndio uwache madharau yako

  • @chiefmtoto1365
    @chiefmtoto1365 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mnoo

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 ปีที่แล้ว +1

    Bashungwa anatosha na ataweza

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaaa,afande wanasahau majukumu Yao wanaanza 😃 kuhutubi

  • @othmanjumankwabi4150
    @othmanjumankwabi4150 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 ปีที่แล้ว

    Nina swali kidogo Kati ya waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi nani mkubwa kwa cheo ??

    • @dannarisis8886
      @dannarisis8886 ปีที่แล้ว

      Waziri wa wizara ndyo bosi wa idara zote katika wizara anayosimamia

  • @Lizzleboy
    @Lizzleboy ปีที่แล้ว +1

    Himahima Tanzania

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Bashungwa fanya kazi usiwasikilize watu mtangulize Mungu

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 ปีที่แล้ว +2

    Mh Wazir huwezi sema mh mkunda tunasema Afande mkunda maswala ya mheshimiwa fulan ni huko huku ni Afande natumaini uliteleza tu

    • @jumannehamadi2282
      @jumannehamadi2282 ปีที่แล้ว

      sikumoja mama kwenye hili jeshi muhim naomba Sana sikumoja umteue dotto buteko

    • @hamidushabani1842
      @hamidushabani1842 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 ttz ni Raia

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 ปีที่แล้ว

    Huyu miaka inayo ni rais wa TZ

  • @kayalaonlinetv
    @kayalaonlinetv ปีที่แล้ว

    Waziri mkuu mtarajiwa uyu

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 ปีที่แล้ว

    Huu kijaana jinsi anapanda panda .kipindi atashushwa mutasikia

  • @festommakoti6151
    @festommakoti6151 ปีที่แล้ว

    5di5

  • @herimohamed276
    @herimohamed276 ปีที่แล้ว

    Yupo vizuri ila sijui kama hata mgambo kamaalikanyaga

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 ปีที่แล้ว +2

    Hili jeshi mama kalikosea adabu yani wazili wa ulinzi bashungwa hahhaaaaa hatali Sana .kwanini mama asiweke makanari kuwa wazili ulinzi Ili jeshi alipeleke mchakamchaka .bashungwa hata aseme ambiwe amrishe jeshi hawezi jamani jamani mama jeshi la kazi hilo ambalo ndio linalinda nchiii ndio kila kitu hapo

    • @laulymo2063
      @laulymo2063 ปีที่แล้ว +1

      Sizani kama unaelewa ulicho kiandika

    • @fakhirspaciol2509
      @fakhirspaciol2509 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm naona haelew alichokiandika kabsa

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 ปีที่แล้ว

      Katiba yetu inataka waziri lazima awe mbunge, so ili umpate waziri wa ulinzi lazima iwe hivo..

    • @charlesmanase4507
      @charlesmanase4507 ปีที่แล้ว

      Kwann asiweze

    • @yokereward7877
      @yokereward7877 ปีที่แล้ว

      Acha dharau ww, waziri hata kazi hajaanza unaanza kusema hafai , unajielewa kweli ww,

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Bashungwa kwa kwl hpna aisee kuliongoza jeshi la ulinz aisee hpna

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 ปีที่แล้ว +1

      Kuna nini kikubwa kwake..yeye si ni utekelezaji wa sera?au kubeba matofali?

    • @josephzacharia129
      @josephzacharia129 ปีที่แล้ว +1

      Unataka uwe wewe??

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Bashungwa Hana uwezo wakua wazir hakuna wizara aliofanya vzr hata moja kwanza hajiamin hata akiongea na kutoa maamuz

    • @abdurazackimimu7743
      @abdurazackimimu7743 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka upewe wewe?maana husiongelee vibaya viongozi wetu hali yakuwa wana hekimu na busara pia hongera Mh.innocent mwenyezimungu akutangulie katika uongozi wako ameen!

    • @monicajulius6416
      @monicajulius6416 ปีที่แล้ว

      Hongera sana Mhe Bashungwa,Mwenyezi Mungu akutangulie, you will make it and we are praying for.

    • @julianapatrick7911
      @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

      Hata Yesu alidharauliwa na alikubali ili atukomboe cc wanadamu. Usimdharau mtu kama kuna mapungufu sema umpe nguv ya kuleta mabadiko

  • @h.vituko6534
    @h.vituko6534 ปีที่แล้ว

    Nakbal.san.mheshimiwa