BELLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2020
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 328

  • @joelmwanje2008
    @joelmwanje2008 3 ปีที่แล้ว +15

    Hao wote wazur sema uyo dogo wa njano ukifumba macho ukamsikiliza 😁👍 na ana kipaji kingine cha kukalili pia 🔥

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 ปีที่แล้ว +12

    huyu kayimba ki congo. ana juwa ku yimba sio rahisi mtanzania kuyimba lingala. ayimbe vizur la huyo anapita kabisa na mkubali sana 👌🏽👌🏽💪🏾🙏🏾🇧🇮

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +2

      Etiii kayimba😂😂😂😂😂😂😂

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 ปีที่แล้ว

      ndio huyo jamaa Iko swa bila unafki bila ubaguzi bila kupe ndelea bila uonevu kuimba ki congo Kwa mtanzania sio jambo raisi hata daimond hawezi kuimba hivo huyo kijana hata kama hakupata ushindi bado yeye ni mwamba wa bss, hata wasani wote wakitanzania kuimba hivo hawawezi

  • @franknkya3947
    @franknkya3947 3 ปีที่แล้ว +3

    Three things; 1. Judges punguzeni midadi na kelele, 2. kuwe na muda maalum ambao contestant atatumia ku perform bila kuingiliwa na Judge 3. Judges wapewe Elimu ya kutosha kuhusu rules sio kufundishana on set.

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa wa njano kajiongeza kajua akiimba kikongo atapenda t bella

  • @kenny5672
    @kenny5672 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mkongo mnyamaaa! Kumaamake! 😅🤣🤣🤣🤣

  • @mwasitiiddy7425
    @mwasitiiddy7425 3 ปีที่แล้ว +8

    Dah iyo yakuua mbya majaj mnazingua sana

  • @GodfreyByamungu
    @GodfreyByamungu 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wa njano yuko vizuri sana. Hata mimi ningekuwa Bella ningemchagua tu. Atuangalii kaimba style ao lugha anayotumia Bella bali alifanya vizuri kuliko mwenzake. Yeye kaimba natural ila yule kalazimisha so hakuna kosa hapo.

  • @iptisamfakizubeir7664
    @iptisamfakizubeir7664 3 ปีที่แล้ว +9

    Dah inauma siku zote nikiangaliy bss huwa nachek lkn leo nusu nilie et😢😢😢

  • @danielmarcochal4611
    @danielmarcochal4611 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye black so blessed in this time round ya pili mwenye njano kazingua. Even Bella my broza know that.. Ukisikilza voice dakika 5 sekunde ya 20 apo... Bella analaumu... kazi hii ya lawama.. na madam Rita anamkataza usiendee.. Watanzania wameona kipaji cha yona(black) UR SO BLESSED MUCH TALENTED but judgement ENDS SAY

    • @Lale_music
      @Lale_music 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kaka Daniel one love ila ndo hivyo ilibidi nikubaliane na matokeo tuuh

  • @chidistar1944
    @chidistar1944 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndo maana ya mashindooo mwisho wa siku mshindi ni mmojaa tuu 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @pierreoriva4131
    @pierreoriva4131 3 ปีที่แล้ว +14

    Mmh sema jamaa aliyeimba ya Sauti soul Yuko na kipaji sana

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 3 ปีที่แล้ว +1

    Man in black deserved to win

  • @samwelmombo3290
    @samwelmombo3290 3 ปีที่แล้ว

    Madam Rita may God give u long everlasting life ur so kind

  • @roi2553
    @roi2553 3 ปีที่แล้ว +11

    Sio vizuri mumefanya BSS kipengele hicho mumezingua

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani it doesn't make sense at all

    • @martinjohnlupoly4489
      @martinjohnlupoly4489 3 ปีที่แล้ว +1

      Kipaji anacho

    • @roi2553
      @roi2553 3 ปีที่แล้ว +1

      @@azizamohd5728 sijawahi kuona sheria ya kukurupuka kama ivyo yan imetokea ghafla tu njwaaah!!!

    • @peloabandelwa9099
      @peloabandelwa9099 2 ปีที่แล้ว

      @@roi2553nimashindano unatengemeya Je?

