Mmh huyu dogo ni hatari sana, 1. Kwanza ni Gifted ( Sauti ni nzuri asilia) 2. Apart from message ( atoa burudani kwa kuchezea sauti( kitu tunachokikosa kwa waimbaji wengi) 3. Anatamka maneno vizuri sana, r ni r l ni l na neno kama ni kama na sio kam kwa wengine. So perfect. Big up dogo.
Mmh huyu dogo ni hatari sana,
1. Kwanza ni Gifted ( Sauti ni nzuri asilia)
2. Apart from message ( atoa burudani kwa kuchezea sauti( kitu tunachokikosa kwa waimbaji wengi)
3. Anatamka maneno vizuri sana, r ni r l ni l na neno kama ni kama na sio kam kwa wengine. So perfect.
Big up dogo.
Sifahamu mziki lakini upo sahihi 100% kwa nilichokisikia..
Hongera sana madam Ritha na BSS Kwa kuibua vipaji
Madam ritha mungu akuzidishie moyo wa imani hivihivo unajuwa kusoma hisia za watu mashallah
❤❤❤
Yupo wapi huyu dogo kwa kweli duuuh huwa namtazama uwezo wake bado upo hivi mpaka leo
Adi Leo 22/2/2024 namcheki Hamisi bbs. Weka like kama tupo sote apa... Man j from kenya
😊😊
Namimi nipo
Umewaliza wengi sana kipindi iki licha ya madam na salama ila tupo watazamaji na wafuatiliaji wa sezon zako ktk BSS..good job
Wenye vipaji hawana kipato ila mungu yupo mdogo wangu unajua sana
Jaman mpeni mauwa yake 🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🎊
Pole kaka jipe moyo edelea ukimutazama mungu
🤔🤔🤔 bado tupo Sanaa hamisi..🔥🔥
Ponguza speed nyimbo nzuri
01/05/2023 mmh mmh , love it
My birthday
Kijana wakiislamu namna anavyodhalilika
Ni noma huy mwambaa
Mungu akutangulie kwa safar yako ya mzik dogo
Sa kwann umekuja vaa kitop tena hamisss
My favorite singer
Mm mpaka leo jm pili 10 ,12,23 naangalia nyimbo zake
Kwer dogo arikua yupo vizuri
Kutokana na skendo zake kua nyingi imenjfanya nimkumbuke kidogo
Ila Mungu anakusudio lake na Malapa yk
Wooow khamis ulikosea wapi aisee 😢😢
naomba kampani yenu kwa audio yangu mpya
leo anavaa vitopu 😂😂 ila maisha bana
Wee 😂😂😂fal umenichekesha kweli yn et sahz anavaa vitop
Powerful voice
Hatariiii xhekh anae tazama Leo komenti hapo😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Hahaha
Hpo ni vile Salama hakua tu ila angekosolewa tu
Dahh inasikitisha sasaiv shoga dahh
Huyu dogo nifundi angeendelea angekuw mshindi
Sema jamaa kawa shoga now anavaa adi cloptop
Adi leo tarehe 21 mwezi 5 2023 bado naangalia hamis wa bss
Pure talent
Upo vizur
Kijana yukovizuri for live
Kawa kija wahovyooo kabisa
Saiv ndo anavaa nguo za dem wake mdhungu😂😂😂 kweli maisha yapo kasi 2023
Muasaidie atafikia mbali tu
❤❤❤ ilove you so much
Hadi leo 14/10/2024
Bada namwangalia hamiss wa bss
Kaz mzuri kijana
Hamisi noma
❤❤❤❤❤
Very impressive
2025 still here
dogo mimi namkubali sanaa
Waoooh
Jina la wimbo please
Noma sana
Hii 2023 bado naangalia he deserved
Na sisi wa june2023
huyo dog wamoto yupo wap siku hiz
Hatari khamis
Na Mimi pia bado ninamcheki dogo nikiwa hapa US 2023
Dully sex umeweka ladha ya ngoma bila wewe kujua ulikuwa unamrudisha kwenye key 😂😂😂😂 Jan, 2024 bado naitizama
23. 07. 2023
🎉
Huyu dogo ni fundi etii
2025
Nop one like you ma bro
Penda toujours nouveau pour moi
l
A
A
Aa
Aa
Yaan kanifanye nilie nyiee anajua
Dogo fund
Hamna kitu hapo
Roho chafu
Kwann watu mnaroho kama nyau anaetaka kuchomea sindano
Roho ngumi kama mbwa dogo anajua apewe maua yake
Roho mby tu uyoo😅
Noma sana