Issa anaimba mpaka Madam Rita na Ommy wanacheza densi kufuata wimbo wake | Bongo Star Search ep. 7
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
- Issa anaimba mpaka Madam Rita na Ommy wanacheza densi kufuata wimbo wake.
Kichwa kwa StarTimes ON App,
mpigie kura mshiriki unayempenda, anaweza kuwa na nafasi nyingine! bit.ly/3qLTcHR
Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Download StarTimes ON App and vote for your favorite players,
The top 3 eliminated players will have the opportunity to return to the stage and continue the game!
bit.ly/3qLTcHR
Watch the new Full Episodes of BSS SEASON 11 on time on ST Swahili every Sunday at 21pm, via the Startimes decoder or the Startimes ON App : The new BSS EXTRA is every Monday, Wednesday and Friday at 17:30 pm on StarTimes Swahili Channel
Subscribe to StarTimes official channel for more: bit.ly/3njYg3p
#BongoStarSearch #BSS2020 #BSS11 #STSwahili #TeamChristianBella #TeamMadamRita #TeamMasterJ #TeamOmmiDimpoz #StarTimes - บันเทิง
Ebwana cikuwaigi kukoment lakin kwa brother issa we ndio wakwanza we unajua wanae mkubali gonga like ili tutambuane
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: th-cam.com/video/qDFAKzYyttg/w-d-xo.html
@@geofreychengula7530 yaeh
@@malecom
l
p00
p
Kishee nilimkubal Sana uyu
Kwa bolingo hatar napenda bolingo kanikosha Sana
Bella kafanya makosa Sana kumtoa bss yenyew itakosa mashabik Kama uyu jamaa ayupo me akirudi ntafatilia bss asipo rudi BC safatili tena bcc Kama upo pamoja namm gonga like
Huwezi jua labda wanatizama na mvuto wa sura 😂😂😂 maaan bongo bhna
@@minahally6897 🤣😂
Bella kama waeza mtoa huyu jamaa,kweli mayb mko na watu wenyu,ntazidi kusema ivio,nakumbuka na wafutilia kutoka mbali,jamaa anaimba bongo fiti lingala fiti na pia Rhumbah sasa uuuuiiii apo ndio anakil kabisa,na makosa kubwa Bella we Watambua Rhumbah na wamtoa,bure kabisa nyie majaji wa mwaka huu,na kama ni sura Mungu ndie hupeana,
@@petermilimo8755 May be anaogopa atamzid umaarud koz hawa watu wako ovyo sana
@@neemakilango7445 alafu bongo vituko vingi Kuna vipaji vikubwa lebo kubwa hazichukui lakin kutwa Kuna watu hawajui kuimba wanapiga kelel tu lakin kutwa Wana wabrand mhm Kama official Lin nae eti na yeye katoa video si ujinga huu kupoteza tu mziki wabongo kuonekana kila kitu hatuwezi 🙌
Licha BSs imeisha narudi kumtazama Tena🔥🔥
Eti alafu alitolewa mapema sana
Hata Mimi hii ni 2024 June ila narudia,huyu mwamba walimtoa sijui Kwa nini
yes yes yes from Congo anaweza yes 👍👍👍🇨🇩🇹🇿
Bss mnachagua watu kwa kujuana, huyu dogo ni mzuri Mara 100 ya shadrack
Sasa huyu jamaa ametoka tokaje?!!! Huu ni udwanzi kwakweli, jamaa anajua mpaka kapitiliza, pure talent
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: th-cam.com/video/qDFAKzYyttg/w-d-xo.html
ametokeakongo
Anajua sana mpaka raha
Bella anaroho mbaya sana alijua atakuja kumfunikia😭
@@dommyomolo9678 mbona yuko jini ya lebal yake kwasasa
Mrudisheni huyu dogo..Bela ameondoa ladha ya BSS kumtoa huyu dogo..Dogo ni Fundi sana kuliko wote...plzzz Anajua sana...kipaji na ni Star
Unajua amemtoa kwa nn sababu ni kwamba huyu dogo atakuja kuimba like him
@@emmaventuresafaris110 Fact
@@emmaventuresafaris110 hatar
Ana Roho ya kwanini...huyu ni zaidi yake
@@charlesmwambinga4355 daaaaah mbona wametoka wakal kbao jamaa anaimba vzur lakin sio Wow
Kila nikisikiliza hii naenda kuskiza na original nagundua hii Ni Kali kuliko orginal Issa Arudi ase anajua Sana🔥
Kweli
Mkali Sana
Hiingoma inaitwajee please
I don’t really understand the language well but, this guy has the vocals.. Uganda we love you.