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +4

    Aliyevaa nyeusi yupo vizuri mnooh

  • @yasinimwengwa5726
    @yasinimwengwa5726 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dogo yupo vizuriiii mnoo hata kama mziki siujui lakini huyo dogo ni nomaaa

  • @rosekyara8220
    @rosekyara8220 3 ปีที่แล้ว +2

    Yohana ndie anasauti ya mziki mtapoteza mtu sahihi Ila kaza moyo yohn kaanze kuimba waje ktk shooy 👍

  • @DayanaNelson-gv6cv
    @DayanaNelson-gv6cv 6 หลายเดือนก่อน

    Wote wakali na wote wako na saut qali atar daaaah ❤❤❤❤

  • @your-future-is-your-life-007
    @your-future-is-your-life-007 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani uyo wa yellow uko vizuri sana kaka

  • @ibrahimbaila7764
    @ibrahimbaila7764 3 ปีที่แล้ว +23

    Mtoto wa njano anajua . Nipeni nae nimsimamie

  • @mundelemuzuri9623
    @mundelemuzuri9623 3 ปีที่แล้ว +3

    uyo mwenye tisheti nyeusi yuko vizuri beana

  • @jellycastro9037
    @jellycastro9037 3 ปีที่แล้ว

    Mama yangu mpaka Congo tuna suscrib

  • @universenurity776
    @universenurity776 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo jamaa wa black alijichanganya kutoka mwanzo kuingia grp la Bella wakati madam alimkonyeza aende kwa Ommy.. kiherehere kimemponza

  • @msms8812
    @msms8812 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah huyu kijana aliichukua nafasi ni kweli kabisa ilipaswa iwe yake kaimba vema mmno

  • @koroboi
    @koroboi 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyo yohanaaaa mkaliiii ni star uyoooo star tayarii na nimbadi uyo kikongo kimewachanganya ana lolote BSS JAU

    • @busimeaminitu409
      @busimeaminitu409 3 ปีที่แล้ว +2

      Acha ubaguzi wakabila

    • @koroboi
      @koroboi 3 ปีที่แล้ว +1

      Amna man jamaa ansautii wewe

    • @koroboi
      @koroboi 3 ปีที่แล้ว

      @@busimeaminitu409 Bella ndo kabagua

    • @selemanmaganga6013
      @selemanmaganga6013 3 ปีที่แล้ว

      Kweli mi mwenyewe sijapenda mtu ashapita alfu mnamtoa tena hizo nitamaa kama nafasi yake ilishajaa angekaa kimya amwachie ambae bado.

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว

      @@selemanmaganga6013 tena wewe ndo ungeleta kimkonochako hapa na kuja kuwalaumu majudge heti wanahacha vipaji ufaamu haya ni mashindano cha kwanza kupita mbele sio kumanisha unamshinda wa nyuma yako kuhimba wote wanajuwa ila wanazidiana bella kafanya mahamuzi sahii wote ni watanzania

  • @husseinstriker4211
    @husseinstriker4211 3 ปีที่แล้ว +7

    Mmesahau Bella Yuko sahihi (challenge) I will

  • @zablonrobert1522
    @zablonrobert1522 3 ปีที่แล้ว +2

    Ninatamani waje wasome comment waone watu walivyochukia yaaaan ili wamrudishe ikiwezekana..
    Mtu anaimb sauti yake mwenyew tena strong voice
    Anafika kwenye key tone ana power ana punch anavocal...
    Eti mnamkata kisa mtu anaimba kama bella
    Nyie hamtafuti watu wapya aseeeeee
    Am so sad nimeumia saaana

