THE CLASSIC WITH JAY MOE PART 2 EP 2 : UFAFANUZI BEEF NA SIR NATURE/NILIMUOGOPA PROF JAY/BOSS KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2024
  • Episode ya sehemu ya tatu na Jay Moe anaendelea kufunguka mengi tusioyafahamu ikiwemo libe ya Juma Nature maaruf ya "haya nenda kwa huyo Jay Mo',pia namna alivyokua akimhofia Prof Jay kwa kipaji alipomsikia kwa mara ya kwanza,thamani yake pia kwake na namna alivyompa nafasi

ความคิดเห็น • 18

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 หลายเดือนก่อน +2

    mshamba ndio ngoma yangu ya muda wote na kuna siku nilikutana na Nature kwenye bus tulikuwa tunatoka Tanga ikabidi nimwambie km aliuwa sana mule ndani, ikabidi aniimbie live🎉🎉🎉🎉

  • @muddymassah8998
    @muddymassah8998 17 วันที่ผ่านมา

    Juma nature and historia kubwa sana kwa muziki hapa bongo

  • @mohamedcheka209
    @mohamedcheka209 10 วันที่ผ่านมา

    huyu jamaa ni moto bado big up jay more

  • @realdondee
    @realdondee หลายเดือนก่อน

    Big up sanaa
    All the way from Kenya
    Shout out to Jay Moe
    Legend

  • @bernardmunuo2137
    @bernardmunuo2137 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi naona Jay moe ni kama 2pac wa Tz

    • @kanaanrajab1102
      @kanaanrajab1102 หลายเดือนก่อน +1

      Well Jay Moe ❤is Best 🔥lkn sio level za 2pac👏✌.

  • @manrectorz
    @manrectorz หลายเดือนก่อน +2

    Jay moe hatuwezi kumalizana nae😂😂😂

  • @SamManyota
    @SamManyota หลายเดือนก่อน

    Noma nenda kwa huyo jay moe

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 หลายเดือนก่อน

    Mo teknic

  • @eligeniusbildad7521
    @eligeniusbildad7521 หลายเดือนก่อน

    🔥 🔥 🔥

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 หลายเดือนก่อน

    Bro kuvi kuna Ngoma ya Jay Moe inaitwa tingisha alipiga na tid hiyo nyimbo kubwaaaaa sana you tube haiko

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน +1

    MUZIKI WA ZAMANI ACHANA NAO KABISA--AO JAMAA WALIKUWA MAGENIOUS

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 หลายเดือนก่อน

      Walikuwa wana akili sana sio hivi vishenzi vya siku hizi.

  • @ericdeogratius970
    @ericdeogratius970 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa na ela ata kuzeeka uzeeki. Uyu dingi azeeki wanangu

  • @user-rc6ww6rx7n
    @user-rc6ww6rx7n หลายเดือนก่อน

    Wee mzee jabir hw mjumba leo umeuwa sn km umetoka kwny lle nymb nyeupe 😂😂😂😂😂

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  หลายเดือนก่อน

      😁