THE CLASSIC WITH JAY MOE PART 3 EP 1 : HADITHI YA URAFIKI WA NGWEA NA JAY MOE/CHEZA KWA STEP

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2024
  • Sehemu ya tatu ya mazungumzo na mkali Jay Moe,katika eneo hili Jay Moe anazungumzia namna ukaribu wake uliokua kama ndugu na Marehem u ngwea ulivyoanza na pia namna ambavyo waliweza kufanya kazi yake ya Cheza Kwa Step

ความคิดเห็น • 37

  • @abdibuddy7583
    @abdibuddy7583 หลายเดือนก่อน +4

    Biggest fan signing in #PacWithoutNoseRing

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic หลายเดือนก่อน +8

    Wazee mleteni Salama Jabir humu.kafanya kazi sana ya kupushi bongo fleva.

  • @contempo_builders
    @contempo_builders หลายเดือนก่อน +4

    Heshima yako Blaza Jabir. Umeua mbayaaa....! Mr. Famous amekuletea balaa jipya.

  • @brownngullo4051
    @brownngullo4051 หลายเดือนก่อน +3

    Dah Kuvi umetisha .. sasa acha kuvaa ma jeans , Suti kali sana hiyo

  • @calvinmaimu3787
    @calvinmaimu3787 หลายเดือนก่อน

    Noma sana bro hujatuangusha umejibu vzr sana nakumbuka wakati unakuja na dada ray c mbezi Kwa msuguri

  • @HamadRajabu
    @HamadRajabu หลายเดือนก่อน

    Mlete Toni babaloo tupate mwendelezo wa iyo espsod 4

  • @EliasNdos
    @EliasNdos หลายเดือนก่อน +1

    Kuvi chaka 🔥🔥🔥 1:22

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 หลายเดือนก่อน

    Jabir Leo umeua sana mwanangu bonge la pindi naona suti na mokasin blessing kwa moo mchopanga one love broo

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  หลายเดือนก่อน

      Thnx fam

  • @zammedia3019
    @zammedia3019 หลายเดือนก่อน +2

    SIUMEONA SUTI ILIVYOKUKAA SEMA WE BIGI ULIKUA UNAJIOGOPA MWILI MKUBWA HAIMANISH KUWA UKIVAA UPENDEZ SEMA UNATAKIWA KUJUA UNAVAAJE ---UMEKUWA CLASSIC KAMA PINDI LA KIJANJA---

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  หลายเดือนก่อน

      Pamoja kaka

  • @SadiGao
    @SadiGao หลายเดือนก่อน

    Ismaili gao nakukubali Sana mwamba

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 หลายเดือนก่อน +3

    Jay Moe ana akili sana. Na kwa ujumla wasanii wa zamani walikuwa na akili nyingi sana kuliko hizi takataka za siku hizi.

  • @cbhofficial3432
    @cbhofficial3432 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu wa Kwanza pls like ❤

  • @ray45king84
    @ray45king84 หลายเดือนก่อน

    Duh..imenibidi nikasikilize Lost boys Ghetto Jiggy iyo background

  • @eliudeliakayela9598
    @eliudeliakayela9598 หลายเดือนก่อน

    Uuuumeeeeua mno

  • @user-kk7re2jl8y
    @user-kk7re2jl8y หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅 dah umetisha sipatii picha jemedari atasemaje

  • @johnmapunda3683
    @johnmapunda3683 หลายเดือนก่อน +1

    Dah jemedari kakudis sana leo mm nilishangaa sikuamini kama ww

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 หลายเดือนก่อน

      Alisema nini Jemedari? Jamaa mshamba sana yule sijamsikia

    • @JamesPaulo-oz7tb
      @JamesPaulo-oz7tb หลายเดือนก่อน

      Braza Jabir ameingia kama Big Boss wa DEATH RAW Big Suge alafu Moe ndio 2Pac kwenye zile Award za mwaka 95

  • @MIJOMwankina
    @MIJOMwankina หลายเดือนก่อน

    Mijo mbeya br hakika vipaji apo nyuma amini wazeee

  • @user-wu9zh1hc3i
    @user-wu9zh1hc3i หลายเดือนก่อน

    Ngwear ni goat sure kabisa kwenye Albam ya a.k.a mimi kuna mimbo unaitwa sikiliza amefanya na Mwana FA na Jide ni wimbo bora wa kuimpower wanawake ambao umeleta matokeo chanya mpaka sasa tunaona wanawake wakipewa nafasi

  • @raymondmafutaa6334
    @raymondmafutaa6334 หลายเดือนก่อน

    Nakufuatilia Tangu 1998 jaymore more technic

    • @amirhamud3343
      @amirhamud3343 หลายเดือนก่อน +1

      Kaanza 2000 we toka 1998.😢😢😢

  • @JamesPaulo-oz7tb
    @JamesPaulo-oz7tb หลายเดือนก่อน

    Hiyo suti Mzee wangu umewaka

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  หลายเดือนก่อน

      Shukran

  • @RadhiaHamza-vy6iq
    @RadhiaHamza-vy6iq หลายเดือนก่อน +1

    Tuna mtaka jcb

  • @Abuukhatibu
    @Abuukhatibu หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 suti imekaa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  หลายเดือนก่อน

      😂

  • @user-fl7ld9pf1l
    @user-fl7ld9pf1l หลายเดือนก่อน +1

    Ngwea
    Jay moe
    Professor jay
    Fa
    Geez mabovu
    Mchizi mix
    Fid q
    Ay
    Daz nundaz
    Mr blue