    • @Lale_music
      @Lale_music 3 ปีที่แล้ว

      That's it kaka ila nahisi haikuwa time yangu although haikuwa sawa

    • @peloabandelwa9099
      @peloabandelwa9099 2 ปีที่แล้ว

      @@Lale_music 🤣🤣🤣🤣bado Sana kijana ulikutana na mtu mbaya Sana

    • @Lale_music
      @Lale_music 2 ปีที่แล้ว

      @@peloabandelwa9099 yaah mimi bado sana mzee

  • @over_dance_tz8517
    @over_dance_tz8517 3 ปีที่แล้ว +1

    Di voice noma bro big up

  • @nozgeniuz1812
    @nozgeniuz1812 3 ปีที่แล้ว +37

    Du huyu wa jamaa alieimba kikongo anajua mashndano mulemule kwa bella

    • @givanerpom6247
      @givanerpom6247 3 ปีที่แล้ว +1

      Mshindi atabiliwa huyu hapa Usisahau kusubscribe th-cam.com/video/WhJwh2HcN6U/w-d-xo.html

    • @zablonrobert1522
      @zablonrobert1522 3 ปีที่แล้ว

      Swala la kipaji cyo kuimba kama flan.
      Wewe ni wewe imba kama wewe ulivyojaaliwa na mungu lakin kwa kutumia wimbo huohuo

    • @ccmiaofficially2904
      @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว

      Umeona kaka eee,ana kila kitu kiukwel

    • @peloabandelwa9099
      @peloabandelwa9099 2 ปีที่แล้ว

      @@zablonrobert1522 mnashindwa kusema hu kweli ki vipi wajano anajuwa🤣🤣

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 3 ปีที่แล้ว +8

    I wish majaji wengine mngekua km Bella hn lingolongo na anachagua kilicho bora!!

  • @ccmiaofficially2904
    @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa vile una simu kubwa na bando la mwez ndio una comment unachoona,Bella na wewe Bella anaimba japo Kuna watu wanaimba,labda niseme mwenye black anaimba sema wimbo aliouimba umegusa kweny kuonesha ukal wa vocal na si vingnevyo,Ila wa njano amecheza na kila kitu,ameimba kwa hisia,ladha na saut za kuminya pia hata ndio maana muimbaj Kama Bella ameliona ilo ndio maana amechukua..Halafu wimbo si kuelewa maana tu pia nyimbo n feeling,mdundo,vinanda na lugha ilivyotumika.,.Abdul n mtundu sana msiangalie kushoot saut angalien na maujanja mengne jaman......

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 3 ปีที่แล้ว +5

    Kw upande wang wote wakali ila huyo aliyevaa black ni mzuri zaidi sauti yake ina power sana. Ila nahisi majaji wanajua zaidi

  • @neemasawe7016
    @neemasawe7016 3 ปีที่แล้ว

    Hii so nzuri kabisaaa

  • @alicembeyu6688
    @alicembeyu6688 3 ปีที่แล้ว +12

    Wote wakosawa lakini lazima kuwe na mshindi.. Bro usife moyo ur a super star already

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo iyo nelea wamisha ichoka sn unajuwa wimbo unao skika marakwamara nirahis kukufelisha ila wete wako vizur tu

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว +1

      @@nasraabdallah850 sema wote wanajuwa kungukuwa na fasi bella angechanguwa wote ila alionesha aliwakubali wote ila sasa ilibidi kati yao achanguwe mmoja

    • @alicembeyu6688
      @alicembeyu6688 3 ปีที่แล้ว

      @@nasraabdallah850 kabsa my dear

  • @evahkajala3807
    @evahkajala3807 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaaaaaaaaaj inauma sanaa nafasi inachukuliw aivi ivi daaaah

  • @hanifasadicki1428
    @hanifasadicki1428 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman mludishen yohana

  • @sabrinaally8216
    @sabrinaally8216 3 ปีที่แล้ว +3

    mm sijapenda kichofanyika hapokwabella woteewanafaaa 😥😥😥😥

  • @winfridaminaa6765
    @winfridaminaa6765 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuonea huruma sana uyo black dah

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 ปีที่แล้ว +4

    Kipaji hicho bella unekitoa voice kama yote

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 3 ปีที่แล้ว +5

    Wote wanajua but in case mpeniuyo WA tishat ya yellow

  • @wasasyjr8657
    @wasasyjr8657 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah uyo jamaa wangemfklia vzr pengne muonekano umemponza but vocal yko vzr

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 ปีที่แล้ว +7

    Ooow...!!!
    Ndio maana huwa nasema "LIFE IS NOT FAIR AT ALL".

