THE CLASSIC WITH JAY MOE PART2 EP1: IDEA YA WIMBO MVUA NA JUA/KUA NA NJAA YA MAFANIKO KAMA ANAANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • Jay Moe amerudi tena kwenye sehemu ya pili ya kipindi cha The Classic kwa ajili ya kuendeleza hadithi za maisha yake na nyimbo zake zenye maudhui classic kabisa ambapo hapa anaanzia wimbo wake classic na maarufu sana wa Mvua na Jua

ความคิดเห็น • 57

  • @ahmedmwatawala7967
    @ahmedmwatawala7967 2 หลายเดือนก่อน +19

    huyu jamaa Jabir Salehe ana kipaji na ubunifu wa ajabu sana kwenye kutengeneza contents za interviews ... Heshima kwako kaka Jabir Kuvifacts .Ishi miaka mingi kwa kutengeneza contents muhimu na imesaidia kuondoa vile vitu ambavyo tulikua hatuvifahamu au tulivifahamu kitofauti...Big up bro you the Legend

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน +2

      Asante sana 🙏🏾

    • @uwezokinahi7870
      @uwezokinahi7870 2 หลายเดือนก่อน +2

      Anajua sana Huyu Jamaa...Hiki ni Kipindi Bora zaidi cha Burudani Tanzania

  • @abuubaqr5808
    @abuubaqr5808 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi apa mtansiamehee mkisema dizasta ni mkali, growing up listening to prof, mo tek, chindo and the likes mkisema dizasta ni story teller mkali naona uongo

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 2 หลายเดือนก่อน +9

    moja ya hazina kubwa kabisa katika tasnia ya mziki wa hip hop!

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 2 หลายเดือนก่อน +9

    Jay moe unajua saaaana kakaa,na pia ni story teller mzuuuri #appreciate you bro

  • @ommarysaid7391
    @ommarysaid7391 2 หลายเดือนก่อน +2

    Legendary Jay to the Mo, or More Tech

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 หลายเดือนก่อน +7

    NYIE WASANIII WA SAHV MJIFUNZE KUFANYA INTERVIEW KAMA HAWA WAKONGWE

    • @nehemia397
      @nehemia397 2 หลายเดือนก่อน

      elimu inachangia brother kenny.
      umchukue D VOICE utegemee aongee hivyo

  • @ibrahimpatrickmwafute
    @ibrahimpatrickmwafute หลายเดือนก่อน

    Big Brother Jabir nakubar sana mzee # Jay moe

  • @ndesafanamfala5800
    @ndesafanamfala5800 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mteule! Mbakiaji! Mawazo Juma Mchopanga Mo Tec Au Jay moe Tan twist zako na Lyrics speed na flavor Aje Bishoo! Mgumu Msomi wote watakaa ... Treasure

  • @georgemathew9326
    @georgemathew9326 หลายเดือนก่อน

    Madin juu ya ulimi... naomba nikione broh.. #jaymoe

  • @EyooTenny
    @EyooTenny 2 หลายเดือนก่อน +2

    Not Only the best presenter, kuvi ni hiphop head since wayback enzi za THE JUMP OFF... Hapa na mchopanga ni the bad meets evil.

  • @user-wc8gi8pu1p
    @user-wc8gi8pu1p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Upo pw sana Mo..endelea kukaza bro

  • @nehemia397
    @nehemia397 2 หลายเดือนก่อน +4

    leo umeng'aa mzee jabir

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน

      😀shukran

  • @uwezokinahi7870
    @uwezokinahi7870 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurahi sana Jay moe kuitaja Sumbawanga ❤.. Sumbawanga ni moja ya Wilaya ndani ya Mkoa wa Rukwa. Kwa wasio fahamu ni Mkoa wa Rukwa ni kati ya Mikoa mitatu inayozalisha zaidi Mazao ya chakula Nchini Tanzania.

  • @zacharialughano3541
    @zacharialughano3541 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa naomba kila siku ziende hatimayee kumekucha shikamoo jabirsalehe

  • @IBRAHIMSASAMALO
    @IBRAHIMSASAMALO 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mkali wa mashairi
    Introduction, main body na conclusion hatari sana

  • @maulidmshihiry4148
    @maulidmshihiry4148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jay Moe ni best Story teller in the Hip Hop game

  • @cbhofficial3432
    @cbhofficial3432 2 หลายเดือนก่อน +1

    interview ni kali sana ile bro ao watangazaji wengine hawaulizi chochote wapo tu wamekaa kama masanamu

  • @wilbroadgrarcian1259
    @wilbroadgrarcian1259 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana jabir Interviews zako zote ni kali aiseee watangazaji wadogo wanamengi ya kujifunza kwako

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuvi kibonge tozi sikudai kaka kwenye hili ila ukituletea GK ndohatuta kudai kabisaaaaaa!!