Really
Please ,name of this song
uyu ndio Alistairy kuwa mshindi, sijui kwanini Bella alimtosa uyu fundi
kilasiku napenda kumchek uyu mtu
sichiki kuongalia hii Ngoma,
Daaaaaaaah...hyu ndo alikua mshindi hii season I say🙌🙌🙌
Bella naona kaogopa dogo atakuja kumpa changamoto kwenye aina ya mziki wake ndo maana kamtoa maana dogo anajua mpaka homa Imagine hiyo ni Live aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona kwasasa yupo kwenye lebal ya bella
Huyu mwamba ndiealiekuwa mshind wng wa BSS 🔥
Kila siku naweka MB kwa ajili yako wew hatariiiiii nakuomba ukaze ndug yang usikate tamaaa
Issa umeishi Congo Nini? Upo good
Poa
Daaah marioooo wa Bss 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Huyo Sio mkongo kweli hongereni BSS kwa kujua vipaji.
The best performance ever seen on bss. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 my winner.
Suree till now
Nairudia tenaa kuingalia hii bonge la show daaaaa
@@geofreychengula7530 daaaaaaa basiiii wametoa ladhaa kabisaaa sijui sasa huwa wanaangalia kigezo ganii hawa naooo
Safi kabisa. Bongo wapenda muziki kweli. 🇰🇪
Wooooow...one of my favourite Fally songs. He did justice and more to it
Inaitwaje Hii nyimbo
sitochoka kuangalia kitu hiki
This boy should return to competition I swear he's a 👑
Sure Brother 😥
Mimi kweli nitaomba number zama dam Rita walicho kifana mwaka huu kwasisi tuliko mbali siyo pow jee bongo star search 2020 imeisha malizika nambo mafasiriyo kwa number zangu za whatsaap +27719006560 one day issak loketo tumiya akili usitumiye nguvu loketo issak l'homme fort
Nampenda bureeee kila la kheir Nina iman kwa uwezo wa Mungu utafika mbal japo umetoka lkn ww ni kiboko yaoooooooooo 💯 💯 🙏
Kashatoka Yan bss hii cjui mxh d kaandaliwa
Kabisaaa mkali issa bas tu
@@kennedymwalunu3945 acha tuone mwisho
@@nainaiblack6736 kabisa yaan
Hata Harmonize ilikua hivi saa hii ako wapi? Hamuezi zimaa nyota ya mtu. This guy is going far
Just speechless here, that's super amazing 🤩
Fally pupa wetu wa bongo one love issa
Kuna watu wanaweza imba nyimbo yako mpk ukaenda washtaki😀😀😀maana sio kwa talent hii mamaee
Bro ukishindwa kutoboa ujue nicheki unaweza sanaaaaaaaaaaaaa
Dah huyu jamaa amenifanya nirudie kumsikiliza zaidi ya mara tano,jamaa anajua aisee.
Kumbe madam Rita flat screen 😂
Jamaa ametishA mamae😂😂😂😂😂😂
Maaamaaaaaaaaaa eee, he killed it,
I still come back to watch this.bss hamjui mlichopoteza
Hi, if you like it, you can watch the full episodes on StarTimes ON APP, here's the address >> bit.ly/3tjBhsG
His more then bella asee 🔥🔥🔥🔥 jamaa anamtisha bella kusema kweli
Kumbe nawewe umeonaaa
Sasa hayo mashindano yanaendelea yanini huyo ameshinda hatakama kuna yule kbonge lakin hawez mfikia huyo duh!! Namuona fally ipupa kabsa
Mm naona wangekuwa wanaruhusu tucomment top 5 ili wasome nyingi za Nani achukuliwe
One of my favorite guys there 😍☄️👏🏾🔥
You did 1000000000 percent Bro.. you're the best evee
nimesikiliza mara karibia 10, kaimba kwa utulivu sana, na anachoimba unakisikia vzr, wapiga vyombo wametulia
Duuh jamaa anajua mnooo can't stop listening to him
Daaah inaumaaa sana kumtoaa abdul fundi sana wakuimbaaaa.
Kaka uwa ananikosha mno kashikiliya moyo wangu kwa kuimba kwake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mhhh huyu bwanaa mdogo ni nomaa snaa mpeni taji lake...tuu
Duuuuuu ni noma anajua mpaka anakeraaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yuko vizur
Bella Una deni la kumlipa huyu kijana umetupa kipaji nje ya mashindano angalia povu za watu....nimeangalia mara 10 hii clip
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: th-cam.com/video/qDFAKzYyttg/w-d-xo.html
Wote wanajua ulitaka atoke nan kat ya waliopita il awekwe huyo
Waga schoki kuangalia🥰🥰
HIV BELLA ULITUMIA VIGEZO GANI KUMTOA HUYU KIJANA
Ase kumb na wew umeon kazngua parefu
Wivu Tu hamna lolote
Amisha tolewaa?!