    • @joyjilien5432
      @joyjilien5432 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani inauma sana alijikaza kwasbb ni mwanaume tu lkn ma judge 👨‍⚖️ waache ivyo sio vizuri

    • @wellbrand3415
      @wellbrand3415 3 ปีที่แล้ว

      @@joyjilien5432 kwani Master J alikuwa na nafasi 1 kwanini hakumpachika...?
      Ndio maana nasema LIFE IS NOT FAIR

    • @joyjilien5432
      @joyjilien5432 3 ปีที่แล้ว

      @@wellbrand3415 mmmm 😋 ni hatariii yaani

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 3 ปีที่แล้ว

      @@wellbrand3415 master jay hajafanya fair

    • @wellbrand3415
      @wellbrand3415 3 ปีที่แล้ว

      @@timothmwakakusyu4563 yaani nimesikitika kweli...
      Ila ndio hivyo...
      Ilipangwa hivyo.

  • @naomysombi7999
    @naomysombi7999 3 ปีที่แล้ว +3

    Bella Yuko sawa

  • @over_dance_tz8517
    @over_dance_tz8517 3 ปีที่แล้ว +2

    Do voice noma cku zote me nakuombea nakubalii nakubalii be big up

    • @ccmiaofficially2904
      @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว

      Una namba za Abdul unisaidie n mshikaj wangu pindi Niko Temeke Maeneo ya mikoroshini

    • @over_dance_tz8517
      @over_dance_tz8517 3 ปีที่แล้ว

      Daaaah mshikaj sina lakn pia nami nilitaman niwe nayo. Sana asee

    • @khadijamillanzi8552
      @khadijamillanzi8552 3 ปีที่แล้ว

      Npe zako nimtumie

    • @ccmiaofficially2904
      @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว

      Mwambie mie tcha wa Good Shepherd Temeke mwembe yanga

    • @ccmiaofficially2904
      @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว

      @@khadijamillanzi8552 ....0779 207017. 0685 998465.....Mzma lakn

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 3 ปีที่แล้ว

    Mucheki jiva ana ngoma kali sana

  • @peloofficial5610
    @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว +3

    dah mwaka huu kazi hii ningumu

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 3 ปีที่แล้ว +2

    Abdul🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LadouceurTony
    @LadouceurTony 3 ปีที่แล้ว +1

    🤩 wow

  • @ibra6269
    @ibra6269 3 ปีที่แล้ว

    Black Yohana fundi sana muimbaji mzuri

  • @Djtigerbaby
    @Djtigerbaby 2 ปีที่แล้ว

    Bela anaweza

  • @braveson4683
    @braveson4683 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye yellow anajua

  • @LadouceurTony
    @LadouceurTony 3 ปีที่แล้ว

    Ila wa nguo nyeusi yupo vizuri sana naona jamaa wa njano alijua afazali nikaende na kikongo zaidi 🤩

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 2 ปีที่แล้ว +1

    Madam ritta😂🌹❤️💕

  • @tausindekwa7314
    @tausindekwa7314 3 ปีที่แล้ว +4

    It's more painful bana

  • @DayanaNelson-gv6cv
    @DayanaNelson-gv6cv 6 หลายเดือนก่อน

    Kama kiba vile ❤❤❤

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 3 ปีที่แล้ว +2

    Mngewachukua wote Aki life sio poa

  • @juniorsmart2483
    @juniorsmart2483 3 ปีที่แล้ว

    Mmebor afu xo vzr xjafurahia hii system yenu kwanza hata huyo wa njano mxfa mingi mpaka anabor😕😕😕Pole mwaya 😢😢😂😂

  • @khatibissa3560
    @khatibissa3560 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka jamaa anasali daah

  • @adamsnchimbi9478
    @adamsnchimbi9478 3 ปีที่แล้ว

    Bss 2020 bambataa

  • @manuelchogo1234
    @manuelchogo1234 2 ปีที่แล้ว

    Mwooooto Issa aisee

  • @bizimanasaid7678
    @bizimanasaid7678 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm sio shabiki wa mziki Ila n shabiki wa majaji kiukweli hap mr hunifurahisha saaana ulivyo tuuuu wapenda kazi yako