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wasani wa zamani akili kubwa,wa sahvi hmn kituuuu

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 2 หลายเดือนก่อน +1

      True sasahivi kuna ubwege mwingi tu
      Nowdays

  • @JamesPaulo-oz7tb
    @JamesPaulo-oz7tb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jay Moe kaumiza sana na hiyo Tuxedo 😂😂

  • @abeljaphet8380
    @abeljaphet8380 2 หลายเดือนก่อน

    Jabir uishi miaka mingi mzee

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน

      Amiin kaka,Nashukuru sana kamanda👏🏿

  • @starboss8131
    @starboss8131 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zee la kujibrand mtu wa maana kabisa 😁 🤜 🤛 wewe thanks for classic intavyuu

  • @XxhamxyyxShha
    @XxhamxyyxShha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mr kuvi.. Mlete siku moja jcb makala ndani ya classic

  • @user-rr6zh5uf9y
    @user-rr6zh5uf9y 2 หลายเดือนก่อน

    Country wizzy the best rapper ever

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Narudia tena Jay Moe ni miongoni mwa Wasanii wachaache wanaoweza kupokea swali, kulimeza vizuri na kuliBreakdown kisawasawa Jawabu lake. 🔥🧠
    th-cam.com/video/BntqDlof0iA/w-d-xo.htmlsi=va4fGKQ2r3UqECe2

  • @RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
    @RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui ni kwanini,
    Lkn natamani huyu jamaa afanyiwe tena mahojiano nahisi ana madini meeengi san ambayo bado hatuja yasikia.,….

  • @martin_el_tabeth
    @martin_el_tabeth 2 หลายเดือนก่อน

    Icon

  • @abeljaphet8380
    @abeljaphet8380 2 หลายเดือนก่อน

    @jay moe tambua kuwa hayo maswali unayoulizwa na @jabir hauwezi ulizwa representer yyte hapa tz

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 2 หลายเดือนก่อน

    huyu ndo bwana aliezaa na didaa

  • @muddyfadhili1289
    @muddyfadhili1289 2 หลายเดือนก่อน

    Moe Tech🔥

  • @user-lj8nk9xd6d
    @user-lj8nk9xd6d 2 หลายเดือนก่อน

    He has I Q. All the way from US.

  • @ericdeogratius970
    @ericdeogratius970 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jay moe & Chid benzi are the greatest ever in music industry of Tanzania. Tukiachana na yoote ambayo Chid benzi anakutana nayo ila jamaa na Huyu Jay moe ni wakali wa misimu yote

    • @kaporosalum6123
      @kaporosalum6123 2 หลายเดือนก่อน

      Chid Benzi ni overrate mtoe hapo

    • @ericdeogratius970
      @ericdeogratius970 2 หลายเดือนก่อน

      @@kaporosalum6123 Aaah tafadhali sana me nawaweka sahani moja tena kwa fact kabisa. Ana tuzo nyingi kuliko Famous, ana kolabo nyingi kali kuliko famous ila famous ana ngoma kali hits kuliko chidi so nawaweka sahani moja mzee

    • @kaporosalum6123
      @kaporosalum6123 2 หลายเดือนก่อน

      Kama tuzo ni kigezo kuna wasanii wakali kama Nas,Talib Kweli and Common wasingeweza

    • @user-bb2sv2hx3k
      @user-bb2sv2hx3k 2 หลายเดือนก่อน

      Wasanii wa zamani walikuwa na vipaji sana

    • @user-bb2sv2hx3k
      @user-bb2sv2hx3k 2 หลายเดือนก่อน

      Wasanii wa zamani walikuwa na vipaji sana

  • @Yegon254
    @Yegon254 2 หลายเดือนก่อน

    Mapema ndo best

  • @famorsn9834
    @famorsn9834 2 หลายเดือนก่อน +2

    akili nyingi, utulivu wakutosha

  • @yamungutv3966
    @yamungutv3966 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli katika show ambazo nazikubali hapa tz ni hii the classic Yani huwa nikiikosa huwa najihisi kuumwa kwani huwa inanikumbusha mbali sana Kiukweli Jabil ulibuni kitu kizur sana ningefanikiwa kukutana nawewe ningekupa Maya yako.

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo 2 หลายเดือนก่อน

    Tukikaa huwa tunafungua koti la suti. Muwe mnawakumbusha 😂

  • @user-kk7re2jl8y
    @user-kk7re2jl8y 2 หลายเดือนก่อน

    mungu akinipa mtoto wa pili namwita jabir Atakama mm mkristo

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน +1

      Heshima kubwa hii kaka,Asante sana 🙏🏾

  • @hamzaminja5448
    @hamzaminja5448 2 หลายเดือนก่อน

    kibong bitoz G O T hv kofia unachkulia wap

  • @dclassTurpin-jx3wh
    @dclassTurpin-jx3wh 2 หลายเดือนก่อน

    jmo na mwana fa akili kubwa👞🙌🙌🙌🙌🙌

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน

    Mo.again

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto 2 หลายเดือนก่อน

    Naungana na wewe

  • @zacharialughano3541
    @zacharialughano3541 2 หลายเดือนก่อน

    Huwa najiuliza hivi hivi visanii vya sasa ukimuacha countrboy watakuwa na stori zakuadidhia😂😂😂😂

  • @abeljaphet8380
    @abeljaphet8380 2 หลายเดือนก่อน

    Ukienda sehemu nyingine unaulizwa maswali ya kijinga ambayo hayana maana ndio maana wengine wanakataa kufanya intervew ili kuepuka upuuz wao