JAY MOE asimulia alivyomkutanisha NGWAIR na P-Funk ‘Alikuwa ameajiriwa kwenye kibanda cha simu’ Pt2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Jay Moe Feat. Country Wizzy - Moccasin (Official Music Video)
• Jay Moe Feat. Country ...
Jay Moe - Bosskazi (Official Music Video)
• Jay Moe - Bosskazi (Of...
famous ndio ngoma yangu bola ya muda wote alafu jay moe ndio msanii namsikiza bongo alafu kuna hii bosskazi kaitendea aki sana na nyengine mbili yupo na yule dogo country wiz noma sana bila kusaau pesa madafu 🫡
Umezaliwa mwaka gan mpka unasema jmoe nyimbo yako pendwa na ile ya country boy,,umewah kusikia cheza kwa step..stor3,mvua na jua,,,
@@hamiszali1434 umeelewa nilichokiandika ebusoma tena
Jaymoe ftJackline mengi Nikipata wangu❤❤❤❤🔥🔥
Bongo ngoma ile
Interview imesimama sana, Sijawahi kusikiliza Interview ya J.mo nikafurahi kiasi hiki mbali na kwamba jamaa namfuatilia tangu ameingia kwenye Game.
Verteller, StoryTeller wa muda wote
1 thing I never knew about jMo kua he's very smart kichwani nimekua nikipenda na kuelewa ngoma zake since day 1 ila kupitia hii interview nampa 100 kabisa yuko na facts tupu sio mtu wa kukurupuka 🙌
Jay Moe ni Legend.. jamaa anajua kujieleza na anajielewa .. keep it up Famous... show imekaa poa sana.. kazi nzuri sana Fredrick Bundala( Sky worker).
Jaymoe niko na wewe mpaka kieleweke, much love brother
Huwa namkubali Jaymoe mpaka sio poa😃😃
Hongera Jay Moe!!! Tunaomba utaratibu wa Pre order ya FALL album
Vipi MAISHA YA BOARDING bonge la ngoma ❤
29.04 chid beenz needs to hear this...quit complaining!! big up Mo Techniques
Kazi safi sana ndugu sky !
Bonge moja la interview
Nyimbo yake ya kwanza ilikuwa AHADI ZA BOSS kaka, alishirikishwa na Bad Brain ilifanyika hapo hapo kwa Majani
Jay mo kawa mzee😢 maisha ya Duniani ni mafupi sana
Hio ngoma amesema Tension,12.27, ya necessary noize ni nomaaaa, oe ni noma design mamangu husema ywataka kuskia Nazizi na yule Jay wa Bongo😂😂😂😂 oe utacheka tu 😂😂😂 big up to Jay Moe African Rap Legend, enough respect, ni vizuri kuskia the story behind mum's favorite HipHop track,big up SnS
Quite a very informative interview, mengi ya kujifunza. Big up JayMo and Sky
T I wa bongo j the moe🎉🎉
Good job SKY walker!you guys killed it!!listening from States
Madini sana Moe Technique.🫡🫡🫡🫡🐐🐐🐐🐐🐐🐐
Jay 2 the Moe, Moja kati ya emcees wangu wakali kabisa. Yeye amepenya hadi kizazi hiki na kuwakalisha hata rappers wa kizazi hiki (Muulize County Wiz kwenye Mocasin)
Huyu jamaa smart sana kichwani... nimeskiliza full interview
Nimemsikiliza j.moe na sky zaidi ya masaa ma2 na sijaboreka 👊we miss you j.moe
Aiseee huyu jamaaa nmeanza kumsikiliza tangu 2002
Daimond inabidi uwape ela makaka zako kama wakina jay mo kama Asante ya kuchonga Barabara ya bongo fleva....kwamana wamefanya kazi kubwa sana
Mmekalili marimbukeni makum ninyi kiufup huyu bwan Ni tajir wa nyumb za kupangisha bongo ap sio masikin wakupew misaad na mashog wenzio
Jay Moe- nimekupenda bure uko very positive !
Miss you Jaymoe❤❤
Hii Ni Movie 🙌 I Hour
Jay mo anaongea kama p fank kwer wamekaa pamoja mpaka mmefanana sauti..ila Kila la heri ..wish all the best mo
My brother respect
Genius jay mo....GENTLEMEN
Kama unataka demu ....
Ila wasanii wa zamani walikuwa wanaimba mashairi yenye staha
Mangwea alikuwa Really not fake ndiyo alikuwa anaishi na malengo yake hila yote mipango ya Mungu R I P Mangwea
Waambieni wasanii wetu hawa new generation, they will never make it wakiendelea kucopy sound za watu. Diamond aliechukua matuzo mengi MTV alichukua sababu ya manyimbo yake ya kipindi kile ilikuwa sound different na za wasanii wa nchi nyingine (nyimbo kama number 1, mdogo mdogo, ntampata wapi) that was pure bongo sound.
Hatuwezi kutoboa/kufika kule ambapo ndo penye mafanikio kimtaifa, tunafikje now kwa sound za amapiano na sampling zisizo na maana. Wenzetu natuaina majuha tusiojitambua, hakuna artist kutoka S.A atakuja kusound km dully,tid,kiba,diamond(in bongofleva rythim) ht siku1 why sisi tunakiwa watu wa shoboo!!! Wao wanaangalia streams tuu
Awesome 😎 interview 🤝🇩🇰🔥
dah ila marehemu angekuwope sijui ingekuaje 😢
Bro hakuna msanii wa zamani alietoboa nje ya Tanzania hata engekuwepo angebaniwa tu
@@cbhofficial3432 kweli damu yangu
BIG BRAIN JAY MOE
Best
Daimond Mpe sapoti kaka jay mo awo ndo ekon ya bongo freva since way back..nanilikuwa nataman p funk nae akugongee mdundo mana mdundo wake sio poa...mapopo wenyewe wanasubiri
Mo ana maisha usidhani ni choka mbaya
JayMo is very good at story telling
Bonge la interview
Jay MO kama P_Funk how they talk
Itakua alimu inspaya jinsi anavyo nata
famous and living legend
Jay Mo achoshi kumsikiliza kabisa
"TRUE/REAL ARTIST VIBES"
Ase noma mzee
Nakukubali sana jay mo
Hii interview imenifanya nirud kuztafta upya nyimbo za hip hop za zaman
Juu twende suti chini twende moka sini
Nice 👍👍
🔥🔥🔥
♥️♥️♥️♥️♥️
Jay moe madini
Jay Moe yaani natamani uweke number yako ya MPESA nikutumie chochote
❤
Bonge la interview halafu Jay Moe anaongea kma Man Walter sauti zao.
J 2the mooh..
Nasikiliza intervieu mala kwa mala yani sjui hata niwashukuru vp
Juma mchopanga 🔥🔥🔥🔥
RIP Ngwair🙏
🎉🎉
Unaongea ukweli Wabongo awajiamini ndiyo maana wanapiga midundo ya mapiano, Bongo Flava ni zile zenu za Zamani
Anachoongoea kaka mkubwa MO ni point kbs aiseeee😢😢😢😢
Solo thang tupate interview
Oya Sky fanya utuletee P Funk hapo yule jamaa tunamkubali
Moe Burundi tumeanza mziki kabla yenu uliza wakongwe wako watakueleza
👊✌️👍.
.jombaaaaaaaaaaa