  • @mjubamuuni5083
    @mjubamuuni5083 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali yohana hamjamfanyia haki kabisa

    • @ccmiaofficially2904
      @ccmiaofficially2904 3 ปีที่แล้ว

      Ila kumbuka mziki unajumuisha hasira udhun,ladha,maumivu,ivyo mi naona Abdul yuko poa

  • @zablonrobert1522
    @zablonrobert1522 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimechukia sijapenda

    • @bellabakera
      @bellabakera 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio personal ni mashindano haya

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว

      @@bellabakera ndio nimashindano ila nashindwa kuwaelewa hawa

    • @zablonrobert1522
      @zablonrobert1522 3 ปีที่แล้ว

      @@bellabakera mshkaj anajua sana anawazid baadhi ya watu ambao wamepitishwa na majaji wengine kwann wasinge mchukua Kura zikapelee

    • @zablonrobert1522
      @zablonrobert1522 3 ปีที่แล้ว

      @@peloofficial5610 unajua wamefail pakubwa saana sijapenda yaaan wanaacha vipaji vocalist wanachukua mtu kisa anaimba kikongo sijakataaa kuwa hajui ila wangeangalia vtu vingi

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว

      @@zablonrobert1522 hapo unaposema kisa kikongo umedanganya kabisa hata bila hivyo mwanzo alihimba wimbo wa kings music bella akamkubalia hapo hivyo unaweza kusema heti wanachanguwa mtu kisa kuhimba wimbo wa kingongo sio kweli ndugu sema tu wengi walitaka yule wa nguo ya black achanguliwe na wakati kakutana na mwengine zaidi yake kusema hukweli wote Christian bella aliowachanguwa ni wakali hata huyo angekutana na yule dada alieimba wimbo wa marecan talents on fire angemshinda naye ila bella alichanguwa vizuri tu haya nimashindani bhana

  • @msafirihemed3877
    @msafirihemed3877 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 Bella is bonyezaring!!

  • @fongaamike2768
    @fongaamike2768 3 ปีที่แล้ว +5

    Mnaongea sana.muwe mna concentrate

  • @fredernest7572
    @fredernest7572 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa mwenye njano ni balaaa

  • @annastaziasospeta9181
    @annastaziasospeta9181 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @nyuzmastory6538
    @nyuzmastory6538 3 ปีที่แล้ว +1

    Imetulia hiyo

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu mi ufala ulokomaa wa bss yaaa wa kiwango cha lami

  • @eliasmassasa8726
    @eliasmassasa8726 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni ukatili eseee duuuuu

  • @josephsanga474
    @josephsanga474 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyoo Aliembaa kikongo hajuii

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว

      huwe mkweli bhana wote ni wa tz huyo wa yellow nimkali tu

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu wajue wanatakiwa mshind apatikane 1

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 3 ปีที่แล้ว +4

    Aka kajamaa kenye blich kana sifa sana

  • @ayubutimothy8666
    @ayubutimothy8666 3 ปีที่แล้ว +3

    YEAH.
    PAMOJA WANAUME...
    MMOJA ANABAKI MWINGINE ANAENDELEA KUWAKILISHA CHAMA
    KILA LA KHELI.

    • @zainachande5095
      @zainachande5095 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimemuonea huruma mwenyewe anapiga njia ya msalaba lol

    • @ayubutimothy8666
      @ayubutimothy8666 3 ปีที่แล้ว

      @@zainachande5095 dah. Ndo safari ishakuwaaaa......

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 3 ปีที่แล้ว +2

    Wote wako vizuri ila uyo wa jaune ni moto

  • @janethsemboni9874
    @janethsemboni9874 3 ปีที่แล้ว +4

    Mnaacha vipaji loooh!