Sijui kwanini
bella alifeli sana apa aisee
Huyu jamaa ni mwisho ! He is musician ! I really like him
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: th-cam.com/video/qDFAKzYyttg/w-d-xo.html
Kwakuwa anatafutwa mshindi mmoja bas tu, majaji wana kazi. Huyu jamaa alikuwa anaimba hatari.
Jamaaa hatari sana
Mwamba kama anapiga show..kuna wasanii wetu hata kutoa show kama hiyo hawawezi
Kabisa jamaa anaimba htr wamemtoa kwa kumuonea asee kila muda napenda kumuona akiimba
Nice mungu akutanguliye kwakazi yako nakkukubali issa utafika mbali
Huyu jamaa asee 🔥🔥🔥🔥🔥
Anajua huyu jamaaa😍😍😍
Huyu mariooo kbs
He is really talented man très bien mensiour
Hatar sana jamaaaa amenisisimua
Nmerud kuangalia Tim cbo music ilpotoka big up issa
Issa Nakukubal sana sijui kwa nini zile million hukuzipata weww
Pure talent💯🌟👌
Wa Congo mpo....
Issa jaribu tena bahati yako mwaka huu
I like this guy he know
Sura ya mariooo kabisa yan
Naww umeona kama mm
Wajina wangu anajua bhana kuimba respect
bella alimchagulia nyimbo ngumu ili imshinde atoke lakini jamaa amemprove wrong thatz y amemtoa😖
Nyimbo inaitwajee hii nakaimba nan naombeni msaada jmn🙏🏻
Associe ya Fally Ipupa
Fally ipupa
Navopendaa nyimboo za fall ipupa huyuu kakaa aliniwamilaza jmn anajuaa kuimbaa mpk anaboaa 💋💋💋
Inatwaje hii nyimbo
Dah kijana anajua balaa kuiba 👍
Ata kama kuna maneno ambazo azi semwe sawa mu lingala ila kijana ame jikaza ✌️
Pure talented 😍❤️
Woow so nice
Keep it up bro... Ur amazing
Bss tunaomba mumrudishe huyu kaka 🙏 maana tumeacha hata kuangalia tena BSS
Kama kuna msanii unampenda na ametolewa na unataka arudi BSS wamekupa nafasi ya kumrudisha.
Angalia maelekezo Hapa: th-cam.com/video/qDFAKzYyttg/w-d-xo.html
Good voice good dance
Jamaa ni hatari aise🔥🔥🔥aliishia huyu mwamba
Maaad talent 💯💯🥳🥳😘😘😘❤️❤️❤️
Nampenda jaman dah anaimba Sana 😍😍😍
Kwanza huyu mwamba ana panchi,ana pumzi ,ana muonekano wa kistaa,anajua kutawala jukwaa sasa kwann akupewa haki yakeee
This is the best show ever
Wao it the good talent
Sango nini? 👋🤞Issa umeweza kweli 🇰🇪🙏💃
Team Bella ni motoo
Niko tayari kukuchangia uko vizuri issa
Smart song I really love it
Unaimba vizuri lakini lugha tu inakusumbua kwenye kutamka baadhi ya Maneno
sina meng bro umtisha san.....✍️
Kaka bera humekwama wapi uyu mtu niatari sana duuuh tubaki kueshimu mamuzi yako ila uyo mwamba nibaraaaaaa sana basi mchukuwe kwenye bendi yako
Ni chuki
Dah ni Kama uliota kaka, Sasa yupo CBO
I don't think ommy d can sing that song😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣
this it was full show🔥🔥🔥
Mavoo ktk ubora wake 😂😂
Jamaa mbad,yaan ni 🔥🔥🔥👌
Kama kuna yeyote anafahamu mahali huyu jamaa anafanya live performance tujuzane tafadhali
Alikosaje huyu jamaa aa jaman
Wow wow wow
Ladha ya BSS ishapotea...sasa utamfananisha huyu mwamba na mjinga nani pale bss?
Nadhani #Christianbella ameona hii.
Kizazi saana
Hé nailed it
Noma sana
Jamaa anajua bhan
Hatari sana
This is good
Mashaallah 🔥🔥