THE CLASSIC H BABA ;SIPEND KUISHI NA KTU MOYONI/UKINCHUKIA HAINA SHIDA/NILIANZA SHIKA PESA NINA 4YRS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2024
  • Ni zamu ya mkali H baba ndani ya kipindi cha The Classic ambapo ameshare nasi hadithi kadhaa za kusisimua za maisha yake na maisha yake ya kimuziki,hii ni sehemu ya kwanza

ความคิดเห็น • 21

  • @bakarabbaskhamis2645
    @bakarabbaskhamis2645 19 วันที่ผ่านมา +1

    Jabir big up sana kipindi babkubwa ❤

  • @nassorsuleiman9155
    @nassorsuleiman9155 18 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wapo wa kuwahoji achana na machawa hawa mtafute sir Nature kiroboto tutapata story tamu sio hawa

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 16 วันที่ผ่านมา

    Sijui unachojisifiaga nin we mbwa hta kenya na uganda tu hujulikan,,yaan we ndo unajua kila kitu kenge weee

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 15 วันที่ผ่านมา

    Ni majigambo tuu

  • @HamzaShido
    @HamzaShido 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mdogo wangu HAMISI kwenye kuvaa mwanza nzima wewe ndio unavaa sio kweli
    Watu wamepiga pamba wewe ulikua bado
    Kuna makorobi white sox na beach boy wazee wa guba yoo

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 17 วันที่ผ่านมา

    H baba hawezi maliza MB zangu og aliyekuwa chawa

  • @YusufuYusufutomasijuma
    @YusufuYusufutomasijuma 19 วันที่ผ่านมา

    Jabili ww ni fundi wa hizi mamb broo

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  19 วันที่ผ่านมา

      Asante bro

  • @user-bf4xh9kc3n
    @user-bf4xh9kc3n 19 วันที่ผ่านมา

    Sina kipindi kingine tofauti na power break fast pamoja na the classic tu ndio nasikilizaga

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  19 วันที่ผ่านมา +1

      Shukran sana kamanda

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 16 วันที่ผ่านมา

    Na hiyo nyimbo unayo isema umeimba n king kiba...ukija itoa mutakosana xna...haitaki kwa xai...itaua vibe yake...😅

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu si msanii wa kuitwa show kubwa kama hii. 😢

  • @user-bf4xh9kc3n
    @user-bf4xh9kc3n 19 วันที่ผ่านมา

    Kuvi chaka

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 18 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo H Baba interviews zake zote zimejaa kushindana,majigambo, lawama,ujuaji mwingi yaani haamini katika records zake, haamini kama watu tunamfahamu na tunamkubali sana malalamiko kibao kama mtoto wa kambo😂😂 sijui ndo ushamba wa kisukuma

    • @MembaGenius-yt5fj
      @MembaGenius-yt5fj 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ww dogo wasukuma wameingiaje hapo jishikirie

    • @derimkongwa5965
      @derimkongwa5965 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wasukuma wanefata nn hap Acha ukabila wa kimtandao ww hao wasukuma washamba usemao ndio waliotoa raisi Bora kuliko yoyote hapa tz ambaye alipokufa mpaka baba na mama yako walilia Acha kutukana watu.

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 15 วันที่ผ่านมา

    Tambo za kijinga we mtoto wa mabatini umeanza lini kuvaa mwanza nzima😂😂😂😂fala kweli gemu la 90s ulikuwepo ww

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 15 วันที่ผ่านมา

      Bora nirudie tu interview ya Saigon

    • @yudaogonyi2383
      @yudaogonyi2383 15 วันที่ผ่านมา

      Jabir aliingia cha kike sana kumuita huyu..nilisema hapo , jamaa sio mtu wa uhalisia .. uongo mwingi sana. Na hiki kipnd sio cha kusikilza watu kama hao.

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 15 วันที่ผ่านมา

      @@yudaogonyi2383 kipindi cha uhalisia analeta uongo