  • @tourzmbaruk4319
    @tourzmbaruk4319 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubaya ubaya😀😀

  • @jasminabdul7569
    @jasminabdul7569 2 ปีที่แล้ว

    .safi

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

    Madame Lita anafuata mkia😂

  • @sashadiva1111
    @sashadiva1111 3 ปีที่แล้ว +11

    Mwenye yellow akiongea kama mario

    • @givanerpom6247
      @givanerpom6247 3 ปีที่แล้ว

      Mshindi atabiliwa huyu hapa Usisahau kusubscribe th-cam.com/video/WhJwh2HcN6U/w-d-xo.html

    • @preciousmohmed7372
      @preciousmohmed7372 3 ปีที่แล้ว

      Cousin wake wanadai😁

  • @rutagasto
    @rutagasto 3 ปีที่แล้ว

    Safi kijana wetu hujawahi kukosea

  • @jamaljonathan4321
    @jamaljonathan4321 3 ปีที่แล้ว +5

    Seems unfair. It is an Orthodox means of picking contestants

  • @Madmax_kingTz
    @Madmax_kingTz 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli mnazingua

  • @faithsudi5751
    @faithsudi5751 3 ปีที่แล้ว

    Bella id favouring the one in yellow because he sang his style of music...IF PATHETIC WAS A PERSON -Bella

  • @wordsmith_Benn
    @wordsmith_Benn 3 ปีที่แล้ว

    Jmn sio fair khaaa

  • @monnahthepresenter1978
    @monnahthepresenter1978 3 ปีที่แล้ว

    It’s hurt aise akuna njia mnaweza badilisha jinsi mna select watu

  • @johnrogath1066
    @johnrogath1066 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu mfumo mbovu sanaaa

  • @jboy9813
    @jboy9813 3 ปีที่แล้ว

    Abdul ana jua sana

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 3 ปีที่แล้ว +1

    huyo mwamba mwenye njano ni duniaa

  • @gabrielshio9562
    @gabrielshio9562 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiv matege ya idriss mmeyaona wajumbe🤣🤣

  • @irenenyolobi1906
    @irenenyolobi1906 3 ปีที่แล้ว +11

    Wangefat utaratibu wa mwaka Jan mbwembwe nying hizi zinakera

    • @givanerpom6247
      @givanerpom6247 3 ปีที่แล้ว

      Mshindi atabiliwa huyu hapa Usisahau kusubscribe th-cam.com/video/WhJwh2HcN6U/w-d-xo.html

    • @annalubango9899
      @annalubango9899 3 ปีที่แล้ว

      Zinakukera wewe tu Mimi nafurahia

  • @selinakioko3085
    @selinakioko3085 2 ปีที่แล้ว

    Yohana alikua sawa pia

  • @alwiyaal-kaf6514
    @alwiyaal-kaf6514 3 ปีที่แล้ว +5

    This is not fair

  • @leticiajacob9745
    @leticiajacob9745 3 ปีที่แล้ว

    Daaah

  • @timasalehe3805
    @timasalehe3805 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @aishakidotigakii6157
    @aishakidotigakii6157 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani wote wako Sawa

  • @manuelchogo1234
    @manuelchogo1234 2 ปีที่แล้ว

    Mshindani wa Issa hahaha tiari kashajua kangushwa ishira za msalaba kibao hhhh Issa hatari

  • @gloryjohnson5878
    @gloryjohnson5878 3 ปีที่แล้ว

    daaah bna ts not fair huyo kaka anasauti sana c.bella sio poa😰😰yohanne iz good

  • @aishaabdul1712
    @aishaabdul1712 3 ปีที่แล้ว

    huyu Kiba Dogo anajuwa sana

  • @yasintaswahasni4747
    @yasintaswahasni4747 3 ปีที่แล้ว

    Mnabowa sana mngewaacha wote

    • @peloofficial5610
      @peloofficial5610 3 ปีที่แล้ว

      sasa Angewahacha wote tena wewe ndo ungekuwa wa kwanza kulaumu heti bella aliacha wakali sasa mjuwe ya kwamba kupita mbele sio kumanisha unamzidi wa nyuma yako apana yy bella alisema ashaeneza sasa ikabidi atowe mmoja kati ya wale 8 aliokuwa ashawachanguwa mbele ndo akamchukuwa huyo wa black na wa yellow wapimishane sababu apendi kuacha mwenye kipaji ila ufaamu kama wote wanajuwa na nfomana alimchukuwa wa black sababu anajuwa ila wanazidiana asingemchukuwa wa yellow mgesema saaaana hapa